Mkuu Ngongo,
Simama kwenye haki kama umeamua kuwa hakimu.
Tumeitwa "Bwaba" sijui kama huu kwako ni udhalilishaji au ni jambo la kawaida usiwe double standard..
Nadhani tuendelee kuheshimiana bila kutoleana lugha za kifedhuli.
Wickama.Gombesugu; Naungana na Barubaru. Hakuna aibu katika kutaka msamaha kwa uliyemkosea. I would that if I were you. Many times nimeshasema IAM sorry humu JF na haijanipunguzia kitu.
Pia namuunga mkono Yericko kuwa tu-focus debate kwenye agenda ya uzi huu. Hatuwezi kujadili everything. Infact watu kutukanana ni dalili ya focus kuanza kupotea.
Nasikitika kuona ndugu yetu GombeSugu amekaidi ombi nililomtaka atumie uungwana wa Mwafrika aniombe radhi kutokana na udharirishaji alionifanyia,
Kwa hekima za Mods, wamempa likizo ya uchangiaji hapa JF
Pole sana ndugu yetu, Tulikupenda lakini BAN imekupenda zaidi!
View Profile: gombesugu
User Name: gombesugu
User Title: Banned
Last Activity: Today 15:24
Nasikitika kuona ndugu yetu GombeSugu amekaidi ombi nililomtaka atumie uungwana wa Mwafrika aniombe radhi kutokana na udharirishaji alionifanyia,
Kwa hekima za Mods, wamempa likizo ya uchangiaji hapa JF
Pole sana ndugu yetu, Tulikupenda lakini BAN imekupenda zaidi!
View Profile: gombesugu
User Name: gombesugu
User Title: Banned
Last Activity: Today 15:24
Umesikia rahaa ehh kijana mnafiki sana sijawahii ona maishani mwangu iko siku mungu atakuangaza
Hongera sana Yericko.
Naona umefurahi sana hilo japo wengine tumesikitika kwalo.
Wickama.
Mimi naona umeninukuu vibaya.
napenda kukufahamisha kuwa kuna mengi sana ya kashfa ameyatoa Yericko ukisoma post yake ya kwanza.
la kwanza mpaka sasa ameshinda kutudhibitishia kuwa MS ni gaidi, muongo na mfitini. Kwani kama angeweza kuthibitisha haya kwa mujibu wa sharia za Tanzania alitakiwa afikishwe mahakamani na kushitakiwa kwayo.
Kwani MS anasimamia vitabu vyake ambavyo ameandika na rukhsa kwa kila mtu kusoma.
Kwa kauli hizo tu na kushindwa kuthibitisha maneno yake ya kumwita mtu mrongo, gaidi, mnafiki anaipasa aombe radhi kwa kuthibitisha.
lakin yote tunamezea na kuendelea kupeana darsa hapo na kujifunza mengi sana.
hakuna mchele uso na chuya lakin tunamezea na kusameheana ili mnakasha uzidi kutupa darsa kwani kune mengi sana tunajifunza hapo.
lakin la mwisho hakuna dhambi mbaya kama kuiba kauli ya mtu.
pole sana
Kwanini asikuangaze wewe?Umesikia rahaa ehh kijana mnafiki sana sijawahii ona maishani mwangu iko siku mungu atakuangaza
Kwanini asikuangaze wewe?
The problem is that you think little and suffer from inferiority complex. You have allowed your brain to be manipulated by that good for nothing embicile old man!Ili nisipigwe ban ngoja ninyamaze kwasababu............
Ndugu zangu wanajamvi,
Kwanini nimemuita Mohamed Said ni MCHOCHEZI?
Nitaeleza yanayoakisi uchochezi huo!
Issue ni kuwa;
1. Wote hapa jamvini na duniani tunakubaliana kuwa Mohamed Said ameandika kitabu cha Maisha na nyakati za Abdul Sykes!
2.Kitabu hicho mimi nakikosoa kuwa kinamapungufu mengi,
Mifano ya mapungufu hayo ni kama, Malima kuanzisha Namba za mitihani (get exact dates when the Ministry started this) utakuta ina -predate Malima kuwa pale ministry (this is easy)
Kwaujumla hakuna ushahidi wa wazi au wamazingira kuthibitisha madai yake,
Hivyo huu ni UCHOCHEZI wa wazi!
3. Madai mengine katika maandishi ya Mohamed Said juu ya elimu nchini nikuwa hata hatua ya Mwalimu Nyerere kutaifisha shule za kidini ili kila mtanzania asome (analysis yake) analaumu kuwa hatua hiyo haimkumsaidia mtoto wa kiislamu
Lakini Mohamed Said hasemi/hapendekezi/hashauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, amebaki kuwahubiria watu kuchukia hali hiyo na kumchukia Mwalimu Nyerere tu,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
4. Mohamed Said anailaumu serikali ya Mwalimu Nyerere kuhusu numbers of muslim professionals in places across the civil service,
Wanajamvi, wote tunatambua kuwa mtumishi wa umma katika nchi hii hupatikana kwa taratibu zilizowekwa kwa mjibu wa sheria,na sio kwa kufuata kigezo cha DINI,
Lakini anashindwa kushauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, na badala yake amebaki kupandikiza chuki kwa jamii tu,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
5. Mohamed Said fails to acknowledge politicization of the EAMWS at the hand of sheikh Hassan in support of opposition elements to TANU.
Katika hili la kifo cha EAMWS Mohamed Said madai yake mengi kama siyo yote aliyoyaelekeza kwa Mwalimu Nyerere nikuwa kila mahali utakuta anasema,
Ilisemekana,Niliambiwa,Nilisikia,
Katika madai ya aina hiyo hayana mantiki ya kiushahidi!
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
6. Mohamed Said is ambigious when it comes to the Zanzibar revolution. He spends efforts in belittling those who risked their lives to overthrow the sultan regime (wamakonde)
Katika hili Mohamed haleti ushahidi zaid yakusema nilisimuliwa na wazee wangu,
Huu sio ushahidi wakuweza kuhalalisha madai yake,
Ushahidi kama huu unakuwa batili kwakuwa ulichukuliwa upande mmoja bila kuangalia upande wapili,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
6. Mohamed Said does not offer suggestions as to what should be done to alleviate the problem.
Wanajamvi wenzangu,
Nimeeleza UCHOCHEZI wa Mohamed Said,
Kisha baadae nitaangaza Dhihaka za Mohamed Said
Huo ni upumbavu tuh ulioumwaga hapo,Too low,
Mkuu Invisible anatoa ushauri murua kabisa wa kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu wako,
Upumbavu wa hali ya juu sana huo uliouleza.,hayo yote yamejibiwa na kufafanuliwa kwa kina sana,
Ule upumbavu wako mwingine wa ugaid umeutupilia wapi?
Fuata busara za wenye busara,
Ficha Upumbavu wako,
cc Invisible...
Huo ni upumbavu tuh ulioumwaga hapo,Too low,
Mkuu Invisible anatoa ushauri murua kabisa wa kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu wako,
Upumbavu wa hali ya juu sana huo uliouleza.,hayo yote yamejibiwa na kufafanuliwa kwa kina sana,
Ule upumbavu wako mwingine wa ugaid umeutupilia wapi?
Fuata busara za wenye busara,
Ficha Upumbavu wako,
cc Invisible...
Ndugu yangu,
Kuna haja gani ya kutukana kiasi hicho?
Hoja zipo wazi anaetakiwa kuzijibu ni Mohamed Said, lakini ikiwa unaweza kuzijibu waweza kujibu hoja tu na sio kumjadili mleta hoja!
Wickama,thanks Bro! watu wanashindwa kusimama toe to toe kwa hoja.
Hakuna anayejibu hoja, anayejaribu ni yule atakayefanya ''character assissanation'' na hii ilianza na Mohamed Said.
I will never be intimidated by an individual or a mob. I will write without fear or favor.
Nitasema ninachotaka kusema na si kile watu wanachotaka kusikia.