Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Ritz, nimeshasema sana kuwa spinning si kitu kizuri. Ingawa watu wanakutetea na pengine kudhani nakuonea mwenyezi mungu analeta heri zake.
Hiyo nukuu umeichukua ''Duru za siasa''.
Kwanza nisema kuwa sina chama cha siasa kama unavyosema. Pitia maandiko yangu yote uone jinsi gani ninavyokichambua kila chama kwa mujibu wa maoni na tahmini zangu.
Hili la kusema mimi ni mwancham wa Chadema umeniwekea, kama ningelikuwa hivyo sina sababu ya kukataa.
Kitu kimoja ambacho kipo kwenye rekodi yangu ni kuwa sipendi CCM na nimesema hata PPT maendeleo ikichukua nchi nitafurahi kwa kuangalia miaka 50 iliyopita. Ipo katika rekodi za JF.
Kwenye hiyo nukuu kutoka duru za siasa, kuna sehemu kuu mbili.
Sehemu ya kwanza nimeelezea kuhusu Lipumba, sehemu ya pili nikaelezea kuhusu Edwin Mtei na kauli zao.
Nikafanya ulinagnifu wa kauli ya Lipumba na ya Mtei na nimesema kama Lipumba anakuwa responsible na kauli zile basi Meti atakukuwa responsible equally.
Ukisoma heading utaona nimeandika nini. Na katika maandishi yangu sikuwahi kusema kwanini amezungumza msikitini.
Nimesema kuhusu kauli zake tu. Sasa hiyo spinning unayofanya siyo nzuri.
Naweka kila nilichokiandika PROF LIPUMBA HATAGOMBEA TENA UONGOZI WA NCHI
KAULI ZA MZEE MTEI ZAGEUKA KUWA SHUBIRI KWA CHADEMA ili watu wasome na waone jinsi gani spinning zako zinavyoharibu, kuudhi na kukirihisha watu wengine. Na hapa namualika Gombesugu aliyesema unaumia kwa lobbying zangu kwa invisible.
nitaweka hapa chini kile nilichokisoma hata kama link ipo ili ukweli utawale
Halafu nitahoji kauli za Ritz alizoniwekea mdomoni
Nguruvi3; My condolences, and i wish you luck in your efforts!!!!!