Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sheikh Farid, wznz hawana sababu za kushangaa, wanasababu za kujibu kama kilichoelelezwa ni uongo. Kwa taarifa yako nikupe kumbu kumbu kidogo kwamba wazanzibar wanakubaliana na hoja zangu.

1. Kitendo cha wao kulalamika kuwa wanaonewa na wakati huo huo wanataka kuwa na mkataba na Tanganyika ni kuelewa fika kuwa ndani ya muungano kuna mambo yanayowasaidia sana na hivyo kuiacha Tanganyika ni muhali.

2. Kiongozi wa kuvunja muungano Maalim Seif alipoulizwa na tume ya Warioba kwanini tusikutane EAC yeye alisema muungano wa EAC ni mparaganyiko hadi sasa afadhali huu wetu na pengine tutawavutia wengine kujiunga nao.
Hapa ni kuwa anatambua wazi kuwa huu muungano ni bora hata kama anataka znz ijitenge.

3. Maalim Seif ametofautiana na sera za chama chake za serikali 3 na kuendelea na na suala la mkataba.
Amekisaliti chama anachosimamia lakini usaliti wake una mipaka, kwamba si kuvunja muungano ni muungano wa mkataba.
Kuna kitu anakiona ambacho anakifahamu kupitia mkataba znz itanufaika na wala Si Tanganyika.

4. Katika kongamano la bwawani hotel mwaka 2012, aliyewakuwa waziri katika serikali ya muungano, na mwanachama wa baraza la mapinduzi sheikh Nassor Moyo alitamka katika kipaza sauti kuwa muungano unafaida hasa za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Huyu ndiye leo anaitwa fundi seremala kisa kasema muungano una faida.

5. Tarehe hiyo hiyo, Jusa Ladhu, mbunge nguli machachari aliyehudumia bunge na baraza la wawakilishi na katibu wa CUF visiwani alisema kuwa muungano una faida kwa wznz kiuchumi, kijiografia na kielimu.

6. Mansour Himid, kindaki ndaki mwingine wa znz huru naye katika siku hiyo alisimama na kupaza sauti dunia ikamsikia akisema muungano unahitajika na wala hawataki kuvunja bali kurekebisha.

7. Tume ya Wariona imekutana na wznz na ikafikia mahali kuna vurugu. Kisa ni kundi moja likitaka muungano na lingine likitaka sultan arejee kwa kupitia mlango wa uani. Hiyo ni hiari yao, ninachosema ni kuwa uwepo wa makundi hayo unaondoa hoja yako kuwa wazanzibar wakisoma...

8. Hivi karibuni, aliyekuwa waziri kiongozi na sasa waziri katika serikali ya muungano Shamsa vua akiongea na vijana wa CCM alisema muungano una manufaa hasa katika elimu ya juu, kijiografia na kusema mafuta ambayo znz inadhani yapo ni kujidanganya maana bara wameshaanza kuvuna, kwanini wao wznz wasiwe sehemu ya uvunaji huo.

9. Rais Shein amekaririwa akisema muungano unasaidi sana znz hasa suala la ulinzi na usalama na elimu ya juu.
Akaonya matatizo yatakayotokana na kuvunjika kwa muungano.
OK hizo ulizotutajia ni faida za Muungano kwa Wazanzibar, je unaweza kututajia faida za Muungano kwa Tanganyika?
(au mwanajamvi mwingine yoyote yule ajitokeze na kutufahamisha)
 
Alichokifanya Nyerere baada ya uhuru Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuhamishwa kwa masheikh na Waislamu wengine waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.
Mashuhuri miongoni mwao walikuwa: Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan
Wengine ni Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.
Lakini ukweli ulikuwa kwamba si wote katika wale waliokamatwa na kuwekwa kizuizini walijihusisha na siasa. Baadhi yao walikamatwa kwa sababu tu walikuwa wakishirikiana na wale waliodhaniwa ni wapinzani wa Nyerere.
Maalim Matar na Shariff Adnan walifungwa jela kwa sababu tu walihusika na msikiti wa Badawiy mjini Dar es Salaam ambako Sheikh Hassan bin Amir, wakati huo akichukuliwa kuwa ndiyo roho ya waumini wa Tanganyika, alikuwa ikiendesha madrasa yake kila magharibi pale msikitini.
Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba walihamishiwa Kenya, walikotoka si kwa sababu walikuwa wamejishughulisha katika harakati za kuipinga serikali, ila lakini kwa sababu walikuwa waangalizi wa msikiti wa Badawiy.
Sheikh Mzee Ali Comorian alitiwa kizuizini kwa sababu kila mara alikuwa akifuatana na Sheikh Hassan bin Amir kama vile alikuwa kivuli cha sheikh. Huenda kile kilichomfanya Nyerere kuwatia kizuizini masheikh na wengine kuhamishwa ni kufuata ule msemo wa Biblia usemao, 'yule ambae hayuko nasi basi ni dhidi yetu'.
Jinsi siasa na za Tanzania zilivyobadilika na jinsi Nyerere alivyoanza kuonesha uadui dhidi ya Waislamu kulimsikitisha sana Abdulwahid. Alishindwa kuelewa uhasama huu ulikuwa unatoka wapi. Alihisi kuwa anahusika na yale yaliyokuwa yanawapata Waislamu. Mawazo haya yalimzonga kama jinamizi. Kwa ufahamu wake alikuwa akidhani matatizo yote ya udini walikuwa wameyashinda toka miaka ya 1950. Mwaka 1953 Abdulwahid akiwa Muislamu na akiungwa mkono na Al Jamiatul Islamiyya aligombea kiti cha urais wa TAA na Nyerere, Mkatoliki.
Abdulwahid alishindwa uchaguzi ule. Waislamu hawakuuchukulia uchaguzi ule kama uchaguzi kati ya Muislamu na Mkristo. Kilichotazamwa ni uwezo wa wagombea.
Nyerere alikuwa amemzidi Abdulwahid na kwa ajili hii alichaguliwa kuiongoza TAA. Abdulwahid alikumbuka ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir wakati ule Mwenyekiti wa Baraza La Wazee wa TANU. Sheikh Takadir aliwaonya Waislamu wachukue tahadhari kwani Nyerere atakuja kuwapendelea Wakristo wenzake pale atakaposhika madaraka. Kama walivyofanya Waislamu wengi, Abdulwahid alimuunga mkono Nyerere na kumpinga Sheikh Takadir.
Wakati ule Abdulwahid aliamini kama Waislamu wengi walivyoamini kuwa Sheikh Takadir alikuwa anataka kuleta siasa za kibaguzi ambazo alikuwa anaziegemeza katika dini. Abdulwahid aliona udini aliokuwa anataka kuuleta Sheikh Takadir lilikuwa jambo ambalo lingeiletea hatari Tanganyika.
Abdulwahid alikufa mwaka 1968 wakati nchi ikiwa imegubikwa na hasama za chinichini kati ya Waislam dhidi ya serikali ya Nyerere ambae sasa alikuwa amehodhi madaraka yote katika serikali.
Umoja wa kitaifa, moja ya maadili ambayo yeye(Abdulwahid ) aliyapigania katika maisha yake yote katika siasa ulikuwa unahatarishwa. Halikadhalika umoja wa Waislamu ulikuwa unaelekea kuvunjika. Kulikuwepo na kuwekwa kizuizini kwa masheikh chini ya Preventive Dentation Act of 1962.
Baadhi ya masheikh waliotiwa gerezani walikuwa watu waliomuunga yeye mwenyewe mkono wakati anaunda TANU. Baadhi yao aliwashawishi kumuunga mkono Nyerere na TANU katika kile kipindi kigumu cha harakati za kudai uhuru. Mwanakamati wa Kamati Ndogo ya Siasa ya TAA, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kwa Waislamu alikuwa amekamatwa na kuondolewa nchini na kurudishwa kwao Zanzibar kwa amri ya Nyerere. Sababu iliyotolewa ya kukamatwa kwa Sheikh Hassan bin Amir ilikuwa alikuwa ati 'akipanga njama ya kupindua serikali'.
Sheikh Hassan bin Amir alikuwa kati ya Waislamu wachache ambao walithubutu kusimama kidete dhidi ya serikali na kutoa mawazo yake kuhusu jinsi serikali ilivyokuwa ikiwakandamiza Waislam. Kabla hajafa Abdulwahid alikuwa akifikiwa na habari kuwa Nyerere alikuwa alikuwa akiendesha kampeni makini sana ndani ya chama kuwafuta Waislamu ndani ya TANU.
Abdulwahid alikuwa anafahamu matokeo ya kuvunjika kwa umoja wa Waislam. Yeye alikuwa anajua vyema nguvu ya umoja wa Waislamu wakati walipokuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika.
Abdulwahid halikadhalika alikuwa anafahamu nguvu ya wale waliokuwa nyuma na njama zile za kuwagawa Waislamu katika makundi hasimu. Vilevile alikuwa anatambua hofu na watu wote waliokuwa nyuma ya njama zile.
Alifahamu kuwa wale aliowapokea na kuwatia katika harakati za kudai uhuru sasa walikua na hofu na Uislam. Kama Uislamu ulitumika kuwaondoa wakoloni Uislam hautashindwa kuwatoa wao madarakani. Uislam ikiwa itkadi ya kupinga ukoloni sasa ilikuwa ni tishio kwa Ukristo katika Tanzania huru.
Kabla hajafariki dunia Abdulwahid alifanya mazungumzo na Nyerere. Mazungumzo haya baina ya Abdulwahid na Nyerere yalifanyika katika miezi ya mwisho ya mwaka 1968 wakati mashekhe na Waislamu mashuhuri wanasombwa na kutupwa gerezani. Abdulwahid na Nyerere walikuwa wametoka mbali. Watu hawa walikuwa marafiki wa zamani. Huenda kama isingelikuwa kwa msaada wa Abdulwahid historia ya TANU na ya Nyerere mwenyewe zingechukua mkondo tofauti.
Mazungumzo haya yalikuwa muhimu kwa Abdulwahid kwa sababu kwa kiasi fulani alihisi anahusika na yale yaliyokuwa yakiwasibu Waislamu, wale kutoka Dar es Salaam. Taarifa za Waislamu kukamatwa usiku na kuwekwa kizuizini zilikuwa zikimfikia karibu kila siku. Abdulwahid hakuweza kujifanya kuwa haathiriki na matokeo yale. Baadhi ya watu ambao Nyerere alikuwa anawatupa gerezani walikuwa watu ambao yeye Abdulwahid binafsi walimuunga mkono wakati anaanza siasa na watu ambao aliwashawishi wamkubali Nyerere wakati wa kuundwa TANU.
Abdulwahid alimwambia Nyerere huenda yeye akawa hana hisia wala uhusiano wowote na watu ambao yeye anatia sahihi wakamatwe na kutupwa gerezani. Lakini kwake yeye hao ni jamaa zake anaokutananao ama msikitini au mitaani. Yeye kama mtu anayeishi miongoni mwa Waislamu na zile familia zao alikuwa anaelewa majonzi yao.
Abdulwahid alimwambia Nyerere kwamba watu wale wanajua kuwa yeye, Abdulwahid ndiye aliyesamsaidia Nyerere wakati akiwa mgeni mjini Dar es Salaam, watu wakamjua na kumkubali na hivyo kuja kuweza kufika hapo alipofika.
Abdulwahid alimwambia Nyerere kuwa ndugu na jamaa za wafungwa wale wanamjia wakimbembeleza amsihi Nyerere awatoe ndugu zao jela. Abdulwahid alimwambia Nyerere kwamba kule kuwatia watu kizuizini ni uonevu kwa sababu wale watu hawana uwezo wa kupindua serikali yake.
Kwa sauti ya masikitiko Abdulwahid alimaliza maelezo yake kwa kumwambia Nyerere 'Naondoka hapa nikiwa nataka kuamini kuwa wewe Julius Nyerere, leo hujatugeuka.' Kwa maneno hayo Abdulwahid aliaga na kuondoka.
Alichosikia Nyerere kuhusu Abdulwahid baada ya maneno yale ilikuwa taarifa ya kifo chake jioni moja Jumamosi tarehe 12 Oktoba, 1968. Mkewe Mama Maria Nyerere, alizirai aliposikia habari zile za msiba. Alikuwa Abdulwahid ndiye aliyewapokea yeye na mume wake mara ya kwanza walipokuja Dar es Salaam.

ITAENDELEA....
 
Sideeq,
Faida mojawapo ya muungano kwa Tanganyika ni kwamba Zanzibar haiwezi kutumiwa na wale wasioitakia mema Tanganyika kama kituo cha kuleta chokochoko na vurugu. Hiyo peke yake ni sababu inayotosha ya kudumisha muungano huu.
 
Funguka!

Ulimsoma nguruvi wakati akielezea faida za Muungano kwa Wazanzibar? alikuwa akizielezea kwa details!
 
Mzee MS; Very well said. Sasa using the same surgical blade, i ask you to describe how "ISLAM and Mosques" opposed Nyerere through Zuberi Mtemvu and his team. At the end of that description please also add a footnote of where these Muslim opposers were educated. Go ahead.

Wickama,
Mtemvu hakupinga kujikomboa kutoka ukoloni.
 
Wale wataalam wa ghahawa inapatikana wapi mida hii hapa karikakoo?

Nikikosa hiyo hata supu ya pweza tu yakhee!
 
Mkuu,

Me maono yangu ni kwamba bado wanajidanganya mara ngapi wazanzibar wamedai kujitoa lakini vitisho na kuwauwa na kuwaweka chini ya ulinzi wengine ama vifungo vya ndani kwa kutaka kuuvunja muungano kama ni mzigo wazanzibar wameonesha ishara za dhati kutaka kujitenga lakini sijasikia na kushuhudia hata mara moja watanganyika(watanzania) wanaandamana ama wanapinga kuhusu muungano sijawahi kuona hadi hii leo.

Halafu mwengine anakuja anasema TANGANYIKA inachangia kiasi fulani iko wapi hiyo tanganyika yenyewe ifufueni kwanza, halafu sisi tunajuaje kama tanganyika inachukua mara mbili (Tanganyika + Tanzania) ndo maana tunasema yamuungano yawe ya muungano ya tanganyika ilokufa yawe ya tanganyika

Pia kama mlijua nchi ni ndogo na bado munajua kama ni ndogo kama sehemu ya ilala kwanini bado mupo nao pamoja ingieni barabarani mupinge na nyinyi TUMECHOKA KUONA ZANZIBAR YETU BILA YA MAENDELEO.

Mkuu Nguruvi umemsoma huyu jamaa hapa wazanzibar kila siku wanalia na muungano na nakukumbusha kitu kimoja muhimu sijui mwenzangu ulishawahi kukisoma kitabu cha rais mstaafu Abdu Jumbe kinaitwa (The partnership)nenda kasome hicho kitabu ndio utaujua ukweli wa mambo kuhusu nani anang'ang'ania na ndio utamjua Nyerere alikuwa na mpango gani kuhusu wazanzibari. ahsante tuendelee na mnakasha
 
Alichokifanya Nyerere baada ya uhuru Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuhamishwa kwa masheikh na Waislamu wengine waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.
Mashuhuri miongoni mwao walikuwa: Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan
Wengine ni Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.
Lakini ukweli ulikuwa kwamba si wote katika wale waliokamatwa na kuwekwa kizuizini walijihusisha na siasa. Baadhi yao walikamatwa kwa sababu tu walikuwa wakishirikiana na wale waliodhaniwa ni wapinzani wa Nyerere.
Maalim Matar na Shariff Adnan walifungwa jela kwa sababu tu walihusika na msikiti wa Badawiy mjini Dar es Salaam ambako Sheikh Hassan bin Amir, wakati huo akichukuliwa kuwa ndiyo roho ya waumini wa Tanganyika, alikuwa ikiendesha madrasa yake kila magharibi pale msikitini.
Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba walihamishiwa Kenya, walikotoka si kwa sababu walikuwa wamejishughulisha katika harakati za kuipinga serikali, ila lakini kwa sababu walikuwa waangalizi wa msikiti wa Badawiy.
Sheikh Mzee Ali Comorian alitiwa kizuizini kwa sababu kila mara alikuwa akifuatana na Sheikh Hassan bin Amir kama vile alikuwa kivuli cha sheikh. Huenda kile kilichomfanya Nyerere kuwatia kizuizini masheikh na wengine kuhamishwa ni kufuata ule msemo wa Biblia usemao, 'yule ambae hayuko nasi basi ni dhidi yetu'.
Jinsi siasa na za Tanzania zilivyobadilika na jinsi Nyerere alivyoanza kuonesha uadui dhidi ya Waislamu kulimsikitisha sana Abdulwahid. Alishindwa kuelewa uhasama huu ulikuwa unatoka wapi. Alihisi kuwa anahusika na yale yaliyokuwa yanawapata Waislamu. Mawazo haya yalimzonga kama jinamizi. Kwa ufahamu wake alikuwa akidhani matatizo yote ya udini walikuwa wameyashinda toka miaka ya 1950. Mwaka 1953 Abdulwahid akiwa Muislamu na akiungwa mkono na Al Jamiatul Islamiyya aligombea kiti cha urais wa TAA na Nyerere, Mkatoliki.
Abdulwahid alishindwa uchaguzi ule. Waislamu hawakuuchukulia uchaguzi ule kama uchaguzi kati ya Muislamu na Mkristo. Kilichotazamwa ni uwezo wa wagombea.
Nyerere alikuwa amemzidi Abdulwahid na kwa ajili hii alichaguliwa kuiongoza TAA. Abdulwahid alikumbuka ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir wakati ule Mwenyekiti wa Baraza La Wazee wa TANU. Sheikh Takadir aliwaonya Waislamu wachukue tahadhari kwani Nyerere atakuja kuwapendelea Wakristo wenzake pale atakaposhika madaraka. Kama walivyofanya Waislamu wengi, Abdulwahid alimuunga mkono Nyerere na kumpinga Sheikh Takadir.
Wakati ule Abdulwahid aliamini kama Waislamu wengi walivyoamini kuwa Sheikh Takadir alikuwa anataka kuleta siasa za kibaguzi ambazo alikuwa anaziegemeza katika dini. Abdulwahid aliona udini aliokuwa anataka kuuleta Sheikh Takadir lilikuwa jambo ambalo lingeiletea hatari Tanganyika.
Abdulwahid alikufa mwaka 1968 wakati nchi ikiwa imegubikwa na hasama za chinichini kati ya Waislam dhidi ya serikali ya Nyerere ambae sasa alikuwa amehodhi madaraka yote katika serikali.
Umoja wa kitaifa, moja ya maadili ambayo yeye(Abdulwahid ) aliyapigania katika maisha yake yote katika siasa ulikuwa unahatarishwa. Halikadhalika umoja wa Waislamu ulikuwa unaelekea kuvunjika. Kulikuwepo na kuwekwa kizuizini kwa masheikh chini ya Preventive Dentation Act of 1962.
Baadhi ya masheikh waliotiwa gerezani walikuwa watu waliomuunga yeye mwenyewe mkono wakati anaunda TANU. Baadhi yao aliwashawishi kumuunga mkono Nyerere na TANU katika kile kipindi kigumu cha harakati za kudai uhuru. Mwanakamati wa Kamati Ndogo ya Siasa ya TAA, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kwa Waislamu alikuwa amekamatwa na kuondolewa nchini na kurudishwa kwao Zanzibar kwa amri ya Nyerere. Sababu iliyotolewa ya kukamatwa kwa Sheikh Hassan bin Amir ilikuwa alikuwa ati 'akipanga njama ya kupindua serikali'.
Sheikh Hassan bin Amir alikuwa kati ya Waislamu wachache ambao walithubutu kusimama kidete dhidi ya serikali na kutoa mawazo yake kuhusu jinsi serikali ilivyokuwa ikiwakandamiza Waislam. Kabla hajafa Abdulwahid alikuwa akifikiwa na habari kuwa Nyerere alikuwa alikuwa akiendesha kampeni makini sana ndani ya chama kuwafuta Waislamu ndani ya TANU.
Abdulwahid alikuwa anafahamu matokeo ya kuvunjika kwa umoja wa Waislam. Yeye alikuwa anajua vyema nguvu ya umoja wa Waislamu wakati walipokuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika.
Abdulwahid halikadhalika alikuwa anafahamu nguvu ya wale waliokuwa nyuma na njama zile za kuwagawa Waislamu katika makundi hasimu. Vilevile alikuwa anatambua hofu na watu wote waliokuwa nyuma ya njama zile.
Alifahamu kuwa wale aliowapokea na kuwatia katika harakati za kudai uhuru sasa walikua na hofu na Uislam. Kama Uislamu ulitumika kuwaondoa wakoloni Uislam hautashindwa kuwatoa wao madarakani. Uislam ikiwa itkadi ya kupinga ukoloni sasa ilikuwa ni tishio kwa Ukristo katika Tanzania huru.
Kabla hajafariki dunia Abdulwahid alifanya mazungumzo na Nyerere. Mazungumzo haya baina ya Abdulwahid na Nyerere yalifanyika katika miezi ya mwisho ya mwaka 1968 wakati mashekhe na Waislamu mashuhuri wanasombwa na kutupwa gerezani. Abdulwahid na Nyerere walikuwa wametoka mbali. Watu hawa walikuwa marafiki wa zamani. Huenda kama isingelikuwa kwa msaada wa Abdulwahid historia ya TANU na ya Nyerere mwenyewe zingechukua mkondo tofauti.
Mazungumzo haya yalikuwa muhimu kwa Abdulwahid kwa sababu kwa kiasi fulani alihisi anahusika na yale yaliyokuwa yakiwasibu Waislamu, wale kutoka Dar es Salaam. Taarifa za Waislamu kukamatwa usiku na kuwekwa kizuizini zilikuwa zikimfikia karibu kila siku. Abdulwahid hakuweza kujifanya kuwa haathiriki na matokeo yale. Baadhi ya watu ambao Nyerere alikuwa anawatupa gerezani walikuwa watu ambao yeye Abdulwahid binafsi walimuunga mkono wakati anaanza siasa na watu ambao aliwashawishi wamkubali Nyerere wakati wa kuundwa TANU.
Abdulwahid alimwambia Nyerere huenda yeye akawa hana hisia wala uhusiano wowote na watu ambao yeye anatia sahihi wakamatwe na kutupwa gerezani. Lakini kwake yeye hao ni jamaa zake anaokutananao ama msikitini au mitaani. Yeye kama mtu anayeishi miongoni mwa Waislamu na zile familia zao alikuwa anaelewa majonzi yao.
Abdulwahid alimwambia Nyerere kwamba watu wale wanajua kuwa yeye, Abdulwahid ndiye aliyesamsaidia Nyerere wakati akiwa mgeni mjini Dar es Salaam, watu wakamjua na kumkubali na hivyo kuja kuweza kufika hapo alipofika.
Abdulwahid alimwambia Nyerere kuwa ndugu na jamaa za wafungwa wale wanamjia wakimbembeleza amsihi Nyerere awatoe ndugu zao jela. Abdulwahid alimwambia Nyerere kwamba kule kuwatia watu kizuizini ni uonevu kwa sababu wale watu hawana uwezo wa kupindua serikali yake.
Kwa sauti ya masikitiko Abdulwahid alimaliza maelezo yake kwa kumwambia Nyerere 'Naondoka hapa nikiwa nataka kuamini kuwa wewe Julius Nyerere, leo hujatugeuka.' Kwa maneno hayo Abdulwahid aliaga na kuondoka.
Alichosikia Nyerere kuhusu Abdulwahid baada ya maneno yale ilikuwa taarifa ya kifo chake jioni moja Jumamosi tarehe 12 Oktoba, 1968. Mkewe Mama Maria Nyerere, alizirai aliposikia habari zile za msiba. Alikuwa Abdulwahid ndiye aliyewapokea yeye na mume wake mara ya kwanza walipokuja Dar es Salaam.

ITAENDELEA....

Ndugu yangu,

Hiki unachokiongea hapa ni kwasababu tu ya ufinyu wa uelewa!

Katika upuuzi wako huu unajichanganya mwenyenyewe, mara ukubali mara ukatae kuwa hawakuwa waasi,

Mfano unaposema kuna wengine walikuwa "hawahusiki" na wengine walikuwa "wanahusika". Je unajua maana ya maelezo haya yako?

Ndugu yangu Ritz, nikufahamishe tu kuwa idara ya usalama wa taifa chini ya mwalimu Nyerere hasa miaka mitano baada ya uhuru ilikuwa ndicho chombo imara kabisa cha ujasusi barani afrika!

Taarifa zozote zilizofika mezani pa Mwalimu Nyerere toka ndani ya idara hiyo zinazohusu usalama wa Taifa letu zilikuwa ni HAKIKA kwa 100%!

Wewe unapata wapi kukosoa kuwa kazi hiyo nzuri ya idara ya usalama wa taifa ilikuwa na mapungufu kwakuwa "watu flani hawakuwa waasi na watu flani walikuwa waasi?"

Kwakukujuza zaidi nikuwa idara yetu ya usalama wa taifa ilikuja kuharibiwa 1996 baada ya mabadiliko ya sheria na kuinda upya hii ya kifedhuri unayoiona leo!

Mtazania yeyote aliyekumbana na sheria ya kuwekwa kizuizini kwa madai ya kutaka kuipindia serikali taarifa zake zilikuwa sahihi kwa 100%

Au ulitaka mpaka wapindue ndipo useme kweli walitaka kupindua?

Porojo za kipuuzi na kichochezi lazima tutazipinga nakukufunda upya!
 
Mkuu Ritz, nini chanzo cha taarifa nyeti na yakusisimua hivi?
 
Mkuu Ritz, nini chanzo cha taarifa nyeti na yakusisimu hivi?

Ndugu yangu kupika uongo ni kazi sana, hasa kama unaowapikia wamekuzidi maarifa, lakini ukikutana na wajinga ni rahisi kama kuhadhiri Ibadan kuwa Balozi wa USA alilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nikweli ni habari nyeti na yakusisimua na yakufikirika na ni ngano maridhawa!

Chanzo ni Radical Muslims chini ya Mohamed Said & Co
 
WEWE mgeni nini humu?? chanzo kitakuwa mohamed said hakuna mwingine

Unajua mkuu baadhi ya watu hapa jf wakifungua uzi kuusoma huwa wanaanzia post ya mwisho, hivyo jamaa kaanza tu kusoma kakutana na hisia za muungwana Ritz

Lakini akitulia na kusoma uzi halisi na kupitia nondo zote atapembuka tu
 
Hapana mkuu Yericko, ni busara ya kawaida tu kuuliza kwa mleta habari badala ya kumlisha taarifa. Mwacheni anijibu yeye na sio mpendavyo nyie.
 
Sideeq,
Faida mojawapo ya muungano kwa Tanganyika ni kwamba Zanzibar haiwezi kutumiwa na wale wasioitakia mema Tanganyika kama kituo cha kuleta chokochoko na vurugu. Hiyo peke yake ni sababu inayotosha ya kudumisha muungano huu.

Hizo chokochoko ni lazima zipitie z'bar kuja tanganyika vipi kuhusu burundi,kenya, zambia,malawi, rwanda,msumbiji, drc congo na uganda haziwezi kupitia huko
 
The issue si kufukuzwa jeshini. The issue ni Nyerere kutosomesha watoto wake kama ulivyodai. Nakupa ushauri wa bure. Kama huna hakika na jambo afadhali unyamaze kuliko kujidhalilisha mbele ya kadamnasi kwa kusema vitu ambavyo huna hakika navyo. Anna Amesoma Carlton University, Canada mwaka 1975. Nyerere alikuwa ameondoka mamlakani wakati huo? Na Makongoro je? Magige? Madaraka? Uliwasomesha wewe baada ya Nyerere kutoka mamlakani? Andrew amesoma pale Aga Khan kabla haijabadilishwa jina na kuitwa Tambaza. Watoto wote wa Mwalimu wamesoma shule za sekondari za Tanzania. Kuna watu hapa wamesoma nao watajitokeza wakwambie. Unaniambia mimi nichunguze? Nichunguze kitu ambacho nakifahamu asilani? Nakupa ushauri wa bure. Kama huna hakika na jambo, ama uliza au kaa kimya kuliko kujiaibisha mbele ya kadamnasi kwa uwongo wa mchana kweupe.

Jasusi,
Kwa bahati sana mimi nimefanya masters yangu hapo hapo Carlton University miaka ya mwishoni mwa 80's lakin sijapatapo kusikia habari kama hiyo. Na kwa kuwa ni mwanafunzi wa pale nimejaribu kuingia kwenye mail ya Hapo na kuangalia waTz waliwahi kusomea hapo toka 1973 - 1990, sijaona jina lake Anna wala Nyerere. lakin ya wengine yote nimeyaaona. Nakuuliza tena una uhakika? maana yake wana Carleton wote wamo ndani ya DB naye sijapatapo kusikia jina hilo. na kama utapenda naweza print majina yote ya waTz waliosomea hapo toka 1973-1990 kwa faida ya wengi ili tuone alitumia jina gani.

Tujaalie kuwa ni kweli alisomea huko Canada. Suala la kujiuliza alishindwa nini kujiunga na UDSM wakti huo mpaka kwenda huko? au ndio yale yale TV ni hanasa kwa wananchi wangu wakti mwenyewe umeweka ungo mkuuuubwa nyumbani kwako?
 
Ndugu yangu,

Hiki unachokiongea hapa ni kwasababu tu ya ufinyu wa uelewa!

Katika upuuzi wako huu unajichanganya mwenyenyewe, mara ukubali mara ukatae kuwa hawakuwa waasi,

Mfano unaposema kuna wengine walikuwa "hawahusiki" na wengine walikuwa "wanahusika". Je unajua maana ya maelezo haya yako?

Ndugu yangu Ritz, nikufahamishe tu kuwa idara ya usalama wa taifa chini ya mwalimu Nyerere hasa miaka mitano baada ya uhuru ilikuwa ndicho chombo imara kabisa cha ujasusi barani afrika!

Taarifa zozote zilizofika mezani pa Mwalimu Nyerere toka ndani ya idara hiyo zinazohusu usalama wa Taifa letu zilikuwa ni HAKIKA kwa 100%!

Wewe unapata wapi kukosoa kuwa kazi hiyo nzuri ya idara ya usalama wa taifa ilikuwa na mapungufu kwakuwa "watu flani hawakuwa waasi na watu flani walikuwa waasi?"

Kwakukujuza zaidi nikuwa idara yetu ya usalama wa taifa ilikuja kuharibiwa 1996 baada ya mabadiliko ya sheria na kuinda upya hii ya kifedhuri unayoiona leo!

Mtazania yeyote aliyekumbana na sheria ya kuwekwa kizuizini kwa madai ya kutaka kuipindia serikali taarifa zake zilikuwa sahihi kwa 100%

Au ulitaka mpaka wapindue ndipo useme kweli walitaka kupindua?

Porojo za kipuuzi na kichochezi lazima tutazipinga nakukufunda upya!

Naona huo mpini umekuingia sawa sawa mpaka umepoteza uwezo kusoma usipanic tulizana kunywa glasi moja ya sharbati munkari utapungua.

Huo mpini unaendelea kwa kukusaidia tu kiduchu Masheikh wengine walikuwa hawahusiki na mambo ya siasa kabisa wao walikuwa kazi yao kufundisha dini tu wakajikuta wamekamatwa.

Nimecheka sana unavyoelezea usalama wa taifa kwa faida ya wanaukumbi tufahamishe hao usalama wa Nyerere walitumia vigezo gani kuwaweka kizuizini vijana wawili wadogo zake Oscar Kambona, kina Otman Kambona, miaka kumi jela bila kuwafikisha mahakamani.

Wametoka baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand kumuomba Nyerere hawatoe kifungoni, mmoja anatoka jela na maradhi muda mfupi akafariki.

Wewe ni mtupu sana kwenye historia ya Tanganyika.
 
History is so beautiful!!
Lipo moja ambalo naling'amua katika mnakasha huu. Ilikuwepo misuguano mingi sana wakati wa uhuru na baada ya uhuru. Lakina naomba niulize ili nijifunze. Mojawapo ya hotuba ya Baba wa Taifa aliutangazia umma waziwazi kuwa, hakuwa na taarifa sahihi juu ya ukatoliki wa mawaziri wake. Hii ilikuja baada ya watu kadhaa kuanza kumhusisha na upendeleo kwa wakatoliki wenzake.
MASWALI:
1. JE, BABA WA TAIFA ALIKUWA NA MAHUSIANO GANI NA KANISA KATOLIKI (Nje na kuwa muumini wa kanisa hilo)
2. JE, MWALIMU ALIKUWA NA UPENDELEO WOWOTE KWA WAKRISTO KATIKA UTENDAJI WAKE?
3. MWALIMU ALIWAOMBA MAASKOFU NA MAKANISA WARIDHIE SHULE ZILIZO CHINI YA MAKANISA ZIWE ZA UMMA ILI WANANCHI WOTE WAFAIDIKE KWAZO. Je, hii haitoshi kuonesha uzalendo wake?
Nawatakia Mnakasha murua..
 
Hizo chokochoko ni lazima zipitie z'bar kuja tanganyika vipi kuhusu burundi,kenya, zambia,malawi, rwanda,msumbiji, drc congo na uganda haziwezi kupitia huko

Amesahau kuwa Zanzibar hakuna waasi kama m23, alqaeda, nkunda, LRA na wengne.. Kisiwa cha amani..
 
Cool Runnings,

This is the second time you try to seek attention. It seems that you are reading me too much. Well,I responded to you only once and this is the last.

I like offering candy as reward to a small child like you, for acting big and kind of like you know everything. You really do write the biggest pile of random sh1t on here. Your words means nothing.

The reality is; it's what you feel on inside that you manifest on the outside...the end result for you is a lost person/an Idiot and a sad spectacle.

Your attitude is garbage. There will always be a$$holes, pompous nutters but I can out number all of you and over power your Clan through decency and kindness....HATE away!!

Ciao.

Cc;Ritz,

THE BIG SHOW likes this.
gombesugu, mpaka dakika hii nashindwa kuamini ni wewe umeandika hayo maneno...ingawaje hayakulengwa kwangu lakini!...Anyway, hayo tuyaache. gombesugu, kumbuka humu kuna watu aina mbili; wanaofyonza ilmu kutoka kwa mtoa darsa Mohamed Said bila kuhoji na wale wanaozipokea kwa tahadhari huku wakihoji ukweli wake na zipo nyakati mtoa darsa amekuta kumbe ni yeye anapewa darsa!

Hapo nyuma nimewahi kuelezea kuhusu chaguzi mbili zilizofanyika Zanzibar mwaka 1961 na mwaka 1963 na kuambatanisha matokeo. Ajabu ni kwamba hata wewe gombesugu umeungana na wameza ngano kudai ushahidi lakini hapo hapo humu ndani hata mara moja sijakushuhudia ukihoji simulizi za maAl Akhiy @ Mohamed Said au Ritz, kulikoni A Akhiy gombesugu?

Sasa ngoja nikupe somo kidogo kuhusu visiwani; uchaguzi wa kwanza kabisa Afrika Mashariki na Kati ulifanyika Zanzibar mwaka 1957. Vyama vikuu vilivyoshiriki vilikuwa viwili, ZNP na ASP pamoja na chama kidogo cha MA. ZNP Zanzibar Nationalist Party kilikuwa cha wakoloni wa Kiarabu, ASP AfroShirazi Party kama jina lake kiliwakilisha Waafrika na Washirazi na MA, Muslim Association kiliwawakilisha Waislaam wa Kiasia. Huu ulikuwa ni uchaguzi wa kuwapata wajumbe sita wa LEGCO visiwani na haya ndio yalikuwa matokeo;

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 408"]
Party
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
% of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Seats (6)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD]
21,632
[/TD]
[TD]
61.17%
[/TD]
[TD]
5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD]
7,761
[/TD]
[TD]
21.95%
[/TD]
[TD]
-
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Muslim Association (MA)
[/TD]
[TD]
5,968
[/TD]
[TD]
16.88%
[/TD]
[TD]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Matokeo ya Uchaguzi huu ndio yalioutia hofu utawala wa Sultani kwani hawakuambulia kiti hata kimoja. Mbinu zikatumika za kukipunguzia nguvu chama cha ASP na sheria zikatungwa kuhusu chaguzi zitakazofuatia. Matokeo ni kwamba chama cha ASP ikameguka na ZPPP, Zanzibar and Pemba Peoples Party ikazaliwa mwaka 1959! Katika uchaguzi wa LEGCO uliofuatia terehe 17 January 1961 matokeo yakawa haya;

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 408"]
Party
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
% of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Seats (22)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD]
36,698
[/TD]
[TD]
43.19%
[/TD]
[TD]
10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD]
32,724
[/TD]
[TD]
38.52%
[/TD]
[TD]
9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Zanzibar and Pemba People's Party (ZPPP)
[/TD]
[TD]
15,541
[/TD]
[TD]
18.29%
[/TD]
[TD]
3
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Pamoja na ASP kushinda, ZNP na ZPPP zikaunganisha nguvu kuipokonya ushindi kwa kupata jumla ya viti 12 dhidi ya 10 za ASP! Katika uchaguzi wa LEGCO wa tarehe 1 June 1961...matokeo ya uchaguzi huu yalikuwa kama ifuatavyo;

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 408, colspan: 2"]
Party/[Coalition]
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
% of Votes
[/TD]
[TD="width: 106, colspan: 2"]
Number of Seats (23)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Zanzibar Nationalist Party-Zanzibar and Pemba People's Party
[ZNP-ZPPP]
[/TD]
[TD]
44,092
[/TD]
[TD]
49.40%
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD]
(31,681)
[/TD]
[TD]
(35.49%)
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]
(10)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Zanzibar and Pemba People's Party (ZNPP)
[/TD]
[TD]
(12,411)
[/TD]
[TD]
(13.90%)
[/TD]
[TD]
(3)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD]
45,172
[/TD]
[TD]
50.60%
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
10
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Haya matokeo yalipokewa kwa mshangao mkubwa kwani ZNP iliyopata kura 31,681 ikapata viti sawa na ASP iliyopata kura 45,172! Hali hii ilisababisha tafrani na kusababisha ZNP nayo kumeguka na chama kipya cha UMMA Party kikazaliwa. Katika Uchaguzi Mkuu wa Bunge uliofanyika tarehe 8-11 July 1963, UMMA party iliamua kuiunga mkono ASP huku ZNP nayo ikiendelea kushirikiana na ZPPP. Matokeo ya huo uchaguzi ulikuwa kama ifuatavyo;

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 408, colspan: 2"]
Party/[Coalition]
[/TD]
[TD="width: 106"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 106"]
% of Votes
[/TD]
[TD="width: 106, colspan: 2"]
Number of Seats (31)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Zanzibar Nationalist Party-Zanzibar and Pemba People's Party
[ZNP-ZPPP]
[/TD]
[TD]
73,559
[/TD]
[TD]
45.79%
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
18
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD]
(47,950)
[/TD]
[TD]
(29.85%)
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]
(12)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Zanzibar and Pemba People's Party (ZNPP)
[/TD]
[TD]
(25,609)
[/TD]
[TD]
(15.94%)
[/TD]
[TD]
(6)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD]
87,085
[/TD]
[TD]
54.21%
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
13
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Astaghfirullah! Kura 87,075 za ASP sawa na asilimia 54.21% viti 13 lakini kura 73, 559 za ZNP&ZPPP sawa na asilimia 45.79% viti 18! Wananchi gani wangevumilia kutapeliwa hivi na wakoloni wa Kiarabu eti mradi wamemtafuta msaliti moja wakampa Uwaziri Mkuu! Lilikuwa ni swali tu la lini atokee jasiri moja wa kumkabili Sultani na kumfungasha virago…kwa bahati nzuri mtu huyo hakuwa mbali na hakuwa mwingine bali Field Marshal John Okello!

Je, chaguzi hizi zilifanyika? Je matokeo yalikuwa kama nilivyoorodhesha? Je Sultani Sayyid Sir Jamshid bin Abdullah Al Said hakutimuliwa Zanzibar?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom