Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe ni mchochezi. Wambie waislama wafanye nini ili kuondokana na umasikini na ujinga. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Wakati wa porojo haupo tena. Tumechelewa sana. Watoto wetu na wa jukuu wetu watakuja kupiga viboko makaburi yetu kwa sababu ya watu kama wewe unayepoteza muda wa waislamu kwa porojo na hadithi za kale. Kwa kweli wewe unatawaliwa na infiriority complex tena umekuwa adicted sana kiasi kwamba huoni uendako.

Rweye,
Kwa kuwa umejinasibu kwa Uislam nami nitazungumza na wewe
kwa maneno yake Allah SW.

Uislam ni tabia njema.

Waislam hawapayuki hupima kila jambo na Allah katuonya tusizungumze
kitu tusichokuwa na ujuzi nacho.

Ina l'muuminina ikhwan.
Muislam nduguye Muislam yaani Waislam wote ni ndugu.

Mbona sioni tabia hii kwako na hii ni post yako ya pili tu naisoma?

Nakuona umeingia na mashambulizi moja kwa moja.

Vipi utamnusuru nduguyo Muislam kama Allah alivyoagiza ikiwa Uislam
wako ndiyo huu ninaoshuhudia?
 
Boko Haram,Fanya huruma juu yake yeye hana kosa lolote. Allah ndiye atakaekwenda mpa haki yake kwa dhulma alofanyiwa hapa duniani.Sisi tunawajibu wa kumfariji siyo kumsimbuliza.Katika yale yalotendeka yeye hakuwepo wala hakuomba aletweduniani kwa namna ile.Boko Haram,Ndugu yangu huo ndiyo Uislam.Ama Allah keshapitisha hukumu yake.Katika Uislam Yericko ni mtoto wa mama haweze kurithi chochote kutoka kwa anaemtikadi kuwa ni baba yake.Katika yale yalopitika yeye masikini wa Mungu hakuwepo walahakutaka iwe vile ni kadir ya Allah.Imam Shaffi amekwenda mbali zaidi kufikia kusema kuwa mtoto wa nje ya ndoa kama ni mwanamke anaweza kuolewa na huyo inayosemwa ni baba yake (biological father).Wakati mwingine tumtazame Yericko kwa jicho hilo hata pale anapotukosea.Ni bahati mbaya labda Ukristo haufunzi vitu hivi na hii ndiyo sababu ya Yericko yeye kutoona vibaya kujinasibisha na nasaba isiyomuhusu.

For an educated person who has studied Genetics and knows that parents contribute 50% each of the genes in the child, such an educated person will never believe this trash! And yet you always boast that your holly book is full of knowledge... Well, there is no genetics in that book, if at all it is the supreme source of your knowledge! Mohamed Said, have you ever heard of the term "inbreeding depression"?
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohammed Said,

Umemtaja huyo Sheikh Nassir wa pale Bagamoyo. Ana nduguye/Cousin wake akiitwa Bwana Maembe Bin Mohammed Bin Mzaham. Huyu Bwana nae pia alikua mmojawapo wa wanaharakati vinara wa kupigania Uhuru kwa pale Bagamoyo.
Nyerere
aliwahi kumtia ndani kwa takriban miaka miwili siku zile za "Uhujumu wa Uchumi". Kisa chake ati alikua na boat/mashua mbili za kuvulia samaki pale Bagamoyo!?ahaha!!
Alipotoka kizuizini huyu Bwana, haikupita muda akafariki maana alidhoofika mno na utu uzima na vitimbi vilomkuta huko jela.

Sasa ukifikiria kulikua na wale mabaniani kina J.W.Ladwa pale Upanga...walikua na visa na vitimbi viso mfano tangia "enzi ya Mwalimu" na mpaka kesho,lakini hakuna alowahi kuwakurubia wala kuwagusa asilan!?

Haina neno ndo kilimwengu.

Ahsanta.

Nakumbuka Sokoine alimuweka Butiku ndani kwa kosa la kuhujumu uchumi. Nyerere akatumia mabavu kumtoa na kuamua kumkejeli Sokoine ili kuhalalisha kitendo chake cha kumtoa Butiku kwa kudai kwamba tukiwafuatilia nyie viongozi hapa ni nani atakayekuwa hana mali kama ya Butiku? Yaani kwa sababu imeangukia kwa mjomba wake basi anahalalisha kila kiongozi ni mwizi hivyo Butiku aachiwe!!!!!!!!!!!!!!!

Haikuchukua mda Sokoine akaaga dunia!!!!!!!!!!!!!

Grrrrrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyyyyy
 
For an educated person who has studied Genetics and knows that parents contribute 50% each of the genes in the child, such an educated person will never believe this trash! And yet you always boast that your holly book is full of knowledge... Well, there is no genetics in that book, if at all it is the supreme source of your knowledge! Mohamed Said, have you ever heard of the term "inbreeding depression"?

Well,hayo anayoyasema Moh Said si maneno ndani ya Qur an,hayo ni mawazo ya IMAM SHAFFii,kutokana na uhalisia wa mtoto wa nje ya ndoa,naona umetafuta point of weakness ili uweze kuishambulia,pole sana ndugu yangu..
 
Mohamed Said ndugu yangu sisi tunakuthamin sana,na haya maarifa tunachofanya tunayachukua na kuwafikishia wengine ambao wamekosa fursa ya kukutana nawewe hapa,tunakuwa kama mabalozi wao,na tunawafikishia wao kama yalivyo hatuongez wala hatupunguz,na sisi abadan asilan hatuwez ondoa miguu yetu hapa labda ukiondoka wewe kwanza,
Tunakuthamin sana al akhiy...

The Big Show,

Ahsante ndugu yangu.

Allah atuzidishie ilm.
Amin
 
Well,hayo anayoyasema Moh Said si maneno ndani ya Qur an,hayo ni mawazo ya IMAM SHAFFii,kutokana na uhalisia wa mtoto wa nje ya ndoa,naona umetafuta point of weakness ili uweze kuishambulia,pole sana ndugu yangu..

The Big Show,
Ndugu yangu tusiendeleze tena mjadala huu kuna hatari ya Allah kutukanwa
na sisi ndiyo tutakuwa masuul.
 
Sheikh Mohammed Said,

Umemtaja huyo Sheikh Nassir wa pale Bagamoyo. Ana nduguye/Cousin wake akiitwa Bwana Maembe Bin Mohammed Bin Mzaham. Huyu Bwana nae pia alikua mmojawapo wa wanaharakati vinara wa kupigania Uhuru kwa pale Bagamoyo.
Nyerere
aliwahi kumtia ndani kwa takriban miaka miwili siku zile za "Uhujumu wa Uchumi". Kisa chake ati alikua na boat/mashua mbili za kuvulia samaki pale Bagamoyo!?ahaha!!
Alipotoka kizuizini huyu Bwana, haikupita muda akafariki maana alidhoofika mno na utu uzima na vitimbi vilomkuta huko jela.

Sasa ukifikiria kulikua na wale mabaniani kina J.W.Ladwa pale Upanga...walikua na visa na vitimbi viso mfano tangia "enzi ya Mwalimu" na mpaka kesho,lakini hakuna alowahi kuwakurubia wala kuwagusa asilan!?

Haina neno ndo kilimwengu.

Ahsanta.
GS, mbona hoja yako dhaifu sana Mkuu! Hapa unataka kutuaminisha kuwa kutiwa ndani kwa huyo Sheikh ni kwa sababu ya dini yake? Mbona wengi tu walitiwa ndani nyakati hizo? Mbona hata baadhi ya Mabaniani walikimbilia Canada kuepuka Kampeni ya Uhujumu uchumi enzi zile? Waama kwako wewe ni hadi Ladwa angekamatwa ndio ungeona ile Kampeni haikuwa 'kumkomoa' Sheikh Muislamu? Mbina wapo wengi tu ambao sio Waislamu ambao pia waliwekwa ndani na baada ya kuachiwa tu walifariki? Mbona hata leo wapo waliokwapua pesa za EPA na wakakiri na Rais akawatangazia msamaha ikiwa watalipa hizo pesa?
Gombesugu, kwa kweli sikutarajia kama unaweza kuleta hoja dhaifu kama hii; tukisema kuwa wengine wenu mnaongozwa na imani zenu za kidini na chuki ya kidini kwa Mwalimu Nyerere ktk mnakasha huumnabisha.
Nasikitika leo nimerudi kwenye huu mnakasha ba nikakutana na comment dhaifu kama hii, tena kutoka kwa mtu ambaye angalau ameelimika.
 
Naona huu mpini umekustua mpaka unachanganyikiwa mimi naelezea unyama wa Nyerere aliyowafanyia familia ya Kambona kuwaweka kizuizini wadogo zake miaka 10 bila kuwapeleka mahakamani.

Wewe unalilia na Mohamed Said, leo mwezi wa tano umeishindwa kumuumbua umebaki kutukana ovyo Mohamed Said Khabari ingine.

Tupe jibu kwa nini Nyerere aliwatesa hao wadogo zake Kambona wakati alikosana na Kambona peke yako.

Si kuwa Nyerere na kambona walikosana. Bali Nyerere hakupenda kabisa kufanya kazi na watu waliokuwa wanajiamini. Kwani yeye alijiona ni alfa na omega kwa kila jambo. na ikitokea mtu kumbishia jambo kitaaluma basi wewe ni adui wake milele.

ndio maana aliitwa HAAMBILIKI na tarbia hiyo ndio iliyopelekea tanzania kuwa miongoni mwa nchi masikini kwa sababu hakutaka kufuata ushauri wa wasomi na weledi wake.
 
GS, mbona hoja yako dhaifu sana Mkuu! Hapa unataka kutuaminisha kuwa kutiwa ndani kwa huyo Sheikh ni kwa sababu ya dini yake? Mbona wengi tu walitiwa ndani nyakati hizo? Mbona hata baadhi ya Mabaniani walikimbilia Canada kuepuka Kampeni ya Uhujumu uchumi enzi zile? Waama kwako wewe ni hadi Ladwa angekamatwa ndio ungeona ile Kampeni haikuwa 'kumkomoa' Sheikh Muislamu? Mbina wapo wengi tu ambao sio Waislamu ambao pia waliwekwa ndani na baada ya kuachiwa tu walifariki? Mbona hata leo wapo waliokwapua pesa za EPA na wakakiri na Rais akawatangazia msamaha ikiwa watalipa hizo pesa?
Gombesugu, kwa kweli sikutarajia kama unaweza kuleta hoja dhaifu kama hii; tukisema kuwa wengine wenu mnaongozwa na imani zenu za kidini na chuki ya kidini kwa Mwalimu Nyerere ktk mnakasha huumnabisha.
Nasikitika leo nimerudi kwenye huu mnakasha ba nikakutana na comment dhaifu kama hii, tena kutoka kwa mtu ambaye angalau ameelimika.

Pole sana, gombesugu, kaelezea kwa upande nana wewe tunashukuru kwa kutufahamisha unyama mwingine wa Nyerere dhidi ya mabaniani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom