My apologies; Nimeku address kama MS. Samahani sana. Pia Mzee MS niwie radhi. Mazowea yana taabu.
cc Mohamed Said
Brilliant! thank you.NGURUVI; NI SAWA ULIVYOSEMA HAPO JUU. DR ISSA ZIDDY KAANDIKA;
".....They rather claim that he was not a politician and that his aim was the struggle for Muslim education, Muslim rights and unity. He is said to have always refused to become a minister or even a
local sheha (chief): Shaykh ˘asan did not involve himself in politics, but some of his students were politicians. They invited him sometimes to say the Faatiha at the end of their political meetings."
Paper: SHAYKH ˘ASAN B. AMAYR AL-SHIRAZ(1880-1979)Sudanic Africa, 16, 2005, 1-26.
Paper hii pia Dr Ziddy aliwaahi kuiwakilisha kama "The life and legacy of Shaykh Hasan b. fiAmayr" huko Ujerumani.
Inachoonyesha;
1. Sheikh alishiriki mikutano ya kisiasa (ilikuwa ya kuipinga TANU) na kutoa Faatiha mwisho wa mikutano
2. Alishapewa offer kuwa waziri mara kadhaa AKAKATAA. Hiyo ni kwa mujibu wa waliomjulisha Dr Ziddy wakati anaandika hii paper
Dr. Ziddy hakutaka kutaja mikutano ilikuwa ya chama gani. Lakini definitely sio ya TANU.
Ndio maana nimeshasema ingelikuwa jambo la maana sana Sheikh kukubali hii offer kwa vile tayari hata contacts za misaada kwa waislamu toka nje alikuwa nayo. Uwaziri ungempa fursa nzuri ya kuitumia serikali na ofisi yake kuyafanikisha haya, na isitoshe kama Mufti, angekuwa na fursa ya kipekee kumshauri Rais juu ya kipi kina maslahi juu ya waislamu (kama cabinet member na akasikilizwa with more authority). This was a very serious mistake. Of course hawa WANAFUNZI UNADHANI WANGEMSHAURI NINI na wao adui YAO NI JULIUS?
Apologies accepted,
Back to the point labda hujamfahamu MS yeye hakusema kuwa Sheikh Hassan alinyimwa kazi ila Nyerere alikuwa akimuogopa Sheikh Hassan Bin Ameir. Na sababu kuu ya kumuogopa Sheikh Hassan ni kwasababu alikuwa mtu very influential and powerful. Na mamluki wake aliowaundia liBAKWATA akina Abdallah Chaurembo hawakuwa wakikubalika as long as Sheikh Hassan alikuwa yupo Dar.
Labda tukuulize IGP Aziz alitumwa kufanya nini alipomfuata Sheikh Hassan Bin Ameir?
gombesugu, labda huna muda mrefu ndani ya jukwaa hili lakini hayo mambo ya kukashifiana katika imani zetu please count me out. Ninao ndugu na marafiki wa karibu sana ambao si wa imani yangu na nisingependa kujiingiza katika malumbano yanayoweza kuathiri mahusiano yetu. Hata hivyo nafurahi sana kwamba katika huu mjadala pamoja na kujua msimamo wangu na kuyasoma maandishi yangu, wananiunga mkono kwa kupinga upotoshaji unaofanywa na baadhi ya Watanzania wakisukumwa zaidi na chuki zao walizorithi kutoka kwa wazee wao. Wanatambua kwamba hujuma na ufisadi uliotamalaki nchini na unaotudidimiza kama taifa hauna rangi, dini, ukabila wala jinsia. Bahati mbaya wapo wenzetu ambao wameamua kutumia kalamu zao kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu kwa mgongo wa dini...hawa lazima wapigwe vita bila kujali ni wa dini gani, Al Akhiy Mohamed Said akiwa ni mmoja katika watu hao hatari.gombesugu said:Napenda kukuuliza masuali japo kiduchu. Wakati Mtume Muhammad na Allah walipokua anatukanwa kwa maneno machafu yaso kiasi wewe binafsi uliandika chochote japo kukemea au kumstaajabu huyo mtukanaji!?
Mimi ni mtu wa kwanza humu jamvini kumwita Mohamed Said mpuuzi kwani pamoja na kujua hatari ya mbegu anayojaribu kuipandikiza, anashindwa kutambua madhara yake. Kwa sasa tunaanza kuona hizo mbegu zikichipua...kwa mfano, ukipata muda ukasikiliza mahubiri ya Sheikh Ilunga au Sheikh Ponda, utadhani wanasoma neno kwa neno aloandika huyo Al Akhiy. Mimi pia ni mtu wa kwanza humu jamvini kumwita Mohamed Said mchochezi na muongo kwani pamoja na kuhubiri chuki, hata siku moja hajawahi kushiriki wanafunzi wake wanapotekeleza kwa vitendo hizo sera zake za chuki.gombesugu said:Mtu mzima mwenzio Sheikh Mohammed Said anapotukanwa na kupewa kashfa za hali ya juu na vijana ambao wengine labda yaweza kuwa hata ni wajukuze,wewe ulishawahi kukemea!? Mifano kadhaa,ni kwamba wewe binafsi unajumuika nao au kuanzisha hilo zogo dhidi ya Sheikh mohammed.
gombesugu, mimi ni mmoja wa watu waliokukaribisha ulipojiunga na JF tarehe 4th April 2013, hadi sasa unatimiza mwezi moja na nusu, kwa kuamini kuwa ungesimamia ukweli na kuutetea bila woga. Nadhani wakati huo hukufahamu kuwa iko dhana imepadikizwa humu kwamba asiyekubaliana na Al Akhiy Mohamed Said bado hajakamilika kiimani. Nina ushahidi wa Waislaam tena safi tu ambao badala ya kutulia na kufyonza ilmu anayotoa mwalimu wakajaribu kuyakosoa, looo! Eti wanaoiendesha serikali wanatekeleza maagizo ya Kanisa, BAKWATA inaendeshwa kwa mfumo Kristo, wakuu wote wa idara nyeti za serikali wana utii kwa mfumo Kristo...! gombesugu, hata mara moja wewe hujawahi kumpinga huyu bwana, je si kweli? Huo uthubutu huna Al Akhiy!gombesugu said:Kuhusu baadhi yenu, kuhisi yakuwa kila anaemkubali Sheikh Mohammed ni mbumbumbu na hajui atendalo; nilishawahi kujitetea. Sina sababu ya kujichosha au kukuchosha wewe pia kwa kujieleza.Tafadhali kipata fursa pitia bayana zangu za awali japo kiduchu. Lakini kwa kifupi tu,kwangu mimi hiyo itakua ni kinyume na dasturi yangu na pia kinyume na maadili ya taratibu za kibarua/field yangu.
gombesugu, baada ya kudumu humu jamvini kwa muda mrefu wengi wetu hivi sasa, pamoja na kutokukutana wala kufahamiana, lakini tunaelewana kwa misimamo yetu. Mimi, Mag3, hata ukipitia post zangu zote (na sasa zinafikia zaidi ya elfu tatu) msimamo wangu ni kuwa adui nambari wani wa taifa hili ni CCM, period. Naamini kuwa CCM ilipofikia haiwezi ikabadilika na kama kungekuwa na uwezekano taifa hili, chini ya utawala wa CCM, lingezidi kudidimia ila tumegota chini kabisa, We are at the very bottom na CCM imeamua kupiga kambi hapo hapo!gombesugu said:Unajua jana kule kwenye ile Thread ya "CCM imeshindwa kulinda tembo hata Kiswahili"? Niliona mchango wako kiduchu. Lakini mbona ZeMarcopolo alipotoa hoja kuhusu vijana wa Bavicha;wewe badala ya kumjibu kwa ustaarabu na utulivu kama mtu mzima na mmojawapo ya waadilifu/wawakilishi wa Chadema humu JF...ukamwita mbwa na mpaka picha ukamwekea ya mbwa wawili mmoja ukamwita Marco na mwengine Polo!?
Hapo umeongea na hayo ndiyo maneno, siyo kudai source! Tunapompinga Al Akhiy Mohamed Said tunaweka kwa maandishi what should be, hatuombi source;gombesugu said:Yale majedwali yako nimeyaona ndugu yangu,lakini nimeshikwa na vijishughuli kiduchu. Kipata fursa Insha Allah takuandikia. Nimependa tumewasiliana,nami binafsi tajifunza kwa mazuri ulonayo.
Shukran.
Tanzania bara ni Tanganyika. Nawashangaa wanaodai Tanganyika irudi. Irudi kutoka wapi?Mkuu JokaKuu,
Umeanza vizuri kwamba mumechelewa kuomba ukombozi na ushirikiano tutakutana EAC sisi yote tunayakubali bila ya wasiwasi lakini ukaja kuharibu kwamba "zaidi hatutaki any kind of bilateral relations" hapo ndo umeharibu uhusiano hauwezi futika katu ninakwambia hivyo kwa ushahidi yaani mimi mwenyewe nina mke wa kibara nimepoa kabisa unless umetumia neno bilateral halafu hujalifahamu maana halisi ya neno hilo
Report ulonipa ni ya Tanzania bara mkuu bado unarudi palepale hiyo si ya TANGANYIKA dai yetu ambao utaita ya zanzibar swali la jee ya muungano na ya Tanzania bara ni moja ama unanambia Tanganyika ni Tanzania bara na Tanzania bara ni TANZANIA nipe report ya Tanganyika.
Mohamed nadhani huko nyuma uliandika na kuaminisha watu kauli hii. Down the road ikajulikana kuwa shirika la Maryknol nalo lilitoa ticket ya Nyerere kwenda kupinga Ukoloni ambao shirika hilo hilo liliushabikia!! amazing. Tulipokupa ukweli ukakiri kuwa ilitokea hivyo.
Ulificha ukweli huo ili kuonyesha mabaya ya shirika.
Ni ukweli kama huo ambao umeuficha kuhusu Msaliti mkubwa sheikh Amir. Huku ueleza ulimwengu kuwa yeye alipewa nafasi ya kusaidia kuondoa dhulma kama ilikuwepo. Badala yake akarudi kuendeleza fitna misikitini.
Umefanya watu wakaamini kuwa msalaiti mkubwa ni shujaa.
Kuna Timothy ameuliza kama kuna ukweli kuhusu BikiraMaria na kikao cha kuiweka Tanganyika chini ya usimamizi.
Sijui kama upo ukweli kwasababu hakuna anayekuja na ushahidi wa kutosha wa hilo. Kila mtu ananukuu kitabu kwa mistari miwili na kusema huo ni ushahidi.
Bwana Timothy nina uhakika umeona jinsi gani mambo mengi yalivyojitokeza kuwa upotoshaji, uongo na fitna.
Sasa hilo nasema linaangukia hapo unless mtu aje na ushahidi mwingine wa kujitosholeza.
Upotoshaji umefanywa kiufundi sana kwa kupiga baragumu lakini nyuma ya pazia kuna mengi yamefichika.
Fikiria, nani alifahamu kuwa huyu Sheikh Amir anayetajwa kuwa maarufu alikuwa msaliti na mfiitini mkubwa kiasi hicho.
Ni kama watu walivyoaminishwa kuwa Nyerere alianza siasa aliposhikana mkono na Abdul. Leo tunajua bila shaka kuwa Nyerere alikuwa katika siasa wakati Abdul akitumia jina la familia.
My apologies; Nimeku address kama MS. Samahani sana. Pia Mzee MS niwie radhi. Mazowea yana taabu.
cc Mohamed Said
Wickama,
Huo ndiyo ubinadamu.
Alokamilika ni Allah.
Mkuu HAPANA,
Ndani ya TANU iliyoleta uhuru na hata AA na TAA hakukuwa na kigezo cha dini ndipo uwe ndani yao!
Rais wa TANU Julius Nyerere na sera ya chama kwa ujumla walikataa mtu kushiriki harakati zao kwa nembo ya udini,
Ndio maana akina Shehe Takadir, Shehe Hassan Bin Amir na wengine walijitoa ndani ya TANU na kuanzisha chama chao cha KIDINI kilichoitwa AMNUT ambacho kilikataliwa na watanganyika wengi wakiwemo waislamu wenyewe!
TANU ilimtaka mtu ashirikiane nayo kwasababu ya UTANGANYIKA wake na sio kabila au dini!
Loh! Umejaaliwa kwa wingi wa busara.. Allah akutegemeze Inshaallah..
NGURUVI; NI SAWA ULIVYOSEMA HAPO JUU. DR ISSA ZIDDY KAANDIKA;
".....They rather claim that he was not a politician and that his aim was the struggle for Muslim education, Muslim rights and unity. He is said to have always refused to become a minister or even a
local sheha (chief): ‘Shaykh ˘asan did not involve himself in politics, but some of his students were politicians. They invited him sometimes to say the Faatiha at the end of their political meetings."
Paper: SHAYKH ˘ASAN B. ‘AMAYR AL-SHIRAZ(1880-1979)Sudanic Africa, 16, 2005, 1-26.
Paper hii pia Dr Ziddy aliwaahi kuiwakilisha kama "The life and legacy of Shaykh Hasan b. fiAmayr" huko Ujerumani.
Inachoonyesha;
1. Sheikh alishiriki mikutano ya kisiasa (ilikuwa ya kuipinga TANU) na kutoa Faatiha mwisho wa mikutano
2. Alishapewa offer kuwa waziri mara kadhaa AKAKATAA. Hiyo ni kwa mujibu wa waliomjulisha Dr Ziddy wakati anaandika hii paper
Dr. Ziddy hakutaka kutaja mikutano ilikuwa ya chama gani. Lakini definitely sio ya TANU.
Ndio maana nimeshasema ingelikuwa jambo la maana sana Sheikh kukubali hii offer kwa vile tayari hata contacts za misaada kwa waislamu toka nje alikuwa nayo. Uwaziri ungempa fursa nzuri ya kuitumia serikali na ofisi yake kuyafanikisha haya, na isitoshe kama Mufti, angekuwa na fursa ya kipekee kumshauri Rais juu ya kipi kina maslahi juu ya waislamu (kama cabinet member na akasikilizwa with more authority). This was a very serious mistake. Of course hawa WANAFUNZI UNADHANI WANGEMSHAURI NINI na wao adui YAO NI JULIUS?
Brilliant! thank you.
Kwahiyo sasa tuna ushahidi kuwa alikuwa anaendesha mikutano ya kisiasa ambayo ilikuwa nje ya TANU.
Mtu huyu haiyumkiniki alikuwa anaandaa mapinduzi. Sasa kufukuzwa tu ilikuwa heshima maana hakuna kiongozi duniani ambaye angekaa kimya kuona dini inatumika kuchochea vurugu.
Ingekuwa kwingine angeshtakiwa au kupotea kirahisi tu. Lakini Nyerere kwa kumuheshimu na kuheshimu wazee wa Dar aliona ni idhara kumfunga pingu mzee huyu ambaye hakuwa Mtanganyika to begin with. Akamuondoa kwa ustaarabu.
Sasa katika simulizi la 15 (I mean 15 yrs) inasomeka kuwa yeye alifukuzwa kwasababu ya EAMWS.
Nadhani angeitumikia vema EAMWS kama angekuwa ndani ya serikali kuliko kuleta fitna vichochoroni.
Huyu angejiuzulu kwasababu serikali imepiga marufuku EAMWS na yeye hakubaliani, japo angekuwa shujaa kama hilo ni kweli. Hata kama si kweli bado angekuwa shujaa wa kuumba kwa kukataa jambo aliloona lina manufaa!
Kinyume chake akakataa, akawasaliti waislam, akaendesha fitna,majungu na unafiki.
Akataka Tanganyika igawanyike huku akiwa na makovu ya AMNUT.
Huyu Mnafiki mkubwa leo anamiminiwa uturi, manemane, na kuvishwa shada la ushujaa! Ushujaa gani katika unafiki.
Na kuthibitisha kuwa ni mnafiki, si wanafunzi wake au vijukuu ambavyo vipo tayari kusema usaliti huu wa kutisha.
Huu uzi una mengi, miaka 15 watu wamekuwa wakimeza ngano, sasa inatafunwa! lahaulaa
Ngoja niendelee kukusanya ng'ongo za Gombesugu hapa Magila!
Ritz,
Huu mjadala wa merry go round mna moyo kuendelea nao maana hawa mabwana hawana hoja za msingi, hawa ubavu wa kupingana na Mohamed Said na hawana uwezo kuleta vielelezo vya kwao. Wamebakia kuwa cynical readers with the desire kucriticise everything they see. Mohammed Said na Ritz mna moyo sana duh niliukacha mnakasha miezi nimerudi nakuta bado mnajadili mnastahili heko.
Yericko kitabu chako cha historia ushamaliza kukiandika? Kiunganishe na cha Mwanakijiji mtutumie tuvifanyie editorial reviews maana vinaweza kuwa na mambo mapya mazuri na sio hichi cha wazee wa Kigamboni.
Nilikuwapo!
Mdondoaji,
Hawa jamaa zetu tunaenda nao mdogo mdogo ukweli unabaki Mohamed Said ndiyo bingwa wa historia ya Tanganyika.
Mkuu, ukishakuwa na upande katika mnakasha hutapata nafasi ya kuzichambua hoja "objectively"!Ritz,
Huu mjadala wa merry go round mna moyo kuendelea nao maana hawa mabwana hawana hoja za msingi, hawa ubavu wa kupingana na Mohamed Said na hawana uwezo kuleta vielelezo vya kwao. Wamebakia kuwa cynical readers with the desire kucriticise everything they see. Mohammed Said na Ritz mna moyo sana duh niliukacha mnakasha miezi nimerudi nakuta bado mnajadili mnastahili heko.
Yericko kitabu chako cha historia ushamaliza kukiandika? Kiunganishe na cha Mwanakijiji mtutumie tuvifanyie editorial reviews maana vinaweza kuwa na mambo mapya mazuri na sio hichi cha wazee wa Kigamboni.
Nilikuwapo!
Mkuu Ritz,mbona mzee wetu Mohamed Said ameandika sehemu tu ya historia kubwa ya Tanzania! unawezaje kumuita ni bingwa wa Historia ya Tanganyika?Mdondoaji,
Hawa jamaa zetu tunaenda nao mdogo mdogo ukweli unabaki Mohamed Said ndiyo bingwa wa historia ya Tanganyika.
Mkuu Ritz,mbona mzee wetu Mohamed Said ameandika sehemu tu ya historia kubwa ya Tanzania! unawezaje kumuita ni bingwa wa Historia ya Tanganyika?
Nguruvi3,
Naona umepanic hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kuandika mpaka mishipa ya kichwa imekusimama tulizana kunywa fundo tatu za sharbati munkari utashuka kisha jitulize.
Waislam tunautambua mchango wa Mufti Sheikh Hassan Bin Amir katika siasa na katika Uislam. Soma historia ya TAA katika Political Subcommittee utamkuta humo pamoja na Dr Kyaruzi, John Rupia, Stephen Mhando, Mwapachu, Said Chaurembo, kamati hii ilikuwa inashughulikia maswala yote ya siasa Tanganyika mwaka 1951. Bado kazi za TANU alizofanya.
Kafundisha Masheikh wengi sana kaacha athari kubwa, wewe unaweza kumuita upendavyo katiba inakuruhusu pamoja na imani yako ukamsingizia kila kila ukipendacho lakini Sheikh Hassan Bin Amir atabaki kuwa shujaa wa Waislam Tanganyika.
Tunajisikia fahari sana mnavyowaita masheikh wetu mnasaidia kuwaamsha Waislam waliolala, yoyote anayepinga na Nyerere kwenu nyie Wakirsto mnamuita mnafiki, mfitini, kila aina ya matusi yamekutoka...ha haaa haa
Karibu ndizi mkono wa tembo na samaki jodari.
gombesugu,