Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Je? ilikuwa halali kwa muislam Kreist Mbuwane kushirikiana na makafir kwenda kumpiga vita muislam mwenzie Mkwawa? Je Kufa maji kwa Mbuwane ilikuwa adhabu ya Allah dhidi ya dhulma aliyokuwa anafanyiwa Mkwawa na makafir?

Maulaga,
Hivi hiyo ndiyo sura yako?

Utawapata wa sampuli yako.
Vuta subira mie staili yangu
ni nyingine kabisa.

Soma post zangu za nyuma
utanifahamu.
 
Ndugu Uthman, natoa rai kwako na kwa watu wengine kuwa waangalifu katika kufanya uchambuzi wa masuala mazito kama haya.

Ukiamini kuwa sheikh Chambera alitoa hoja ya kanisa kupinga uhuru kama kanisa, au kuamini kuwa kwavile fulani ni mwislam basi jitihada zake katika uhuru zilichagizwa na Uislam, mwisho wa siku unaweza kujikuta katika maswali usioweza kuyajibu na hivyo hoja zako zikawa teke teke.

Nikukumbushe kwanza ya kuwa siasa na dini kuna wakati zinaingiliana na si kila wakati.
Sheikh Amir, Mufti wa Tanganyika alipingana na wanafunzi wake mmoja wapo akiwa Sheikh Chaurembo juu ya mambo ya kisiasa. Nikuulize, je hilo lilitosha kumuondoa Chaurembo katika Uislam! (Hili la ugomvi wa mwl na mwanafunzi lina hoja naiweka kiporo)

Hili la kusema watu wa imani nyingine ni potofu sana. Si lazima ukubaliane na Mohamed ili uwe mwislam. Na si kila anayekataa habari za Mohamed ni mtu wa imani nyingine. Mbona wapo wa Imani nyingine wanakubaliana na Mohamed?

Sasa kama ukisema watu waliopigania uhuru walichagizwa na Uislam, na nadhani imani inaruhusu kutodhulumiwa, kuna school of thought itakayouliza, hivi znz kituo cha watumwa kuelekea bara Arab kwenye Uislam achilia mbali znz yenyewe kama kitovu cha Uislam East and central Africa, unyama huo ulifanywa kwa Uislam au ulifanywa na watu waliokuwa waislam?

Hebu tuanzie hapo bwana Uthaman

Ndugu,

Umeeleza jambo zuri sana na linalohitaji umakini sana katika kuenenda nalo!

Siasa na dini ni vitu vinavyohitaji umakini mkubwa sana kuishi na kukua navyo!

Niliwahi kuandika makala hii katika mtazamo wa historia ya siasa na dini!

UHUSIANO WA SIASA ZA DUNIA NA DINI
Historia ya siasa duniani haitengani na historia ya dini. Vitu hivi vimekuwa sambamba na vyenye mafaa kwa jamii yoyote ile duniani, lakini vikileta matatizo makubwa sana katika baadhi ya nchi duniani, matharani ubaguzi wa kiimani umeleta machafuko na uharibifu mkubwa mali pamoja na mauti dhidi ya binadamu. Vitu hivi imekuwa ni vigumu sana kutenganisha katika dunia ya leo huku machipuko ya kiimani yakija kwa kasi ya ajabu. Kwa upande wa Tanzania mfumo wa siasa umekuwa ni wa kuakisi kutoka mataifa ya Magharibi, na uakisi wake umekuwa ni kinyume.

Tukiangalia historia ya binadamu tunaona yakuwa kabla binadamu hajajishughulisha na masuala ya siasa na utawala alikuwa anajishughulisha na maswala ya dini, binadamu akawa mcha-Mungu.Ulipofika wakati wa uteuzi wa kiongozi wa jamii mtu aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo alikuwa ni yule aliyeonekana ni mcha-Mungu. Hata katika jamii zetu za kiafrika zilizotuletea kiongozi wa utawala, pia alikuwa kiongozi wa dini. Ni huyu aliyeongoza shughuli zote za utawala na za dini katika jamii.

Itatumika biblia kutoa mifano hai kuthibitisha uhusiano wa dini na siasa. Hakuna ubishi dunia inakubali yakuwa Yesu Kristo ndiye mwanzilishi wa dini ya kikristo. Hii ni kusema kuwa Yesu Kristo alikuwa kiongozi wa dini. Kwaupande wa kabila Yesu alikuwa Muebrania. Alipozaliwa nchini Uyahudi alikuta tayari watu wa kabila lake wanadini yao ya kiyahudi. Viongozi wa dini ya kiyahudi walikuwa pia watawala waliotawala kwa kutumia sheria za kiyahudi zilizomo katika kitabu chao cha sheria kiitwacho TORATI sheria hizo za dini zikawa pia sheria za utawala. Warumi walipoanzisha utawala wao, Wayahudi waliwaruhusu Warumi kufuata sheria zao za dini
ambazo pia zilikuwa sheria za utawala wao wa jadi. Kuhani Mkuu ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa dini, alikuwa mwenyekiti wa Baraza kuu la utawala lililoitwa Sanhedrin.

Ni baraza hilo ndilo lililotoa hukumu kuwa Yesu auawe (Math 26:65-69). Hata hivyo adhabu yoyote ya kifo iliyotolewa na baraza kuu la wayahudi ilibidi ithibitishwe kwanza na mtawala wa Kirumi kabla haijatekelezwa (Yohana 18:31). Kwa upande wa Yesu Kristo alipoanza kufundisha dini yake mpya alikosoa sheria za kiyahudi ambazo aliziona hazikuwasaidia binadamu kuishi kwa upendo na amani. Aliwataka wafuasi wa dini yake mpya wasiwe na tabia ya kulipa kisasi. Kwamfano sheria za kiyahudi zinasisitiza kauli ya jicho kwa jicho na jino kwa jino. Katika (Math 5:38-41) tunasoma yakuwa Yesu hakutaka sheria hizo, alisema, “Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino kwa jino, lakini mimi nawaambia msishindane na mwovu lakini mtu akupigae shavu la kuume mgeuzie na la pili na mtu atakaye kushitaki nakuitwaa kanzu yako mwachie na joho.

Uongozi safi wa kidini wa Yesu Kristu uliwavutia wayahudi wa kawaida hata wakaona anafaa kuwa kiongozi wa utawala, wakataka kumfanya awemfalme. Lakini Yesu hakuwa tayari kujiingiza mno katika masuala ya siasa na utawala (Yohana 6:15) alizoea kusema ufalme wake sio wa ulimwengu huu (Yohana 18:36) Katika mafundisho yake, Yesu hakuwahi kuwaambia wafuasi wake wasichanganye dini na siasa. Hata hivyo aliwataka wawe waangalifu katika kuyashughulikia masuala hayo mawili. Alisema,
“Ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu”. (Luka 20:25). Hakuwahi kuwataka wafuasi wake washughulike na mambo ya mungu (dini) tu na wasijishughulishe na siasa. Katika hali hii niwazi kuwa kiongozi wa dini hatakiwi kuhubiri siasa katika jengo la ibada akaacha mambo ya mungu. Vilevile anapokuwa nje ya jengo la ibada hana mwiko wakutokuzungumzia masuala ya siasa na utawala. Baada ya kufa Yesu, wafuasi wake waliendelea kujihusisha na masuala ya dini na siasa, mambo ya utawala yakiendelea kuhusishwa na dini.

“Iliaminika kuwa mamlaka yote yanatoka kwa Mungu (Warumi 13:1). Katika hali hiyo kiongozi wa Katoliki duniani Papa wa Roma alipewa mamlaka makubwa ya utawala, eneo lake la Vatican likapewa hadhi ya utawala wa nchi. Eneo hilo likapewa mamlaka kamili yakupokea mabalozi wakigeni. Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na imani ileile iliyojengeka siku nyingi kuwa kiongozi wa dini ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa utawala pia maana kwanjia hiyo atakuwa nanafasi nzuri ya kupambana na maovu. Lakini wakati Papa wa Roma anashughulikia zaidi masuala ya dini kuliko ya siasa na utawala, kuna viongozi wengine wa dini wamewahi kupewa madaraka kamili ya kushika utawala wa nchi. Mfano Askofu Mkuu Makarios wa kisiwa cha Cyprus ambaye aliwahi kutembelea Tanzania. Wakati huohuo kuna nchi duniani ziliamua siku nyingi kuwa nchi za dini mfano Uingereza ni nchi ya kikristo ambapo mishahara ya maaskofu hulipwa na serikali. Pia nchi za Saud Arabia, Moroco na Libya ni nchi za kiislamu. Si hivyo tu pia kuna nchi ambazo vyama vya siasa vya kidini vinaruhusiwa mfano Ujerumani Christian Democratic Union (CDU)

Kwa upande wa Tanzania nchi iliyozoea mapokeo, inahitaji umakini sana kupembua falsafa iliyotumika kutenganisha dini na siasa. Kwakuanzia watawala wetu, wameshikilia kuwa dini na siasa ni vitu viwili tofauti kabisa, wanasema tusichanganye dini na siasa. Wanasema nchi yetu takatifu haina dini lakini watu wake wanadini.

Hapa unatakiwa kupevuka kimtazamo na kifikra ili kuridhia kauli hiyo,

Usipotulia waweza kuibuka na dhana nyingi sana kama vile, itakuwaje nchi isiwe na dini halafu watu wake wawe na dini?

Kunaumuhimu gani wa kuiombea mema nchi hii inayoaminika kuwa mungu aliiteua kuwa kisiwa cha amani na utulivu duniani ilihali wakaazi wa nchi hii wako mlengo wa kushoto na minajili ya munyazi mungu?.

Lakini rejea kuwa inafahamika yakuwa dini ilikuwepo hata kabla ya Yesu Kristu na Mtume S.A.W hawajazaliwa.

Tanzania haina dini rasmi kama ilivyo na lugha rasmi ya Kiswahili.

Fikra za Mwalimu J.K Nyerere na waambata wake ni vigumu sana kubeza kwani zilichambuliwa kwanza kabla ya maamuzi na ndiyo maana zinakuwa na mafaa mbele ya Tanzania yenye mshikamano, upendo, amani, utulivu na isiyo na udini wala ukabila katika kizazi hiki cha nyoka.

Inaaminika kuwa mfumo uliotumika katika jambo hili ni fumbo la imani, na ndiyo siri ya amani na utulivu wa kisiwa hiki ambacho hakijawahi kuonja mtutu wa bunduki tangu enzi za akina Kinjekitile na akina Mkwavinyika (Mkwawa) kwani hata uhuru ulipatikana kwa meza ya majadiliano.
 
Je? ilikuwa halali kwa muislam Kreist Mbuwane kushirikiana na makafir kwenda kumpiga vita muislam mwenzie Mkwawa? Je Kufa maji kwa Mbuwane ilikuwa adhabu ya Allah dhidi ya dhulma aliyokuwa anafanyiwa Mkwawa na makafir?

Maulaga,

Salaam ndugu yangu. Niwie radhi kiduchu maana najua hili suali hukunikusudia mie.

Jinsi ulivyouliza hili suali ulitakiwa pia ulinganishe kiundani na Historia ya dunia ya wakti huo na zama hizo.

Nafikiri unakumbuka Wazee wetu wengi mno wa KiAfrika na pia Afrikan Amerikans,Black Latinos/Africandos and Blacks from many Caribbean Islands,walivyochukuliwa kwenda nchi mbali mbali za dunia ili kuendeleza dhulma na unyama dhidi ya ethnic minorities wenzao kwa niaba ya Wazungu.

Haya mambo yanaendelea mpaka kesho. Japo methods/structures zinazotumika sasa ni tafauti kiduchu. Takupa mfano kiduchu.

Mohammed Ali,alipothubutu kukataa kwenda Viet Nam...japo alitoa sababu njema kabisa lakini tizama sulubu na madhila alofanziwa. Baadhi ya wale waliomfanzia dhuluma zile wengine walikua ni Blacks/Afrikan Amerikans tena wasomi wenye hishma kubwa na maarufu mno. Japo baadae walikuja kujuta mno!

Hivi majuzi pia tumeona jinsi Blacks waliomo ndani ya French Army,ati nao wamo mstari wa mbele kwenda "kuikomboa" Serikali ya Mali!?ahaha!! Kumbuka baadhi yao hawana hata hiyo French Citizenship!

Kwa kifupi haya mambo ndugu yangu tangia centuries nyingi mno,yanaendeshwa na kufanzwa na Wazungu. Watu Weusi/Blacks,siku zoote tutabaki kulumbana,kufanziana kebehi na kulaumiana,lakini ni wachache mno wajuao complexities ya majambo haya kiundani.

Kwa huku East Afrika,Wazee wetu wengi mno walikusanywa na kupelekwa as far afield as Burma,India and Malay.

Sasa hatujui madhila na khabari za kiundani za huko,lakini hawahawa ndo mashujaa na waasisi wa ukombozi wetu toka kwa wale Wakoloni. Na khabari kama hizi pia utazikuta zina similarities nyingi mno kwenye History za nchi zilokua khasa chini ya British Empire. Kwa mfano Cylone/Sri Lanka,Pakistan na nyinginezo nyingi mno ambazo nina imani unazijua kwa utuvu.

Historia hii ya kutumia WaAfrika/Blacks, kutumika kama bull dogs/attacking dogs against each or sometimes against other minorities,imeanza mbali mno. Kipata fursa chungulia japo kiduchu khabari za Amerikan Civil Wars and contribution of Blacks/Afrikan Amerikans in that Wars WWI na WWII na pia miaka mingi mno kabla ya vita hizo kuu mbili.

Kama tutaanza kuchafuana kwenye majina ya Wazee wetu haina neno,lakini italazim pia tuangalie Historia kitaaluma na kwa utuvu mwingi. Kwa mfano reality ya wakti huo kidunia,Geo-politico na mengineyo mengi mno. La si hivyo huo "wino wa kuchafuana",yawezekana ukatuchafua soote!

Kuhusu hilo neno Kafir;nafikiri sijui mwenzangu uelewa wako. Lakini nakusihi uwe mwangalifu japo kiduchu kwenye matumizi ya kwalo.

Takupa mfano;baadhi ya Wanazuoni na Maulamaa wengi wanakataza kumwita Mwana-Adam yeyote Kafir kabla hajafa. Maana sisi tunaamni ya kuwa ni Allah pekee ajuaye yalopita,yalofichikana,yalo dhwahir na yajayo. Kwa maana hii huwezi kujua huyo umuitae wewe leo ni Kafir,lakini Allah aeza kumjaalia Ghusul Khatma,na labda wewe ndo ukaishia kuwa Kafir!?

Mwisho,ni kwamba kutokana na hiyo "qualification yako" ya Kafir,hapo Nyerere nae pia ana-qualify/alikuwa,kuitwa Kafir. Kama ni hivi,basi mbona hujiulizi uhalali wa wale Wazee wetu/Wana Mzizima, wengi wao wakiwa ni Waislamu na tena wakiongozwa na family ya kizazi cha huyohuyo Kleist Mbuwane Sykes;walimuenzi,kumfadhili,kumtunza,walimpenda na kushirikiana nae kwa karibu huyo Julius Nyerere!?

Niwie radhi ndugu yangu Maulaga,hapa imenilazim kuazima kisu cha Muheshimiwa Nguruvi3,maana mwenyewe anadai ati kinakata pande zote mbili.

Niswamehe kwa uchechefu wangu,na kama kuna lolote labda unahisi sijui au sifahamu,naomba unijuze.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Maulaga,
Hivi hiyo ndiyo sura yako?

Utawapata wa sampuli yako.
Vuta subira mie staili yangu
ni nyingine kabisa.

Soma post zangu za nyuma
utanifahamu.
Samahani sana mzee wangu, wala sikuwa na nia ovu juu ya hilo. Nilipenda tu kufahamu mtazamo wako ktk mchango wa watu waliopambana na wageni kwa maslahi tofauti.
 
Nanren,soma katika makubaliano ya Berlin 1884-5 hicho kipengele kipo.tuliposomeshwa historia shuleni kilifichwa makusudi

Unaweza kukiweka hapa hicho kipengele ama mkataba ule wote ili wanajamvi waone na kutambua kile ambacho hawakukijua juu ya Berlin 1884?
 
Unaweza ukatupa ushahidi zaidi kuonesha kwamba lengo moja wapo la wakoloni kuja Africa ilikuwa ni kuudhibiti uislam?
Inawezekana walienda pia South East Asia kudhibiti hinduism na Buddhism?

Nanren,

Niwie radhi ndugu yangu.

Hapa unaposema Wakoloni una maana ipi,je unachukulia/tunachukulia Wazungu woote waliokuja huku makwetu na sehemu nyinginezo duniani kwa lengo la "kutawala"/"kufanza uvumbuzi"!? Halafu kama ni hivyo unakusudia ni kuanzia labda miaka ipi kiHistoria!?

Nakuuliza hivi ndugu yangu,kwa sababu nimeona kuna pahala umemwandikia Uthman nafikiri;yakuwa hao Wakoloni/Wazungu walikuja huku kwetu "purely on economic grounds"!?

Kuna vitu nilikua najaribu kutafakuri nilipoona hizi comments/posts zako....

Nashukuru kwa kukubali kunisikiza.

Ahsanta.
 
Unaweza kukiweka hapa hicho kipengele ama mkataba ule wote ili wanajamvi waone na kutambua kile ambacho hawakukijua juu ya Berlin 1884?

Hao walioambiwa hivyo ni wasomi wazuri mno,watu wazima wenye hishma na maarifa yao.

Uthman alipowajibu vile,nafikiri tayari walishamuelewa na kumfahamu. Ndo maana uliona walitumia ustaarabu na kukaa kimya.

Kumbuka kila mtu hapa jamvini ana access ya internet/informations zoote 24/7!....na kama kuna ubishi/kutoelewa kokote,nina hakika watarejea tena hapa jamvini.

Nafikiri wakti mwingine Yericko ndugu yangu,inalazim tujikite kwenye kuangalia mambo ya maana zaidi. La si hivyo huu mnakasha tutazidi kuurefusha bila ya vitu vyovyote muhimu kujadiliwa kiundani!?

Ahsanta.
 
Maulaga,

Salaam ndugu yangu. Niwie radhi kiduchu maana najua hili suali hukunikusudia mie.

Jinsi ulivyouliza hili suali ulitakiwa pia ulinganishe kiundani na Historia ya dunia ya wakti huo na zama hizo.

Nafikiri unakumbuka Wazee wetu wengi mno wa KiAfrika na pia Afrikan Amerikans,Black Latinos/Africondos and Blacks from many Caribbean Islands,walivyochukuliwa kwenda nchi mbali mbali za dunia ili kuendeleza dhulma na unyama dhidi ya ethnic minorities wenzao kwa niaba ya Wazungu.

Haya mambo yanaendelea mpaka kesho. Japo methods/structures zinazotumika sasa ni tafauti kiduchu. Takupa mfano kiduchu.

Mohammed Ali,alipothubutu kukataa kwenda Viet Nam...japo alitoa sababu njema kabisa lakini tizama sulubu na madhila alofanziwa. Baadhi ya wale waliomfanzia dhuluma zile wengine walikua ni Blacks/Afrikan Amerikans tena wasomi wenye hishma kubwa na maarufu mno. Japo baadae walikuja kujuta mno!

Hivi majuzi pia tumeona jinsi Blacks waliomo ndani ya French Army,ati nao wamo mstari wa mbele kwenda "kuikomboa" Serikali ya Mali!?ahaha!! Kumbuka baadhi yao hawana hata hiyo French Citizenship!

Kwa kifupi haya mambo ndugu yangu tangia centuries nyingi mno,yanaendeshwa na kufanzwa na Wazungu. Watu Weusi/Blacks,siku zoote tutabaki kulumbana,kufanziana kebehi na kulaumiana,lakini ni wachache mno wajuao complexities ya majambo haya kiundani.

Kwa huku East Afrika,Wazee wetu wengi mno walikusanywa na kupelekwa as far afield as Burma,India and Malay.

Sasa hatujui madhila na khabari za kiundani za huko,lakini hawahawa ndo mashujaa na waasisi wa ukombozi wetu toka kwa wale Wakoloni. Na khabari kama hizi pia utazikuta zina similarities nyingi mno kwenye History za nchi zilokua khasa chini ya British Empire. Kwa mfano Cylone/Sri Lanka,Pakistan na nyinginezo nyingi mno ambazo nina imani unazijua kwa utuvu.

Historia hii ya kutumia WaAfrika/Blacks, kutumika kama bull dogs/attacking dogs against each or sometimes against other minorities,imeanza mbali mno. Kipata fursa chungulia japo kiduchu khabari za WWI na WWII na pia miaka mingi mno kabla ya vita hizo kuu mbili.

Kama tutaanza kuchafuana kwenye majina ya Wazee wetu haina neno,lakini italazim pia tuangalie Historia kitaaluma na kwa utuvu mwingi. Kwa mfano reality ya wakti huo kidunia,Geo-politico na mengineyo mengi mno. La si hivyo huo "wino wa kuchafuana",yawezekana ukatuchafua soote!

Kuhusu hilo neno Kafir;nafikiri sijui mwenzangu uelewa wako. Lakini nakusihi uwe mwangalifu japo kiduchu kwenye matumizi ya kwalo.

Takupa mfano;baadhi ya Wanazuoni na Maulamaa wengi wanakataza kumwita Mwana-Adam yeyote Kafir kabla hajafa. Maana sisi tunaamni ya kuwa ni Allah pekee ajuaye yalopita,yalofichikana,yalo dhwahir na yajayo. Kwa maana hii huwezi kujua huyo umuitae wewe leo ni Kafir,lakini Allah aeza kumjaalia Ghusul Khatma,na labda wewe ndo ukaishia kuwa Kafir!?

Mwisho,ni kwamba kutokana na hiyo "qualification yako" ya Kafir,hapo Nyerere nae pia ana-qualify/alikuwa,kuitwa Kafir. Kama ni hivi,basi mbona hujiulizi uhalali wa wale Wazee wetu/Wana Mzizima, wengi wao wakiwa ni Waislamu na tena wakiongozwa na family ya kizazi cha huyohuyo Kleist Mbuwane Sykes;walimuenzi,kumfadhili,kumtunza,walimpenda na kushirikiana nae kwa karibu huyo Julius Nyerere!?

Niwie radhi ndugu yangu Maulaga,hapa imenilazim kuazima kisu cha Muheshimiwa Nguruvi3,maana mwenyewe anadai ati kinakata pande zote mbili.

Niswamehe kwa uchechefu wangu,na kama kuna lolote labda unahisi sijui au sifahamu,naomba unijuze.

Ahsanta.

Cc;Ritz

Ndugu yangu gombesugu, asante sana kwa mchango wako, ama nimeipenda sana lugha yako ya kiungwana. Niombee radhi kwa mzee wangu Mohamed naona kama ameghadhibika kidogo. wenzetu wazungu husema "to error is human". Kuhusu matumizi ya neno "kafir" nikuombe radhi wewe na wengine wote niliowakwaza kwalo. Kuna muungwana mmoja humuhumu alilitafsiri neno hilo alipokuwa anamjibu mkuu Nguruvi3, kwamba mtu yeyote asie muislam huitwa hivyo!basi kumbe kwakutotumia busara nimelitumia hivyo bila kujua kama ni "offensive", nisamehe ndugu yangu. Yaliyofanywa na wazee wetu yalikuwa na uhusiano muno na wakati, uchumi, siasa na jamii za wakati wao kama wewe ulivyo liweka bayana hapa. Nakubaliana na wewe kabisa. Nilitembelea Kilwa kisiwani mwaka jana, nilibaki mdomo wazi kuona yale magofu ya miskiti na kasri za watawala ambayo yalijengwa miaka ya 1200 - 1300. Nani walitumikishwa katika ujenzi ule hakika ni watumwa ambao majina yao hayajaandikwa popote! lakini majina ya watawala waliosimamia ujenzi huo yapo kwenye vitabu vya historia mpaka leo,wanakumbukwa! historia kumbe ni katili hivyo! Uzi huu umedumu muda mrefu ukipata wachangiaje wengi sana, kumekuwa na kila aina ya lugha nyingine za maudhi dhidi ya watu wengine, lakini wengine tumepata taarifa ambazo kama sio uzi huu hakika tusingezijua kwa hakika mimi binafsi nawashukuru wote walioleta elimu hapa hata kama kwa kufanya hivyo waliwaudhi wenzao wenye mitazamo tofauti na wao. Naamini kwa dhati ya moyo wangu kwamba hata iweje wakristo hataweza kuwaondoa waislam katika nchi hii, hali kadharika waislam nao hawataweza kuwaondoa wakristo katika nchi hii, basi tuondoe chuki zilizojengwa katika uzi huu na zinazoendelea kujengwa! Tukubali kwamba wazee wetu walipambana na ukoloni, alihitilifiana, walikubaliana na mwisho walishinda. Sisi tuichukue nchi hii walipo iacha wao tuipeleke mbele kwa pamoja tukiwa wamoja. Makovu sio vidonda na sio busara kuuguza makovu kinachouguzwa ni kidonda. "Let the by gone be by gone". Walioko madarakani wawaze namna ya kuleta maendeleo na sio namna ya kuwagonganisha watanzania ili wao waendelee kuwa madarakani! Nisamehe sana ndugu yangu gombesugu.
 
Mkuu

Umetoa mawazo mazuri sana,

Kwakweli taifa linahitaji watu wa aina yako mkuu
 
Uthman; Ukiunda theory inatakiwa ifanye kazi elsewhere. Hayo majibu yako kwa Nguruvi hataeleza kwanini Italy iliivamia Ethiopia kui-colonize huku nayo ni a Christian country. Haitaeleza waingereza kuitawala India, Australia, South Africa, New Zealand. Au Wareno ku-colonise southern America au Wajerumani kuwavamia wenzao huko Europe.

La msingi lazima ujue kila mwanadamu ana uchu wa kuondoa kudhulumiwa. Zimbabwe, Namibia, Angola, kote mapambano yalikuwa ni almost 100% Christians against Christians lakini mmoja ni colonizer. Wasaudia waliwapiga na kuwaondoa waturuki kwa ili hali wote ni moslems 100%.

Please be very objective unapo-analyse such issues.

Wickama,

Hapo nina wasiwasi na hizo figures zako za "almost 100% Christians against Christians"!?...pia Turkey sidhani yakuwa
woote 100% ni Muslims!?....jaribu kuchungulia upya hizo demographic za hizo nchi wakti huo.

Kipata wasaa embu kuchungulia upya hizi khabari/statistics zako,na kuwa mwangalifu na sources zako japo kiduchu.

Lakini kama unahisi uko sawa haina neno ndugu yangu,tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Ndugu yangu gombesugu, asante sana kwa mchango wako, ama nimeipenda sana lugha yako ya kiungwana. Niombee radhi kwa mzee wangu Mohamed naona kama ameghadhibika kidogo. wenzetu wazungu husema "to error is human". Kuhusu matumizi ya neno "kafir" nikuombe radhi wewe na wengine wote niliowakwaza kwalo. Kuna muungwana mmoja humuhumu alilitafsiri neno hilo alipokuwa anamjibu mkuu Nguruvi3, kwamba mtu yeyote asie muislam huitwa hivyo!basi kumbe kwakutotumia busara nimelitumia hivyo bila kujua kama ni "offensive", nisamehe ndugu yangu. Yaliyofanywa na wazee wetu yalikuwa na uhusiano muno na wakati, uchumi, siasa na jamii za wakati wao kama wewe ulivyo liweka bayana hapa. Nakubaliana na wewe kabisa. Nilitembelea Kilwa kisiwani mwaka jana, nilibaki mdomo wazi kuona yale magofu ya miskiti na kasri za watawala ambayo yalijengwa miaka ya 1200 - 1300. Nani walitumikishwa katika ujenzi ule hakika ni watumwa ambao majina yao hayajaandikwa popote! lakini majina ya watawala waliosimamia ujenzi huo yapo kwenye vitabu vya historia mpaka leo,wanakumbukwa! historia kumbe ni katili hivyo! Uzi huu umedumu muda mrefu ukipata wachangiaje wengi sana, kumekuwa na kila aina ya lugha nyingine za maudhi dhidi ya watu wengine, lakini wengine tumepata taarifa ambazo kama sio uzi huu hakika tusingezijua kwa hakika mimi binafsi nawashukuru wote walioleta elimu hapa hata kama kwa kufanya hivyo waliwaudhi wenzao wenye mitazamo tofauti na wao. Naamini kwa dhati ya moyo wangu kwamba hata iweje wakristo hataweza kuwaondoa waislam katika nchi hii, hali kadharika waislam nao hawataweza kuwaondoa wakristo katika nchi hii, basi tuondoe chuki zilizojengwa katika uzi huu na zinazoendelea kujengwa! Tukubali kwamba wazee wetu walipambana na ukoloni, alihitilifiana, walikubaliana na mwisho walishinda. Sisi tuichukue nchi hii walipo iacha wao tuipeleke mbele kwa pamoja tukiwa wamoja. Makovu sio vidonda na sio busara kuuguza makovu kinachouguzwa ni kidonda. "Let the by gone be by gone". Walioko madarakani wawaze namna ya kuleta maendeleo na sio namna ya kuwagonganisha watanzania ili wao waendelee kuwa madarakani! Nisamehe sana ndugu yangu gombesugu.

Maulaga,

Salaam sana,ndugu yangu. Nakuelewa kwa utuvu.

Wala usitie neno,mimi hujanikera na wala sitakereka nawe asilan. Nauona uungwana wako mpaka sasa.

Sisi soote tupo hapa kujifunza baina yetu,na wala hakuna ajuae zaidi ya mwenzie. Ndo maana unaona hata Sheikh Mohammed Said japo yeye ni Scholar/Historian,lakini mara nyingi yutayari kutusikiza pale tunapomkosoa na kumrekebisha kistaarabu.

Kwa kifupi ndugu yangu,huna haja ya kunitaka radhi maana utanifanya siku nyingine niogope kusemezana nawe.

Naomba tuendelee na mnakasha wetu taratibu ndugu yangu.

Ahsanta.
 
Gombesugu,
Ahsante ndugu yangu kwa maneno yako mazuri.

Hata sijakaa vyema hii asubuhi simu inaita jamaa
Masjid Sahaba Radio Al Nur wananiomba nende
nikafanye mahojiano na Mkurugenzi wa Radio.

Nimeitika mwito.

Tumefanya kipindi kuhusu Ahmed Rashad Ali na
mchango wake katika harakati za uhuru Afrikawakati akiendesha Radio Afrika Huru kutoka Cairo

miaka ya 1950.

Hii ni radio aloanzisha Gamal Abdel Nasser mwaka
1952 kufanya propaganda kwa niaba ya nchi zile
zilizokuwa ziko chini ya ukoloni.

Hizi ndizo taarifa kutoka Zanzibar.

Amani iwe juu yako shekhe MS hivi hayo mahojiana unatagemea kurushwa lini radioni ningependa kuyasikia kupitia 93.2 fm kwani kwa muda huu nipo z'bar na karibu z'bar.
 
Hao walioambiwa hivyo ni wasomi wazuri mno,watu wazima wenye hishma na maarifa yao.

Uthman alipowajibu vile,nafikiri tayari walishamuelewa na kumfahamu. Ndo maana uliona walitumia ustaarabu na kukaa kimya.

Kumbuka kila mtu hapa jamvini ana access ya internet/informations zoote 24/7!....na kama kuna ubishi/kutoelewa kokote,nina hakika watarejea tena hapa jamvini.

Nafikiri wakti mwingine Yericko ndugu yangu,inalazim tujikite kwenye kuangalia mambo ya maana zaidi. La si hivyo huu mnakasha tutazidi kuurefusha bila ya vitu vyovyote muhimu kujadiliwa kiundani!?

Ahsanta.

Tatizo kubwa ni mikwala ukimuuliza kitu lazima akuuliza kuwa umeufuatilia huu mnakasha mwanzo mpaka mwisho toka post ya kwanza.
 
Prishaz,
Anamtusi Sheikh Hassan bin Amir.
Mohamed Said hebu onyesha sehemu ambayo nimemtusi Sheikh Amir.

Wewe lazima ufike wakati uwe mtu mzima kweli, na utumie akili zako vema kuwasaidia vijana.
Nimeweaka maana nzima ya neno unafiki na usaliti, nikaonyesha wapi sheikh alikuwa mnafiki na wapi alikuwa msaliti.
Ulitakiwa kuisadia jamii kuonyesha wapi kweli au si kweli

Ziddy ameonyesha ugomvi wa kisiasa kati ya sheikh na wanafunzi wake akiwemo chaurembo.
Nimeonyesha Comorian alivyomuonya kuhusu siasa za pembeni.

Hili la kusema nimetukana onyesha, kama huna tulia maana napiga mapigo yasiyo na huruma kwa wanafiki kama wewe.

Wewe ndiye unapita duniani kila silu ukieneza uongo na matusi dhidi ya Nyerere.
Nyerere anaitwa dhulmati, baradhuli, habithi, mnafiki na mfitini hujakemea hilo, leo unajifanya mwislam mwema sana kukemea suala la mnafiki na msaliti.

Nyerere 'Lanatullah' akitajwa wewe umekaa kitako unakenua meno kwa bashasha leo Sheikh ambaye tumeonyesha unafiki na usaliti wake inakuuma sana! mnafiki wewe! tusi lingeuma usingehangaika duniani na mikoba kutusi watu wengine

Wewe umeandika vitabu na makala ukieleza wapi Nyerere alilala na vitoweo aliomba kwa nani.
Umemdhalilisha Yeye,Mama Maria na watoto pamoja wajukuu zake! leo eti unajua neno tusi. Mnafiki mkubwa sana

Umeoyesha jinsi alivyokwenda sokoni kuomba vitoweo! Huna haya leo unasema eti Sheikh Katukanwa.

Lazima ujiheshimu kwanza kabla hujadai hishma.

Ungekuwa unachukizwa na matusi usingefunga safari kwenda Ibadan kueneza uongo, chuki na fitna dhidi ya mtu mwingine.

Umesahau kuwa kuna aya ya warongo, wanafiki na wasengenyaji kama wewe.

Usiupumbaze umma wa kiislama kwa hadithi za kutunga na hatutakaa kimya kuona unafiki wa sheikh unaendelezwa na watu kama wewe.

Tutakupa mubashara bila haya. Jibu hoja kama huna kaa kimya! ukija jamvini tutapiga katiuka mfupa hatuoni haya! hapa si kgogovivu kwa kupelekesha watu left right. Hadi sasa unajua jinsi nguo zilivyokuanguka....
 
Mzee wetu MS kuliko kusema Nguruvi3 anajidai anajua sana ni vema ungempinga kwa hoja ili sisi wanafunzi tuzidi kufaidika, asante
Prishaz, kutukana ni sehemu ya elimu ya huyu mzee.

Tumekuwa naye katika mijadala miaka sasa unamfahamu udhaifu wake. Yeye anadai hishma lakini hatakai kutoa hishma. Anachokitaka ni watu wakae chini ya mkwaju awaeleza akimaliza wenywe maji waondoke. Hapa JF amekutana na mambo magumu.

Prishaz nakuomba sana umsamehe maana twamjua huyu mzee muda sasa.
Yeye ni mwanadamu dhaifu tu kama wengine.

Matusi ni ishara ya kubanwa na hilo ndilo limekuwa linatokea kila mara, ni mzito sana wa kuvuta subra
Ukishamuona kapindisha jwaba,kapoteza busara na anaadika hovyo hovyo ujue kuna jambo limemkwaza.
Ukiona mzee wa umri wake anatukana watu katika internet, yajuzu kumuombe dua maana ni makubwa zaidi..

Ninachokukakikishia ni kuwa hatutakuwa mbali naye ili asizidi kukiangamiza kizazi.
Miaka 15 ya ghilba, fitna,uongo na uzandiki sasa baasi. Hilo hatutamsamehe tutakula sahani moja!
 
Ndugu,

Umeeleza jambo zuri sana na linalohitaji umakini sana katika kuenenda nalo!

Siasa na dini ni vitu vinavyohitaji umakini mkubwa sana kuishi na kukua navyo!

Niliwahi kuandika makala hii katika mtazamo wa historia ya siasa na dini!

UHUSIANO WA SIASA ZA DUNIA NA DINI
Historia ya siasa duniani haitengani na historia ya dini. Vitu hivi vimekuwa sambamba na vyenye mafaa kwa jamii yoyote ile duniani, lakini vikileta matatizo makubwa sana katika baadhi ya nchi duniani, matharani ubaguzi wa kiimani umeleta machafuko na uharibifu mkubwa mali pamoja na mauti dhidi ya binadamu. Vitu hivi imekuwa ni vigumu sana kutenganisha katika dunia ya leo huku machipuko ya kiimani yakija kwa kasi ya ajabu. Kwa upande wa Tanzania mfumo wa siasa umekuwa ni wa kuakisi kutoka mataifa ya Magharibi, na uakisi wake umekuwa ni kinyume.

Tukiangalia historia ya binadamu tunaona yakuwa kabla binadamu hajajishughulisha na masuala ya siasa na utawala alikuwa anajishughulisha na maswala ya dini, binadamu akawa mcha-Mungu.Ulipofika wakati wa uteuzi wa kiongozi wa jamii mtu aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo alikuwa ni yule aliyeonekana ni mcha-Mungu. Hata katika jamii zetu za kiafrika zilizotuletea kiongozi wa utawala, pia alikuwa kiongozi wa dini. Ni huyu aliyeongoza shughuli zote za utawala na za dini katika jamii.

Itatumika biblia kutoa mifano hai kuthibitisha uhusiano wa dini na siasa. Hakuna ubishi dunia inakubali yakuwa Yesu Kristo ndiye mwanzilishi wa dini ya kikristo. Hii ni kusema kuwa Yesu Kristo alikuwa kiongozi wa dini. Kwaupande wa kabila Yesu alikuwa Muebrania. Alipozaliwa nchini Uyahudi alikuta tayari watu wa kabila lake wanadini yao ya kiyahudi. Viongozi wa dini ya kiyahudi walikuwa pia watawala waliotawala kwa kutumia sheria za kiyahudi zilizomo katika kitabu chao cha sheria kiitwacho TORATI sheria hizo za dini zikawa pia sheria za utawala. Warumi walipoanzisha utawala wao, Wayahudi waliwaruhusu Warumi kufuata sheria zao za dini
ambazo pia zilikuwa sheria za utawala wao wa jadi. Kuhani Mkuu ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa dini, alikuwa mwenyekiti wa Baraza kuu la utawala lililoitwa Sanhedrin.

Ni baraza hilo ndilo lililotoa hukumu kuwa Yesu auawe (Math 26:65-69). Hata hivyo adhabu yoyote ya kifo iliyotolewa na baraza kuu la wayahudi ilibidi ithibitishwe kwanza na mtawala wa Kirumi kabla haijatekelezwa (Yohana 18:31). Kwa upande wa Yesu Kristo alipoanza kufundisha dini yake mpya alikosoa sheria za kiyahudi ambazo aliziona hazikuwasaidia binadamu kuishi kwa upendo na amani. Aliwataka wafuasi wa dini yake mpya wasiwe na tabia ya kulipa kisasi. Kwamfano sheria za kiyahudi zinasisitiza kauli ya jicho kwa jicho na jino kwa jino. Katika (Math 5:38-41) tunasoma yakuwa Yesu hakutaka sheria hizo, alisema, "Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino kwa jino, lakini mimi nawaambia msishindane na mwovu lakini mtu akupigae shavu la kuume mgeuzie na la pili na mtu atakaye kushitaki nakuitwaa kanzu yako mwachie na joho.

Uongozi safi wa kidini wa Yesu Kristu uliwavutia wayahudi wa kawaida hata wakaona anafaa kuwa kiongozi wa utawala, wakataka kumfanya awemfalme. Lakini Yesu hakuwa tayari kujiingiza mno katika masuala ya siasa na utawala (Yohana 6:15) alizoea kusema ufalme wake sio wa ulimwengu huu (Yohana 18:36) Katika mafundisho yake, Yesu hakuwahi kuwaambia wafuasi wake wasichanganye dini na siasa. Hata hivyo aliwataka wawe waangalifu katika kuyashughulikia masuala hayo mawili. Alisema,
"Ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu". (Luka 20:25). Hakuwahi kuwataka wafuasi wake washughulike na mambo ya mungu (dini) tu na wasijishughulishe na siasa. Katika hali hii niwazi kuwa kiongozi wa dini hatakiwi kuhubiri siasa katika jengo la ibada akaacha mambo ya mungu. Vilevile anapokuwa nje ya jengo la ibada hana mwiko wakutokuzungumzia masuala ya siasa na utawala. Baada ya kufa Yesu, wafuasi wake waliendelea kujihusisha na masuala ya dini na siasa, mambo ya utawala yakiendelea kuhusishwa na dini.

"Iliaminika kuwa mamlaka yote yanatoka kwa Mungu (Warumi 13:1). Katika hali hiyo kiongozi wa Katoliki duniani Papa wa Roma alipewa mamlaka makubwa ya utawala, eneo lake la Vatican likapewa hadhi ya utawala wa nchi. Eneo hilo likapewa mamlaka kamili yakupokea mabalozi wakigeni. Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na imani ileile iliyojengeka siku nyingi kuwa kiongozi wa dini ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa utawala pia maana kwanjia hiyo atakuwa nanafasi nzuri ya kupambana na maovu. Lakini wakati Papa wa Roma anashughulikia zaidi masuala ya dini kuliko ya siasa na utawala, kuna viongozi wengine wa dini wamewahi kupewa madaraka kamili ya kushika utawala wa nchi. Mfano Askofu Mkuu Makarios wa kisiwa cha Cyprus ambaye aliwahi kutembelea Tanzania. Wakati huohuo kuna nchi duniani ziliamua siku nyingi kuwa nchi za dini mfano Uingereza ni nchi ya kikristo ambapo mishahara ya maaskofu hulipwa na serikali. Pia nchi za Saud Arabia, Moroco na Libya ni nchi za kiislamu. Si hivyo tu pia kuna nchi ambazo vyama vya siasa vya kidini vinaruhusiwa mfano Ujerumani Christian Democratic Union (CDU)

Kwa upande wa Tanzania nchi iliyozoea mapokeo, inahitaji umakini sana kupembua falsafa iliyotumika kutenganisha dini na siasa. Kwakuanzia watawala wetu, wameshikilia kuwa dini na siasa ni vitu viwili tofauti kabisa, wanasema tusichanganye dini na siasa. Wanasema nchi yetu takatifu haina dini lakini watu wake wanadini.

Hapa unatakiwa kupevuka kimtazamo na kifikra ili kuridhia kauli hiyo,

Usipotulia waweza kuibuka na dhana nyingi sana kama vile, itakuwaje nchi isiwe na dini halafu watu wake wawe na dini?

Kunaumuhimu gani wa kuiombea mema nchi hii inayoaminika kuwa mungu aliiteua kuwa kisiwa cha amani na utulivu duniani ilihali wakaazi wa nchi hii wako mlengo wa kushoto na minajili ya munyazi mungu?.

Lakini rejea kuwa inafahamika yakuwa dini ilikuwepo hata kabla ya Yesu Kristu na Mtume S.A.W hawajazaliwa.

Tanzania haina dini rasmi kama ilivyo na lugha rasmi ya Kiswahili.

Fikra za Mwalimu J.K Nyerere na waambata wake ni vigumu sana kubeza kwani zilichambuliwa kwanza kabla ya maamuzi na ndiyo maana zinakuwa na mafaa mbele ya Tanzania yenye mshikamano, upendo, amani, utulivu na isiyo na udini wala ukabila katika kizazi hiki cha nyoka.

Inaaminika kuwa mfumo uliotumika katika jambo hili ni fumbo la imani, na ndiyo siri ya amani na utulivu wa kisiwa hiki ambacho hakijawahi kuonja mtutu wa bunduki tangu enzi za akina Kinjekitile na akina Mkwavinyika (Mkwawa) kwani hata uhuru ulipatikana kwa meza ya majadiliano.

Yericko umeongea mengi lakini hayo uliyoandika ni upande wako sikukatalii huu ni mtazamo wenu ngoja nikupe mtazamo wa upande wa pili. Katika uislamu huwezi tenganisha dini na siasa kwasababa uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu na hakuna kitu kimeachwa katika kitabu kitakatifu(QURAN)masuala ya mirathi yameshahukumiwa masuala ya mwizi akiiba afanywaje, biashara mfanyaje,kiongozi akiwa dhalimu mufanyaje na mambo mengine mengi ambayo sio kataka mnakasha, turudi kwenye hoja yako ya kutenganisha dini na siasa,Yericko unataka kuniaminisha ukichanyanya dini na siasa unasababisha machafuko au ni uchochezi? na kama haiwezekani kuchanganya dini na siasa tuanzie kwenye maandiko ya kitabu unacho kiamini na mimi ninacho kiamini kama ni uchochezi basi mwenyezi mungu alianzisha yeye kwasababu nabii suleiman alikuwa ni mfalme na ni nabii,sasa hapa mwenyezimungu amechanganya dini na siasa kwahiyo na yeye alikuwa mchochezi,nabii Musa alitumwa kwa Firauni(Farao)akafikishe ujumbe kutoka kwa mwenyezi mungu Farao kwa kiburi chake alijua nabii Musa anataka kuchukua ufalme wake na wala sio dhumuni la kupelekewa ujumbe na Musa,laiti angekubali kufuata maneno aliyopewa na nabii Musa angeendelea na ufalme wake kwahiyo viongozi wa kiislamu wanaposema huwezi tenganisha dini na siasa sio kwamba wanataka madaraka wanataka mambo yaende kama mungu alivyo panga. ahsanta tuendelee na mnakasha
 
Mohamed Said hebu onyesha sehemu ambayo nimemtusi Sheikh Amir.

Wewe lazima ufike wakati uwe mtu mzima kweli, na utumie akili zako vema kuwasaidia vijana.
Nimeweaka maana nzima ya neno unafiki na usaliti, nikaonyesha wapi sheikh alikuwa mnafiki na wapi alikuwa msaliti.
Ulitakiwa kuisadia jamii kuonyesha wapi kweli au si kweli

Ziddy ameonyesha ugomvi wa kisiasa kati ya sheikh na wanafunzi wake akiwemo chaurembo.
Nimeonyesha Comorian alivyomuonya kuhusu siasa za pembeni.

Hili la kusema nimetukana onyesha, kama huna tulia maana napiga mapigo yasiyo na huruma kwa wanafiki kama wewe.

Wewe ndiye unapita duniani kila silu ukieneza uongo na matusi dhidi ya Nyerere.
Nyerere anaitwa dhulmati, baradhuli, habithi, mnafiki na mfitini hujakemea hilo, leo unajifanya mwislam mwema sana kukemea suala la mnafiki na msaliti.

Nyerere 'Lanatullah' akitajwa wewe umekaa kitako unakenua meno kwa bashasha leo Sheikh ambaye tumeonyesha unafiki na usaliti wake inakuuma sana! mnafiki wewe! tusi lingeuma usingehangaika duniani na mikoba kutusi watu wengine

Wewe umeandika vitabu na makala ukieleza wapi Nyerere alilala na vitoweo aliomba kwa nani.
Umemdhalilisha Yeye,Mama Maria na watoto pamoja wajukuu zake! leo eti unajua neno tusi. Mnafiki mkubwa sana

Umeoyesha jinsi alivyokwenda sokoni kuomba vitoweo! Huna haya leo unasema eti Sheikh Katukanwa.

Lazima ujiheshimu kwanza kabla hujadai hishma.

Ungekuwa unachukizwa na matusi usingefunga safari kwenda Ibadan kueneza uongo, chuki na fitna dhidi ya mtu mwingine.

Umesahau kuwa kuna aya ya warongo, wanafiki na wasengenyaji kama wewe.

Usiupumbaze umma wa kiislama kwa hadithi za kutunga na hatutakaa kimya kuona unafiki wa sheikh unaendelezwa na watu kama wewe.

Tutakupa mubashara bila haya. Jibu hoja kama huna kaa kimya! ukija jamvini tutapiga katiuka mfupa hatuoni haya! hapa si kgogovivu kwa kupelekesha watu left right. Hadi sasa unajua jinsi nguo zilivyokuanguka....

yani yeye shehe bin amir ni mungu asiguswe ila Nyerere ni Laanatulaah mze mbaya sana huyu. Na malipo ya ufedhuli wake atayapata kwa Mungu
 
Shariff gombesugu,

Nipo barazani namsoma kwa utui ndugu yetu Nguruvi3, kaamua kufunguka.

Waalahi nimeogopa tashitit za jamaa anasema anapiga mapigo yasiyo na hurumu...ha ha haaa.

Walaahi kazi anayo kajitoa muanga kupambana yeyote atakayemsema vibaya "Baba wa Taifa" lakini hakuna neno anacho kisu chake kina kata nyuma na mbele japo akitumie kiduchu kisije kutukata na sisi wanyonge ha haa haa.

Watu wa makorora adeka kina hau wanaita majisifa ha haa haa
 
Last edited by a moderator:
You are absolutely correct. Nadhani UDSM hawakitumii hicho kitabu (nimesikia na kusoma humu JF sina bayana)

Kitabu kama hiki kinaweza tumiwa sana na seminary za kiislamu kwao ni muhimu kuona na kuandaa mada ya kidini au za kikiristo katika kusoma saikology ya muslim society na kuwafahamu madhaifu yao. Kwa yule ambaye anachembe ya chuki dhidi ya mtu kama Nyerere nadhani nikitabu muafaka.

Shukran kwa maoni yako.

Wickama,

Nahisi kila mnakasha unavyosonga mbele unazidi kuonyesha chuki yako binafsi dhidi ya WaIslamu/UIslamu.

Nakusikitikia saana kwa kupoteza vijiguvu vyako.

Kwani kwa "usomi wako" ndugu yangu,unahisi Psychology ya WaIslamu ina tafauti ipi na Psychology ya MTanganyika/MTanzania mwengine yeyote!?

Hivi kwanini unatumia neno "Psychology ya Muslim Society"!?

Hivi kwa akili yako,unafikiri Psychology behavior ya WaIslamu woote wa Tanganyika/Tanzania ndio inawezwa kubebwa au kuwakilishwa kwa ujumla kwenye maandiko ya kitabu cha Scholar mmoja tu!?

Nafikiri alichofanza Sheikh Mohammed Said, ni kufanza minyambulisho ya kina kuhusu Historia na kuonyesha kwa undani majaribu,dhuluma na nakma walizopitia WaTanganyika khasa WaIslamu. Pia nafikiri amejaribu kubainisha chanzo cha maswahibu,dhuluma na dhahama ziendeleazo mpaka leo hapo dhidi ya WaIlsamu wengi.

Hapa kinachogomba ni mitazamo tafauti,nafikiri si jambo baya kwa uhuru wa kifikra khasa za kitaaluma.

Takupa mfano kiduchu,hivi utajisikia vipi wewe kama Mkristo mtiifu; utakaposikia comments/kauli za "Mchovu fulani wa maisha",akijaribu ku-justify na kunasibisha mentality za Wakristo woote wa Uganda/Duniani na Psychology/mental ability ya yule "Nabii" Joseph Kony!?

Do you realize that kind of words/terminology is extremely offensive,discriminatory and bordering into bigotry!?

Unakumbuka maneno na sentiments kama hizo ndizo A. Hitler,Mussolini,W.Churchill na maluuni wengineo wengi walikua wakitumia ku-justify zile anti-semitism,fanatism na racism zao!? Watu wengi Blacks na Asians mpaka leo wanakua described kwa kutumia hizo hizo derogatory term/s!?

Kwa kifupi,napata huzuni nyingi khasa kusikia watu weusi ati nao wakitumia maneno na kashfa kama hizo kwa wenzao.

Infact,we Muslims feel extremely offended and violated by your vicious and arrogant comments.
It seems to me that in your mindset, you put Muslims in a different Psychology behavior far from other Human beings!?

You know what,just get over it,cause Muslims/Islam is here to stay!

Ahsanta.

Ps: Am I therefore become your enemy,because I tell you the truth!?-Galatians 4:16

Bora chuki inakaa moyoni yeye kaenda mbali zaidi kejeli, dhihaka na dharau lakini hakuna shinda Muslim population in 2013 in the world is 3.5 billions, Muslim is the fasters growing religion in the world, kauzu mmoja akipoteza muda wake kuwaponda anajisumbua.

Alhy Baabu, gombesugu, nadhani muda kiduchu uliokaa humu jamvini umewasoma watu wote tabia zao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom