Wallahi lile la balozi limekukaa kooni sana.!
Haya basi tufanye Nguruvi3 ndie aliekahutubia bunge...!Mbona lilishatolewa clarification?ajabu bado unalo tuh?punguza hamaki na jazba,umejificha kwenye nyumba dhaifu ya buibui ona sasa ulivyokosa kusitirika,hadi jamaa zako wanajiulizakipi kimekusibu masiku ya hivi karibun...Umekuwa mufilisi wa hoja kabisa,sisi tunasema ''victory won''...
Hakuna uchochezi,kuna facts tu ambazo nyinyi mnastahili kuzipokea na kuwasimulia wajukuu zenu...
Big show, nisetirike na nini wakati nipo katika list ya ''shit'' ya Mohamed Said? Ninyi mnaolirudisha hili jambo ndio mnaokusudia kumvunjia heshima Maalim. Uzuri wa JF ni rekodi na hapa naweka rekodi bila kusema neno.
Mzee Mwanakijiji[/B];6202686]Balozi wa Marekani hajawahi kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano; niko tayari kusahihishwa. Lini Balozi Royall alihutubia Bunge la Tanzania? ili tupitie hansard.
Nguruvi3: Ndugu yangu yaani nilipatwa na mshutuko kusoma kuwa balozi wa Marekani aliwahi kuhutubia bunge. Afadhali umelileta.Mohamed Said, Balozi wa marekani alihutubia Bunge lini?
Ritz,
Hivi hawa jamaa wanajua kuwa mimi nilipata mwaliko nikatoe mada Chuo Kikuu Cha Ibadan.Hivi hawa jamaa hawajiulizi vipi nimealikwa mie...
Hivi hawa jamaa wanadhani mimi nitafunga safari na nisimame kwenye kilinge kisha niseme maneno ya kutunga?
Laiti wangelikuwa si wachovu wa kufikiri hawakuwa hata na haja ya kuleta swali lile la Balozi wa Marekani hapa jamvini.
Utafiti mdogo tu wangelipata jibu. Naogopa kuwapa sifa yao kamili isijeonekana natumia lugha zisizopendeza.
Sishangai hadi leo wanashindwa kuandika hata kitabu kidogo cha historia au pitio la kitabu changu kunipinga.
Wao wamekuwa kama Hakimu Nasoro Kiruka.Maswali,mswali, maswali...
Nguruvi3:Utaratibu wa kuhutubia bunge unajulikana na anayehutubia hualikwa na Bunge kwa mwaliko Maalum.
Mohamed, hajui taratibu za bunge na wala hajui tofuati ya semina ya bunge na Bunge la JMT.
Kama semina ndiyo bunge lenyewe basi nina orodha ya watu wengi sana waliofanya hivyo.
Kuanzishwa kwa mifuko ya jamii akina Dau nao walihutubia bungeMsimemeze tu kila kitu kutoka kwa ''nabii''
Nguruvi,
Ndugu yangu punguza ghadhabu, jitulize na andika kwa utulivu na kwa adabu.
Vinginevyo utageuka kuwa Lancelot Gobbo. Si unamkumbuka huyu mtu katika ''Merchant of Venice'' ya William Shakespeare?Nilieleza habari zake hapa JF.Umesema mengi lakini nitakujibu moja.
Hili la Balozi Robert Royall.Balozi Royall alihutubia Bunge la Tanzania tarehe 15 May 2003 na mada yake
ilikuwa ''Blood Money and Financing Terrorism.''Hiyo paper yangu iliyozua swali lako ndiyo lilikuwa jibu la hotuba ya Robert Royallna ndiyo sababu ya kukumatwa uwanja wa ndege Dar es Salaam mwaka 2007nilipokuwa narejea kutoka Tehran.Nakutakia siku njema na utulivu wa fikra.
Nguruvi3;6207003]Mohamed ukisoma nilichoandika hakuna ghadhabu hata sentensi moja.
Nimeuliza kama balozi amehutubia bunge na lini.
Mohamed, umeweka tarahe nadhani watu watapitia hansard za bunge kujua na kujiridhisha kwa hilo.
Kuna kuhutubia bunge na kuhutubia semina ya wabunge,hivi ni vitu viwili tofauti!Halafu usiwe na wasi wasi na mimi, nipo katika 'shit list yake '' wala sihitaji nafasi nyingine zaidi. Angalia tu maneno yako!
R;6205436Balozi Royall alihutubia bunge la Tanzania tarehe 15 May 2003
gombesugu;Ami,Nahisi pale umeona kuwaNguruvi3,anataka kutumia technicalities almurad awe hajakosea! Ahsanta Al Akhiy kwa kugundua hicho kitu na ku-highlightkwa haraka!ahaha!
Kadogoo;6206393 MZEE MWANAKIJIJI;Haya umepata jibu lako kuhusu Balozi wako! ndio ulitaka kusema nini vile
Ukisoma ni dhahiri kuwa waungwana walijaribu sana kumueleza Mohamed kuhusu itifaki za bunge.
Badala ya kuelewa, Mohamed Said kwa kudhani hapa ni mahala pa kumeza akaanza kashafa, jeuri, dhihaka, kejeli na tambo zake za kawaida.
Amethibitisha kuwa paper aliitoa Ibadan. Ni wazi alisafiri hadi huko akiwa na mkoba wake(Nimeshauriwa nisitumie ile terminology maarufu unless mtu aulize)
Akathibitisha kuwa balozi alihutubia tarehe hiyo hapo juu.
Ni wazi alikuwa si hakimu kiruka na alifanya utafiti mdogo tofauti nasisi tulioshindwa.
Akaeleza kuwa paper ya Ibadan ndiyo ilimfanya akamatwe!
leo tunajua hakukamatwa kwasababu hiyo kwavile balozi hakuhutubia bunge na hakukuwa na mzozo naye!
Angalia hapo chini orodha ya vijana waliojitoa kimacho macho kutetea upotoshaji wa Mohamed.
Hawa ni wale wachache sana walioko JF, kuna maelfu masikini ya wangu walimeza tu kwa kuogopa kuuliza maswali ili wasiwe hakimu kiruka.
Hili jambo limetokea miaka 10 iliyopita na lipo hivi, je yale ya nusu karne kuna nini ndani yake.
Sasa mnaonishambulia kuwa hili jambo limetolewa clarification, hiyo si kweli.
Limetolewa hukumu ambayo ni tarehe 15 may 2013 na Mohamed Said.