Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ha ha haa Ritz, huo uwezo wa kudadavua utakuwa umeutoa wapi?

Kusema kweli ni heri hata ungekaa kimya, huoni gombesugu kakaa kimya bado anatafakari? kwa hili jibu lako nina wasi wasi na kiwango chako cha uelewa...no wonder wewe ni katika wale wale wanaomeza ngano za Mohamed Said bila kutafuna. Tatizo lako lingine ni kuwa unaamini Muislaam asiyekubaliana na mwalimu wako Mohamed Said,

Hapana Ritz, hii si vita kati ya Waislaam na Wakristo, ni kati ya wanafunzi watiifu wa Mohamed Said wanaofyonza tu nilichotaka kuonesha ni wajibu wa kila mzalendo mwenye mapenzi kwa taifa hii, kuwakemea wachochezi kama Mohamed Said bila kujali tofauti za kiitikadi, kidini wala kikabila.
Ritz unazidi kudhihirisha ulivyo na uelewa finyu... Kama unakiri kuwa Uislam na Uarabu ni vitu viwili tofauti, hapo tupo pamoja ila kwa hapa tafadhali sana ujue siongelei dini, naongelea jamii ya Kiarabu...na hapa sijaongelea mateka wa kiume kuhasiwa na kugeuzwa "beasts of burden and pleasure" na mateka wa kike kufugwa kama "tools of production and pleasure".

Bado nasubiri majibu kwa maswali yangu manne.

Muheshimiwa Mag3,

Hodi hodi,leo nimekuja. Ati vile vyako vyako viroja,ndo walinena mie kukimbia hoja!?

Ndugu yangu Mag3,Wallahi nalishikwa na vijishughuli niwie radhi. Si kweli yakuwa ati nalikua natafakuri hizo "hoja" zako!ahaha!!

Mara nyingi nimejaribu kukuasa ndugu yangu,yakuwa haya mambo ya Utumwa tuyaache au ifunguliwe Thread yake makhusus!? Hivi vitu vina elements nyingi mno za mambo ya Udini.

Tushasema mara kadhaa hapa Jamvini,sisi hatupo hapa kuutetea Utumwa ulofanzwa na Waarabu wala dasturi zao mbaya zozote. Nilishawahi kufahamishana na ndugu yangu JokaKuu; yakuwa huu Utumwa ulianza Centuries nyingi mno hata wakti Mtume Muhammad hajazaliwa/hajaletwa duniani!

Naona hapa juu umetaja Beasts,basi nami takupa kiduchu...

A Woman Rides The Beast:

Many are amazed to discover in the book of Revelation chapter 17,that there is a mysterious character at the heart of Prophecy -A Woman who rides the Beast.

Who is the Woman arrayed in scarlet and purple!?

Tradition says she is connected with the Church of Rome. But isn't such a view outdated!?

After all,today's Vatican is eager to join hands with Evangelicals and all Religions worldwide.

The remarkable clues in Revelation 17 and 18 prove the Woman's identity beyond reasonable doubt.

Angalia na hiki kituko kingine ndugu yangu Mag3:

Cardinal Secretary of State Eugenio Pacelli(later become Pope Pius XII) signed the Concordat between Nazi Germany and the Vatican at a formal ceremony in Rome on 20th of July 1933.

Nazi Vice-Chancellor Franz Von Papen was on attendance. The Concordat effectively legitimized Hitler and the Nazi-Germany to the eyes of Catholicism,Christianity and the World.

Hiki kituko kingine nacho nina imani pia unakijua kwa undani,lakini mimi nakukumbusha kiduchu tu ndugu yangu:

Inquisition:

The Medieval Inquisition is a series of Inquisition(Roman Catholic Church bodies charged with supressing heresy) from around 1184,including the Episcopal Inquisition(1184-1230's).

It was in response to large popular movements throughout Europe considered apostate or heretical to Christianity,in particular Catharism and Waldensians in Southern France and Northen Italy. These were the first Inquisition movements of many that would follow.

Torture was used after 1252. On May 15,Pope Innocent IV issued a Papal bull entitled Ad Exstirpanda,which authorised the use of torture by Inquisitors.

The Inquisitors were forbiden to use methods that resulted in bloodshed,mutilation or death. One of the more common forms of Medieval Inquisition torture was known as Strappado.

The hands were bound behind the back with a rope,and the accused was suspended this way,dislocating the joints painfully in both arms!

Weights could be added to the legs dislocating those joints as well.

The organisation is still alive today under the name of The Congregation for the Doctrine of the Faith.

Prior to becoming Pope Benedict XVI,Cardinal Ratzinger was The Head of the Congregation!

Natumai tanisikiza huo uchechefu kiduchu.

Ahsanta.

Ps;Kipata fursa nyingine kiduchu takurejea kwa ile bayana yako nyingine Insha Allah.
 
Gombesugu,
Umenipeleka mbali sana.

Nami nakupa hiki kipande najua kitakurudisha mbali sana katika viwanja vya
Mnazi Mmoja 1954/55 wakati TANU changa mno na wazee ndiyo wanakusanya
nguvu kupambana na Muingereza.

Namuona shangazi yangu Bi Hawa Biti Maftah nawaona na Bantu Group ya Rashid Sisso:

There was a lelemama song which was turned out to be Nyerere’s clarion and it was only sung for him and to no one else.

The song became so popular that when it was sung in the TANU meetings the whole crowd would join in.
The lyrics went like this:

‘Muheshimiwa nakupenda sana,
Wallahi sina mwinginewe,
Insha Allah Mungu yupo,
Tanganyika tutajitawala.’

(Respected leader I love you, truly there is no one else, God willing Tanganyika shall be free).

Sheikh Mohammed,

Insha Allah Mola takuweka na kukuzidishia kwa Ilm hii adimu,lakini wewe umeamua kuitoa bure bileshi!

Wallahi,Ahsanta saana kwa huo mpini.

Shukran.
 
Gwalihenzi,

How can we be a new generation of Tanzanians,if we can't even counter ourselves with civil and intellectual and/or proofs to possibly correct them or meet in a place where both views can be respected!?

I think what you are doing to Sheikh Mohammed Said, is typical Cyber bullying and intimidation which can amount to harrasement...and this goes further down to show how low and cheap you are my good friend!

I hope you will listen and try to change a bit!?

Ahsanta.
Oh! gombesugu a good friend and a distinguished scholar! thank you very much for your good and scholarly words put forward here! I have been going through your remarks here in JF which sometimes end up with a rebuke to people who go against Mohamed Said's opinions! You have turned youself his beloved spokesman and sometimes you go to the extreme of being his policeman. May i extend to you a friendly advice; leave all matters to the JF moderators since they are very good and smart at their duties here! May i repeat, what Mohamed Said has been doing for more than a decade now is poisonous and injurious to our beloved nation! You may not notice this because you are outside this country and you are obssessed with your religious faith! but truth and reality will always triumph. You may call me names, i don't care!
 
Al khabii\bi Gombesugu.

Hii ndio haswa tarbiya al islam tunayotakiwa kuwa nayo. yaani kumtakia mwenzako kheir zaidi na kumuombea aepushwe na mabaya.

Allah akubarik sana.

maa salaam

Barubaru,

Salaam sana Al Akhiy.

Akhsantum...Amin na Insha Allah iwe Kheir nyingi kwetu soote.

Shukran.
 
Gwalihenzi,

Some of the most kind hearted,honest,non-judgemental people I've met are either Agnostic or Atheist.

...And we don't force it down other people's throat!

Ahsanta.
True as a day light! however, most wars and killings in this world have been committed through religious zeal! a huge contradiction!
 
Gwalihenzi,

How can we be a new generation of Tanzanians,if we can't even counter ourselves with civil and intellectual and/or proofs to possibly correct them or meet in a place where both views can be respected!?

I think what you are doing to Sheikh Mohammed Said, is typical Cyber bullying and intimidation which can amount to harrasement...and this goes further down to show how low and cheap you are my good friend!

I hope you will listen and try to change a bit!?

Ahsanta.

Gombesugu,
Hawa mimi nimeishinao umri wangu wote wa kuajiriwa.
Nawajua vizuri sana.

Kinachomhangaisha huyu bwana ni hasad hana kingine.
Iweje Allah hidaya ile ampe huyu Mswahili?

Hana kingine ndiyo utaona kila akizunguka atarudi kwenye paper
ya Chuo Kikuu Cha Ibadan.

Tujaalie nimekosea kusema Robert Royall kazungumza Bungeni
wakati alizungumza bungeni lakini si kuhutubia Bunge.

Tujaalie kazungumza na Kamati ya Bunge.

Nami nimeeleza hapa kuwa taarifa hiyo nimeitoa katika mtandao
na Mwanakijiji yeye alitaja hadi mtu niliyemnukuu.

Jambo limeeleweka.
Yeye kageuza mwimbo.

Itafute movie moja kama hujaiona Stephen King - ''The Green Mile.''
Kuna ''character'' mfano wa huyu bwana.

Yeye kila akizunguka amekuwa kama santuri yenye shimo kwenye
gramafoni.

Kichwa cha gramafoni kikifika kwenye shimo kinanasa hakiondoki hapo.

Yeye kaandika nini basi katika ulimwengu huu?
Hamna kitu.

Hasad tu zinamchonyota na hasad ni maradhi mabaya sana ya nafsi.
Yanamla mtu.

Huyu mwache husda imle wala usimuopoe.
Nami sitamjibu kitu katu.
 
Sheikh Mohammed,

Insha Allah Mola takuweka na kukuzidishia kwa Ilm hii adimu,lakini wewe umeamua kuitoa bure bileshi!

Wallahi,Ahsanta saana kwa huo mpini.

Shukran.

Gombesugu,
Amin Amin Amin.

Allah akujaze kheri nyingi.
 
Muheshimiwa Nguruvi3,

Niwie radhi kuingilia mazungumzo yako na nduguyo Shariff Ritz.

Najaribu kukufahamu point yako ndugu yangu. Lakini usitumie hicho kikosa kiduchu kupata sababu ya kufanza Lobbying ati Ritz afungiwe tena!?

Cc;Ritz
Gombesugu, unawezaje kuita spinning kikosa kidogo?
 
Oh! gombesugu a good friend and a distinguished scholar! thank you very much for your good and scholarly words put forward here! I have been going through your remarks here in JF which sometimes end up with a rebuke to people who go against Mohamed Said's opinions! You have turned youself his beloved spokesman and sometimes you go to the extreme of being his policeman. May i extend to you a friendly advice; leave all matters to the JF moderators since they are very good and smart at their duties here! May i repeat, what Mohamed Said has been doing for more than a decade now is poisonous and injurious to our beloved nation! You may not notice this because you are outside this country and you are obssessed with your religious faith! but truth and reality will always triumph. You may call me names, i don't care!

Gwalihenzi,

....believe me I didn't mean to hurt your feelings at all.

Please forgive me if that the impression you got...you are my friend.

Lets try to be nice to each at this Mnakasha. I know it can be bit hard sometimes; especially when we've to try so hard select our words with great care and also need to maximise emotional impact and intellectual content.

My religious belief is my pride,but I also recognise and realise the need to live together in peace and harmony as Human beings, the fact which is detailed very clearly in the Holy Qur'aan.

I respect your view about Religion,and I expect you do the same to others.

I have loads of friends and Colleagues,who hold similar view to yours on Religion.

Ahsanta sana ndugu yangu Gwalihenzi,kwa kukubali kunisikiza japo kiduchu.

Shukran.
 
Gombesugu,

Yeye kaandika nini basi katika ulimwengu huu?
Hamna kitu.

Hasad tu zinamchonyota na hasad ni maradhi mabaya sana ya nafsi.
Yanamla mtu.

Huyu mwache husda imle wala usimuopoe.
Nami sitamjibu kitu katu.
Mohamed Said, ni bora yule asiyeandika kitu, kuliko wewe uliyeandika fitina na uchochezi na unapita ukihubiri uwongo na uchochezi kuwafarakanisha watanzania. Najua unafahamu huwezi ishi miaka 100 kuanzia sasa, lakini bora uwaachie watanzania upendo na mshikamano na sio utengano na chuki uliyoipandikiza wewe kwa jina la uislam!
 
Gwalihenzi,

Kama unahisi nimekosea,katika kujaribu kurekebisha rabsha kiduchu hapa Jamvini...basi nimekosa na nisamhe saana ndugu yangu Gwalihenzi.

Ahsanta.
Hukukosea kama ulikuwa na nia ya kusuluhisha. Hata hivyo spinning sio kitu kidogo.
 
Gombesugu,
Hawa mimi nimeishinao umri wangu wote wa kuajiriwa.
Nawajua vizuri sana.

Kinachomhangaisha huyu bwana ni hasad hana kingine.
Iweje Allah hidaya ile ampe huyu Mswahili?

Hana kingine ndiyo utaona kila akizunguka atarudi kwenye paper
ya Chuo Kikuu Cha Ibadan.

Tujaalie nimekosea kusema Robert Royall kazungumza Bungeni
wakati alizungumza bungeni lakini si kuhutubia Bunge.

Tujaalie kazungumza na Kamati ya Bunge.

Nami nimeeleza hapa kuwa taarifa hiyo nimeitoa katika mtandao
na Mwanakijiji yeye alitaja hadi mtu niliyemnukuu.

Jambo limeeleweka.
Yeye kageuza mwimbo.

Itafute movie moja kama hujaiona Stephen King - ''The Green Mile.''
Kuna ''character'' mfano wa huyu bwana.

Yeye kila akizunguka amekuwa kama santuri yenye shimo kwenye
gramafoni.

Kichwa cha gramafoni kikifika kwenye shimo kinanasa hakiondoki hapo.

Yeye kaandika nini basi katika ulimwengu huu?
Hamna kitu.

Hasad tu zinamchonyota na hasad ni maradhi mabaya sana ya nafsi.
Yanamla mtu.

Huyu mwache husda imle wala usimuopoe.
Nami sitamjibu kitu katu.

Sheikh Mohammed,

Wallahi,Al Akhiy kwa haya yoote ulonena nimekusikia kwa utuvu.

Nami sitatia chumvi kwenye hii shira yako ya jelebi,maana takuharibia!ahaha!!

Hapa nilipo,umenichekesha kwa bayana hii mpaka sasa kichwa chaniuma...nache nikatafute pain killers japo kiduchu.

Wallahi,Al Akhiy..tangia nimezaliwa sijawahi kuishi au kukutana na vichekesho kama hivi vilivyomo hapa jamvini!ahaha!!

Insha Allah tuendelee na mnakasha wetu taratibu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Gwalihenzi,

....believe me I didn't mean to hurt your feelings at all.

Please forgive me if that the impression you got...you are my friend.

Lets try to be nice to each at this Mnakasha. I know it can be bit hard sometimes; especially when we've to try so hard select our words with great care and also need to maximise emotional impact and intellectual content.

My religious belief is my pride,but I also recognise and realise the need to live together in peace and harmony as Human beings, the fact which is detailed very clearly in the Holy Qur'aan.

I respect your view about Religion,and I expect you do the same to others.

I have loads of friends and Colleagues,who hold similar view to yours on Religion.

Ahsanta sana ndugu yangu Gwalihenzi,kwa kukubali kunisikiza japo kiduchu.

Shukran.
Thank you very much for your kind and wise words. Let us go together in this knowledge seeking adventure!
 
Wickama,

Now I know your interpretational angle is flawed.

I thought is done and dusted between us as you suggested!?

I'm afraid this is the last post you gonna get from me.

I'm covering my ears like a Kid,your words mean nothing...I go la la la! Tune!!

Gombesugu; It is entirely your privilege and enjoy it if you must. Apologies have been offered, accepted, and mutual understanding of not going back to that river has been effected. I urge you to draw me into fresh topics once you coin them. You will find me most cooperative.
 
Ritz, spinning hazisaidii kitu. Mohamed kasema ''Nyerere alipokuja Dar kujiunga na TAA'' mimi sijasema neno tofauti nimenukuu maneno ya Mohamed na wala hakuna mahali niliposema 'kujulikana''.

Hata hivyo tumeshaonyesha kuwa alikuwa anajulikana huko nyuma kwasababu alikuwa katika siasa wakati Abdul anatumia jina la familia. Mzee analijua hili na hajaweza wala hataweza kukanusha.

Let be honest kwa kile mtu anachoandika na wala si kufanya spinning. Narudia Mohamed hakusema neno kujulikana na wala katika majibu yangu hakuna neno kujulikana. Hayo ni maneno umeniwekea ili kumnusuru

Huwa najiepusha sana kuwa na mijadala na wewe kwababu umejaa spinning zilziopelekaea Invisible kukupa ban.
Haionekana kama unafahamu kadhia ya tatizo hilo kwa wengine.

Kwanini unakuwa hivi? ndio kusema umeelewa sana mafunzo ya Mohamed au!

Nguruvi3,

Mimi na wewe nani anafanya spinning? Wewe ndiyo unataka kumuwekea maneno mdomoni Mohamed Said,

Ndugu yangu mie nilichofanya ni kuyaweka maneno ya Nyerere sijaongeza kitu wala kupunguza, mbona Mohamed Said kwenye kitabu chake kaandika kuwa Nyerere alifika Dar kwenye mkutano wa TAA akitokea Tabora, hili kuthibitisha spinning zako namuomba Mohamed Said, kwa heshima ya ukumbi atuwekee sehemu ya katika kitabu chake akielezea Nyerere aliudhuria mkutano wa TAA.

Alichosema Mohamed Said, Nyerere alipokelea Kariakoo ambapo ndiyo kulikuwa na harakati za uhuru ndiyo maana alipelekwa na Kassela Bantu kwa Sykes ambao ndiyo walikuwa watu wa harakati kipindi hicho.

Naona unakereka sana na michango yangu mpaka unamuhusisha Invisible, niweke kwenye list yako mie sina tatizo, labda nikuambie kitu mimi siogopi ban nimeishapigwa ban zaidi ya mara 15.

Nakuacha na maneno machache kutoka kwa Muhammad Ali "Mtu mwenye uwezo kupita kiasi (Superman) hahitaji mkanda wa usalama wa kiti (seatbelt) mpe salamu zangu Mag3, mwambie nikipata muda nitamjibu.
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Mie mtu wa kizamani na lugha yangu sawia.
Kiingereza ndiyo Kizungu chenyewe.

Mzee MS; Ndugu yangu utazua mjadala mwingine. Mimi siku zote nikijua neno neno mzungu na mwafrika yanaeleza watu wanavyoonekana. Sasa kumbe unapoandika barua au kitabu KIZUNGU huwa una maana umendika kwa KIINGEREZA? Basi haigombi, itabidi nikukubalie. Ila kuwa na subira nijue kama Mnyarwanda anapoandika barua/kitabu kwa KIFARANSA na yeye pia anasema kaandika KIZUNGU. Nachukua tahadhari isije kuwa nyote mna maana mmeandika kama hao WAZUNGU (waingereza, wafaransa, wagiriki etc....).

Yabidi nicheke, hapa pana wanachoita grey area.
 
Nguruvi3,

Mimi na wewe nani anafanya spinning? Wewe ndiyo unataka kumuwekea maneno mdomoni Mohamed Said,

Ndugu yangu mie nilichofanya ni kuyaweka maneno ya Nyerere sijaongeza kitu wala kupunguza, mbona Mohamed Said kwenye kitabu chake kaandika kuwa Nyerere alifika Dar kwenye mkutano wa TAA akitokea Tabora, hili kuthibitisha spinning zako namuomba Mohamed Said, kwa heshima ya ukumbi atuwekee sehemu ya katika kitabu chake akielezea Nyerere aliudhuria mkutano wa TAA.

Alichosema Mohamed Said, Nyerere alipokelea Kariakoo ambapo ndiyo kulikuwa na harakati za uhuru ndiyo maana alipelekwa na Kassela Bantu.

Naona unakereka sana na michango yangu mpaka unamuhusisha Invisible, labda nikuambie kitu mimi siogopi ban nimeishapigwa ban zaidi ya mara 15.

Nakuacha na maneno machache kutoka kwa Muhammad Ali "Mtu mwenye uwezo kupita kiasi (Superman) hahitaji mkanda wa usalama wa kiti (seatbelt) mpe salamu zangu Mag3, mwambie nikipata muda nitamjibu.

Shariff Ritz,

Tafadhali Al Akhiy,najua inakera mno na pia yaumiza roho lakini jitahidi uyapuuze haya majambo.

Nafikiri hata Nguruvi3,nae pia katumia ustaarabu kiduchu na kaamua kukaa kimya kwa hili.

La muhimu tuyaache,na tuangalie yajayo.

Insha Allah,tuombe Mola huu mnakasha uishe salama salmin!

Nakuombea Sabra ikuzidi moyoni mwako Shariff.

Ahsanta.
 
Mzee MS; Ndugu yangu utazua mjadala mwingine. Mimi siku zote nikijua neno neno mzungu na mwafrika yanaeleza watu wanavyoonekana. Sasa kumbe unapoandika barua au kitabu KIZUNGU huwa una maana umendika kwa KIINGEREZA? Basi haigombi, itabidi nikukubalie. Ila kuwa na subira nijue kama Mnyarwanda anapoandika barua/kitabu kwa KIFARANSA na yeye pia anasema kaandika KIZUNGU. Nachukua tahadhari isije kuwa nyote mna maana mmeandika kama hao WAZUNGU (waingereza, wafaransa, wagiriki etc....).

Wickama,
You really have sense of homour.

Mbwembwe zangu tu bwana.
Ni Kiingereza.

Zamani sana Yericko alinambia wakati mwingine
JF hutaka watu tukacheka kidogo ''all work and
no play...'' malizia.
 
Back
Top Bottom