Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu wangu Ritz, mie sio mtafiti na wala sikusudii kuandika kitabu, nataka kufyonza ilm hapa na isitoshe sina rasilimali za kunifikisha huko Tabora hata kama ningependa kufanya hivyo! Mkuu, tupeane taarifa hapahapa kama inawezekana.

bilal waikera na shekh ponda walivyotoa ushahidi wao mahakamani majuzi


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MZEE Bilali Rehan Waikela(87), ameiambia Mahakamaya Hakimu Mkazi Kisutu,Jijini Dar es Salaam kuwa,kuuzwa ardhi ya Waqfu,Markazi Chang'ombe niaibu na dhulma kubwa dhidi ya Waislamu nchini.

Mzee Waikela, amesemahayo Jumatano wiki hii mbele ya Hakim Mkazi waMahakama hiyo Bi. Victoria Nongwa, wakati akitoaushahidi wake katika kesiya jinai namba 245/2012,inayomkabili Sheikh PondaIssa Ponda na wenzake.Akiongozwa na mawakiliwa upande wa utetezi Bw.Juma Nassoro na Yahya Njama, Mzee Waikelaaliiomba Mahakama hiyokuirudisha ardhi hiyo kwaWaislamu, kwani BAKWATAwamefanya dhambi kubwakwa hatua yao ya kuiuza hukuwakijua mali ya waqfu nainahitaji kufanyiwa uadilifu."Naiambia Mahakamakuwa aibu iliyofanyikani kubwa kwa mujibu waDini yetu, labda wapaganindiyo wanaweza kufanyahivyo. Naiambia Mahakamawairudishe ardhi hiyo kwaWaislamu, kwani hatuawaliyoichukuwa si sahihi."Alisema Mzee Waikela.Mzee Waikela ambayeni mmoja wa waasisi waChama cha siasa cha TAA,kisha TANU, na kiongoziwa iliyokuwa Jumuiya yaWaislamu ya Afrika Mashariki(EAMWS), aliiambiaMahakama kuwa mali yaWaqfu kamwe haiwezi kuuzwahata kama imerithiwa.Akielezea ufahamu wake juu ya kiwanja cha MarkaziChang'ombe, Mzee Waikelaambaye alikuwa ni Katibu waEast Africa muslim WalfareSociety (EAMWS) mkoawa Tabora, alisema kiwanjahicho kilipatikana kipindi chauongozi wa Jumuiya hiyo yaWaislamu, chini ya uongoziwa Agakhan na Rais wa Misriwakati huo Gamar Abdul Nasser.Alisema kupitia Jumuiyahiyo, zilifanyika juhudikupata kiwanja hicho lengona madhumuni likiwa nikujengwa Chuo Kikuu ChaWaislamu kwa awamu tatu,kwa msaada wa Rais wa Misriwa wakati huo Gamar Abdul Nasser.Alipoulizwa ni kitu ganikilikwamisha adhima hiyo,Mzee Waikela aliwatajaaliowaita ‘mafatani'wakishirikiana na watu


wabaya, ambao walipangamikakati ya kuiuwa EAMWSna kuwaundia WaislamuBAKWATA.Alisema njama za kuiuwaEAMWS, zilifanywa naMwalimu Nyerere akimtumiaMzee Abeid Karume, kwakuwalaghai Waislamu ambaoaliwataja baadhi yao kuwa niAdam Nassib, Saleh Masasina Qassim Bin Jumaa.Mzee Waikela alisema, watuhao walizunguka katika mikoaishirini nchini wakati huona kuwashawishi Waislamukuikataa na kutengana naEAMWS. Hata hivyo alidaifitna yao ilifanikiwa katikamikoa nane na mikoa 12waliwakatalia."Mimi binafsi nilikuwampinzani wa kuitenga nakuiuwa EAMWS, katiya mwaka 1968/9, kwaniwalifika akina Adam Nasibuna watu wake na kunishawishikwa kunipa Shilingi 40/=,nilizikataa wakaondoka."Alisema Mzee Waikela.Alisema baada ya juhudihizo za kuwalazimishaWaislamu kuikataa Jumuiyayao, ilitumika Serikalikupitia Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo,
Bw. SaidiMasanywa, kwa kusimamiakufungwa ofisi zote na malizote za Jumuiya zilizokuwanchi nzima kukabidhiwaBakwata.Aliongeza kuwa katikakuonyesha kwake upinzanikatika kuiuwa EAMWS,alijikuta kati ya mwaka 1963na 1964, akiwekwa kizuizina Mwalimu Julius Nyerere,wakati huo akiwa Rais waJamhuri ya Muungano."Naiambia Mahakanakwamba, kiwanja chaMarkaz si mali ya Bakwata,wakati tunapewa kiwanjahicho Bakwata haipo,imekuja baadae kwa hilana inda pasi ya ridhaa yaWaislamu na kuhodhi maliza waislamu zikiwemo zaWaqfu." Alisema Mzee Bilali, baada ya kuulizwa na wakili Nassoro kuwa anaiambia niniMahakama kuhusu madai yaumiliki wa Bakwata katikaeneo hilo.Aidha alifafanua kuwa waokama Jumuiya ya Waislamu,walisimamia mali za Waislamukikiwemo kiwanja hicho kwaajili ya maendeleo yao, lakinialidai baada ya mali hizokuhodhiwa na Serikali nakuikabidhi Bakwata, malinyingi za Waislamu zimeuzwakwa bei chee, si Dar es Salaamtu bali hata zile zilizokokatika mikoa mingine na malinyingine walikimilikisha watuwa Bakwata."Mfano wa karibu ni hichokiwanja cha Chang'ombe,tulikabidhiwa likuwa nieneo kubwa sana tofauti nasasa, nasikia kimemegwa nakuuziwa watu. Lakini iwemtu kapewa ama kauziwa,aelewe kabisa kuwa mbeleya Mwenyezi Mungu si maliyake, ni mali ya Waislamu,mali ya waqfu haiuzwi,hagaiwi mtu." Alisema MzeeWaikela.

Akijibu maswali ya wakiliwa Serikali Bw. TumainiKweka, Mzee Waikela alisemaBakwata haipo kwa haki,ukifuatwa msingi wa kuundachombo kwa kuzingatiademokrasia, kwani katika juhudi za Bw. Nassibu nakundi lake mikoani, ni mikoanane tu ndio iliunga mkonokuvunjwa kwa EAMWS katiya mikoa 20.Alipoulizwa kamaanaikubali Bakwata, alisemahaikubali, si sasa tu bali aliikataa tangu kuanza kwamchakato wake na baadaya kuundwa kwawe mkoaniIringa na mpaka sasa badohaikubali."Mimi Bakwata siitambui,niliikata tokea wakati huochini ya Sawaya (Waziri waMambo ya Ndani wakatihuo), nikawekwa kizuizinina Nyerere, Bakwata imemilikishwa mali zaWaislamu kinguvu, kimsingimali hizo si za Bakwata ni zaWaislamu." Alisema MzeeWaikela, ambaye pia alikuwakiongozi wa Baraza la MisikitiTanganyika.

Akijibu hoja ya wakiliwa serikali Tumaini Kweka,kuwa waliounda Bakwatamkoani Iringa walikuwani Waislamu, Mzee Bilali alisema wale walikuwa niviongozi wa matawi ya Chama,na hawakuwawakilishaWaislamu kwani alidai halihalisi ilishaonyesha kuwakati ya mikoa 20 ni mikoanane tu iliyokubali. Alisisitizakwamba shughuli za dinihaziendeshwi na viongoziwa siasa bali ni viongozi wadini.Ama alipoelezwa kuwahakuikubali Bakwata kwakuwa alikosa donge, alisemawakati huo hakuwa na dhikiya pesa bali alikuwa ni mtumwenye mali zake na hatawakati anaingia katika siasa pia hakuwa na dhiki."Sikuikataa Bakwata kwachuki, mimi nilikuwa na pesazangu hata wakati napambanana kupata Uhuru, nilikuwanatoa motokaa (gari) yangukwa Nyerere (Rais) akijaTabora atumie, lengo lilikuwani Waislamu kutendewa haki,nimeikataa kwa sababu yakupindishwa haki." AlisemaMzee huyo.Kwa ujumla Mzee Waikela,aliianishia Mahakama yaHakim Mkazi Kisutu kwamba, Waislamu nchini wanatenzwanguvu ndani ya Bakwata,kwani alidai kuwa iwapoikitokea Waislamu kupigakura kama wanaikubaliau hawaitaki Bakwata,itaanguka

.Hata hivyo Mzee Waikela,alisema hadhani kamainaweza kutokea fursa hiyokwa Waislamu kwani anajuakuwa maslahi ya walioundachombo hicho yataharibika.Katika hatua nyingine kwamara ya kwanza, jana SheikhPonda Issa Ponda, alisimamakatika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, mbele yaHakimu Mkazi wa Mahakamahiyo Victoria Nongwa nakutoa ushahidi wake.Akianza kutoa ushahidiMahakani hapo, SheikhPonda alisema kuwa, ni kwelikiwanja hicho kina mgogoro,ambapo Waislamu wanapingaeneo lao kupewa kampuniya Agritanza, ambayo inadaikumiliki kiwanja hicho kwakubadilishana na Bakwata,ambao nao walipewa kiwanjakingine huko Kisarawe.Sheikh Ponda, alisemamigogoro ya viwanja eneola Markaz Chang'ombe ni yamuda mrefu, ambapo kunawakati sehemu nyingineya eneo hilo la MarkazChang'ombe, lilimegwa nakuuziwa mfanyabiasharamaarufu Yusuf Manji, kinyumena matakwa ya Waislamuambao ndio wenye mali.Alisema katika sakata hiloWaislamu walipinga ambapo baadhi yao walikwendaMahakamani, na wenginekwenda Serikalini kupingakuuzwa eneo hilo.Alisema eneo hilo laMarkaz awali lilikuwa kubwa,lakini sasa limebaki dogosana kutokana na tabia yakumegwa kinyemela bilaWaislamu kujulishwa.Kuhusu kiwanja chenyemzozo kwa sasa, ambachomfanyabiashara Hafidh,anayemiliki Kampuni yaAgritanza inayodai kumilikikiwanja hicho,

Sheikh Ponda aliieleza Mahakama kuwamara baada ya kupata taarifaza eneo hilo la Markazkumegwa tena, walimfuatiliamtu aliyedaiwa kulimega ilikujua kulikoni.Sheikh Ponda alisemaWaislamu kupitia baadhi yaMasheikh, akiwemo yeye naSheikh Lwambo, walikutanana Hafidh ambapo walipangasiku ya kukutana kujadilitatizo hilo.Alisema baada ya kukutana,walimweleza Bw. Hafidh kuwakiwanja anachodai kupewa niwaqfu, kwa maana kuwa nimali ya Waislam ambayo hairuhusiwi mtu kuuza,kuuziwa wala kujimilikisha isipokuwa ni kwa ajili yamatumizi ya dini, kwa maanaya matumizi ya masuala yaWaislamu.Akiendelea kutoa ushahidiwake Sheikh Ponda alisema kufuatia kikao hicho,walikubaliana na Bw. Hafidh kuwa asitishe kujihusisha nakiwanja hicho na kwamba,atatafutiwa kiwanja kingine.Sheikh Ponda, aliwasilisha muhtasari wa kikao kati yaona Bw. Hafidh Mahakamanihapo, waliyokubaliana kuwaBw. Hafidh, hatojihusisha nakiwanja hicho cha Markazkama walivyokubaliana.Hata hivyo,

Sheikh Pondaaliieleza Mahakama kuwa, baada ya makubaliano kufanyika kupitia kikaowalichokaa, walishangaa kuona Bw. Hafidh, akipeleka vifaa katika kiwanja hichona kuanza ujenzi tofauti nawalivyokubaliana.Alisema, baada ya kuona hivyo, walimtafuta Bw.Hafidh na kumuuliza kulikoni akiuke makubaliano ya kikaochao cha awali, ya kukiachakiwanja hicho cha Waislamuna kukubaliana kutafutiwakingine.Alisema, kufuatia haliiliyojitokeza Waislamuwalikubaliana na kuamuakujenga Msikiti wa mudakatika eneo hilo, ili kuhakikishakwamba eneo hilo, haliingiliwina mtu mwingine.Hata hivyo, Sheikh Ponda,alisema siku ya Ijumaa yaOktoba 12, 2012 Waislamuwalipokuwa wakijengaMsikiti wa muda, Bw. Hafidhaliamua kulipeleka suala hilo polisi. Ndipo baadae alisemaSheikh Ponda,

kwambawalifika Polisi na kuwavamiaWaislamu na kuwasweka ndani.Aidha Sheikh Ponda, aliitakaBakwata kurejesha eneo lotela Waislamu Chang'ombe,kama walivyolikuta wakatilikiwa chini ya East Africa Muslim Walfare Society.Alisema, kitendo chaBwakata kukiri kuwa eneo limebaki dogo lakini lilikuwakubwa, ni wazi kwambakwa njia moja au nyingine kuna watu wameuziwa hukuwakijua kuwa ni eneo lawaqfu.Hivyo Sheikh Ponda,alihitimisha ushahidi wakekwa kuitaka Bakwata kwahali yoyote, kurejesha eneolote la Waislamu.Kesi hiyo imeahirishwa,ambapo April 4, Wakiliupande wa utetezi atawasilishaMahakamani majumuisho yaushahidi uliotolewa ambapo Aprili 18 mwaka huu, kesiitatajwa Mahakamani hapokwa ajili ya hukumu...

Fyonza Ilm kidogo...
 

jaribu kupitia baadhi ya post za sheikh Mohamed said kaelezea vizur hizi habari
 
Nimekuwa mfuatiliaje wa Mnakasha huu tangu chipuko lake.,
Hii ya Bikira Maria na vikao kati ya Mwalimu na Maaskofu haijaguswa kabisa ndugu yangu..

yaa!ya Bikira maria haijaguswa lakin kaelezea iyo ishu ya Nyerere na masheikh kwa hoja mujarabu!!!
 
yaa!ya Bikira maria haijaguswa lakin kaelezea iyo ishu ya Nyerere na masheikh kwa hoja mujarabu!!!

Sawa sawa kaka Mbaraka. Changamoto pekee nnayokumbana nayo, mimi pamoja na wengine pia, ni kuwa, Habari hizi ni nzito kwa ishtati yake., si yote tumepata kuyasikia sasa au kabla. Mengine tulipata kuyazoea kama ngano na soga tu, lakini hapa yamedadavuliwa kwa marefu na mapana. Ugumu unakuja kwenye kung'amua ukweli maana yapo maeneo ambapo watu wanapingana., sasa inatuwia vigumu kwenye kubaini kweli kati ya porojo. Hili nnaloliuliza nimepata kulisoma zaidi ya mara moja., ningependa kujua kama lina ukweli ndani yake au nalo limepikwa kiustadi..
 
Hilo lilitokea kweli na masheikh na Waislam kwa jumla walikereka sana.
Kanisa halikuwapo katika harakati za kupigania uhuru.
Mohamed nadhani huko nyuma uliandika na kuaminisha watu kauli hii. Down the road ikajulikana kuwa shirika la Maryknol nalo lilitoa ticket ya Nyerere kwenda kupinga Ukoloni ambao shirika hilo hilo liliushabikia!! amazing. Tulipokupa ukweli ukakiri kuwa ilitokea hivyo.
Ulificha ukweli huo ili kuonyesha mabaya ya shirika.

Ni ukweli kama huo ambao umeuficha kuhusu Msaliti mkubwa sheikh Amir. Huku ueleza ulimwengu kuwa yeye alipewa nafasi ya kusaidia kuondoa dhulma kama ilikuwepo. Badala yake akarudi kuendeleza fitna misikitini.
Umefanya watu wakaamini kuwa msalaiti mkubwa ni shujaa.

Kuna Timothy ameuliza kama kuna ukweli kuhusu BikiraMaria na kikao cha kuiweka Tanganyika chini ya usimamizi.
Sijui kama upo ukweli kwasababu hakuna anayekuja na ushahidi wa kutosha wa hilo. Kila mtu ananukuu kitabu kwa mistari miwili na kusema huo ni ushahidi.

Bwana Timothy nina uhakika umeona jinsi gani mambo mengi yalivyojitokeza kuwa upotoshaji, uongo na fitna.
Sasa hilo nasema linaangukia hapo unless mtu aje na ushahidi mwingine wa kujitosholeza.

Upotoshaji umefanywa kiufundi sana kwa kupiga baragumu lakini nyuma ya pazia kuna mengi yamefichika.
Fikiria, nani alifahamu kuwa huyu Sheikh Amir anayetajwa kuwa maarufu alikuwa msaliti na mfiitini mkubwa kiasi hicho.

Ni kama watu walivyoaminishwa kuwa Nyerere alianza siasa aliposhikana mkono na Abdul. Leo tunajua bila shaka kuwa Nyerere alikuwa katika siasa wakati Abdul akitumia jina la familia.
 
 

Mkuu

Kwakweli Mungu ni waajabu sana na kila kilichopo kwa unafiki kitaumbuka!

Tumekaa hapa tukikesha usiku na mchana tukipinga uongo wa hawa ndugu zetu lakini leo mambo mazito kabisa yanafumuka na kuwa peupeeeeee!

Hapa huta muona Mohamed Said akigusa labda mashabiki wake aliowapofusha akili na wakawa washangiliaji tu ndio watakao jitokeza hapa!

Shehe Hassa Bin Amir ndie MUASI halisi wa Taifa hili na zaidi aliwaasi WAISLAM wenzake hasa baada yakugoma kupigania kuuondoa mfumo kristu aliodai upo serikalini alioamua kuuhubiri miaka yote ya uhai wake kwenye misikiti!


Inashangaza kusikia kuwa leo huyo Hassan Bin Amir ameenziwa kwa kuanzisha TUZO kwa heshima yake!

Hebu jiulizeni wanajamvi, MTU huyu aweza kuwa SHUJAA wa taifa na kwa waamini WAUISLAMU?

Thubutu!!! Labda kwa vichwa pasi ndio watamuenzi!
 
 
 
 

asante kwa darsa,vitu adimu hivi
 



NGURUVI; NI SAWA ULIVYOSEMA HAPO JUU. DR ISSA ZIDDY KAANDIKA;

".....They rather claim that he was not a politician and that his aim was the struggle for Muslim education, Muslim rights and unity. He is said to have always refused to become a minister or even a
local sheha (chief): ‘Shaykh ˘asan did not involve himself in politics, but some of his students were politicians. They invited him sometimes to say the Faatiha at the end of their political meetings."

Paper: SHAYKH ˘ASAN B. ‘AMAYR AL-SHIRAZ(1880-1979)Sudanic Africa, 16, 2005, 1-26.
Paper hii pia Dr Ziddy aliwaahi kuiwakilisha kama "The life and legacy of Shaykh Hasan b. fiAmayr" huko Ujerumani.

Inachoonyesha;
1. Sheikh alishiriki mikutano ya kisiasa (ilikuwa ya kuipinga TANU) na kutoa Faatiha mwisho wa mikutano
2. Alishapewa offer kuwa waziri mara kadhaa AKAKATAA. Hiyo ni kwa mujibu wa waliomjulisha Dr Ziddy wakati anaandika hii paper


Dr. Ziddy hakutaka kutaja mikutano ilikuwa ya chama gani. Lakini definitely sio ya TANU.

Ndio maana nimeshasema ingelikuwa jambo la maana sana Sheikh kukubali hii offer kwa vile tayari hata contacts za misaada kwa waislamu toka nje alikuwa nayo. Uwaziri ungempa fursa nzuri ya kuitumia serikali na ofisi yake kuyafanikisha haya, na isitoshe kama Mufti, angekuwa na fursa ya kipekee kumshauri Rais juu ya kipi kina maslahi juu ya waislamu (kama cabinet member na akasikilizwa with more authority). This was a very serious mistake. Of course hawa WANAFUNZI UNADHANI WANGEMSHAURI NINI na wao adui YAO NI JULIUS?
 
Mpaka sasa nilichogundua kwenye mkesha huu wa kupigania uhuru ni kwamba,kulikuwa na makundi ya dini yenye nguvu za ushawishi wa watu kwenye kupigania uhuru,makundi yaliaminiana lakini kuna kundi lilifanya uchakachuaji zidi ya kundi jengine ili kulipa nguvu kundi lake kwenye ngazi zote za utawala.
 

Wickama,

Naomba nikurekebisha usimquote Dr Ziddy sivyo hayo unayosema ni maneno ya Wanafunzi wake Sheikh Hassan Bin Ameir yaani akina Sheikh Ali Mzee Comorian and others. Lakini Ziddy alinena before that paragraph. Namnukuu:-

When Sk. Hassan stayed in Dar es Salaam since 1940's he realized that the Colonial Government didn't gave the Muslims chances to get Education. They were poor without education and living in an underdeveloped situation. Only the Missionary schools were there, and Muslims were afraid to join in these schools because they feared to changing their religion!
In many magazines, newspapers, audio and video cassettes and even different historical books (especially for Muslim writers) and some missionary books stated that Sk. Hassan b. Ameir was a politician, and so because his name and pictures appeared more then one time in the Documents of Tanganyika independent activities and struggles lead by TAA (Tanganyika African Association) and TANU (Tanganyika African National Union). This picture is very open in the book of Said Muhammed.
Kilichomfanya Sheikh Hassan Bin Ameir awe politician ni haya maneno mekundu hapo juu. Naomba niwasilishe

Reference is from Dr Ziddy paper the The Autobiography of Sheikh Hassan Bin Ameir Ashirazi.

 

Bobwe; Karibu ndugu yanguUkifuatilia historia unakuta hayo makundi ya kidini yalishindwa kwenye mizani za siasa Uwanjani, kwa kura. Yaani hata raia wengi wenye dini kama yao waliwanyima kura. sasa walichokifanya ni kujichimbia kwenye nyumba za ibada na kueneza hotuba za chuki. Ndio kama hii ya TAIFA KUKABIDHIWA BIKIRA MARIA, au Msikiti wa Tanga kuswaliwa waislamu na makiristo pamoja. Hutaambiwa jinsi ambavyo waislamu wa Kishia au Ahmadiya jinsi walivyokabidhiwa nao kwa Bikra Maria. Siku zote ni hawa Suni hawa, tena sunni wenyewe si wote, ni wale wanaoiunga mkono Bakwata. Wewe tega sikio. Kwani uongo kazi!!!!!
 

Mkuu HAPANA,

Ndani ya TANU iliyoleta uhuru na hata AA na TAA hakukuwa na kigezo cha dini ndipo uwe ndani yao!

Rais wa TANU Julius Nyerere na sera ya chama kwa ujumla walikataa mtu kushiriki harakati zao kwa nembo ya udini,

Ndio maana akina Shehe Takadir, Shehe Hassan Bin Amir na wengine walijitoa ndani ya TANU na kuanzisha chama chao cha KIDINI kilichoitwa AMNUT ambacho kilikataliwa na watanganyika wengi wakiwemo waislamu wenyewe!


TANU ilimtaka mtu ashirikiane nayo kwasababu ya UTANGANYIKA wake na sio kabila au dini!
 

Ahsante MS; Ndio nilichoandika kwenye POINT YANGU YA PILI yaani WALE WALIOMFAHAMISHA DR ZIDDY. Sisemi yeye kasema. Please confirm.

Point yako nyingine hai-apply kwa vile tayari hii ilikuwaa ni wakati nchi iko huru (1965) na hizi political meetings hazikuwa zinalenga hizo pre-independence missionary schools. Infact Dr. Ziddy is silent. Also confirm your timing of events (mkasa UNAANZIA wanaporudi toka kuomba misaada ya University na kina Tewa- 1965 siyo 1940!!! kisha akaonywa kuwa hotuba zake zinaiudhi serikali (you are talking of an independent not colonial government!!!)na how will kuhutubia kuhusu missionary schools kuiudhi serikali????? HOW? Please soma vizuri.
 

My apologies; Nimeku address kama MS. Samahani sana. Pia Mzee MS niwie radhi. Mazowea yana taabu.

cc Mohamed Said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…