The Big Show,
Salaam Al Akhiy.
Wallahi,umenena ukweli uso shaka...ndo maana mimi hupatwa na "Duwaa Al Mustaajaba" kwa hii Double Standard na Hypocrisy iliyopo hapa Jamvini.
Lakini haina neno,tutabanana nao hivihivi Insha Allah.
Ahsanta.
Cc;Hasanalis
gombesugu Mnywa ghahawa mwenzangu,
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana,vigeu geu wa hali ya juu,jambo ambalo sehemu nyingine wanalipinga hapa kwenye uzi huu wanalisapoti,
Jambo ambalo sehemu nyingine wanalisapoti hapa kwenye uzi huu utaona wanalipinga wazi wazi,ili mradi tuh nia yao na mission yao ikamilke,hapa hawatafanikiwa...
Mtu kama yericko anafikia hadi hatua ya kuukubali mwenge wa uhuru ndan ya uzi huu ili mradi tuh aonekane anashinda kwenye crusade war yake dhidi ya Moh Said na walamba buti zake,
Kwenye thread zingine yeye ndie huwa kinara wa kupinga mwenge huo na kuukejeli kwa namna mbali mbali,wanashangaza sana,
Nguruvi3,hata kama unasema huna chama sawa,na wengine pia tunaweza sema hatuna chama,lakini ile video ya hotuba ya lipumba nakushangaa kwanin umeyaacha kuyazungumzia yale maneno ya Shekhe BAASALEH kuhus kauli za MARY NAGU??
Umeacha yale maneno ya ukakasi ya mary nagu aliyoyasema kanisani,tena ya kisiasa anayazungumza kanisani haraka haraka kwa pupa unakuja kuyadandia ya lipumba??
Lipumba amezungumza maneno ambayo yapo,na yana uhalisia wa hali ya juu sana,kama umeamua kuchagua hisia zako sawa,
Al akhiy Gombesugu,tupo pamoja Manta Hofu...!!