Ha ha haa Ritz, huo uwezo wa kudadavua utakuwa umeutoa wapi?
Kusema kweli ni heri hata ungekaa kimya, huoni gombesugu kakaa kimya bado anatafakari? kwa hili jibu lako nina wasi wasi na kiwango chako cha uelewa...no wonder wewe ni katika wale wale wanaomeza ngano za Mohamed Said bila kutafuna. Tatizo lako lingine ni kuwa unaamini Muislaam asiyekubaliana na mwalimu wako Mohamed Said,
Hapana Ritz, hii si vita kati ya Waislaam na Wakristo, ni kati ya wanafunzi watiifu wa Mohamed Said wanaofyonza tu nilichotaka kuonesha ni wajibu wa kila mzalendo mwenye mapenzi kwa taifa hii, kuwakemea wachochezi kama Mohamed Said bila kujali tofauti za kiitikadi, kidini wala kikabila.
Ritz unazidi kudhihirisha ulivyo na uelewa finyu... Kama unakiri kuwa Uislam na Uarabu ni vitu viwili tofauti, hapo tupo pamoja ila kwa hapa tafadhali sana ujue siongelei dini, naongelea jamii ya Kiarabu...na hapa sijaongelea mateka wa kiume kuhasiwa na kugeuzwa "beasts of burden and pleasure" na mateka wa kike kufugwa kama "tools of production and pleasure".
Bado nasubiri majibu kwa maswali yangu manne.
Muheshimiwa Mag3,
Hodi hodi,leo nimekuja. Ati vile vyako vyako viroja,ndo walinena mie kukimbia hoja!?
Ndugu yangu Mag3,Wallahi nalishikwa na vijishughuli niwie radhi. Si kweli yakuwa ati nalikua natafakuri hizo "hoja" zako!ahaha!!
Mara nyingi nimejaribu kukuasa ndugu yangu,yakuwa haya mambo ya Utumwa tuyaache au ifunguliwe Thread yake makhusus!? Hivi vitu vina elements nyingi mno za mambo ya Udini.
Tushasema mara kadhaa hapa Jamvini,sisi hatupo hapa kuutetea Utumwa ulofanzwa na Waarabu wala dasturi zao mbaya zozote. Nilishawahi kufahamishana na ndugu yangu JokaKuu; yakuwa huu Utumwa ulianza Centuries nyingi mno hata wakti Mtume Muhammad hajazaliwa/hajaletwa duniani!
Naona hapa juu umetaja Beasts,basi nami takupa kiduchu...
A Woman Rides The Beast:
Many are amazed to discover in the book of Revelation chapter 17,that there is a mysterious character at the heart of Prophecy -A Woman who rides the Beast.
Who is the Woman arrayed in scarlet and purple!?
Tradition says she is connected with the Church of Rome. But isn't such a view outdated!?
After all,today's Vatican is eager to join hands with Evangelicals and all Religions worldwide.
The remarkable clues in Revelation 17 and 18 prove the Woman's identity beyond reasonable doubt.
Angalia na hiki kituko kingine ndugu yangu Mag3:
Cardinal Secretary of State Eugenio Pacelli(later become Pope Pius XII) signed the Concordat between Nazi Germany and the Vatican at a formal ceremony in Rome on 20th of July 1933.
Nazi Vice-Chancellor Franz Von Papen was on attendance. The Concordat effectively legitimized Hitler and the Nazi-Germany to the eyes of Catholicism,Christianity and the World.
Hiki kituko kingine nacho nina imani pia unakijua kwa undani,lakini mimi nakukumbusha kiduchu tu ndugu yangu:
Inquisition:
The Medieval Inquisition is a series of Inquisition(Roman Catholic Church bodies charged with supressing heresy) from around 1184,including the Episcopal Inquisition(1184-1230's).
It was in response to large popular movements throughout Europe considered apostate or heretical to Christianity,in particular Catharism and Waldensians in Southern France and Northen Italy. These were the first Inquisition movements of many that would follow.
Torture was used after 1252. On May 15,Pope Innocent IV issued a Papal bull entitled Ad Exstirpanda,which authorised the use of torture by Inquisitors.
The Inquisitors were forbiden to use methods that resulted in bloodshed,mutilation or death. One of the more common forms of Medieval Inquisition torture was known as Strappado.
The hands were bound behind the back with a rope,and the accused was suspended this way,dislocating the joints painfully in both arms!
Weights could be added to the legs dislocating those joints as well.
The organisation is still alive today under the name of The Congregation for the Doctrine of the Faith.
Prior to becoming Pope Benedict XVI,Cardinal Ratzinger was The Head of the Congregation!
Natumai tanisikiza huo uchechefu kiduchu.
Ahsanta.
Ps;Kipata fursa nyingine kiduchu takurejea kwa ile bayana yako nyingine Insha Allah.