SubhaanaLlaah!.Matusi kama haya yanatolewa na kafiri kama Nguruvi!.Hata kunawa hajui lakini ana mdomo wa kuwatukana waislamu kama hivi.:spy::spy:
Leo mda mfupi uliopita kupitia TBC taifa katika kipindi cha "Wosia wa Baba"
Hotuba ya kuwaaga wazee wa jiji la Dar imerushwa hewani, hakika imerushwa kama ilivyo hapo juu na maeelezo mengine mengi sana katika sehemu iliyosalia ya hotuba hiyo hapo juu!
SubhaanaLlaah!.Matusi kama haya yanatolewa na kafiri kama Nguruvi!.Hata kunawa hajui lakini ana mdomo wa kuwatukana waislamu kama hivi.:spy::spy:
Mkuu gombesugu ushauri wako umeangukia katika daraja la juu kabisa la udhalilishaji wa mwanajamvi mwenzetu "Yericko".
Yericko Mjukuu wa Marehemu Burito,
Hivi unafahamu nini maana ya neno Wahafidhina!?
Najaribu kukuepuka,lakini kila mara shurti unitaje,wanitakiani!?
Kwa jinsi akili zako zilivyo,nina mashaka hata na Uraia wako!...nina hakika unatumiwa na baadhi ya Nchi jirani kwenye asili yako/uliokotokea ili kuleta ufisadi,uzandik na chokochoko hapo Tanzania.
Bakhti nzuri umepata watu wengi na kundi kubwa la Watanzania walioamua kujivalisha miwani za mbao na kukusikiliza,nawe ukiendelea kuwapotosha na kuwachonganisha!
Nenda Shule ukasome kijana!
The Big Show,
Salaam Al Akhiy.
Wallahi,umenena ukweli uso shaka...ndo maana mimi hupatwa na "Duwaa Al Mustaajaba" kwa hii Double Standard na Hypocrisy iliyopo hapa Jamvini.
Lakini haina neno,tutabanana nao hivihivi Insha Allah.
Ahsanta.
Cc;Hasanalis
Gombesugu,
Naomba ruksa yako nikukumbushe jambo.
Aliemuoa Bi Salama Hussein Juma ni Ramadhani Aziz.
Majuzi niko makaburi ya Kisutu nimeliona kaburi la
marehemu Salama.
Sheikh Hussein Juma alikuwa Vice President wa UTP.
In Sha Allah nitakuwekea kitu kuhusu Al Hassanain.
Sheikh Hussein alizaa watoto brilliant kama Prof. Mansour
huyu nadhani ni bingwa wa hisabati, kisha Muhidin huyu
alikwenda Makerere na akawa katika polisi.
Yericko,
Now I know that you are extremely disturbed person.
Stop messing around,I think you need to seek immediate attention of a Psychiatrist or Rehabilitation Centre near you.
Hope you do that pretty soon.
Ndugu zangu katika imani nawaombeni tumsamehe ndugu yetu hata kama yeye kaona ni sawa kuandika hayo maneno. Uislam ni dini ya upendo na amani.
Uislam uko kivitendo zaidi, ukikupa muongozo katika kila nyanja ya maisha, ikiwa pamoja na swala, kula, usafi, tabia, taadhima na heshima kwa wazazi na watu wa dini tofauti.
Mipaka katika Uislam ilishawekwa kitambo, haya yote yanapitakana kwenye Madrassa zetu tukufu ambapo ndipo tunasoma dini yetu ya Uislam.
Shule yangu ilikuwa Madrassa ilikuwa na vitabu na maktaba nzuri nilitumia muda wangu nikiwa nasoma Madrassa nikitimiza azma yangu ya udadisi.
Ndugu zangu wanajamvi na uongozi mzima wa jf,
Natamka wazi kuwa ndugu yetu GombeSugu uvumilivu umemshinda na ameamua KUVUNJA kanuni na sheria za JF alizoziridhia wakati akijiunga,
Amezivunja kwa kuamua KUNIDHARIRISHA katika kiwango cha hali ya juu sana!
Sisi sote ni Watanzania na tunatumia lugha moja na ni ndugu, lakini udharirisha wa aina hii hautoi sura stahiki ya Utanzania wetu na Ubinadamu wetu!
Nachukua fura hii kumtaka ndugu yangu GombeSugu aniombe RADHI hapahapa jamvini na kufuta kauli yake,
Hilo naomba litendeke ndani ya dakika 72 kuanzia ninapo andika maelezo haya, vinginevyo nitamshirikisha MODS katika masikitiko haya na haki ya kisheria itachukua mkondo wake!

Wacha mikwala wewe eti unatoa masaa, wewe mbona umeishaniita mimi mfuta viatu vya Mohamed Said au wewe una haki zako binafsi humu JF unatoa amri tu kwa Mods.
Ndugu yetu kipenzi Ritz,
Mimi nikiwa ndie muanzisha uzi huu, nimeshauri mambo ya dini yasijadiliwe ama kuhubiriwa hapa,
Kuna jukwaa mahususi kwa mihadhara ya kiroho mkuu waweza kwenda kule na ukahubiri vizuri!
Tusiharibu maana ya uzi huu!
So what Kama wewe ndiyo umenzisha huu uzi?
Nguruvi3, ndiyo kaleta mambo ya Madrassa humu jamvini sisi tunamjibu wewe unatukataza kisa eti uzi umeanzisha wewe...unajitetea kitoto sana.
Hii ni forum watu wanachangia mawazo tofauti tofauti kwa hiyo kama huu uzi ni wako hautaki mawazo tofauti na wewe.
Tupige basi ban wote ambao tunaopingana na wewe.
Acha ujinga wewe...
SubhaanaLlaah!.Matusi kama haya yanatolewa na kafiri kama Nguruvi!.Hata kunawa hajui lakini ana mdomo wa kuwatukana waislamu kama hivi.:spy::spy:
Unaposema mawazo tofati hilo ndilo dhamira ya uzi huu, laki utofauti huo usiwe ule wa kuweka habari za kidini au za MMU katika uzi huu na kuondoa maana iliyokusudiwa ambayo ni uchochezi na dhihaka ya Mohamed Said dhidi ya wanaukombozi wetu!
Utofauti uwe wa mantiki ya uzi!
Naamini umenielewa! Tusonge mbele!
Vipi kitabu chako cha ugaidi chenyewe ruksa.
Sasa ni nani yupo hapa kusoma lugha yako ya kibabe na udhalilishaji unayoandika hapa? unasababu gani kujiita muislam wakati hufuati maadili ya uislam hata chembe?Childish Behaviour & Crocodile Tears..!
Kabla hujayasema hayo ilikupasa uje nawewe ulithibitishie jukwaa hili uhalali wa kulikimbilia jina la Mwalimu na kulinasibisha na nasaba yako,
Yericko yapaswa utambue ya kwamba katika mnakasha huu sisi wengine tupo hapa kusoma facts na ukweli wa mambo,na hatupo hapa kusoma utumbo wako na vitu visivyo na tija,
Muda kwetu ni bidhaa adimu sana,kama umeshindwa kuuonesha uchochez wa Moh Said basi wewe na jamaa zako muambizane musitake kuugeuza huu kama ni uwanja wa Crusade Vs Jihadi...!
Hatupo hapa kwa hilo...
Anajuwa wazi kuwa Mods watamsikiliza mpaka kuweza kutoa hiyo ultimatum. Tuvute subra tu. kwani wengi wanakoseana na lakin kikubwa ni kuelezana bayana na kusameheana.
Pole sana Yericko