Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Rweye,
Kwa kuwa umejinasibu kwa Uislam nami nitazungumza na wewe
kwa maneno yake Allah SW.

Uislam ni tabia njema.

Waislam hawapayuki hupima kila jambo na Allah katuonya tusizungumze
kitu tusichokuwa na ujuzi nacho.

Ina l'muuminina ikhwan.
Muislam nduguye Muislam yaani Waislam wote ni ndugu.

Mbona sioni tabia hii kwako na hii ni post yako ya pili tu naisoma?

Nakuona umeingia na mashambulizi moja kwa moja.

Vipi utamnusuru nduguyo Muislam kama Allah alivyoagiza ikiwa Uislam
wako ndiyo huu ninaoshuhudia?
 

For an educated person who has studied Genetics and knows that parents contribute 50% each of the genes in the child, such an educated person will never believe this trash! And yet you always boast that your holly book is full of knowledge... Well, there is no genetics in that book, if at all it is the supreme source of your knowledge! Mohamed Said, have you ever heard of the term "inbreeding depression"?
 
Last edited by a moderator:

Nakumbuka Sokoine alimuweka Butiku ndani kwa kosa la kuhujumu uchumi. Nyerere akatumia mabavu kumtoa na kuamua kumkejeli Sokoine ili kuhalalisha kitendo chake cha kumtoa Butiku kwa kudai kwamba tukiwafuatilia nyie viongozi hapa ni nani atakayekuwa hana mali kama ya Butiku? Yaani kwa sababu imeangukia kwa mjomba wake basi anahalalisha kila kiongozi ni mwizi hivyo Butiku aachiwe!!!!!!!!!!!!!!!

Haikuchukua mda Sokoine akaaga dunia!!!!!!!!!!!!!


Grrrrrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyyyyy
 


Well,hayo anayoyasema Moh Said si maneno ndani ya Qur an,hayo ni mawazo ya IMAM SHAFFii,kutokana na uhalisia wa mtoto wa nje ya ndoa,naona umetafuta point of weakness ili uweze kuishambulia,pole sana ndugu yangu..
 

The Big Show,

Ahsante ndugu yangu.

Allah atuzidishie ilm.
Amin
 
Well,hayo anayoyasema Moh Said si maneno ndani ya Qur an,hayo ni mawazo ya IMAM SHAFFii,kutokana na uhalisia wa mtoto wa nje ya ndoa,naona umetafuta point of weakness ili uweze kuishambulia,pole sana ndugu yangu..

The Big Show,
Ndugu yangu tusiendeleze tena mjadala huu kuna hatari ya Allah kutukanwa
na sisi ndiyo tutakuwa masuul.
 
GS, mbona hoja yako dhaifu sana Mkuu! Hapa unataka kutuaminisha kuwa kutiwa ndani kwa huyo Sheikh ni kwa sababu ya dini yake? Mbona wengi tu walitiwa ndani nyakati hizo? Mbona hata baadhi ya Mabaniani walikimbilia Canada kuepuka Kampeni ya Uhujumu uchumi enzi zile? Waama kwako wewe ni hadi Ladwa angekamatwa ndio ungeona ile Kampeni haikuwa 'kumkomoa' Sheikh Muislamu? Mbina wapo wengi tu ambao sio Waislamu ambao pia waliwekwa ndani na baada ya kuachiwa tu walifariki? Mbona hata leo wapo waliokwapua pesa za EPA na wakakiri na Rais akawatangazia msamaha ikiwa watalipa hizo pesa?
Gombesugu, kwa kweli sikutarajia kama unaweza kuleta hoja dhaifu kama hii; tukisema kuwa wengine wenu mnaongozwa na imani zenu za kidini na chuki ya kidini kwa Mwalimu Nyerere ktk mnakasha huumnabisha.
Nasikitika leo nimerudi kwenye huu mnakasha ba nikakutana na comment dhaifu kama hii, tena kutoka kwa mtu ambaye angalau ameelimika.
 

Si kuwa Nyerere na kambona walikosana. Bali Nyerere hakupenda kabisa kufanya kazi na watu waliokuwa wanajiamini. Kwani yeye alijiona ni alfa na omega kwa kila jambo. na ikitokea mtu kumbishia jambo kitaaluma basi wewe ni adui wake milele.

ndio maana aliitwa HAAMBILIKI na tarbia hiyo ndio iliyopelekea tanzania kuwa miongoni mwa nchi masikini kwa sababu hakutaka kufuata ushauri wa wasomi na weledi wake.
 

Pole sana, gombesugu, kaelezea kwa upande nana wewe tunashukuru kwa kutufahamisha unyama mwingine wa Nyerere dhidi ya mabaniani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…