Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu Ritz naomba uquote hiyo post kabla sijachangia.Ukweli leo utamshangaa NGONGO jinsi alivyo flexible.

Mkuu Ngongo,

Simama kwenye haki kama umeamua kuwa hakimu.

Tumeitwa "Bwaba" sijui kama huu kwako ni udhalilishaji au ni jambo la kawaida usiwe double standard..

Nadhani tuendelee kuheshimiana bila kutoleana lugha za kifedhuli.
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika kuona ndugu yetu GombeSugu amekaidi ombi nililomtaka atumie uungwana wa Mwafrika aniombe radhi kutokana na udharirishaji alionifanyia,

Kwa hekima za Mods, wamempa likizo ya uchangiaji hapa JF

Pole sana ndugu yetu, Tulikupenda lakini BAN imekupenda zaidi!

View Profile: gombesugu

User Name: gombesugu

User Title: Banned

Last Activity: Today 15:24
 
Ndugu zangu wasomi wenzangu,

Nawaomba sana tujitahidi kupunguza ghadhabu zetu na tujitahidi kuvumiliana,

Hili litatusaidia kutovunja sheria za JF na kupewa adhabu kwamjibu wa sheria,

Hali hii inafanya watu walalamike pindi adhabu zinapowakumba na kusema kuna upendeleo ama vinginevyo,

Sheria ni msumeno, tujitahidi kujiepusha na maneno yanayotia ghadhabu na kusababisha watu wavunje sheria za jf!

Tukizingatia hayo tutakwenda kwa amani na mjadala huu,

Mzee wetu Mohamed Said amekuwa mvumilivu na mstahimilivu wa hali ya juu sana,

Hilo limenifanya mimi binafsi kumheshimu sana, hoja za nguvu zilizoelekezwa kwake naamini hakika angekuwa mtu mwingine ambae hajapevuka basi angejikuta akipandisha mori na kuvunja sheria za jf ama kuvuruga mjadala huu!

Kwakweli nawaomba wanajamvi wenzangu tuige mfano wa huyu Mzee,

Tupingane kwa hoja na tujibizane kwa hoja bila ghadhabu!
 
Gombesugu; Naungana na Barubaru. Hakuna aibu katika kutaka msamaha kwa uliyemkosea. I would that if I were you. Many times nimeshasema IAM sorry humu JF na haijanipunguzia kitu.

Pia namuunga mkono Yericko kuwa tu-focus debate kwenye agenda ya uzi huu. Hatuwezi kujadili everything. Infact watu kutukanana ni dalili ya focus kuanza kupotea.
Wickama.

Mimi naona umeninukuu vibaya.

napenda kukufahamisha kuwa kuna mengi sana ya kashfa ameyatoa Yericko ukisoma post yake ya kwanza.

la kwanza mpaka sasa ameshinda kutudhibitishia kuwa MS ni gaidi, muongo na mfitini. Kwani kama angeweza kuthibitisha haya kwa mujibu wa sharia za Tanzania alitakiwa afikishwe mahakamani na kushitakiwa kwayo.

Kwani MS anasimamia vitabu vyake ambavyo ameandika na rukhsa kwa kila mtu kusoma.

Kwa kauli hizo tu na kushindwa kuthibitisha maneno yake ya kumwita mtu mrongo, gaidi, mnafiki anaipasa aombe radhi kwa kuthibitisha.

lakin yote tunamezea na kuendelea kupeana darsa hapo na kujifunza mengi sana.

hakuna mchele uso na chuya lakin tunamezea na kusameheana ili mnakasha uzidi kutupa darsa kwani kune mengi sana tunajifunza hapo.

lakin la mwisho hakuna dhambi mbaya kama kuiba kauli ya mtu.

pole sana
 
Nasikitika kuona ndugu yetu GombeSugu amekaidi ombi nililomtaka atumie uungwana wa Mwafrika aniombe radhi kutokana na udharirishaji alionifanyia,

Kwa hekima za Mods, wamempa likizo ya uchangiaji hapa JF

Pole sana ndugu yetu, Tulikupenda lakini BAN imekupenda zaidi!

View Profile: gombesugu

User Name: gombesugu

User Title: Banned

Last Activity: Today 15:24

Hongera sana Yericko.

Naona umefurahi sana hilo japo wengine tumesikitika kwalo.
 
Umesikia rahaa ehh kijana mnafiki sana sijawahii ona maishani mwangu iko siku mungu atakuangaza
 
Umesikia rahaa ehh kijana mnafiki sana sijawahii ona maishani mwangu iko siku mungu atakuangaza

Hapana mkuu, sijafurahi bali nimefadhaika sana kuona ndugu yangu anakaidi jambo la kiungwana tu na mwisho anaangukiwa na adhabu,

Nasikitika zaidi kwakuwa nitamkosa hapa jamvini!
 
Hongera sana Yericko.

Naona umefurahi sana hilo japo wengine tumesikitika kwalo.

Hapana ndugu yangu,

Sijafurahi kabisa, na siamini kama kweli ndugu yangu amepelekwa likizo,

Lakini hilo linatukumbusha sote kufuata kanuni za jf!

Mzee wa uchumi wa muungano JFC upo?

Zanzibar wanatarajia kujitangazia uhuru wao, je watatoka na chochote au watatoka mikono mitupu?
 
Wickama.

Mimi naona umeninukuu vibaya.

napenda kukufahamisha kuwa kuna mengi sana ya kashfa ameyatoa Yericko ukisoma post yake ya kwanza.

la kwanza mpaka sasa ameshinda kutudhibitishia kuwa MS ni gaidi, muongo na mfitini. Kwani kama angeweza kuthibitisha haya kwa mujibu wa sharia za Tanzania alitakiwa afikishwe mahakamani na kushitakiwa kwayo.

Kwani MS anasimamia vitabu vyake ambavyo ameandika na rukhsa kwa kila mtu kusoma.

Kwa kauli hizo tu na kushindwa kuthibitisha maneno yake ya kumwita mtu mrongo, gaidi, mnafiki anaipasa aombe radhi kwa kuthibitisha.

lakin yote tunamezea na kuendelea kupeana darsa hapo na kujifunza mengi sana.

hakuna mchele uso na chuya lakin tunamezea na kusameheana ili mnakasha uzidi kutupa darsa kwani kune mengi sana tunajifunza hapo.

lakin la mwisho hakuna dhambi mbaya kama kuiba kauli ya mtu.

pole sana

Barubaru,

Maneno yako ya mwisho mazito sana.
 
Ili nisipigwe ban ngoja ninyamaze kwasababu............
The problem is that you think little and suffer from inferiority complex. You have allowed your brain to be manipulated by that good for nothing embicile old man!
 
Ndugu zangu wanajamvi,

Kwanini nimemuita Mohamed Said ni MCHOCHEZI?

Nitaeleza yanayoakisi uchochezi huo!

Issue ni kuwa;

1. Wote hapa jamvini na duniani tunakubaliana kuwa Mohamed Said ameandika kitabu cha Maisha na nyakati za Abdul Sykes!

2.Kitabu hicho mimi nakikosoa kuwa kinamapungufu mengi,

Mifano ya mapungufu hayo ni kama,

A) Malima kuanzisha Namba za mitihani (get exact dates when the Ministry started this) utakuta ina -predate Malima kuwa pale ministry (this is easy)

Kwaujumla hakuna ushahidi wa wazi au wamazingira kuthibitisha madai yake,

Hivyo huu ni UCHOCHEZI wa wazi!

B) Madai mengine katika maandishi ya Mohamed Said juu ya elimu nchini nikuwa hata hatua ya Mwalimu Nyerere kutaifisha shule za kidini ili kila mtanzania asome (analysis yake) analaumu kuwa hatua hiyo haimkumsaidia mtoto wa kiislamu

Lakini Mohamed Said hasemi/hapendekezi/hashauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, amebaki kuwahubiria watu kuchukia hali hiyo na kumchukia Mwalimu Nyerere tu,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

C) Mohamed Said anailaumu serikali ya Mwalimu Nyerere kuhusu numbers of muslim professionals in places across the civil service,

Wanajamvi, wote tunatambua kuwa mtumishi wa umma katika nchi hii hupatikana kwa taratibu zilizowekwa kwa mjibu wa sheria,na sio kwa kufuata kigezo cha DINI,

Lakini anashindwa kushauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, na badala yake amebaki kupandikiza chuki kwa jamii tu,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

D) Mohamed Said fails to acknowledge politicization of the EAMWS at the hand of sheikh Hassan in support of opposition elements to TANU.

Katika hili la kifo cha EAMWS Mohamed Said madai yake mengi kama siyo yote aliyoyaelekeza kwa Mwalimu Nyerere nikuwa kila mahali utakuta anasema,

"Ilisemekana","Niliambiwa","Nilisikia",

Katika madai ya aina hiyo hayana mantiki ya kiushahidi!

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

E) Mohamed Said is ambigious when it comes to the Zanzibar revolution. He spends efforts in belittling those who risked their lives to overthrow the sultan regime (wamakonde)
Katika hili Mohamed haleti ushahidi zaid yakusema nilisimuliwa na wazee wangu,

Huu sio ushahidi wakuweza kuhalalisha madai yake,

Ushahidi kama huu unakuwa batili kwakuwa ulichukuliwa upande mmoja bila kuangalia upande wapili,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

F) Mohamed Said amesema Mwalimu Julius Nyerere katika hotuba ya kuwaaga wazee wa Dar alisema "hakumbuki Abdu Sykes alikuwa na cheo gani katika TANU"

Kinyume chake Mwalimu Nyerere amesema wazi katika hotuba hiyo ambayo ipo hapo juu kwenye post ya kwanza kabisa kuwa aliporudi kutoka masomoni aliwauliza wenzake kuwa nani wanakiongoza chama kwa sasa? akaambiwa "jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes"

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

G) Mohamed Said does not offer suggestions as to what should be done to alleviate the problem.

Wanajamvi wenzangu,

Nimeeleza UCHOCHEZI wa Mohamed Said,

Kisha baadae nitaangaza Dhihaka za Mohamed Said
 
Mtu atoke huko alikotokea aje kuanzisha uzi wa kutafuta umaarufu usio na tija,sasa uchochez wa Moh Said uko wapi?

Kuna zambi gani kubwa dunian kama kujimilikisha nasaba isiyo kuhusu??

Sometimes Mods muwe mnaangali kabla hamjawaverify hawa watu hawa,wanatupa mkanganyiko sana kwenye jamii yetu hasa hapa jukwaani,

Mtu anapata nin kwa kujinasibisha na nasaba isiyo muhusu?umaaufu au status?hovyo kabisa,

Hana hoja,hana anachokijua,Tunashukuru sana Moh Said kwa kutujuza ukweli na uhalisia wa historia ya nchi yetu,

Hawa wengine wataishia kudandia nasaba za watu,hakuna la maana wanalolisimamia...
 
Ndugu zangu wanajamvi,

Kwanini nimemuita Mohamed Said ni MCHOCHEZI?

Nitaeleza yanayoakisi uchochezi huo!

Issue ni kuwa;

1. Wote hapa jamvini na duniani tunakubaliana kuwa Mohamed Said ameandika kitabu cha Maisha na nyakati za Abdul Sykes!

2.Kitabu hicho mimi nakikosoa kuwa kinamapungufu mengi,

Mifano ya mapungufu hayo ni kama, Malima kuanzisha Namba za mitihani (get exact dates when the Ministry started this) utakuta ina -predate Malima kuwa pale ministry (this is easy)

Kwaujumla hakuna ushahidi wa wazi au wamazingira kuthibitisha madai yake,

Hivyo huu ni UCHOCHEZI wa wazi!

3. Madai mengine katika maandishi ya Mohamed Said juu ya elimu nchini nikuwa hata hatua ya Mwalimu Nyerere kutaifisha shule za kidini ili kila mtanzania asome (analysis yake) analaumu kuwa hatua hiyo haimkumsaidia mtoto wa kiislamu

Lakini Mohamed Said hasemi/hapendekezi/hashauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, amebaki kuwahubiria watu kuchukia hali hiyo na kumchukia Mwalimu Nyerere tu,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

4. Mohamed Said anailaumu serikali ya Mwalimu Nyerere kuhusu numbers of muslim professionals in places across the civil service,

Wanajamvi, wote tunatambua kuwa mtumishi wa umma katika nchi hii hupatikana kwa taratibu zilizowekwa kwa mjibu wa sheria,na sio kwa kufuata kigezo cha DINI,

Lakini anashindwa kushauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, na badala yake amebaki kupandikiza chuki kwa jamii tu,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

5. Mohamed Said fails to acknowledge politicization of the EAMWS at the hand of sheikh Hassan in support of opposition elements to TANU.

Katika hili la kifo cha EAMWS Mohamed Said madai yake mengi kama siyo yote aliyoyaelekeza kwa Mwalimu Nyerere nikuwa kila mahali utakuta anasema,

Ilisemekana,Niliambiwa,Nilisikia,

Katika madai ya aina hiyo hayana mantiki ya kiushahidi!

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

6. Mohamed Said is ambigious when it comes to the Zanzibar revolution. He spends efforts in belittling those who risked their lives to overthrow the sultan regime (wamakonde)
Katika hili Mohamed haleti ushahidi zaid yakusema nilisimuliwa na wazee wangu,

Huu sio ushahidi wakuweza kuhalalisha madai yake,

Ushahidi kama huu unakuwa batili kwakuwa ulichukuliwa upande mmoja bila kuangalia upande wapili,

Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!

6. Mohamed Said does not offer suggestions as to what should be done to alleviate the problem.

Wanajamvi wenzangu,

Nimeeleza UCHOCHEZI wa Mohamed Said,

Kisha baadae nitaangaza Dhihaka za Mohamed Said

Huo ni upumbavu tuh ulioumwaga hapo,Too low,

Mkuu Invisible anatoa ushauri murua kabisa wa kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu wako,

Upumbavu wa hali ya juu sana huo uliouleza.,hayo yote yamejibiwa na kufafanuliwa kwa kina sana,

Ule upumbavu wako mwingine wa ugaid umeutupilia wapi?

Fuata busara za wenye busara,

Ficha Upumbavu wako,

cc Invisible...
 
The Big Show nakusoma kwa chat ha ha haa... huu msumari wenye kikofia wa kupaulia bati umenikumbusha ndugu yangu Al Akhy Zali la Mentali alikuwa anatupa misumari kama hii salamu popote ulipo Al Akhy Zali la Mentali, na mimi namalizia sio yeye tu na wenzake wafiche maupumbavu yao!
 
Last edited by a moderator:
Huo ni upumbavu tuh ulioumwaga hapo,Too low,

Mkuu Invisible anatoa ushauri murua kabisa wa kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu wako,

Upumbavu wa hali ya juu sana huo uliouleza.,hayo yote yamejibiwa na kufafanuliwa kwa kina sana,

Ule upumbavu wako mwingine wa ugaid umeutupilia wapi?

Fuata busara za wenye busara,

Ficha Upumbavu wako,

cc Invisible...

Ndugu yangu,

Kuna haja gani ya kutukana kiasi hicho?

Hoja zipo wazi anaetakiwa kuzijibu ni Mohamed Said, lakini ikiwa unaweza kuzijibu waweza kujibu hoja tu na sio kumjadili mleta hoja!
 
Last edited by a moderator:
Wickama,thanks Bro! watu wanashindwa kusimama toe to toe kwa hoja.
Hakuna anayejibu hoja, anayejaribu ni yule atakayefanya ''character assissanation'' na hii ilianza na Mohamed Said.

I will never be intimidated by an individual or a mob. I will write without fear or favor.

Nitasema ninachotaka kusema na si kile watu wanachotaka kusikia.

Jee, wewe ni mgala? au?
 
Back
Top Bottom