Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanatia katika chungu bilioni 24, wanachota bilioni 32 haraka haraka.

Hapo hawana bill ya elimu ya juu, ulinzi na usalama, mishahara na hata wastaafu, umeme hawawezi kulipa halafu wanasema wanaidai Tanganyika. Somo la hesabu lipo katika mtaala huko kwa wenzetu kweli.

Juzi wamejengewa chuo kwa bilioni 3.6 pesa ambazo zingekiendeleza chuo cha Naliendele Mtwara kuwa college university ya SUA.

Watanganyika wengi hawakujua kuwa wakati wanataabika kutafuta ada za watoto wao huko eleimu ya juu, kodi zao zinasomesha raia wa kigeni bure kutoka nchi ya neema znz!

Halafu wznz kama Barubaru wanasema Nyerere alitumia hela nyingi kwa ukombozi wa kusini mwa Afrika wanasahau kuwa kuna pesa zinatirirka kila asubuhi kwenda kuhudumia Zanzibar!

Point yako kuwa nani wa kumlaumu Nyerere ni muhimu sana.
Nguruvi3,

..hawaweki chochote ktk chungu.

..mkurugenzi wa tra Znz alisema kinachokusanywa Znz kinabaki na kutumika huko huko.
 
Last edited by a moderator:
Wana Baraza na Ndugu zangu katika Mnakasha huu..
Sina shaka kuwa jina la field marshal John Okelo si geni masikioni penu. Historia inayofundishwa darasani haimtaji kabisa mtu huyu. Nilitaka nami kumpuuza tu, lakini nimepitia pahala pameandikwa jambo zito na la kutisha likimwelezea Okelo pamoja na Baba wa Taifa. Tafadhalini sana, kwa wale wanaoweza kutupa historia ya huyu bwana na kugusa yafuatayo watusaidie ili niweze kukileta kwenu hiki kinachoniduwaza hapa..
1. Huyu John Okelo alikuwa ni nani?
2. Alihusikaje na siasa za Zanzibar?
3. Alipata wapi suport ktk utendaji wake?
4. Alifaidika vipi na mapinduzi aliyoyasimamia?
5. Alikuwa raia wa wapi?
6. Alikwenda wapi baada ya mapinduzi?
7. Yu hai hata sasa au alikwishatangulia mbele ya hak?
8. Kwanini historia rasmi ktk maskuli haimtambui kama inavyomtambua Karume na wengine?
9. Kwanini John Okelo hajawekwa kama msingi wa mapinduzi ya zanzibar?
Kwenu wana jamvi.
C.C Mohamed Said, Yericko Nyerere, Ritz, Gombesugu, Jokakuu, Mag3, Bigshow na wote humu..
 
Nguruvi3,

..hawaweki chochote ktk chungu.

..mkurugenzi wa tra Znz alisema kinachokusanywa Znz kinabaki na kutumika huko huko.

Umefika wakati sasa wakuwaamsha watanganyika wajue kuwa mtoto tuliyembeba amepanda na viwembe mgongoni, anatuchanja tumshushe haraka iwezekanavyo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JokaKuu,

Umeanza vizuri kwamba mumechelewa kuomba ukombozi na ushirikiano tutakutana EAC sisi yote tunayakubali bila ya wasiwasi lakini ukaja kuharibu kwamba "zaidi hatutaki any kind of bilateral relations" hapo ndo umeharibu uhusiano hauwezi futika katu ninakwambia hivyo kwa ushahidi yaani mimi mwenyewe nina mke wa kibara nimepoa kabisa unless umetumia neno bilateral halafu hujalifahamu maana halisi ya neno hilo

Report ulonipa ni ya Tanzania bara mkuu bado unarudi palepale hiyo si ya TANGANYIKA dai yetu ambao utaita ya zanzibar swali la jee ya muungano na ya Tanzania bara ni moja ama unanambia Tanganyika ni Tanzania bara na Tanzania bara ni TANZANIA nipe report ya Tanganyika.
nambokola,

..EAC itazuia migogoro ya moja kwa moja kati ya Tanganyika na Zanzibar.

..mashirikiano yetu yakipitia EAC maana yake ni kwamba wao watatusaidia ktk kutatua migogoro inayoweza kutokea.

..sasa hivi kila upande, Tanganyika, na Zanzibar, unavutia kwake bila kuwepo kwa taasisi ambayo ni IMPARTIAL inayoweza kutoa suluhu ya matatizo yetu.

..pia kule kwenye EAC kila nchi iko makini kuhakikisha kwamba inafaidika na mikataba inayoingia. hakuna mambo ya kienyeji-enyeji na mazoea kama tunavyofanya ktk muungano wa sasa hivi.

..kuhusu masuala yako ya NDOA na mama wa Kitanganyika, hilo lisikupe shida. Kwanza, unaweza kupata uraia kwa kigezo kwamba umeoa dada yetu. Pili, kama utataka kubaki na uraia wako wa Znz, basi utaruhusiwa kufanya shughuli zako kupitia EAC.

cc: Wickama, gombesugu, Barubaru, Jasusi, Nguruvi3, Ritz
 
Last edited by a moderator:
Muulize Mwalimu wako kama anajua jambo hili ikiwa yeye ni mtafiti na bingwa!

""mfano 05/02/1948, Askofu Maranda alikutana Shehe Issa bin Amir kiongozi wa kiroho katika msikiti wa Ilala - mchikichini.

Shehe Issa Bin Amir alizaliwa 1846 katika viunga vya mchikichini Mzizima na kuhudumu katika wadhifa wa shekhe katika msikiti uliokuwa hapohapo viwanja vya nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 34 tu, hiyo ni mwaka 1880 hadi 1953

Nje ya kuhudumu katika uislamu, alikuwa ni mvuvi aliyevua pamoja na Ally Ramadhan mwekahazina wa kwanza wa AA,

Shehe Issa Bin Amir kwa kabila alikuwa Mzaramo na akiishi hadi kifo chake Mchikichini pale nyuma ya kilipo kiwanda cha bia leo (TBL)

Shehe Issa Bin Amir rafiki kipenzi wa Padre Maranta na mzee wa hekima za kilele cha zama hizo, mtu aliyekuwa kiungo muhimu kati ya uislamu na ukristu,

Mtu ambae Mwalimu Cesil Matola rais wa kwanza wa AA na Klest Sykes katibu mkuu wakwanza wa AA, na wanachama wengine waliokuwa AA walimheshimu sana kwa hekima zake""!
Yericko Nyerere,

Kila siku siku zote napenda kukushauri pinda mgongo ufundishwe na wajuvi wa historia kama Mohamed Said, hebu angalia unavyojichanganya hapa na hii historia yako kwa faida ya Wanaukumbi ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.

mfano 05/02/1948, Askofu Maranda alikutana Shehe Issa bin Amir kiongozi wa kiroho katika msikiti wa Ilala - mchikichini.

Shehe Issa Bin Amir alizaliwa 1846 katika viunga vya mchikichini Mzizima na kuhudumu katika wadhifa wa shekhe katika msikiti uliokuwa hapohapo viwanja vya nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 34 tu, hiyo ni mwaka 1880 hadi 1953
Wanaukumbi hapa tunaambia Sheikh Issa kazaliwa mwaka 1846 halafu amekutana na Askofu Maranda mwaka 1948 kwa hiyo tunaona Sheikh Issa alikuwa tayari na umri wa miaka 102. mtu mwenye umri huu anaweza kweli kufanya harakati za siasa mfano mdogo tu Nelson Mandela saizi ana umri wa miaka 94.

Nje ya kuhudumu katika uislamu, alikuwa ni mvuvi aliyevua pamoja na Ally Ramadhan mwekahazina wa kwanza wa AA,
Wanaukumbi hapa tena Yericko anajichanganya tena, AA iliundwa mwaka 1929 tukiangalia mwaka huo Sheikh Issa atakuwa na umri wa miaka 83, kweli umri huu mtu anaweza kuwa na nguvu ya kuvua samaki.

Mnamo tarehe 7/7/1954, Vijana (wazee wa kariakoo) wakiongozwa na Julius Kambarage Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa kanisa Katoliki (Askofu Maranta) na Waislamu (Shehe Issa bin Amir)
Wanaukumbi hapa tena Yericko anajichanganya mwaka 1954 Sheikh Issa alikuwa na umri wa miaka 108, ha haa ha, hebu hapa chini tumsome Nyerere mwenyewe kwenye hotuba yake ya kuanga wewe unasema habari za mwaka 1954 Nyerere mwenywe anasema habari za mwaka 1952, ha haa haa, hizi bayana zina tashtit.

Julius Nyerere.'"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.
Harakati za Ukombozi za Mwalimu Nyerere zililivutia kanisa na likaamua kumuunga mkono, mfano mwaka 1953 wakati TAA kikiwa chama chenye nguvu, Askofu Maranta alimwalika ofisini kwake Mwalimu Nyerere, walizungumza mengi lakini kubwa nikuwa alimsifu kwa juhudi za kujipambanua bila kuwaogopa wakoloni na akamweleza jinsi kanisa linavyounga mkono juhudi za ukombozi wa Tanganyika, kisha akamshauri kuwa ajaribu kuvishawishi baadhi ya vyama vya harakati za ukombozi viungane ili kuvipa nguvu ya kudai uhuru na kanisa litasaidia
Julius Nyerere"Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.

Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.
Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni (Dar es Salaam). Akasema: Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza. Wanakutaka usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.

Mtu ambae Mwalimu Cesil Matola rais wa kwanza wa AA na Klest Sykes katibu mkuu wakwanza wa AA, na wanachama wengine waliokuwa AA walimheshimu sana kwa hekima zake""!
Huyu Sheikh Issa ameishi vipi vyote kuanzia AA, TAA. TANU, CCM maana ujasema alifariki lini.
 
nambokola,

..EAC itazuia migogoro ya moja kwa moja kati ya Tanganyika na Zanzibar.

..mashirikiano yetu yakipitia EAC maana yake ni kwamba wao watatusaidia ktk kutatua migogoro inayoweza kutokea.

..sasa hivi kila upande, Tanganyika, na Zanzibar, unavutia kwake bila kuwepo kwa taasisi ambayo ni IMPARTIAL inayoweza kutoa suluhu ya matatizo yetu.

..pia kule kwenye EAC kila nchi iko makini kuhakikisha kwamba inafaidika na mikataba inayoingia. hakuna mambo ya kienyeji-enyeji na mazoea kama tunavyofanya ktk muungano wa sasa hivi.

..kuhusu masuala yako ya NDOA na mama wa Kitanganyika, hilo lisikupe shida. Kwanza, unaweza kupata uraia kwa kigezo kwamba umeoa dada yetu. Pili, kama utataka kubaki na uraia wako wa Znz, basi utaruhusiwa kufanya shughuli zako kupitia EAC.

cc: Wickama, gombesugu, Barubaru, Jasusi, Nguruvi3, Ritz

JokaKuu,

Me sitaki uraia wa Tanganyika yaani ukipatikana znz huru basi mimi moja kwa moja nachukua passport ya nyumbani kwenu nakuja kutembea kama naenda kenya ama uganda

Kukutana EAC hiyo ndo tunayoitaka mambo yakusema munatubeba tumechoka nayo yaani tunaweza na tunajua na tuna experience hebu pingeni mara moja ama iteni kura ya maoni tujaribuni tuu mutajua tofauti zetu tunaweka pembeni kabisa ZANZIBAR KWANZA
 
Unamkumbuka Dr Victor Umbrich!

Waambie wazanzibar ukweli kuwa muungano unafaida kwao.
Mbona ninaweka mambo hamjibu nukta kwa nukta mnajibu general?

Mathalan, hivi znz ilishawahi kuwa na bajeti ya ulinzi na usalama tangu mwakwa 1964?
Kama hapana nani analipa gharama hizo.
Hivi si kweli kuwa mapato na bajeti yana nakisi kubwa, je nani analipia nakisi hiyo?

Anyway hiyo cc kwa Jasusi sijaipata. Link ya Mkuu Jokakuu nimeipitia kwa taarifa.
Barubaru alishaieleza tukaipitia siku nyingi, alichokuwa anaogopa ni kuweka hadharani kuwa Zanzibar inachangia billioni 24 katika muungano, hata kabla ya huduma nyingine za bure, znz inapewa bilioni 32 kupitia ofisi ya makamu wa Rais ! yaani inapewa nyingi kuliko inachoweka.

Ndio maana huwa nasema znz inachangia zero! sifuri! haina msaada ni tegemezi tu katika Tanganyika.

Mkuu Jokakuu amesema kuwa jitihada za kuwaamsha Watanganyika zinaendelea.
Mdomo wa wznz unawatokea puani sasa.

Muungano ukivunjika Tanganyika haina hasara Gombesugu.
EAC ilivunjika tukabaki uchi, leo sisi ni sehemu muhimu sana ya EAC, seuse znz, I mean Unguja!
Zile sababu za cold war hakuna tena!

Hebu tueleze Mtanganyika anafaidika nini na uwepo wa znz

Juzi Tanganyika wamejenga chuo znz kwa bilion 3.6 badala ya kujenga Mwanza au Mtwara
Leo znz haina hata eneo la kuchomea ngano(chakula si hii ya mzee), sasa unafikiri hao watu 350,000 wakirudi wataishi wapi kwa uchumi gani.

Muungano ukivunjika znz itakuwa mshindani, hivyo biashara kama ya utalii itakuwa na ushindani.
Saadan na Bagamoyo zikiendelezwa, Tanga ikawa bandari huru, znz itafanya nini!
Sasa hivi kuna kuonea haya kuwa ni sehemu yetu kwahiyo hakuna sababu za ushindani, nje ya hapo maumivu.

Gombesugu kwani umeshasikia tena zile kelele na midomo ya wzn kuhusu muungano baada ya kuambiwa let them go!
Mtanganyika ndiye mwenye muungano anaulipia, mzanz ni tegemezi tu hana msaada wa aina yoyote!

cc Jokakuu, Jasusi, Barubaru, Mag3,Mwanakijiji, Shariff Ritz, Akhyi wote na Makafir wa Tanganyika

Nguruvi umenisikitisha sana kwa jinsi unavyo wazungumzia wa Znz yani wewe unaposema sasa hivi hakuna tena "cold war" kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Nyerere na Karume walituunganisha kutokana na "cold war" hayo sio maneno sahihi kwa wa znz kwahiyo wazazibar walitumika kama beleshi ujenzi ukiisha linawekwa stoo na hizo cc uliowataja nikuulize unajua maana ya neno kafir? mkubwa wacha chuki na waznz haya maneno kwamba waznz ni tegemezi angeyazungumza baba yako wa taifa sio wewe nakusikitikia sana tuendelee na mnakasha. ahsante
 
Mkuu mzee wangu Mohamed, unamaana gani unaposema nyinyi?
ana maanisha wao wazee wao ndo wamiliki wa historia, sisi wazee wetu si sehemu ya histori, mtu wa ajabu kabisa huyu mzee. ubinafsi ndo nguzo kuu ya huyu mzee.
 
Shariff Ritz na Gombesugu,
Ninafahamu wazi kuwa lugha inayowaudhi ni ile ya kusema Sheikh Amir ni mnafiki mkubwa na msaliti.
Ninasimama na lugha hiyo nikiwa na sababu zile zile.

Huyu ni msaliti wa waislam kwasababu alipewa nafasi ya kuwa ndani ya system ili atoe mchango wake.
Uwepo wake ndani ya system pengine unegeweza kuzuia madhwila yanayosemwa ambayo tunajua ni majungu lakini kwa sababu ya mnakasha tuyakubali ''cosmetically'' ili tujenge hoja.

Badala ya kuingia na kuutetea uislam usidhulumiwe(kama inavyodaiwa), yeye aliamua kwenda vichochoroni na kuanza siasa za kujificha. Huyu anasema alikuwa hataki siasa lakini inabainika kuwa alikuwa katika political sub commitee kama alivyobainisha Akhyi Mohamed.

Sijui kwanini mnashindwa kuiona point hapo,nini kimeziba macho yenu?
Ni baadhi ya waislam akiwemo Mohamed wanaosema Nyerere aliwatupa wazee baada ya uhuru.
Sasa huyu alipewa fursa akaikataa, kwanini tuamini kuwa aliwatupa wazee? Je, aliwatupa au walijitupa!

Halafu tunaaminishwa kuwa aliondolewa kwasababu ya uislam wake na EAMWS! sasa ni wazi kuwa alikuwa na mikutano ya njama haramu katika nyumba za ibada akiwa na wanafunzi wake. Haikuwa mikutano ya TANU au chama kingine.

Nadhani tukimweka katika mizani na Bibi Titi Mohamed, Bibi Titi ni shujaa kwasababu alisimama na kusema EAMWS isiuawe kwa muijibu wa Mohamed. Alisema akiwa ndani ya system kama ilitokea hivyo, hakujificha vichochoroni kama sheikh Amir kuendeleza fitna, majungu na unafiki.

Suala la usaliti lipo wazi kabisa na linawakera lakini huo ndio ukweli.
Huyu si shujaa ni msaliti mkubwa.

Niwaulize kitu kimoja, kwanini mnajisikia vibaya sheik Amir akiitwa mnafiki, mzandiki na msaliti wakati huo huo mkipiga makofi kwa nderemo na vifijo Nyerere akiitwa mnafiki, habithi lanaatatullah!

Msumeno unakata mbele na nyuma. Kisu kikigonga mfupa mwanaume anagumia, hapigi mayowe.

Wanajamvi,
Nimgeliweza kueleza mgogoro mzima wa Sheikh Hassan bin Amir na Nyerere
sheikh akiwa sasa anaongoza taasisi iliyoitwa Daawat Islamiyya (Wito kwa
Waislam) yeye akiwa Mwenyekiti na Schneider Abdillah Plantan akiwa katibu.

Lakini kwa kuwa Sheikh Hassan ametukanwa hapa ninajizuia kwa ajili ya kuhifadhi
heshma ya kiongozi wetu ambaye wengi wanamuitikadi kuwa alikuwa walii.
 
Tanzania bara ni Tanganyika. Nawashangaa wanaodai Tanganyika irudi. Irudi kutoka wapi?

Tanzania bara ni Tanganyika na Zanzibar visiwani ndio zanzibar ama vipi sasa mbona katika ushahidi ulowekwa katika links ambazo nilitakiwa kusoma hamna maelezo hayo sasa aidha unalazimisha kitu ambacho hakipo ama wao wamefanya mistake soma hapa ili uelewe zaidi labda sisi wengine akili za madrasa nyinyi wasomi.

MUHTASARI WA RIPOTI YA MASUALA YA FEDHA
YANAYOHUSU MAMBO YA MUUNGANO

Utangulizi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina Muundo wa
Serikali
mbili; Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (SMT)
ambayo imepewa majukumu ya
kusimamia Mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano
kwa Upande wa Tanzania Bara na
Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar (SMZ)
imepewa majukumu ya kusimamia
Mambo yasiyo ya Muungano kwa Zanzibar.

Mkuu umeifahamu hiyo paragraph hapo Jamhuri ya muungano imejengeka kwa serikali mbili 1:Serikali ya jamhuri ya muungano sisi hatujaungana na serikali ya jamhuri ya muungano
muungano unatokana na serikali mbili Tanganyika ilokufa na zanzibar ambayo inakuja kama hivi Tanganyika+Zanzibar=Tanzania ndo maana tunasema Tanzania ndo Tanganyika kipi ulichokua hufahamu hapo mkuu.

ana maanisha wao wazee wao ndo wamiliki wa historia, sisi wazee wetu si sehemu ya histori, mtu wa ajabu kabisa huyu mzee. ubinafsi ndo nguzo kuu ya huyu mzee.

Zumbemkuu,
Katika hii historia ya kuasisi TANU na historia ya Nyerere katikia TANU pale
New Street hakika wazee wangu hawana mfanowe.

Ikiwa huu unaona ni ubinafsi ni bahati mbaya.
 
gombesugu,

..hebu tueleze Tanzania Visiwani[zanzibar] wanadai nini toka kwa Tanzania Bara[tanganyika].

..kila nyaraka niliopitia, na utafiti uliofanyika, kinachoonekana ni mapesa toka Tanganyika kwenda Zanzibar.

..majuzi kuna mtumishi wa tra kasema makusanyo ya zanzibar hubaki na kutumika hukohuko, hakuna kinachowasilishwa makao makuu. zaidi, tukasikia Dr.Bilali katengewa mabilioni ya mapesa kwa ajili ya maendeleo ya zanzibar. madeni ya tanesco ndiyo hayo hamuwezi/hamtaki kulipa. Do u really believe kuna kitu mnaidai Tanganyika??

..kwa mtizamo wangu sidhani kama kutakuwa na athari yoyote ile kwa Tanganyika ikiwa muungano utavunjikwa. kama ni kuilipa fidia Zanzibar, basi hata sasa hivi tunafanya hivyo kwa kuwapa mapesa yasiyo na maelezo.

..wakati mwingine najiuliza, hivi anayetakiwa kumlaani Nyerere kwa madhila yaliyoletwa na muungano ni sisi wa-Tanganyika au nyinyi wa-Zanzibar?

cc: Nguruvi3, Wickama, Ritz, THE BIG SHOW, Mag3, SHEIKH FARID, Yericko Nyerere, Mohamed Said

Jokakuu hivi unaposema muungano leo hata ukivunjika watanganyika hamna shida hivi hatakama ni hiyo ruzuku inayotoka Tanzania bara unataka kuniambia nchi za nje hazichangii halafu leo hii nchi nchi za nje zikigoma kutoa pesa kuchangia bajeti serikali povu linawatoka na hii yote inaonyesha hata serikali ya watanganyika ni tegemezi kwahiyo punguzeni chuki wakuu asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Kila siku siku zote napenda kukushauri pinda mgongo ufundishwe na wajuvi wa historia kama Mohamed Said, hebu angalia unavyojichanganya hapa na hii historia yako kwa faida ya Wanaukumbi ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.

Wanaukumbi hapa tunaambia Sheikh Issa kazaliwa mwaka 1846 halafu amekutana na Askofu Maranda mwaka 1948 kwa hiyo tunaona Sheikh Issa alikuwa tayari na umri wa miaka 102. mtu mwenye umri huu anaweza kweli kufanya harakati za siasa mfano mdogo tu Nelson Mandela saizi ana umri wa miaka 94.

Wanaukumbi hapa tena Yericko anajichanganya tena, AA iliundwa mwaka 1929 tukiangalia mwaka huo Sheikh Issa atakuwa na umri wa miaka 83, kweli umri huu mtu anaweza kuwa na nguvu ya kuvua samaki.

Wanaukumbi hapa tena Yericko anajichanganya mwaka 1954 Sheikh Issa alikuwa na umri wa miaka 108, ha haa ha, hebu hapa chini tumsome Nyerere mwenyewe kwenye hotuba yake ya kuanga wewe unasema habari za mwaka 1954 Nyerere mwenywe anasema habari za mwaka 1952, ha haa haa, hizi bayana zina tashtit.

Julius Nyerere.‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.

Julius Nyerere"Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.

Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.
Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni (Dar es Salaam). Akasema: Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza. Wanakutaka usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.

Huyu Sheikh Issa ameishi vipi vyote kuanzia AA, TAA. TANU, CCM maana ujasema alifariki lini.

Unajifanya mjuvi ilihali hujui kitu,

Unaleta kejeli na matusi mwisho unaomba kupewa darasa?

Nakujuza kuwa mzee wetu Shehe Issa Bin Amir amefariki 26 januari 1953 akiwa na umri wa miaka 107!

Hoja zingine zote naomba uzijibu kwa swali hili,

1) Je Mwalimu Cesil Matola alikuwa na Umri gani 1929 wakati anakuwa rais wa KWANZA wa AA?

2) Ally Ramadhan alikuwa na umri gani wakati anachaguliwa kuwa Muweka hazina wa kwanza wa AA?

3) Klest Sykes alikuwa na umri gani wakati anachaguliwa kuwa katibu mkuu wa AA?

Ukijibu haya naomba jibu na hili:

Je unadhani Shehe Issa Bin Amir alikuwa na umri gani mpaka viongozi wa AA wakamheshimu na kutumia hekima zake?!

Tumia akili unayofundwa kila siku hapa jf
 
Zumbemkuu,
Katika hii historia ya kuasisi TANU na historia ya Nyerere katikia TANU pale
New Street hakika wazee wangu hawana mfanowe.

Ikiwa huu unaona ni ubinafsi ni bahati mbaya.
na iwe hivyo mkuu, babu yangu kule lushoto alitembea kwa miguu umbali mrefu, toka mlalo hadi Tanga mjini katika harakati za kudai uhuru leo useme wazee wako wa new street ndo waliotuletea uhuru........!!!!!
 
Wickama,
Sijisifu lakini ningependa jamvi lielewe kitu kimoja.

Mimi ndiye mtafiti wa kwanza kuandika maisha ya Sheikh Hassan bin Amir.

Nilikuja kujua kuwa sheikh alikuwa mwanasiasa baada ya kusoma katika
nyaraka za Sykes na kukuta kuwa 1950 alikuwa katika TAA Political Sub
Committee.

Kuanzia hapo ndipo nilipoanza kumtafiti na mwishowe nikaandika kitabu.
Mswada sikuuchapa nilipoambiwa na Dk Ziddy kuwa anaandika kuhusu
sheikh.

Hiyo mikutano haikuwa mikutano bali ni darsa alizokuwa akitoa Msikiti
Ngazija na Badawy.

Sawa MS; Baada ya heshima yako, i will give you the benefit of the doubt. Ila one thing which must be told ni kuwa he errored kukataa kuwa kwenye cabinet. He missed the opportunity ya kuchangia kurekebisha au kusaidia from a vantage point. Kwa MAONI yangu huwa ni rahisi kusaidia ukiwa ndani ya mfumo kama cabinet. The point iam making ni kuwa KK amesaidia sana masuala ua university ya pale Morogoro kwa vile alikuwa na hiyo vantage point. In life vita siyo silaha tuuuu, ni pamoja na STRATEGY. Shukran MS.
 
Zumbemkuu,
Katika hii historia ya kuasisi TANU na historia ya Nyerere katikia TANU pale
New Street hakika wazee wangu hawana mfanowe.

Ikiwa huu unaona ni ubinafsi ni bahati mbaya.

Ukiwa mbinafsi na mbora mimi kamwe huwezi kuandika historia ya nchi inayohusu makabila zaidi ya 120 na inayohusi imani zaidi ya tano nchini!

Utabaki na kikundi cha wanafiki na wafitini tu ndio wataokuunga mkono!
 
na iwe hivyo mkuu, babu yangu kule lushoto alitembea kwa miguu umbali mrefu, toka mlalo hadi Tanga mjini katika harakati za kudai uhuru leo useme wazee wako wa new street ndo waliotuletea uhuru........!!!!!

Zumbe; Uko sawa kabisa ndugu yangu. Kuna maradhi mapya ya kudhani kuwa mikoani kulikuwa na magodoro tuu. Vichwa vyote vilikuwa kwenye familia moja. Ndio historia inayopigiwa debe hapa. Uko sawa kabisa. Hela ambazo hawa WAJANJA walizokuwa wanachota toka WANACHAMA wa mikoani (wanaita Matawi) wala hazisemwi. Ukiangalia kama Dar walipigana hata kajivita na wakoloni HAMNA, kama Dar hata wali-harass wauza watumwa HAMNA, au labda Dar wali-support vita kama Majimaji, HAMNA. Mkwawa kapigana jamaa wananunua samaki ferry. Leo ndio wanaosema eti wazee wetu mikoani walikuwa bongolala!!!!! Ila jamaa yao mmoja tuuu. Wabasema kua uyaone.
 
Back
Top Bottom