Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yericko,

Hivi kwa akili yako unadhani kuna mtu anafanya mjadala na wewe? Wewe ni daraja la kuwafikia wasikilizaji na wanaukumbi.
 

HASANALIS,

Ndugu yangu nakuacha na maneno machache yenye hikma ndani yake.

"Mwenyezi Mungu katupa zaidi ya chembe hai milioni 14 katika ubongo kwa nini Mungu alitupa kiuongo kigumu hivyo kama siyo kututaka tukitumie"

Cc...Oscar Kambona.
 
Last edited by a moderator:
Kitabu cha Mohamed Said, ni kitabu kinachovutia sana, kilichojaa tafiti na ni chepesi kueleweka. Mwandishi wake yupo wazi mkweli, aliyepangilia hoja zake.

Ni kitabu chenye utaratibu na lugha nzuri nimefurahia historia iliyoandikwa humo.

Ni kitabu ambacho hakuna anayelazimishwa kukikubali ingawa kimewaumiza watu wengi sana na kitaendelea kuwaumiza.

Chuki zisizo na msingi zipo kwa mtu aliye kizani, hakipata mwanga anapona ugonjwa huo.

Cc...Shariff Attasi.
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Salaam sana ndugu yangu,nashukuru kwa bayana yako.

Sitie shaka,mimi nilikua nakufanzia maskhara tu kiduchu!ahaha!!

Nakusihi mno kipata fursa pia pitia na ujifunze kiundani na zile dhuluma,unyama,unafiki,mateso,ubakaji,mauaji yaso mfano na Utumwa mwingi ulofanzwa pia na wale Missionaries/"Wavumbuzi" wetu katika maeneo hayohayo ya Tanganyika na Zanzibar...najua utakua unazijua hizi khabari japo kiduchu ndugu yangu!?

Ni kweli ule nilofanza ni unyambulisho wa mtazamo wangu chechefu. Najua pana Manguli hapa "wajuao zaidi" na labda pia wana mitazamo tafauti...haina neno ndo itakiwavyo uhuru wa fikra na kubadilishana/kufunzana Ilm.

Sina hakika na huo mcharuko wa hao "jamaa zenu wa Ki-Zenj" kama ulivyowaita,lakini nakhis walikua wakikufahamisha ile influence na Historical connection kubwa ya ki-historia iliyopo baina ya Waswahili/Kiswahili na Waarabu/Uislamu...ama kwa hakika vitu hivi haviepukani,ni kama chanda na pete.

Nashukuru mno kwa stahamala yako dhidi yangu,na niwie radhi kama unakhis kuna lolote nilokufanzia nawe hukupendezwa nalo katika yale majadiliano yetu.

Nakutakia W'end njema ndugu yangu,tutaongea siku nyingine mimi nina kisafari kiduchu nenda nje kwa siku kadhaa.

Ahsanta.
 
Kinachopigwa vita hapa sio uislam, bali watu wanaoutumia uiaslam kuwagawa watanzania kwa kuhimiza chuki dhidi ya watu waimani nyingine kwamba ndio wanaosababisha shida kwa waislam.
 


Hasanalis,

Nakhis wachanganya kati ya kichefuchefu na uchechefu...hivi ni vitu tafauti. Najua unafahamu uzuri na kiundani Mwanamalenga mwenzangu,walakin nakuzindua tu kiduchu.

Laukana,khisia zangu chechefu si zakweli,niwie radhi mno Al Sahib.

"Hao
watu" ulowataja kukunyima usingizi wala wasikushughulishe sana Mwandani wangu...twajua yakuwa "watu hao" wana maradhwi,na maradhwi yao ni makubwa mno. Ndo maana ili kuwaponya tumewaletea Mganga wao...Nguli wa Manguli,Maalim Sheikh Mohammed Bin Said. Ikiwa hawatapona kwake,dawa yao wajitie vitanzi tu!...lakin nakhis waelekea kupona "watu hao" japo kiduchukiduchu,ilobaki ni ile "kisirani shida" tu ndo yawasumbua! Nafikiri ndo dasturi ya maradhi yakikukaa muda mrefu...

Hiyo khabar yako ya kukosa kuyaa/usingizi,Wallahi menishtusha mno.

Tafadhali labda jaribu kuchukua kijilikizo japo kiduchu na ujipumzishe na zahama za hili jamvi.

Ahsanta kwa kunisikiza huo uchechefu wangu.

Cc;Shariff Ritz,Mbaruk Sauti ya Chuma,Juma Kabati.
 
Kwani wewe ulikuwa hulijui hilo? Nyie badala ya kujadili historia ya uhuru wa Tanganyika mnatuhamishia misiktini kwenda kutuletea mawaidha kana kwamba wote sie ni waislam!

The beutiful commands of Allah.
 

Yericko Mjukuu wa Marehemu Burito,

Hivi unafahamu nini maana ya neno Wahafidhina!?

Najaribu kukuepuka,lakini kila mara shurti unitaje,wanitakiani!?

Kwa jinsi akili zako zilivyo,nina mashaka hata na Uraia wako!...nina hakika unatumiwa na baadhi ya Nchi jirani kwenye asili yako/uliokotokea ili kuleta ufisadi,uzandik na chokochoko hapo Tanzania.

Bakhti nzuri umepata watu wengi na kundi kubwa la Watanzania walioamua kujivalisha miwani za mbao na kukusikiliza,nawe ukiendelea kuwapotosha na kuwachonganisha!

Nenda Shule ukasome kijana!
 

Al Habiby gombesugu,

Nakuomba sana ndugu yangu mpuuze huyo jamaa nikupe maneno kiduchu tu jogoo anawika akishaona mwanga tu. Muweke katika kiza hatawaki nadhani umenipata ndugu yangu.

Ni ngumu kuwa mpole ukiwa na nguvu na shujaa kama wewe.

Cc.. Ally Sykes.
 
Last edited by a moderator:

Al Habiby gombesugu,

Nakuomba sana ndugu yangu mpuuze huyo jamaa nikupe maneno kiduchu tu jogoo anawika akishaona mwanga tu. Muweke katika kiza hatawaki nadhani umenipata ndugu yangu.

Ni ngumu kuwa mpole ukiwa na nguvu na shujaa kama wewe.

Cc.. Ally Sykes.
 
Last edited by a moderator:

Muheshimiwa Nguruvi3,

Nashukuru kwa kunitaja mara kadhaa ndugu yangu.

Nakujulisha simtetei Shariff Ritz kama unakhis kuna kosa lolote alofanza.

Nakustahi mno ndugu yangu,ndo imenilazim kukujibu hii bayana yako japo kiduchu. Wewe wajua,angalikua mwingine mimi wala nisingejitia mshughuliko wowote ule.

Ama kwa hakika mimi khabar na Local politics za hapo Tanzania sizijui kwa mapana,ndo maana unaona huwa siingii au kuchangia lolote kwenye hizo Threads nyinginezo hapa Jf.

Nakhis labda matata yenu na Shariff Ritz,ni ya kitambo na khususan kwenye khitilaf zenu za kisiasa hapo nyumbani!?

Kwa mara nyingine tena nakusihini nyoote wawili,pamoja nakuisihi nafsi yangu;yakuwa tuendelee na mnakasha kwa staha na kustahamiliana.

Tujikumbukushe kila tufanyalo hapa jamvini,yakuwa kuna wengine/wenzetu wanatuangalia na kupata simanzi.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Mkuu Ritz

Kosa kubwa la Ustadhi Lipumba ni maudhui ndani ya hotuba yake.

Hakuna kosa kiongozi wa chama cha siasa kushiriki katika shughuli mbali mbali za kidini.Tumewaona wanasiasa wa vyama vyote vya kisiasa wakichangia ujenzi wa makanisa,misikiti,shule,hospital na nk.Tumewasikia viongozi wa mbali mbali wa chama na serekali wakihutubia ndani ya nyumba za ibada lakini hatukuwahi kusikia wakitoa hotuba za kutugawa waTanzania kama alivyofanya Ustadhi Lipumba.



 
Last edited by a moderator:


Muslimiina & Muslimaati kuchagua kuamini kile anachokisema Moh Said huitwa Mdini,

Non Muslimiina & Muslimaati akichagua upande wa Yericko mdandia nasaba za watu anaitwa Great thinker.,??

What a double standard...!!

Muanzishi wa uzi huu kuhusu uchochez wa Moh Said ni wewe,na Moh Said kaja hapa kwa heshima ya jukwaa hili kumwaga facts na taaluma ya hali ya juu pamoja na historia iliyoshehen ya uhuru wa nchi hii,tena kwa uthibitisho na rejea za kutosha tumeshuhudia YERICKO & SONS mkitokwa povu na matusi ya kila aina...

Watu wenye akili zao timamu washauona ukweli uko wapi,na tunasikitika kukutaarifu ya kwamba umaarufu uliokawa unautarajia kwa kufungua uzi huu umeishia kuwa ni unyonge kwako na kukuweka katika daraja la watu wa kupuuzwa....
 


The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Wallahi,umenena ukweli uso shaka...ndo maana mimi hupatwa na "Duwaa Al Mustaajaba" kwa hii Double Standard na Hypocrisy iliyopo hapa Jamvini.

Lakini haina neno,tutabanana nao hivihivi Insha Allah.

Ahsanta.

Cc;Hasanalis
 
Mkuu gombesugu ushauri wako umeangukia katika daraja la juu kabisa la udhalilishaji wa mwanajamvi mwenzetu "Yericko".

Yericko,

Now I know that you are extremely disturbed person.

Stop messing around,I think you need to seek immediate attention of a Psychiatrist or Rehabilitation Centre near you.

Hope you do that pretty soon.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gombesugu ushauri wako umeangukia katika daraja la juu kabisa la udhalilishaji wa mwanajamvi mwenzetu "Yericko".

Ngongo,

Nakusihi pitia posts za nyuma za huyu Yericko,halafu tajionea mwenyewe!? Au ndugu yangu unakua mkali tu pale mie/sisi tunapoamua kujibu upuuzi na makhanatha yake!?

Mimi sikumdhalilisha nimempa ushauri tu kiduchu. Hoja yangu/ushauri wangu uko palepale...sasa nyinyi mnaojaribu kumficha au kutomwambia kweli mwenzenu ndo mtazidi kumuharibia maisha yake.

Ahsanta sana.
 
Mkuu Ritz wewe ni shaidi yangu hapa JF kwamba Ngongo si mwanachama wa CHADEMA wala si mwanacha wa chama chochote cha siasa.MwanaCCM akifanya vizuri namsifu akikosea namkosoa hali ni hiyo hiyo kwa CHADEMA,CUF,TLP,NCCR na nk.

 
Last edited by a moderator:
Ami ukishindwa kujibu hoja nzito nzito unakimbilia kinga ya dini ha ha ha ha.


SubhaanaLlaah!.Matusi kama haya yanatolewa na kafiri kama Nguruvi!.Hata kunawa hajui lakini ana mdomo wa kuwatukana waislamu kama hivi.
:spy::spy:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…