Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Ritz, wacha kutuletea upuuzi wako hapa, hakuna anayechukulia mzaa dini ya mtu yeyote, wewe unalazimisha dini yako iwe kila mahali jambo ambalo sio sahihi. Mambo yenu na imani zenu zipelekeni mahali mfuaka yaani kwenye jukwaa la dini au misiktini kwenu, sasa wewe huelewi nini?Muda wowote utakaochukulia mzaa dini ya Watanzania wenzako, basi wewe ndiyo utayechekwa. JF ni huru kwa dini zote.
Yericko,
Kisa cha Okello ni kifupi sana.
Kama una mahaba na "ubaba wa taifa" katika mapinduzi
ya Zanzibar hebu kwanza kubali kuwa wewe ni "novice"
katika historia.
Ukishakubali ufuate taratibu za kusomeshwa.
Ukitaka kumtafuta mpishi wa mapinduzi anza utafiti wako na
Abdallah Kassim Hanga.
Hanga atakufikisha kwa Oscar Kambona.
Baada ya hapo mambo mteremko.
Zanzibar utabisha hodi nyumbani kwa Wayahudi wawili.
Tanganyika utachungulia sehemu mbili....
Dar es Salaam na Tanga.
Tanga ndipo utamkuta Victor Mkello na Mkwawa ambae kwa uhodari
wake Karume alimpa jina la utani "Tindo."
Namaliza.
Baada ya mapinduzi siku Mkello alipokwenda Zanzibar Hanga akamtambulisha
Mkello kwa Karume.
Karume alisimama na kumkumbatia Mkello.
Je ungependa kujua Karume alisema maneno gani ya kumshukuru Mkello?
Ritz, wacha kutuletea upuuzi wako hapa, hakuna anayechukulia mzaa dini ya mtu yeyote, wewe unalazimisha dini yako iwe kila mahali jambo ambalo sio sahihi. Mambo yenu na imani zenu zipelekeni mahali mfuaka yaani kwenye jukwaa la dini au misiktini kwenu, sasa wewe huelewi nini?
Unatumia nguvu nyingi sana inawezakana wewe ukaniona mpuuzi hili kwangu wala halina tatizo upo huru kuongea chochote na kuonyesha fikra zako.
Mwisho kabisa nakucha na maneno machache yenye hikma ndani yake ingawa wewe utaona upuuzi.
"Mtu mwenye busara huwa na tabia ya kufanya mafikirio mwenyewe wakati wa majadiliano, mtu mjinga huwa anaropoka chochote kwenye majadiliano hili haonekane mjuvi"
Mohamed Said,
Tupo hapa kujadiliana na kufahamishana mambo yahusuyo Historia,
Hatubishana ilimradi kubishana kama watu tusio na mpangilio wa ubishi, bali tujabishana kwa hoja na ustaarabu na adabu!
Tunaheshimiana, tunathaminiana, na kujaaliana!v
Naomba nikuulize swali MOJA tu ili tupate mwelekeo wa jadala wetu juu ya Historia ya Zanzibar!
1) Je mapundizi ya Zanzibar ya 1963 ni HALALI au ni KHARAMU?
Haya mungeyapeleka kwenye jamvi la dini au misiktini kwenu, hapa mnatuchosha bure wewe na hilo zee lako, eboo!
Yericko,
Kisa cha Okello ni kifupi sana.
Kama una mahaba na "ubaba wa taifa" katika mapinduzi
ya Zanzibar hebu kwanza kubali kuwa wewe ni "novice"
katika historia.
Ukishakubali ufuate taratibu za kusomeshwa.
Ukitaka kumtafuta mpishi wa mapinduzi anza utafiti wako na
Abdallah Kassim Hanga.
Hanga atakufikisha kwa Oscar Kambona.
Baada ya hapo mambo mteremko.
Zanzibar utabisha hodi nyumbani kwa Wayahudi wawili.
Tanganyika utachungulia sehemu mbili....
Dar es Salaam na Tanga.
Tanga ndipo utamkuta Victor Mkello na Mkwawa ambae kwa uhodari
wake Karume alimpa jina la utani "Tindo."
Namaliza.
Baada ya mapinduzi siku Mkello alipokwenda Zanzibar Hanga akamtambulisha
Mkello kwa Karume.
Karume alisimama na kumkumbatia Mkello.
Je ungependa kujua Karume alisema maneno gani ya kumshukuru Mkello?
Ulikusudia mwaka 1964 maana 1963 z'bar hayakufanyika mapinduzi isipokuwa walipata uhuru kutoka kwa waingereza
Sasa jiulize the same question wakti alipokuwa Rais wa JMTz Ali Hassan Mwinyi, Ungesemaje?Unayejidanganya ni wewe na the likes of you. Kikwete anapokuwa Magu au Kirumba ni rais wa Tanganyika. Ndivyo sisi Watanganyika tunavyomuona. Tukishambuliwa na Idi Amin ni rais wa Tanganyika anayeamrisha majeshi yetu kujibu. Siyo rais wa Zanzibar. Kwa hiyo jiulize ni nani anayejidanganya? Kwa nini Wazanzibari wanalalamika?
Mohamed Said,
Tupo hapa kujadiliana na kufahamishana mambo yahusuyo Historia,
Hatubishana ilimradi kubishana kama watu tusio na mpangilio wa ubishi, bali tujabishana kwa hoja na ustaarabu na adabu!
Tunaheshimiana, tunathaminiana, na kujaaliana!v
Naomba nikuulize swali MOJA tu ili tupate mwelekeo wa jadala wetu juu ya Historia ya Zanzibar!
1) Je mapundizi ya Zanzibar ya 1964 ni HALALI au ni KHARAMU?
Jasusi,
Wewe ni mkubwa kwa umri kunipita.
Lakini hutukanwi kwa kisa cha kuwa na umri mkubwa.
Mwanafulani punde kanitusi kwa kusema Costa John
kasilimu kabla hajafa.
Naamini utamkumbuka Costa mlikuwanae Aga Khan.
Hasad kitu kibaya sana chuki ya huyu ndugu imefurtu ada.
Mwinyi tulijua alikuwa ni rais mgeni anayepita tu.Sasa jiulize the same question wakti alipokuwa Rais wa JMTz Ali Hassan Mwinyi, Ungesemaje?
Aibu kubwa hii,mara umeandika 1963...!!,,umekosolewa na kuambiwa huo mwaka sio sahihi haraka haraka ukakimbilia kuedit na kuweka mwaka 1964..!!
Hilo tumelishuhudia kwenye mabandiko yako mengi sana huku nyuma ukienda kuyarekebisha,
Aibu kubwa sana hii,all in all wewe utabakia kuwekwa kwenye darja lile lile tuh,la makanjanja...
Ukikosea na ukakosolewa na kisha ukakubaliana na mkosoaji, kinachofuata ni kusahihisha kosa!
Usistawi mwili tu, stawi na akili pia!
Wapuuzi daima hujiita wenye busara!Unatumia nguvu nyingi sana inawezakana wewe ukaniona mpuuzi hili kwangu wala halina tatizo upo huru kuongea chochote na kuonyesha fikra zako.
Mwisho kabisa nakucha na maneno machache yenye hikma ndani yake ingawa wewe utaona upuuzi.
"Mtu mwenye busara huwa na tabia ya kufanya mafikirio mwenyewe wakati wa majadiliano, mtu mjinga huwa anaropoka chochote kwenye majadiliano hili haonekane mjuvi"
hapo kwenye nyekundu hizo habari umezipata wapi?, naona kwenye mipasho uko safi kwanini usianzishe kikundi chako cha taarab? Sheikh wangu sio lazima kuchangia hata kusoma inatosha tu sheikh...Kanjanja ni kanjanja tuh...
Editting zote zile ulizozifanya ni kipimo cha kutokuwa na uelewa wa mambo,bora basi ingekuwa ni typing error..!
Mtu anakuja kifua mbele kana kwamba kuna anachokijua basi,kumbe unakuja na ujinga wako ukidhani ya kwamba watu wataumeza kama ulivyoumeza wewe...!
Naskia kina Andrew nyerere wanajiandaa kwenda kukushitaki kwa kulitumia jina la mzee wao kinyume na utaratibu tena kwa maslahi yako ya kujitafutia umaarufu,
Nadhan umefika wakati sasa ukaacha kulitumia hilo jina,kama vile ulivyoshindwa kuuthibitishia umma hapa ulipo uchochez wa Moh Said ndivyo hivyo hivyo utavyoshindwa kujipatia umaarufu kwa kupitia jina hili usilo na nasaba nalo...
hapo kwenye nyekundu hizo habari umezipata wapi?, naona kwenye mipasho uko safi kwanini usianzishe kikundi chako cha taarab? Sheikh wangu sio lazima kuchangia hata kusoma inatosha tu sheikh...
Wickama, as much as maswali yako yanavyoumiza akili za wenye kutumia akili ndivyo yale tuliyo nayo yanavyozidi kutuumiza.Nguruvi na Jokakuu na Jasusi;
Issue hapa ni kwamba some of us wanakuwa sio wakweli. Is it not tru kuwa ASP waliomba msaada? Is it not true kuwa walikuwa na dhamira ya kupindua serikali ya huko? Justification ya Mapinduzi walikuwa nayo ASP na bado wanayo. Na ninavyojua mimi hawa ASP hawana dini tofauti na wale waliowaondoa madarakani.
Sasa ipo dhana ya kama kwamba bidii ya wazenj kujinasua na utawala wa Sultan ilikuwa kuudhoofisha uislamu. Hapa hakuna anayeeleza kuwa historical abuse dhidi ya Africans and shirazis (ASPs) yalikuwa yanadhalilisha uislamu unaotaka haki na uadilifu.
Then strangely watu wanapokuja na "discoveries" za ground operations za hawa wazenj kujinasua toka kwa sultan all the blames anabeba Kambona na Nyerere? Why him and not Karume?
Nadhani kama yupo wa kulaumiwa ni yule aliyetaka kujikomboa (ASP), sio aliyemsaidia kujikomboa (TANU). Hapa ndipo kwa makusudi panapindishwa.