Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Big show, nisetirike na nini wakati nipo katika list ya ''shit'' ya Mohamed Said? Ninyi mnaolirudisha hili jambo ndio mnaokusudia kumvunjia heshima Maalim. Uzuri wa JF ni rekodi na hapa naweka rekodi bila kusema neno.
Kadogoo;6206393]
MZEE MWANAKIJIJI;Haya umepata jibu lako kuhusu Balozi wako! ndio ulitaka kusema nini vile


Nimekuelewa vema sana,nachotaka kukuambia ni kwamba hilo suala la balozi unalolishikia bango limekwisha eleweka,

tumeona tofaut kati ya kuhutubia bunge,na kuhutubia semina ya wabunge,lakin mantiki kuu imepatikana tayar,why unaendelea kulishikia bango?au umeishiwa hoja?

Pole sana,vip namimi nikuweke kwenye 'list' yangu kama nilivomweka yule msukuma mkokoteni?
Ha ha ha,lol,,just jokes,,
nakuheshim sana mkuu...
 

Nguruvi3 inshaalah iko siku mzee MS atakutoa kwenye "shit list"mimi ushauri wangu kwako hilo swala balozi kuhutubia nafikiri tungeachana nalo kuna mambo mengi ya kujua kuliko hilo please mkuu ahsante
 
1.kuhusu nasaba yako achana nayo,,

mimi nataka uanze na zile FIVE ESCAPE ROUTES ZILIZOKAA PENDING HADI SASA,,

gombesugu kawalalamikia sana mtolee majibu kimya hadi sasa,

Naomba tuanze na hizo kwanza,,

shukran

Naomba uzinakili hapa niona kama ni hoja ama vingine!
 

Wewe wa madrasa si ndo ulimwita mwenzako "impotent" halaf ulipojibiwa tusi lako lake ndo likawa tusi lako likawa lugha ya uungwana.. unajiita mmadrasa kw kujisifia matusi ya PM? unaudhalilisha uislam. Uislam si kujua matusi, uislam ni kufurika hekima. Mimi hunijui hata kdgo unaanzaje kusema MCHADEMA? nikisema umeongea pumba ntakua nimekosea hapa? haya ww chama gan bas chenye huo uislam wako tuambie? mana nyinyi ndo mnaoleta habar ya vyama vya udini na hulka ya machafuko ya kidini nchini. Mnajisifia swala swala halaf mnaandika matusi PM aibu gan hii? je huu ndo uislam? Mimi si mmoja wao kati ya mabingwa wa matusi watafute watoto wenzako muendeshe hiyo ligi na ukiichafua PM yangu kw matusi utakua umevuka mipaka na hapo tutaingia kwnye sheria ambapo mimi si juha huko nitatumia utaratibu wangu. Jibu hoja za yericko achana na historia za maisha ya watu ooh walikunywa kahawa mara waliuza samaki wakaruka mashimo hapa tunajifunza historia za taifa
 
You have missed the point mr. Kudadeki. Mohamed Said alitaka kutuaminisha kuwa bila yeye akina Kleist wangesahaulika katika historia.

Haya basi tupe hivyo vitabu vingine vya Kivukoni vinavyomzungumzia Kleist Sykes ukiondoa hivyo villivyoandikwa na WADHUNGU? Sote tumesoma historia tuliyofundishwa darasani na jina la Sykes never appeared kwenye hayo mafundisho. Sasa kama unaona hicho ulichokiita MS anadanganya, tuletee orodha ya vitabu vya historia inayofundishwa mashuleni inayomzungumzia Kleist Sykes.
 


sasa yericko ana hoja gani ya maaana unayotaka ajibiwe?
Yeye ndie tunaemtaka atuoneshe wapi ulipo uchochez wa moh said,mwez wa tano sasa tunaelekea wa sita anapiga blah blah tuh...
Kuhus matus mwanzilishi anafahamika,kama wewe unajiona ni mtu mzima basi jiweke kando na rabsha kama hizo,
sheria za JF kila mtu anazifaham...
Anaekutukana kilabuni,mtukane hapo hapo kilabuni,asije kesho yake akasema alikua kalewa bure..
 

Wacha mkwara usijibiwe wewe ni nani jf kuna sheria zake kuna mjinga mmoja humu ndio muanzilishi wa matusi humuoni unamuona zali la mentali tu au kwasababu kakuita pro chadema wacha hizo kuhusu suala la ku PM si bora hiyo kuliko kuwekewa upuuzi huku kwenye huu uzi, anza kumwambia huyo mjinga aache upumbavu wake halafu uone kama zali ataendelea sio kutishia watu eti utafuata utaratibu wako zama za kutishia watu zilishakwisha aliyafanya baba yako wa taifa sio zama hizi, "sasa hivi hakuna zi dumu fikra za mwenyekiti"wala hakuna kumuogopa mtu kama vile tunavyoambiwa watoto wa madrasa "USUMUOGOPE KIUMBE ALIYEPITA KWENYE NJIA ZA MIKOJO MARA MBILI"na kwataarifa yako hilo sio tusi ni maneno ya Allama Hassan Al bassary twende kazi mkubwa.
 
 

Sheikh farid huitaj kukwazika kw mimi kuelezea msimamo wangu juu ya matusi. Nikupige mkwara ww kama nani toba yarabi? Si mola tu hata sheria za wanadam hazinasibu matusi! Kama unadhani mm ni mtu wa mikwara umepotoka hakika. Hili ni jukwaa la weledi na si ubabe ila inapolazimu kuwachuja na kuwashugulikia wadhalim hilo halishindikani sheikh farid. u nani wewe farid? Twende kwa hekima na mafundisho kama uanijua quran tukufu huwez ropoka hasilanibali utafikiri kw makini kabla ya kuongea hatujaja hapa kutishana. Kama unataka kutishana kwa mabavu bas tafuta mahala pengine si hapa!
 

Hawezi kukujibu, mpaka leo hakuna shule au chuo chochote wanafundisha kuwa histori ya AA kuna kina Kleist Abdallah Sykes, Mwalimu Mdachi Sharifu, Mashado Plantan.
 
Yericko Nyerere,

1) Naomba kufahamu ili nijifunze historia ya TAA kutoka kwako.

Nitajie kamati ndogo ya siasa ya TAA, 1951 (Political Subcommitte). Kwa faida ya wanajamvi tutajie majina yao.

2) Unaweza kutupa habari za TAA na KAU zilipounganisha nguvu 1950.

3) Nyerere alifanya mkutano wake wa kwanza wa TAA mwaka gani.
 
Last edited by a moderator:


Tusuubiri tumskie kama ana uwezo kama huo basi...
Hakawii kuleta copy n paste zake hapa...
 
Last edited by a moderator:

Nadhani wewe ni mtu unayeijua vizuri historia ya Tanganyika. Ni kina nani waliokutana na Gavana Edward Twining kupiga wanachama wa TAA ambao ni wafanyakazi wa serikali kujiingiza kwenye siasa wasifukuzwe kazi.
 
Yericko Nyerere,

Umesema unataka maswali ya hoja na mimi nakuja na maswali yangu kwa faida ya wanajamvi.

Tupe habari za (TAGSA) Tanganyika African Government Servants Associotion.
 
Last edited by a moderator:
Tusuubiri tumskie kama ana uwezo kama huo basi...
Hakawii kuleta copy n paste zake hapa...

Hakuna tatizo hata akija na majibu ya copy na kupaste nasubiri atupe darsa nisubiri huku nakunywa gahawa na tende za Sharja.
 
Yericko Nyerere,

Umesema unataka maswali ya hoja na mimi nakuja na maswali yangu kwa faida ya wanajamvi.

Tupe habari za (TAGSA) Tanganyika African Government Servants Associotion.

Kwanza naomba kujua,

Ulikuwepo tangu mjadala huu ulipoanza mwezi juzi?

Unauliza vitu kwakejeri ama nikweli huvijui?

Suala la Tanganyika African Government Servants Associotion tulilieleza vema kule nyuma kupitia wadau wenzangu,

Na lilifafanuliwa kwa upana sana jinsi TAGSA ilivyoendesha harakati zake pale Tanga na kwingineko,

Ukiniuliza mambo ambayo tayari tulishayazungumza huko nyuma sitakujibu!

Nataka hoja mpya!
 
Last edited by a moderator:

Wanajamvi leo Ritz, anaulizwa kama alikuwepo toka mwezi juzi, huyu jamaa kasahau kama yeye mwezi juzi ndiyo alikuwa ananiita mimi mbeba viatu vya Mohamed Said. Anasema nimeleta kejeli kuna kejeli kwenye swali langu wanajamvi mtanisaidia.

Lini TAGSA walifanya kazi zao Tanga?

Huu mpini umekuzidi uwezo basi nakupa mpini mwingine mpya kama unavyotaka.

Kwa faida ya wanajamvi tupe habari za Pan African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958. TANU na KANU, na hii utasema kejeli.

TAGSA haina uhusiano na Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wetu Mohamed Said, tulizana huku unatusoma taratibu huku unapata faruda.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi kabla sijaendelea na maswali yangu yenye hoja nzito naombeni mumkumbushe Yericko Nyerere, hayajibu maswali yangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…