Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed, unapomuasa Yericko ajitulize na kufikiri kabla ya kuandika ningependa uiangalie kauli hiyo na kuona kama si muhimu sana kwako.

Mohamed, si kweli kuwa Nyerere alijiunga na TAA alipokuja Dar es Salaam. Tumekuonyesha kuwa alikuwa katibu wa Tawi Tabora. Unless useme TAA ilikuwa New street peke yake, kauli yako inaunga mkono hoja yangu ya usahaulifu''amnesia''.

Pili, mitaa ya kipata, mkunguni n.k haikumfikisha Nyerere kileleni! Tanganyika ni zaidi ya Narung'ombe na kirk street.
Unaposema hayo unadhalilisha wazee wetu wengine waliopigania uhuru wa nchi hii eti kwasababu hawakuwa karibu na Kipata, mkunguni au Jang'ombe.

Tatu, Nimeshangaa uliposema Nyerere ni baba wa taifa! nadhani umelenga kumsema kwa njia isiyo sahihi.
Wewe ndiye muasisi wa neno baba wa kanisa, leo unasema baba wa taifa! real.

Nne, unapokataa wazee wasidhalilishwe basi anza na kauli hiyo kwako, usiwadhalilishe wazee!
Hili la Nyerere kuishi kwa Sykes umelisema ukilenga kumdhalilisha. Haina taabu lakini usije amsha jazba pale mwingine atakapousema ukweli unaodhalilisha.Hivi siyo wewe ulichukia Amir kuitwa mnafiki hata kama ilikuwa ni hivyo?

Tano, hawa 200,000 si kuwa wanasoma historia yako, wapo wanaotoa machozi baada ya kugundua kuwa walichokisoma, kukiamini na hata kukihadithia sicho, ndiyo maana kwa umaarufu simulizi linaitwa ngano mubashara.

Sita,Katika orodha umesahau chuo kikuu cha Ibadan

cc al-khyi wote,Talib, Swahib, shariff, Mag3, JokaKuu, Jasusi,Mkuu wa chuo, Wickama, Prishaz,wanajamvi
 
Kizungu ni lugha ya mfumo kristu,

Sijui unapingaje mfumo huo ilihali wewe ni muumini wa kizungu?

Nilitegemea wewe usimame kwa lugha za wazee wako wa kizulu,wanubi na wamanyema!

Basi simama kwa lugha imara ya mtanganyika/afrika

Ha ha haa.... na wewe unajua kiswahili kimeiba maneno mengi kutoka lugha ya watoto wa madrasa(kiarabu)au na wewe ni mtoto wa madrasa? "talk is cheap,price is free"
 
Ha ha haa.... na wewe unajua kiswahili kimeiba maneno mengi kutoka lugha ya watoto wa madrasa(kiarabu)au na wewe ni mtoto wa madrasa? "talk is cheap,price is free"

Boko Haram,
Naona mnakasha unazidi raha.

Hebu nishauri nimuombe Shariff Ritz amwage sahani ngapi
za mandi na vidumu vingapi vya juisi ya Azam jamvini.

Hivi unajua kuwa nimepata kuzungumza University of Medina,
nimepita Khartoum...

University of Ohio sikuisahau ila vyuo vinachosha kuvirejea tena
na tena, Sokoine nk. nk.

Kumbe vinawachonyota nilikuwa sijui.

Boko Haram hivi unajua kuna kitabu cha Waandishi wa Afrika Oxford
University Press Nairobi (Anthology) waandishi kemkem kutoka Afrika
Kusini, Algeria nk. Tanzania tumo na ni MS.

Wakati mwingine huniingia huruma nisomapo hamaki zake sasa haya
utayafutaje?

Kazi hizi zitaishi hata nitakapokuwa sipo na hii JF imenipa uwanja wa bure.

Sasa si ndiyo maana napata maradhi ya "kusahau?"
Mkumbushe Shariff asikose haluwa kutoka mitambo ya Shariff Gidemi.
 
Sheikh Mohammed Said,

Insha Allah,you will always remain blessed and truthfully to your Country.

Ahsanta.

Cc;Ritz
gombesugu, to say the truth Mohamed Said has never been truthfully to this country! actually he is more dangerous and venomous than a cobra to our peaceful country. May god, if there is any, curse him!
 
Wickama,
Ndugu yangu.


Niwie radhi umeniandikia Kizungu nadhani ukiamini mimi nakijua vyema.
Hapana sikimudu ndiyo maana nimekujibu Kiswahili najua hutojali.
Naamini Wickama atalitegua kejeli lako. Unapenda kukejeli ukirudishiwa hukawii kupiga mayowe mzee mzima!
 
Halafu ukiwa shabiki bila kutumia akili unaweza kudharirika kama unavyojidharirisha wewe hapa! mapambano ya kudai uhuru hayakujengwa na kufanywa kwa misingi ya imani za wapambanaji! kwani wasukuma waliotoa michango mikubwa ya fedha kwa TANU wote walikuwa waislam? Kweli Mohamed Said alaaniwe kwa kukunywesha sumu ya udini mpaka unakuwa zuzu la kutupwa!
 

Msamehe tu huyo,

Hajui atendalo na siku akijua atajilaani kwelikweli
 
Nguruvi3,

Ulichoandika ni fikra zako binafsi kuhusu Nyerere wewe unalazimisha kuwa Nyerere alikuwa anajulikana siku nyingi Dar es Salaam.
Wanajamvi baada ya kumsoma ndugu yetu Nguruvi3, hebu hapa chini tumsome Nyerere kwa ushui anavyoelezea mitaa ya Wazee wetu Kariakoo, mitaa ya Narung'ombe na kirk street. alivyoingia kwa mara ya kwanza.
Wanaukumbi nadhani mmemsoma Nyerere mwenyewe, hebu fanyeni fikra kidogo kisha jiulizene Kasela Bantu alimpeleka Nyerere kwa Sykes kufanyaje.

Cc .. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
gombesugu, to say the truth Mohamed Said has never been truthfully to this country! actually he is more dangerous and venomous than a cobra to our peaceful country. May god, if there is any, curse him!

Gwalihenzi,

How can we be a new generation of Tanzanians,if we can't even counter ourselves with civil and intellectual and/or proofs to possibly correct them or meet in a place where both views can be respected!?

I think what you are doing to Sheikh Mohammed Said, is typical Cyber bullying and intimidation which can amount to harrasement...and this goes further down to show how low and cheap you are my good friend!

I hope you will listen and try to change a bit!?



Ahsanta.
 
Shariff,
Umri huu nianze kisomo cha ngumbaro.

Kweli nitakiweza Kimombo mie yes yes
Mzungu kala mafenesi!

Lakini si unawajua jamaa zangu hapa barzani
watanicheka.

Haya bwana nitajitahidi hivyo hivyo In Sha Allah.

Sheikh Mohammed,

Salaam.

Sitie shaka,huyo atakae kucheka wewe kwa umombo,itakua hajijui wala hajitambui.

Nakupa kipande kiduchu cha nduguyo umpendae hapa chini:

"I have travelled more than anyone else and I have noticed that even Angels speak English with an accent"-Pudd'nhead.
By Mark Twain.

Najua ushanifahamu kiundani!ahaha!!

Insha Allah,tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Gombesugu; I read through the Mississipi code. And, please note Iam not zombish as you once insulted me. Good dayBut, Your consoling words in the posting are due and timely. Congrats.

Wickama,

Now I know your interpretational angle is flawed.

I thought is done and dusted between us as you suggested!?

I'm afraid this is the last post you gonna get from me.

I'm covering my ears like a Kid,your words mean nothing...I go la la la! Tune!!
 

Gombesugu muereze huyu jamaa aerewe chezea watoto wa madrasa alijua watoto wa madrasa hawajui kithungu ha ha haa... tuendelee na mnakasha. ahsanta
 

Alhy Habiby gombesugu,

Nasoma bayana zako mpaka kina Akita na Airedale Terriel wanalia ndani hapa..ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:

Sheikh Mohammed,

Vitawachoma nyoyo saana...sitie khofu nyingi,hawa ni Wenzetu tu,mwisho wa siku italazim watufahamu japo kiduchu.

Hatuwezi kuwatupa asilan,itakuwa ni kinyume cha maadili tulofundishwa na Wazee wetu...na hata tukitamani kuwatupa,je tutamtupia nani!?...Wazee wetu/Waswahili walinena yakuwa; "Tikiti bovu lishambani mwako"!

Kwa kifupi kabla hujamuagiza Shariff Ritz hiyo Haluwa ya Shariff Gidemi pale Mchikichi na Livingstone au SikuKuu nafikiri!?...

Tafadhali nipa fursa na mimi kuleta Msanja wa Mrisho Mkukuninga tokea pale Kitopeni na Beni Bati la Rashid Kishingo, huku nae Binti Sungura wa pale Congo na Rufiji akionyesha "Mizungu" yake kwa ile ngoma yetu yenye kupendeza ya Kilua!ahaha!!

Kufunga dimba naomba nikumalizie na Mzee wetu mwingine Bi Hawa Bint Maftah wa pale Mkunguni....kwa kipande chake hiki kiduchu cha "Hongera Mwanangu" kama ulivyotujuza:

Hongera Mwanangu,hongera!
...na mimi Mamiye leo hongera.

Nyamala Mwanangu,Nyamala Mwanangu Sungu la udere linauma mno.
...Oyee linauma mno!ahaha!!

Namsubiria Shariff Ritz,kama pana pahala nimekosea au kuchanganya basi tanisawazishia Insha Allah.

La si hivyo,tafadhali tuendelee na mnakasha wetu taratibu...burdan walaa sharaba!

Ahsanta.

Cc;Shariff Ritz,Al Khalifa The Big Show
 
Ritz, spinning hazisaidii kitu. Mohamed kasema ''Nyerere alipokuja Dar kujiunga na TAA'' mimi sijasema neno tofauti nimenukuu maneno ya Mohamed na wala hakuna mahali niliposema 'kujulikana''.

Hata hivyo tumeshaonyesha kuwa alikuwa anajulikana huko nyuma kwasababu alikuwa katika siasa wakati Abdul anatumia jina la familia. Mzee analijua hili na hajaweza wala hataweza kukanusha.

Let be honest kwa kile mtu anachoandika na wala si kufanya spinning. Narudia Mohamed hakusema neno kujulikana na wala katika majibu yangu hakuna neno kujulikana. Hayo ni maneno umeniwekea ili kumnusuru

Huwa najiepusha sana kuwa na mijadala na wewe kwababu umejaa spinning zilziopelekaea Invisible kukupa ban.
Haionekana kama unafahamu kadhia ya tatizo hilo kwa wengine.

Kwanini unakuwa hivi? ndio kusema umeelewa sana mafunzo ya Mohamed au!
 
Gombesugu muereze huyu jamaa aerewe chezea watoto wa madrasa alijua watoto wa madrasa hawajui kithungu ha ha haa... tuendelee na mnakasha. ahsanta

Alhaj Boko Haram,

Salaam nyingi Wallahi zikufikie Al Akhiy.

Ni wajibu kufahamishana bila ya shari wala ugomvi na hawa ndugu zetu.

Lakini mie hupenda na kufurahi mno,pale uzungumzapo kile ki-Congo chako!ahaha!!

Insha Allah,Mola taleta Salama na Kheir nyingi baina yetu soote kama Watanzania, na kutuondeshea Hasada zinazotunyemelea kila kukicha!

Ahsanta.
 

Muheshimiwa Nguruvi3,

Niwie radhi kuingilia mazungumzo yako na nduguyo Shariff Ritz.

Najaribu kukufahamu point yako ndugu yangu. Lakini usitumie hicho kikosa kiduchu kupata sababu ya kufanza Lobbying ati Ritz afungiwe tena!?

Ndo itasaidia nini!? Nafikiri kama ni kweli kafanza kosa,la muhimu ni kufahamishana kiungwana na nina imani nae atakusikiza kwa utuvu.

Tafadhali, naomba usikereke saana ndugu yangu. Nakusihi tuendelee na huu mnakasha bila ya kinyongo.

Nakutaka radhi kwa huo uchechefu wangu,na pia nashukuru kwa kunisikiza.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 

Al khabii\bi Gombesugu.

Hii ndio haswa tarbiya al islam tunayotakiwa kuwa nayo. yaani kumtakia mwenzako kheir zaidi na kumuombea aepushwe na mabaya.

Allah akubarik sana.

maa salaam
 


Gombesugu,
Umenipeleka mbali sana.

Nami nakupa hiki kipande najua kitakurudisha mbali sana katika viwanja vya
Mnazi Mmoja 1954/55 wakati TANU changa mno na wazee ndiyo wanakusanya
nguvu kupambana na Muingereza.

Namuona shangazi yangu Bi Hawa Biti Maftah nawaona na Bantu Group ya Rashid Sisso:

There was a lelemama song which was turned out to be Nyerere's clarion and it was only sung for him and to no one else.

The song became so popular that when it was sung in the TANU meetings the whole crowd would join in.
The lyrics went like this:

‘Muheshimiwa nakupenda sana,
Wallahi sina mwinginewe,
Insha Allah Mungu yupo,
Tanganyika tutajitawala.'

(Respected leader I love you, truly there is no one else, God willing Tanganyika shall be free).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…