Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Nguruvi3; My condolences, and i wish you luck in your efforts!!!!!
 

Inferiority Complex...

cc: Al Akhiy Ahsanta
 
Ritz, sasa huu ndio uchochezi wenyewe halisi! nakushangaa sana kwani daima upo hapa kuwagawa watanzania kwa kuwatenga waislam kwa tabia zako za kishenzi. Hoja hapa haikuwa kosa kwa profesa kuongea na waislam wenzake, kosa lilikuwa kile alichokisema. Yeye kama ulivyo wewe na mzee wako Mohamed aliingiza chuki kwa waislam wawachukie wenzao wasio waislam kwa lengo tu la kutaka kuungwa mkono. Na wewe unarudia tena hapa, kuwaalika waislam wamchukie Nguruvi3 bila kujali hoja zake! Unatofauti gani na wauaji au majambazi wanao ua watu kwa tamaa ya utajiri?
 
Nguruvi3; My condolences, and i wish you luck in your efforts!!!!!
Wickama,thanks Bro! watu wanashindwa kusimama toe to toe kwa hoja.
Hakuna anayejibu hoja, anayejaribu ni yule atakayefanya ''character assissanation'' na hii ilianza na Mohamed Said.

I will never be intimidated by an individual or a mob. I will write without fear or favor.

Nitasema ninachotaka kusema na si kile watu wanachotaka kusikia.
 

Wickama,
Mimi niseme nini ilhali nina kitabu kizima nimeandika.
 
Ndugu zangu,

Kwanza nianze kwa kumshukuru mkuu Wickama kwa kutukumbusha kuenenda sawa na maudhui ya mjadala huu!

Kwa bahati mbaya siku mbili hizi nilikuwa nimetingwa kidogo na majukumu flani, hivyo sikupata fursa za kushiriki vema hatua kwa hatua za mjadala huu! Nilikuwa nikisoma juu juu tu!

Nikiri wazi kuwa baadhi ya ndugu zetu wanajamvi wanageuza huu mjadala kuwa WAKIDINI badala ya mjadala wa HISTORIA ya Uhuru hasa tukiangaza

"Uchozi na dhihaka ya Mohamed Said dhidi ya wapigania uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Ukisoma maelezo yangu ya hoja pale juu nimeeleza kuwa Mohamed Said ni mchochezi na amefanya dhihaka dhidi ya Wanaukombozi wetu,


Kwanza ili twende sawa tudadavue kwapamoja maana ya neno "UCHOCHEZI" na "DHIHAKI"

Tukiyafahamu hayo kwa pamoja tutaangazia hoja zangu kuwa Mohamed Said ni "Mchochezi na ni Mdhihaki"

Chonde chonde ndugu zangu Ritz,GombeSugu,Sadeeq na wengine tuache mada zinazotuondoa kwenye mjadala hasa zinazotupeleka kwenye udini na tujikite kwenye mada husika!

Tutamuomba Mods awe makini na WADINI katika mjadala huu,

Lengo la mjadala huu ni kupata mwafaka wa tunachokijadili na kuibuka na adhimio la pamoja kama watanzania na wasomi tunaowajibika kwa taifa letu na vizazi vya kesho!

Tuisomeshe jamii kupitia jf kwa mafaa ya vizazi vilivyopo na vijavyo!
 

Nguruvi3,

Kwanza futa kauli yako wewe hauna uwezo wa kunionea mimi hata siku moja.

Mimi nilichandika ni maneno yako sijaongeza kitu wala kupunguza kitu mimi mtu wa madrassa bwaba kama unavyotuita unalia lia nini sasa.

Nguruvi3, wewe hakuna anakupangia kuandika chochote humu ukumbini nakuonya usinipangie cha kuandika nadhani umenipata mimi ni mtu wa madrassa tambua hivyo.

Ni hayo tu ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Na hiki ndicho ninachokisema kuwa hakuna hoja ni kutafuta wapi mtu ataleta tafran na watu wengine.

Ame insinuate kuwa mimi ni Chadema, sioni sababu ya mimi kutosema hivyo kama ni kweli lakini basi lazima ithibitike kuwa ni hivyo.

Hoja yangu si wapi Lipumba ameongelea na ameongea na nani, hoja yangu ni maudhui hasa kisiasa.
Tena nimekwenda mbali nakusema kama kwake ni kosa na kwa mtei naye pia kwasababu wote wana hadhi katika jamii.

Nikaonya kuwa wao wana uhuru wa kuongea kama raia wengine, lakini basi lazima ifike mahali waweke mpaka ili ijulikane ni wapi wanaongea kama wao na maoni yao na wapi wanaongea kama wanasiasa.

Nikawaasa hao CUF kutoa kauli kupitia mtu mwenye hadhi na si afisa katika jambo zito kama hilo.
Nikasema Chadema walipuuza na inaonekana itakula kwao.

Nikazungumzia wananchi kwa ujumla kuwa pamoja na kuepuka farki na fitna kwasababu matatizo yakitokea wao hawana pa kukimbilia.

Mtu kakata sehemu tu ya mtiririko wa habari nzima ili kutumbukiza hasira na chuki zake halafu akachomeka maneno yake kama sehemu ya habari hiyo. Too low !

I hope Gombesugu na Bokoharam watasimama kumtetea!

Ritz, ninaendelea kufunga mjadala nawe kama ilivyokuwa, lakini ukifanya spinning kama hii Invisible ataalikwa.
Hadi hapa nimemalizana na wewe.

Jamvi hili ni la hoja siyo spinning na kuligeuza jamvi la wapuuzi wasio na hoja na wapika majungu.
Please JF is more than that!

cc. Mohamed Said, Barbaru,Gombesugu
 

Kila la heri...nilikuwa nakuheshimu lakini kumbe bure tu uwezi kutuita sisi "bwaba" usinitishe na Invisible wewe umetoa matusi kwenye post yako unatukana imani zetu tukiwajibu mnatuita wadini.

Wasalimie...
 

Hivi wadini ni Ritz, gombesugu, SADEeq,?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wadini ni Ritz, gombesugu, SADEeq,?
Al Akhiy jitulize kwanza kunywa funda tatu, mi nipo hapa nakunywa juisi ya tende nikishushia na mishikaki ya nyati... nikiendelea kufuatilia mnakasha, naona umehamaki sana mpaka lile koti lako la ccm umevua na kubaki tumbo wazi, hebu kunywa funda tatu tuendelee...
 
Hivi wadini ni Ritz, gombesugu, SADEeq,?

Hapana sio hao tu bali hao niwahafidhina zaidi!

Vema zaidi tujikite kwenye mada!

Na nikushauri tena kuwa kile ulichonifanyia mimi umerudia tena kumfanyia ndugu yetu Nguruvi3,

Huo sio uungwana, una katabia kaku quote kitu kisha unabadili maneno (edit) ili sentensi ieleweke kama utakavyo wewe,

Hilo nikosa kisheria hapa jf,

Mimi nilikuonya kwa kutumia maneno kuwa

"huna qualification yakujadiliana na mimi katika mambo yanayohitaji jicho la tatu bali tujadili ngano za kipata na mkunguni"

Lakini katika hali ya kushangaza umeendelea kuvunja sheria za jf na kudharirisha wanajamvi ambao wanatoa michango yao na wewe kuibadili kwa mafaa yako!

Tujitahidi kwenda kwa adabu na utii bila shuruti ya Mods, hakika tutakidhi haja ya wadau wanaofutilia mjadala huu wenye mafaa kwa taifa letu takatifu!

Tusonge mbele
 
Last edited by a moderator:
Kna mambo mawili mimi humu ndani vinantia uchechefu

1,kuna watu kutwa waipinga serikali hii ya kifisadi lakini chaa ajabu hapa kwenye mnakasha wote wamekuwa watetezi wa serikali kwa nguvu zote (hivi kweli wanaweza kuitoa ccm madarakani kwa uchechefu huu?)

2.kuna watu wanajiita hawana dini lakini kutwa humu wanapiga vita uislam
Ni hayo maajabu yananinyima usingizi mwenzenu
Nami bado nafyonza elm tena nipo kwenye busati
AHSATA
CC RITZ ,gombesugu, bibi titi
 
Kila la heri...nilikuwa nakuheshimu lakini kumbe bure tu uwezi kutuita sisi "bwaba" usinitishe na Invisible wewe umetoa matusi kwenye post yako unatukana imani zetu tukiwajibu mnatuita wadini.

Wasalimie...
Very serious allegation. Invisible,Moderator tafadhali naomba sana muje hapa.
Kama kuna mahali nimetukana imani ya mtu kama anavyosema Ritz nipigwe BAN. Narudia nipigwe BAN

Kama hakuna nasema huu ni udhalilishaji na kuvunjia watu heshma.
Ritz atakuwa amekiuka kanuni za JF kwa allegation serious kama hii.
Naomba aonyeshe wapi nimetukana waislam au imani nyingine.
Onyesha mahali niliposema hivyo unavyomaanisha wewe kwamba

cc.Invisible
 
gombesugu,

..mbona nimeweka "like" kwenye post yako?!! hahahaa!!

..nashukuru kwa majibu yako ukielezea mtazamo wako kuhusu mwandishi niliyemnukuu.

..mimi nia yangu ilikuwa kumaliza "mzozo" na jamaa wa hapa JF kuhusu ushiriki wa MWARABU ktk biashara ya WATUMWA ktk eneo la TANGANYIKA na ZANZIBAR.

..kuhusu masuala ya nukuu za maandiko matakatifu mimi huwa sijihusishi nayo. sasa kama muandishi amenukuu kwa usahihi Qur'aan hilo nitakuachieni nyie wataalamu.

NB:

..jamaa zetu wa ki-Zenji walicharuka kwelikweli wakidai kwamba mtu mweusi/mbantu hana nafasi yoyote ile ktk chimbuko na kukuza lugha ya Kiswahili.
 
Last edited by a moderator:

Wanakumbi,

Huyu alichokiandika hapa hawezi kuona ni matusi kwetu sisi Waislam ni matusi makubwa imani yetu Waislam Madrassa ni moja yamatukufu yetu na ndipo huko tunapokwenda kufundishwa dini yetu Qur'an na Sunna.

What is Islam? ukienda madrassa ndiyo utajua.

Islam exposed ukienda madrassa ndiyo utajua.

Satan's art of decepition ukienda madrassa ndiyo utajua.

What Muslims believe about God? Ukienda madarassa ndiyo utajua.

Future of Islam in world actions speak louder than words kupitia madrassa. gombesugu kakujibu vizuri sana kuhusu madrassa, ukikejeli na kufanya dhihaka, kebehi, kwenye madrassa umegusa matukufu yetu ingawa kwako siyo issue ndiyo maana umeuliza wapi nimekejeli imani ya mtu uoni?.

Umekwenda mbali zaidi umetumia neno baya kabisa kwetu "Bwaba" neno hili mtaani ni shoga "------" lakini hakuna alisema chochote kuhusu kauli zako.

Wewe kila siku unamjibu Mohamed Said, kwa kukata maandishi vipande kama mimi nilivyokata nani kalalamika? umeishasikia Mohamed Said, kaomba msaada kwa Mods, uzoeshe moyo wako kukosolewa na watu ambao mnatofautiana mitazamo na fikra fanya heshima kwa matukufu ya wenzako na wewe pia watayaheshimu matukufu yako usipende kujiona kuwa kila sehemu uwe mshindi.
 
Last edited by a moderator:

Wakati mwingine dawa inakuwachungu kumeza lakini inatibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…