Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko; Shukran
Naona tunarudi main stream kwenye mada. Nipo kwenye hawa wanaoitwa Wamakonde wa Kipumbwi walioipindua serikali ya sultan zenj kwa msaada wa Julius Nyerere. Hofu yangu ni kuwa likiachwa kama lilivyo, mabwana hawa (Wamakonde)wataonekana kama wahuni tuu waliovamia nchi ya watu na kuiondoa serikali yao madarakani kumbe wao walikuwa askari tuu. Hii haitakuwa haki ukizingatia mchango wao katika kuleta historia mpya Zenj. Kwa kiwango cha chini kabisa inatakiwa kutowaonyesha aina yoyote ya dharau kutokana na nasaba zao.

Sasa, kwa vile sio kila "Makonde aliyeshiriki Kipumbwi" ataandika "kitabu" cha kuinasua nafsi yake na tuhuma au dharau zinazolundikwa juu yao, na ikizingatiwa kuwa wamiliki wa mapinduzi haya kikubwa ni ASP (hawajawahi kukana mapinduzi haya na bado wanayaenzi) na inaelekea Nyerere alijitolea kuwapa msaada wa kujikwamua na dhiki yao (yeye na Karume walijua kwa nini wasaidiane kwenye hili) hapa nina maswali yatakayohitaji majibu;

(i) Hivi, ASP waliomba au walilazimishwa msaada na Julius Nyerere kuhusu mapinduzi haya? Hii ni muhimu kujua nani mwenye dhamana nayo.

(ii)Nani aliyejenga sababu za mapinduzi haya huko Zenj na kwanini? Iwekwe wazi pia na ushahidi tunauomba

(iii)SMZ wanawachukulia vipi washiriki/askari waliweka maisha yao hatarini kwenye mapinduzi haya?

(iv) Kuna yeyote anayesema haikuwa halali wao ASP kupinduwa ile serikali ya sultan? atoe msimamo wake na sababu ili utafutwe msaada hata wa SMZ tujibiwe

(v)jee nasaba ya askari aliyeshiriki kupinduwa ina umuhimu? (km, askari wangekuwa ni wagunya/wacomoro ingeleta ahueni?)

Hii naiona ni muhimu kwa vile moja kati ya dondoo zako za tuhuma umeeleza kuwa Mzee MS hayuko bayana juu ya Mapindizi haya

cc Mohammed Said

Mkuu umenena,

Tunahitaji kuyachambua haya na kuyaeleza bayana kisha tupate maadhimio ya pamoja!
 
Ritz,

Juu ya hoja zangu kwa Mohamed Said ingekuwa busara yeye aje akanushe hapa kuwa HAZIKUBALI,

Aje aseme kuwa hoja hizo sio za kweli,

Bahati nzuri maandishi yake yapo hapa hapa jamvini, hivyo akikanusha nitayaweka hapa!
 
Aje akunishe nini wakati yeye anakitabu, wewe si umeweka maandishi humu amesema ndiyo yamo kwenye kitabu cha Mohamed Said.

Mimi nimekujibu kwenye kitabu cha Mohamed Said hakuna hayo maandishi.

Wewe kwa kuthibitisha uchochezi wa Mohamed Said uliousema waambie wanaukumbi hayo maneno yapo ukurasa fulani katika kitabu cha Mohamed Said.

Sasa unataka Mohamed Said aje kufanyaje wakati wewe huna ushahidi wa maneno yako.
 
Wickama,
Mwaka wa 2011 nilishiriki katika kipindi cha DW "Mjadala wa Meza ya Duara."

Mimi nilikuwa Tanga, Ahmed Rajab London, Dk. Harith Ghassany Washington,
Salehe Feruzi CCM Zanzibar akiwa visiwani na Mwenyekiti Othman Miraji akiwa
Ujerumani.

Majadiliano yalipopamba moto mie nikatumbukiza mchango wa Nyerere katika
mapinduzi ya Zanzibar na kambi ya Sakura na Kipumbwi.

Sheikh Feruzi akasema hakukuwa na chochote kama hicho katika historia ya Zanzibar.

Nikaeleza kisa kizima cha Wamakonde kutoka Tanga pamoja na majina ya wahusika
wake.

Baada ya kipindi kurushwa hewani DW walipigiwa simu nyingi kuhusu taarifa ile na kutaka
habari zangu zaidi.

Matokeo yake ndiyo kualikwa kuzungumza Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

Imetokea tena nikimhoji kiongozi wa juu baada ya mapinduzi katika kipindi cha TV "Waloacha
Alama Katika Hustoria" nikamuuliza kuhusu Sakura na Kipumbwi na yeye pia akasema hajui hilo.

Nikamweleza mchango wa Jimmy Ringo, Victor Mkello na Mohamed Mkwawa katika kuwavusha
Wamakonde Zanzibar kutokea Kipumbwi.

Nikamalizia na Ali Mwinyi Tambwe na Jumanne Abdallah.

Uso ulimbadilika akawa hana raha.

Juzi Ijumaa usiku nilikaribishwa Radio Nur Zanzibar nikazungumza kuhusu "Kambi ya Sakura na
Kipumbwi."

Kipindi kilikuwa mubashara "live."
Wakati wa maswali ilikuwa khatari kubwa.

Nilipenda kusema haya tu hayo mengine nawaachia wanajamvi wenzangu.
 
Sidiq...
Umenikumbusha mtu huyu Costa John.
Hivi sasa ni marehemu.

Mama yake alikuwa nurse Ocean Road
Hospital.

Alikuwa akicheza timu ya Kahe, club yao
Mtaa wa Mchikichi.

Kabla ya kufariki alisilimu na kuingia Uislam
Akiswali msikiti wa Sheikh Idris bin Saad.
 
Yericko; Shukran
Naona tunarudi main stream kwenye mada. Nipo kwenye hawa wanaoitwa Wamakonde wa Kipumbwi walioipindua serikali ya sultan zenj kwa msaada wa Julius Nyerere. Hofu yangu ni kuwa likiachwa kama lilivyo, mabwana hawa (Wamakonde)wataonekana kama wahuni tuu waliovamia nchi ya watu na kuiondoa serikali yao madarakani kumbe wao walikuwa askari tuu. Hii haitakuwa haki ukizingatia mchango wao katika kuleta historia mpya Zenj. Kwa kiwango cha chini kabisa inatakiwa kutowaonyesha aina yoyote ya dharau kutokana na nasaba zao.

Sasa, kwa vile sio kila "Makonde aliyeshiriki Kipumbwi" ataandika "kitabu" cha kuinasua nafsi yake na tuhuma au dharau zinazolundikwa juu yao, na ikizingatiwa kuwa wamiliki wa mapinduzi haya kikubwa ni ASP (hawajawahi kukana mapinduzi haya na bado wanayaenzi) na inaelekea Nyerere alijitolea kuwapa msaada wa kujikwamua na dhiki yao (yeye na Karume walijua kwa nini wasaidiane kwenye hili) hapa nina maswali yatakayohitaji majibu;

(i) Hivi, ASP waliomba au walilazimishwa msaada na Julius Nyerere kuhusu mapinduzi haya? Hii ni muhimu kujua nani mwenye dhamana nayo.

(ii)Nani aliyejenga sababu za mapinduzi haya huko Zenj na kwanini? Iwekwe wazi pia na ushahidi tunauomba

(iii)SMZ wanawachukulia vipi washiriki/askari waliweka maisha yao hatarini kwenye mapinduzi haya?

(iv) Kuna yeyote anayesema haikuwa halali wao ASP kupinduwa ile serikali ya sultan? atoe msimamo wake na sababu ili utafutwe msaada hata wa SMZ tujibiwe

(v)jee nasaba ya askari aliyeshiriki kupinduwa ina umuhimu? (km, askari wangekuwa ni wagunya/wacomoro ingeleta ahueni?)

Hii naiona ni muhimu kwa vile moja kati ya dondoo zako za tuhuma umeeleza kuwa Mzee MS hayuko bayana juu ya Mapindizi haya

cc Mohammed Said
Wickama,

..chanzo za mapinduzi kinajulikana kwamba ni historia ya utumwa na ubaguzi, pamoja na uhuni waliokuwa wakifanyiwa ASP ktk kila chaguzi zilizofanyika ZNZ.

..tatizo la Znz sasa hivi ni kwamba historia yao inaandikwa na makundi maslahi yakiwa na ajenda maalum.

..kwa mfano, kuna version nyingi sana za kuhusu mahali alipokuwepo Sheikh.Abeid Karume siku ya mapinduzi, pamoja na mchango wake. kila kundi maslahi[Mama Karume, wapenzi wa mapinduzi, wapenzi wa usultani, etc ] linatoa taarifa tofauti kuhusu suala hili.

..kwa mtizamo wangu, Wamakonde wa Kipumbwi, kama kweli walikuwepo, hawakujiamulia tu kwenda kufanya mapinduzi huko Znz bila kuwepo kwa washirika wao ambao ni wazawa wa Znz.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Huko tulishatoka karne nyingi sana.

Mimi nimesema nimemsikia Nyerere mubashara.

Tukakubaliana wanajamvi takriban wote kuwa hapa
iwekwe clip tusikize sauti.

Iweje tena unaturudisha tulikotoka?
Kuna usemi, "Muongo muongoze."
 
Wickama,
Mwaka wa 2011 nilishiriki katika kipindi cha DW "Mjadala wa Meza ya Duara."

Mimi nilikuwa Tanga, Ahmed Rajab London, Dk. Harith Ghassany Washington,
Salehe Feruzi CCM Zanzibar akiwa visiwani na Mwenyekiti Othman Miraji akiwa
Ujerumani.

Majadiliano yalipopamba moto mie nikatumbukiza mchango wa Nyerere katika
mapinduzi ya Zanzibar na kambi ya Sakura na Kipumbwi.

Sheikh Feruzi akasema hakukuwa na chochote kama hicho katika historia ya Zanzibar.

Nikaeleza kisa kizima cha Wamakonde kutoka Tanga pamoja na majina ya wahusika
wake.

Baada ya kipindi kurushwa hewani DW walipigiwa simu nyingi kuhusu taarifa ile na kutaka
habari zangu zaidi.

Matokeo yake ndiyo kualikwa kuzungumza Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

Imetokea tena nikimhoji kiongozi wa juu baada ya mapinduzi katika kipindi cha TV "Waloacha
Alama Katika Hustoria" nikamuuliza kuhusu Sakura na Kipumbwi na yeye pia akasema hajui hilo.

Nikamweleza mchango wa Jimmy Ringo, Victor Mkello na Mohamed Mkwawa katika kuwavusha
Wamakonde Zanzibar kutokea Kipumbwi.

Nikamalizia na Ali Mwinyi Tambwe na Jumanne Abdallah.

Uso ulimbadilika akawa hana raha.

Juzi Ijumaa usiku nilikaribishwa Radio Nur Zanzibar nikazungumza kuhusu "Kambi ya Sakura na
Kipumbwi."

Kipindi kilikuwa mubashara "live."
Wakati wa maswali ilikuwa khatari kubwa.

Nilipenda kusema haya tu hayo mengine nawaachia wanajamvi wenzangu.

Ndugu yangu Mohamed Said,

Japokuwa ulimjibu mkuu Wickama,

Naomba uwaweke wazi wanajamvi juu ya madai yako kwa Mwalimu Julius Nyerere kushiriki mapinduzi ya Zanzibar,

Umeeleza kuwa Wamakonde kutoka Tanga wakiwa kambi za Kipumbwi walisaidiwa Jimmy Ringo, Victor Mkello na Mohamed Mkwawa kuvushwa kwenda Zanzibar kufanya mapinduzi ya serikali ya Sultan!

Mimi kwangu hilo halina tatizo kwa wamakonde hao (Watanganyika) kwenda kusaidia ndugu zao katika mapinduzi yale matakatifu yaliyozaa ukombozi wa Zanzibar,

Jambo la muhimu hapa ningekuomba uweke wazi ushiriki wa Nyerere katika hilo,

Hili litasaidia kubadili historia ya hasa alifanya mapindizi Zanziba,

Badala yakuwa Baba wa Taifa la Zanzibar kuwa John Okello basi na utufahamishe leo kuwa sio Okello bali ni Julius Nyerere!

Na Wazanzibar wapate kumuenzi hivyo!
 
Sidiq...
Umenikumbusha mtu huyu Costa John.
Hivi sasa ni marehemu.

Mama yake alikuwa nurse Ocean Road
Hospital.

Alikuwa akicheza timu ya Kahe, club yao
Mtaa wa Mchikichi.

Kabla ya kufariki alisilimu na kuingia Uislam
Akiswali msikiti wa Sheikh Idris bin Saad.
Shukrani kwa hii khabari njema kwangu Sheikh Muhammad.

Kweli nilikuwa nikimtakia kheri ya kusilimu Costa, nilikuwa sijui kama amesilimu wala amefariki niliondoka kwenda kupiga box akiwa bado katika Ukristo! Alhamdulillah.
 
Wickama,
Mwaka wa 2011 nilishiriki katika kipindi cha DW "Mjadala wa Meza ya Duara."

Mimi nilikuwa Tanga, Ahmed Rajab London, Dk. Harith Ghassany Washington,
Salehe Feruzi CCM Zanzibar akiwa visiwani na Mwenyekiti Othman Miraji akiwa
Ujerumani.

Majadiliano yalipopamba moto mie nikatumbukiza mchango wa Nyerere katika
mapinduzi ya Zanzibar na kambi ya Sakura na Kipumbwi.

Sheikh Feruzi akasema hakukuwa na chochote kama hicho katika historia ya Zanzibar.

Nikaeleza kisa kizima cha Wamakonde kutoka Tanga pamoja na majina ya wahusika
wake.

Baada ya kipindi kurushwa hewani DW walipigiwa simu nyingi kuhusu taarifa ile na kutaka
habari zangu zaidi.

Matokeo yake ndiyo kualikwa kuzungumza Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

Imetokea tena nikimhoji kiongozi wa juu baada ya mapinduzi katika kipindi cha TV "Waloacha
Alama Katika Hustoria" nikamuuliza kuhusu Sakura na Kipumbwi na yeye pia akasema hajui hilo.

Nikamweleza mchango wa Jimmy Ringo, Victor Mkello na Mohamed Mkwawa katika kuwavusha
Wamakonde Zanzibar kutokea Kipumbwi.

Nikamalizia na Ali Mwinyi Tambwe na Jumanne Abdallah.

Uso ulimbadilika akawa hana raha.

Juzi Ijumaa usiku nilikaribishwa Radio Nur Zanzibar nikazungumza kuhusu "Kambi ya Sakura na
Kipumbwi."

Kipindi kilikuwa mubashara "live."
Wakati wa maswali ilikuwa khatari kubwa.

Nilipenda kusema haya tu hayo mengine nawaachia wanajamvi wenzangu.

Mzee MS; Nakushukuru sana. Katika hili tuko pamoja na infact hata wewe sasa utakubali kuwa this is what we should discuss. Mimi mtazamo wangu ni wa kati na ndio maana nikatoa hayo maswali. Kwa sababau haiwezekani wale wamakonde wajipange, watafute usafiri, watafute logistical resources za kukaa Kipumbwi bila support.

Ndio maana nikauliza MSAADA HUU, INA MAANA ASP WALILAZIMISHWA AU WALIUOMBA? Kwa sababu kama waliuomba, ina walikuwa wanaujua tangu matayarisho yake na dhamana ya Mapinduzi ni yao. Hata kwenye ile CIA report somewhere walisema kuna silaha chache ASP walizipewa na kina Kambona kipindi kirefu kabla ya mapinduzi. Ndio maana narudi hapo hapo, kwamba role ya Nyerere ilikuwa ni ipi? ya kusaidia wanaotaka kupindua serikali yao au KUWALAZIMISHA kuwa lazima mpindue? Lau kama ASP walilazimishwa na wakajikuta tayari nchi imeshapinduliwa wakaambiwa haya kachukeuni POSTS pia tujue.

Inabidi iwe very CLEAR kwamba tuna-doubt nini; UHALALI wa wazenj kumpindua sultan wao potelea mbali nani kawasaidia? au tunalaumu METHODOLOGY waliyotumia kumtoa? Kwangu hivi ni vitu viwili tofauti na general population huwa sio lazima kupewa operational details za mambo kama haya na infact sitashangaa ukisema baadhi ya officials wamekuwa un-comfortable kujadiliana na wewe juu ya mambo ambayo huenda waliapa kuyafanya SIRI.

Kwa hiyo maswali haya bado yanahitaji majibu.

Yericko;
Is it possible kupata stand ya SMZ kuhusu askari walioshiriki kwenye mapinduzi regardless wametoka wapi?Nadhani it is time we fought for the respect ya hawa jamaa waliohatarisha maisha yao

Jokakuu nimeona your good posting; Thanks. Yabidi tutamke bayana kama haya mapinduzi sio halali ili wanaotetea wajipange na points zao, sio issue tena ya kuwa lukewarm
 
Wickama,

..chanzo za mapinduzi kinajulikana kwamba ni historia ya utumwa na ubaguzi, pamoja na uhuni waliokuwa wakifanyiwa ASP ktk kila chaguzi zilizofanyika ZNZ.

..tatizo la Znz sasa hivi ni kwamba historia yao inaandikwa na makundi maslahi yakiwa na ajenda maalum.

..kwa mfano, kuna version nyingi sana za kuhusu mahali alipokuwepo Sheikh.Abeid Karume siku ya mapinduzi, pamoja na mchango wake. kila kundi maslahi[Mama Karume, wapenzi wa mapinduzi, wapenzi wa usultani, etc ] linatoa taarifa tofauti kuhusu suala hili.

..kwa mtizamo wangu, Wamakonde wa Kipumbwi, kama kweli walikuwepo, hawakujiamulia tu kwenda kufanya mapinduzi huko Znz bila kuwepo kwa washirika wao ambao ni wazawa wa Znz.

Joka Kuu; Nakushukuru sana kwa post hii. Ndugu yangu hata kama wangekuwa ni Wagunya wa Mwambani, hakuna ambaye angefika zenj na kupindua bila some support ya ASP. Kuna aina Fulani ya bidii inapokuja kwenye mapinduzi ya zenj kwamba waandishi na wanahistotia wanakimbilia kwenye Atrocities ili kukwepa kuilaumu dola iliyokuwapo wakati ule kwa kujenga misingi iliyozaa shari. Kumbe hapa ndipo wanakosea. Ilitakiwa wawe wakweli na kuonyesha jinsi gani waliilea hiyo shari hadi ikafikia hapo.

Ukiwasikiliza wachangiaji utajiuliza hivi?

1. TUNA MASHAKA na UHALALI wa wazenj kujinasua au
2. Tunauhasama na njia waliyotumia kujinasua au
3. Tatizo letu ni nani kawasaidia kujinasua? au
4. Does it matter nani kawasaidia?

Strangely hutasikia definite answers, mara zote huishia lugha tamu tamu tuu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Always its hard to accept the truth when the lies were exactly you wanted to hear,

Sisi tuko satisfied na historia hii ya Mohamed Said,na kama wapo wanaopinga na kuamin hiyo ya kivukoni ahalan wasalan,

Kila mtu akumbatie kile anachokiona kina mfaa,uchochez umeshindwa kuoneshwa na sisi tutazid kuithamin elimu iliyomwagwa hapa na Ndugu yetu Moh Said...
 
Last edited by a moderator:
Hapana ndugu yangu,

Sijafurahi kabisa, na siamini kama kweli ndugu yangu amepelekwa likizo,

Lakini hilo linatukumbusha sote kufuata kanuni za jf!

Mzee wa uchumi wa muungano JFC upo?

Zanzibar wanatarajia kujitangazia uhuru wao, je watatoka na chochote au watatoka mikono mitupu?

Yericko,

Kwa tarbia zetu kufungiwa kwa mwenzetu umekuwa muswiba mkubwa sana kwetu na kila linapotokea muswiba tunakokotezwa kusema INNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJIHUNNA kwa maana yeye ametangulia na sisi tupo nyuma yake.

Kuhusu uchumi SIO WA MUUNGANO TU bali ni fani yangu niliyobobea na kwa kuwa niliwahi kufanyakazi wizara ya fedha muungano basi najua mengi sana kwa tanzania na najitahidi kuilimisha kile ninachokijua kwani SIKU ZOTE UCHUMI HAUNA SIASA.

zANZIBAR WANACHOPIGANIA NI KUJIKOMBOA KIUCHUMI na hilo naona lipo karibu sana Insh'Allah. na lolote litakalo tokea tunaamini haki itatendeka kama ilivyofanyi a ilivyovunjika EAC.

Joka Kuu; Nakushukuru sana kwa post hii. Ndugu yangu hata kama wangekuwa ni Wagunya wa Mwambani, hakuna ambaye angefika zenj na kupindua bila some support ya ASP. Kuna aina Fulani ya bidii inapokuja kwenye mapinduzi ya zenj kwamba waandishi na wanahistotia wanakimbilia kwenye Atrocities ili kukwepa kuilaumu dola iliyokuwapo wakati ule kwa kujenga misingi iliyozaa shari. Kumbe hapa ndipo wanakosea. Ilitakiwa wawe wakweli na kuonyesha jinsi gani waliilea hiyo shari hadi ikafikia hapo.

Ukiwasikiliza wachangiaji utajiuliza hivi?

1. TUNA MASHAKA na UHALALI wa wazenj kujinasua au
2. Tunauhasama na njia waliyotumia kujinasua au
3. Tatizo letu ni nani kawasaidia kujinasua? au
4. Does it matter nani kawasaidia?

Strangely hutasikia definite answers, mara zote huishia lugha tamu tamu tuu!!!!

Jibu ni fupi sana hapa . LET TANGANYIKA COME TO FREE ZNZ.

je mnaogopa nini kuunda Serikali ya tanganyika katika mvungano wenu?
 
Tatizo si serikali ya Tanganyika kaka, hiyo serikali tayari ipo. Kikwete ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambamo pia chini yake kuna serikali ya Tanganyika. Tatizo ninaloliona mimi ni matumizi. Jeshi la muungano kwa kiasi kikubwa ni jeshi la Tanganyika. Ukiunda serikali tatu jeshi litakuwa chini ya serikali ipi? Kama jeshi litakuwa chini ya rais wa Jamhuri ya muungano, rais wa Tanganyika atakuwa na kazi gani? Hivi kweli Wazanzibari wako tayari kugharimia serikali ya tatu 50-50? Nahofu gharama zote zitaielemea Tanganyika. Kama ni serikali tatu afadhali kila mtu aende zake. Hapa najua ndugu yangu JokaKuu atakubaliana na mimi.
 
Acha kujidanganya.

Tanzania ni muungano wa tanganyika na Zanzibar. Nje ya Muungano wenu hakuna Tanzania bali kuna Zanzibar na Tanganyika.
 
Yericko,
Soma kitabu "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru."

Kimeandikwa na Harith Ghassany.

Kitabu hicho mash,Allah ni mwisho wa maneno. Dr Haarith alifanya mambo makubwa sana kutoa watu matongotongo na kuona ukweli umesimama wapi.

Allah amzidishie zaidi na zaidi Bro Harith na alioshirikiana nao kuandika kitabu hicho.

Jibu ni fupi sana hapa . LET TANGANYIKA COME TO FREE ZNZ.

je mnaogopa nini kuunda Serikali ya tanganyika katika mvungano wenu?

Barubaru; You are missing the point. Hakuna Mtanganyika anayeogopa kuwa na serikali ya Tanganyika peke yake. If anything ni ahueni kwetu. Waliotaka ulinzi uwe wa Muungano ni znz na surely wanajua why? issue inayoolengelewa hapa ni kile kigugumizi cha baadhi yetu kuona kama vile wazenj kujikwamia na sultan ilikuwa dhambi, that is what is on the table. Ukishakubali kuwa ilikuwa halali wao kujikwamua na madhila yao issue inakuwa kwamba jee aliyewaisaidia ndiye mbaya kuliko hao waliotaka kusaidiwa? Kila mara tunapotaka ku-address hii "thorny" issue huwa mada inakwepwa.

Swali la msingi hapa lilikuwa kama ASP walimfata Julius kuomba msaada wa kumwondoa sultani vipi leo anayebeba lawama ni Julius na sio ASP? Issue iko hapo.
 
Back
Top Bottom