Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ahsantum Al Akhiy Mohamed said.

Hapo nilipo Blue ni suala la msingi sana kuuliza ili kuweza kujiridhisha.

Tunaomba mjibu hapo yericho.


Barubaru,
Huyu mtoto huenda ana matatizo na nasema hili kwa huzuni kubwa sana.

Kaanza na kujinasibisha kuwa kazaliwa na....naogopa hata kutaja jina.

Sasa anasema kaalikwa Pentagon kama bingwa wa ugaidi na anataja majina
ya watu wa huko.

Anasema Balozi wa Marekani ndiye anasimamia kitabu chake.
Anaweka kitabu hapa jamvini nacho si kitabu si chochote.

Hapo mtu huna budi ila kwenda kwenye kichwa chake.
Huyu mtoto ni mzima?
 



La hasha,mimi nishaanza kuingia was was na huyu bwana mdogo,na ndio kwa maana mimi huwa nasema kwamba julius alikuwa bright kias chake,na hawez kuacha offspring ya sampuli hiii,
Kawaangusha sana jamaa zake wengi waliokawa wanampa backup,ama kwa hakika yericko mnakasha huu kwa sasa anauona ni mchungu,

Kama ni jukwaani basi Muhammady Ally yupo kwenye round ya saba au ya mwsho anampiga piga opponent wake kwa madaha huku watazamaji wakiendelea kuburudika na uchovu wa opponent huku benchi lake la ufundi likiwa tayar lisharusha taulo kati kati ya jukwaa,,

Jaman ni nani wa kuja kumwokoa Yericko??jahazi lake linazama huku...

ha ha ha...
 
Last edited by a moderator:

kijana haijui America na waamerica ni watu wa aina gani.

Nafikiri amepata bahati ya kualikwa kwa sababu maalum ambazo labda mwenyewe hazijui.

Tumpe pole huku tukimdarasisha tartiibu ataelewa tu.

 
Yericko,
Whats your view concerning Anti-muslims attacks which is going on now in MYANMAR,done by budhists??
Is that not TERRORISM??
As far as your book is concerned,hilo umeligusia??
Please give me the lists of your literature survey...
 
The Big Show hapo umeonyesha watoto wa madrasa hawabahatishi huyo ndio msomi wetu na watu wanampa likes nyingi halafu alienda "zero ground" ha ha haa... makubwa yakina Abu Jahal mzee Mohamed Said mungu akupe umri mrefu wanaumbuka taratibu.


Kabisa kabisa,,
Moh Said ni Habari kubwa,iache kama ilivyo,watu waliijia hii habari ya huyu jamaa kwa pupa sana,naona wanalia sasa na kusaga meno...
 

The Big Show,
Kuna post nilikweka hapa nikimtetea Yericko kuwa sie hatuna haki ya
kumsimbuliza kwa jinsi alivyozaliwa kwa kuwa hilo si kosa lake.

Nikasema hii dhulma alofanyiwa hapa duniani Allah atakuja mlipa kesho
akhera na nikasema kuwa sisi wajibu wetu ni kumfariji.

Basi angalau kama si kunishukuru angekaa kimya.
Badala yake kanitolea ufedhuli.

Hapo nikajua lipo tatizo kubwa.
 


Kweli Moh Said Mkubwa wangu,
Tatizo lipo kwa huyo kijana,tena ni tatizo kubwa sana,lisilo na kifani,
Jamii Forum ni uwanja wa ajabu sana,yani unapewa haki yako kulingana na ulichonacho kichwani mwako,na si kulingana na umati wa watu walio upande wako,mwezi wa nne huu sasa twaelekea watano,yericko yeye alidhan kama atapewa nafas ya kupumuwa au kuendelea kubwabwaja,nani angekuja kujua kama huku mwishoni kumbe yericko pishi lake la ujinga ni jingi sana??yani kwa jins pishi la ujinga la yericko lilivyo jingi mtu unaweza ukawa unalila daku swaumu yote na bado usilimalize,uthibitisho ni kuhus hicho kitabu chake cha ugaidi. Yericko tumemwomba atupatie Literature Survey zake hadi sasa hajathubutu kutamka lolote,me nina mpa pole sana,
Uwanja huu ni wa kwake yeye,beki zake zimeshindwa kukaba,amekula 7 bila,kama zile Bayern Munich Alizomtandika nazo Barcelona hivi Majuzi..!
Si mchezo,shule yericko,nenda shule,status hujengwa kwa maarifa kwenye medula oblangata,status Yericko haipatikan kwa kudandia dandia nasaba za watu hata siku moja..!!
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu nipo namalizia vitabu vyote muhimu katika somo hili:

Baada ya kummaliza John Iliffe katika A Modern History of Tanganyika na Modern Tanzanians na pia Tanganyika Under German Rule namsoma Judith Listowell sasa hivi. Pamoja na hao nasoma Tanganyika Under International Mandate, Tanzania Education Since Uhuru, TANU Yajenga Nchi: Political Development in Rural Tanzania na vingine vingi. Naweza kusema kwa uhakika wa asilimia 100 Bw. Mohammed Said ameokoteza okoteza taarifa mbalimbali akazipamba kwa lugha na masimulizi ya wazee wake na kuziita historia na akaziuza na bahati mbaya sana zimeaminiwa na wengi.
 
Ungeaanza kusahihisha na ya kwako hapo kwenye RED!
 


Mwanakijiji unazeeka vibaya sana ! hata nyeuPE kwako ni nyeusi??? Maandiko ya Mohamed Said Yanaumba sura halisi ya historia ya taifa hili...! '' katika hili naona umechagua kuwa MBISHI tuu .
 
Mwanakijiji unazeeka vibaya sana ! hata nyeuPE kwako ni nyeusi??? Maandiko ya Mohamed Said Yanaumba sura halisi ya historia ya taifa hili...! '' katika hili naona umechagua kuwa MBISHI tuu .

Ni rahisi kuuamini uongo kuliko kuutafuta ukweli!! Unajuaje kama anayosema Mohammed Said ni kweli?
 
Nimesema sana na kurudia; si Waislaam wote wanaoukubali uchochezi unaoendeshwa na watu kama Mohamed Said, Ponda na Ilunga. Hapa nanukuu maneno ya Muislaam kwa jina Ashura Rashid akimpa salaam Sheikh Ponda...

Sijaongezea wala kufuta neno.
 
Last edited by a moderator:
Ni rahisi kuuamini uongo kuliko kuutafuta ukweli!! Unajuaje kama anayosema Mohammed Said ni kweli?

mmmh kwani na wewe unapata wapi nguvu ya kuamini hivyo vitabu unavyoendelea kuvisoma? Na ukumbuke pia ni rahisi kuukana ukweli ili kuhalalisha uongo....! binafs nina uthibitisho wa anayoyasema Mohamed Said
 
Nguruvi3,Sasa suala langu ambalo nilikuuliza Waislam wa Tz bara wamewekewa Bakwata ikague na kuithinisha misaada yao kama ulivyo eleza. Suala langu nilikuuliza JE WAKRISTU ni nani anayethibiti misaada yao kutoka nje?
Si sahihi misahama hiyo kudhibitiwa na BAKWATA.Hilo ni jukumu la serikali husika. Ninachoelewa ni kuwa misaada hiyo lazima ipitie taasisi zinazojulikana na zilizosajiliwa na kama BAKWATA ndiyo inayojulikana, hilo si tatizo la serikali ni tatizo la waislam kwasababu wale BAKWATA ni waislam unless usimame hapa na kusema siyo.

Misamaha ya kodi inatumiwa vibaya na watu wa dini, narudia dini zote isipokuwa wapagani na wasioamini.
Nakaumbuka kama si Rais JK ni Mkapa aliwahi kuonyesha misaada hiyo inavyokuwa misused na taasisi.
Kwamba magari yanaingia kama ya taasisi za dini kumbe ni ya watu binafsi.

Siku zote huwa nasema misamaha ya kodi lazima iwe na udhibiti wa hali ya juu sana ili kuzuia kufujwa na baadhi ya watu. Nimekonyesha kuwa misamaha inayotolewa lets say kwa BAKWATA hutumika kwa waislam kwahiyo hakuna sababu ya kusema hilo ni jambo la uonevu.
Ndivyo ilivyo kwa imani zingine na ndio sababu nasema misamaha ni ukwepaji kodi isipokuwa ile inayodhibitiwa kikamilifu.

Umeongelea kwanini kuwe na udhibiti. Kuna jambo unalosahau hapa. Kauli na matendo ya watu vinatosha sana kuwa na shuku juu ya misaada. Nimekuuliza hivi ukisikia Maliki ametoa dollar milioni 1 kwa ajili ya maendeleo kupitia wanafunzi wake utakuwa na imani kweli. Wanafunzi hao ndio wanasema ''tafuta mtu fulani ua kwa siri'', ndio hao wanakuwa wazushi kila alfajiri hadi isha wakienda hadi China si kuitafuta elimu bali kueneza chuki na uongo.

Si kweli kuwa kuna udhibiti kwa waislam. Hivi karibuni kuna taasisi imejenga misikiti 700, visima na maji mbona hawakudhibitiwa? Kuna akina African Muslim agency na World muslim league mbona hawakuwahi kudhibitiwa.
Nenda ndani ya baadhi ya taasisi hizo uone uchafu unaofanyika halafu urudi na kuniambia hiyo ni sehemu ya Uislam.

Na mwisho huko nyuma uliongelea TAMPRO. Nadhani hii taasisi inapoteza maana yake kwa namna fulani.
Wao kama professionals wanapaswa waongoze waislam katika mambo mengi badala ya kukaa pembeni na kuwaachia wahuni wachache.

Haiwezekani siku ya Ijumaa igeuzwe siku ya fujo na maandamo bila sababu za maana wala za msingi.
Ni hawa ninaoita wahuni ndio wameshika usukani wa kupotosha watu.

TAMPRO inapaswa itumike kama msaada mzima wa kuchukua ajenda na kuziangalia, kuzitathmini na kuzifanyia kazi kiweledi bila tafrani.
Sijui hebu nieleweshe viongozi wa TAMPRO ni akina nani ili niweze kuielewa vema
Anyway ni maoni tu.

Ukisema BAKWATA ni tatizo nitakuuliza WML ilifanya nini na iliondokaje, maana mzee mzima hakujibu!
Sitetei BAKWATA ninachosema hapa ni kuwa tatizo linaonekana kama BAKWATA lakini ni zaidi ya hapo na ni kubwa sana
 

mkuu kuna wajuzi wa dhihaka humu wameenda mbali na kudai ni bora Yeriko afuate nyendo zako tu za utunzi wa "ngano" za mapenzi. Sijui ni kipi kawaza aliyenena hivi. Ila ninaomba kujua toka kwako unahisi Ndg. Yeriko yupo sahihi katika hili mpaka uandishi wake??
 
nimesema sana na kurudia; si waislaam wote wanaoukubali uchochezi unaoendeshwa na watu kama mohamed said, ponda na ilunga. Hapa nanukuu maneno ya muislaam kwa jina ashura rashid akimpa salaam sheikh ponda...


Sijaongezea wala kufuta neno.

ongeza na ya kwako...hayo hayatoshi....! Ili jua kitu kimoja hizi harakati hazijaanza leo wala jana..tatizo si mohamed said, ilunga wala ponda...tatizo la nchi hii ni mfumo kristo
 
Mzee Mwanakijiji, nilijua kimya chako kina mshindo lakini naona umeamua kufanya la maana kabisa...iko siku Mohamed Said alijaribu kupotosha ukweli katika maandishi ya John Iliffe ambayo tayari yako in black and white, ndipo nilipom"right off" kabisaa na toka siku hiyo kwangu ni mtu wa umbea na uchochezi tu, period. Hamna cha utafiti wala historia...tatizo lililomo humu ni kuwa kuna watu hawahangaiki kutafuta hivyo vitabu na kuvisoma!

Mtu unaambiwa kitabu cha Kivukoni hakijamtaja Abdulwahid Sykes na wewe kama vuvuzela vile unakurupuka na kuufanya wimbo! Kumbe kama ungefanya jitihada kidogo tu ukitafute kitabu ujisomee mwenyewe, hungekubali kudanganyika kirahisi hivyo...lakini wako watu humu, mmh! Yaani hata katika kunukuu yaliyoandikwa tayari mtu anaamua kuchakachua kwa malengo ya ajabu kabisa lakini the gullible gobble it all too hyperdeliciously without question!
 
Judith Listowell anaeleza vizuri tu kuhusu Sheikh Takadir -ambao kina Ritz wanaamini Mohammed Said ni wa kwanza kumtaja!!

Mzee Mwanakijiji. Nakumbuka suali langu la kwanza wakati naingia kwenye mnakasha huu lilielekezwa kwako. Mbona hukunijibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…