Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Huyo alivyoanzisha uzi uzi huu alidhani anauwasha moto kumbe katengeza njia swaafi ya watu kutoa ilmu na kuuonyesha ukweli.

Nakumbuka huko nyuma Mohamed Said alishawahi kaunzisha nyuzi za mambo hayahaya ikafungiwa, akaweka tena ikafungiwa, akaweka tena ikafungiwa, lakini Mwenyeezi Mungu ana shani zake, kamleta mbumbumbu mmoja ambae kwa hata nasaba hana lakini akajipachika na ndio hiyo hiyo leo hii inatufungulia milango.

Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.
Yericko Nyerere ni kipenzi cha Maalim wetu Mohamed Said, na sababu ni njema tu.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Unisubiri kwa lipi ndugu yangu?

Kwani tuko katika ugomvi?
Kama sitaki kukujibu si basi.

Kuna ulazima wa kushambuliana?

haha ..umeamua kuplay victim eh? Naona unataka jifanya wewe ni mhanga,na Yericko ni Mkandamizaji ili ashindwe kuendelea.Kweli kuna raha kuwa illogical,hujilazimishi kuwa responsible kwa maneno na matendo.Bado hujamtuhumu kuichukia dini yako tuu..ila wahuni wajae ktk vita.


teh teh ..mbona mapema sana umeshakuwa crippled....hembu jaribu kukiri unaposhindwa ili muendelee mbele na usirudierudie ktk cyclic ways.Kuwa mkeli jibu maswali ya wenzio.Ili nao wakujibu mengi,kwani hadi sasa watachoka kujibu wakati yao ambayo yangekusaidia huyajibu wala kukiri km yamekushinda.

Naogopa tuu mmekuwa too naivy kuandika vitabu bila tafiti na nia njema.Sijui mtarecall vitabu vyenu?
 

MashaAllah, fantastic article.
 

Wewe hiyo ndio "proof" yako ya hii mada? hebu jisomee jikichwa la habari hapo juu halafu uje na la maana.
 
Yericko,
Unisubiri kwa lipi ndugu yangu?

Kwani tuko katika ugomvi?
Kama sitaki kukujibu si basi.

Kuna ulazima wa kushambuliana?

Naaaaam Maalim

Nakusubiri ujibu hoja zetu ambazo ni:

1) Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au Haramu?

2) Je ASP waliomba msaada wa mapinduzi kwa TANU?

3) Kwanini Wazanzibar mpaka leo hii wanaadhimisha mapinduzi haya tena kwakauli ya "Mapinduziiiii! Daimaaaaa!?

4) Kama jibu la (1) ni HARAMU,

Je viongozi wa baraza la Mapinduzi la mwazo kabisa baada ya mapinduzi mpaka hawa waliopo sasa ambao 99% ni waumini wa dini ya Kiislamu waliwasaliti/wamewasaliti Wazanzibar kwakuwa vibaraka wa TANU/Tanganyika/Mfumo Kristu?


Hayo ni machache yanayotufanya watu 200000 tusubiri hekima zako mkuu!
 

Umeachana nae na bado unakula ilmu kutoka kwake, amma kweli.

Naona ya sheli na tambi yamekuingia na majibu umeyapata, ushawahi kutumia "thermos"? si kioja hicho? jina la bodhaa likawa ni chupa ya chai? seuse mzungu kuongea kizungu iwe ni Kiingereza, Kifaransa au Kiholanzi, jee hivyo vyote si vizungu?

Naona darsa umelipata, haya tuletee hoja ya jikichwa la habari kama unalo? nna uhakika huna.
 

Hivi Yericko Nyerere ulishaleta ile hotuba uliyoahidi? vipi na Chifu ulishaonana nae?
 
Last edited by a moderator:
Wewe hiyo ndio "proof" yako ya hii mada? hebu jisomee jikichwa la habari hapo juu halafu uje na la maana.

Unafujo km wanyama waharibifu...haikuwa ktk proof..Nilikuwa namkumbusha tuu kuwa asianze jenga hisia za kuwa mwathirika,au kumwekea Yericko hisia za ukosefu.Ni hayo tuu.

Oops nawapatia huruma watu wanaokutana na wewe frequently kwa insi ulivyo na kutu ya ubongo.Watakwaruzana sana na wewe.
 

Ulishanitia wasiwasi juu ya afya yako maana sikuwa naona ile kawaida yetu uani kwangu. Niliandaa something tofauti kidogo. Enjoy. Iam sure ulikuwa unatoa signal niku-postie some movie;

Dog Soldiers - Full Movie - YouTube

Enjoy
 



200K.Wewe ndie wamekuchagua kuwa ni msemaji wao??

Kama wangekuwa wanayaona hayo unayoyasema mbona hawajatokezea hapa kuyapinga??

Wamekuagiza uwasemeee??

Hakuna wa kukufanyia spinning wewe Nguruvi3,,una nin hadi tukufanyie spinning??

Sisi tunakueleza uhalisia ambao unatakiwa kuufahamu,kuhus kutumbukiza imani haiji kwenye bandiko lako hili tuuh,

Una historia hiyo tokea mda mrefu,thats why tunakuambia crusade war haitakufikisha kokote, by the way hakuna la msingi unaloliuliza zaid ya kuegemea kwenye malumbano,watu hawapo kwenye malumbano hapa,


Hapa watu wapo kwenye kumwaga historia,Nguruvi3 U-JF SENIOR EXPERT MEMBER Ndio ukufanye utambe??

Nani anakufaham wewe,liwapi andishi lako linaloweza vuta tension ya watu wenye weledi wao??

Unatia huruma sana,Pole sana...
 

nimepata bayana na nasaha zako nazifuatilia kwa adabu kubwa sana inshaallah tupo pamoja
cc,mshume kiyate
 
Kumbuka hamjajibu hoja wala Mzee hajaonekana, anachungulia hapo chini, tena anasubiri kitupwe kipande cha kitabu aje na mengine.

Wenzangu mbona hamjibu hoja mumebaki kushambulia personality.
Hawa 200K siyo lazima kila mmoja achangie, tena hapo ungemuuliza Mohamed maana yeye ndiye anasema wanamsikiliza.

Sasa kama wanamsikiliza lazima awaweleze.

Ninachoandika mimi hakiwezi kujadiliwa kirahisi.
Muulize Mohamed anajua kitu kinaitwa Limbic syatem au ameshawahi kusikia impact ya psych trauma katika geriatric?

200k Wanasikiliza haya

ASP na TANU nani kamwalika mwenzake katika msaada wa Mapinduzi
Mapinduzi ni halali au ni haramu
Znz ni watu wema kushangilia mapinduzi au ni mazumbukuku kutoka na maandishi Ya Mohamed
Wanamapinduzi kama akina Mwinyi na Naossor wanaangukia kundi gani vibaraka au wasaliti.
 


Zomba; Jirani yangu karibu sana. Ongeza nguvu. Kuna maswali yameshindikana kujibiwa japo majibu yanajulikana. Uzoefu wako muhimu. Karibu.

Ile special yetu niliisahau;

The Daring Dobermans - Part 4 - YouTube

karibu wangu.
 
Zomba,
Ahsante ndugu yangu.

Nimevisikia vishindo vyako.
Hakika aungurumapo simba...
 
Nicholas,
Unafanya haraka kunihukumu.

Nijue kwanza.

Nimeandika vitabu vingapi, paper ngapi,
nimehadhiri vyuo vingapi...

Ukijiingiza katika unazi utashindwa mapema.
 
Nicholas,
Unafanya haraka kunihukumu.

Nijue kwanza.

Nimeandika vitabu vingapi, paper ngapi,
nimehadhiri vyuo vingapi...

Ukijiingiza katika unazi utashindwa mapema.

Mzee bahati mbaya sana ,mimi ni mmojawapo wa watu ambao hupata sana shida kupata kitabu chenye maana ktk waandishi wa kitanzania hasa Historia na Political science.So sidhani km hiyo inaweza kuwa CV mbele yangu.

Nadhani unazi wewe ndio unao halafu mbaya unazunguka ktk logic fulani ambazo si rational.Yaani..kwanza mnaanza shambulia upande wa pili kwa kusema kirahisi tuu kuwa haelewi wewe ndio unaelewa, baadae mnawaita wanazi...ikianza kuwa ngumu mnahamia ktk kutafuta cha kuita tusi ili uanze deka na kujifanya ni kubwa sana,na hivyo upande wa pili uonekane na kujisikia kuwa mkosefu.Hii si fairness na ni very irresponsible...Kadiri unavyoona unakosa majibu ya msingi ni kipindi chako wewe kujiuliza kama unachoamini au kutetea kina uzito hivyo.

Nigefuarahi km utajibu hoja na kuacha mikwara ya vijiweni......watu wasio waaminifu km nyie ndio mmepotosha sana historia, na kujifunika ktk pazia la heshima na umaarufu.Wengine sisi sijui mtataka waita hawana adabu ili mjifiche ugumu wa hoja usiwe juu yenu..yaani huwa watuogopeshwi na idadi ya vitabu...vitabu vinaandikwa tuu.Nyambari Nyangwine wao huwa authur,editor na critique,book reviewers.Mmeposha na kujipotosha sana.Sijui kwa faida ya nani.Dini?Dini yenye waumini wasio kipaumbele?Km waumini wangekuwa kipaumbele basi ungewatendea haki kwa kuwaandikia ukweli kwa akili zako zote na ufundi wako wote.

Napata huruma km baada ya hii thread kufika mwisho km utakuwa na ujasiri wa kuandika kitabu kingine na ukitangaze kwa nguvu zote zaidi ya vile vingine,ili watu wasome..na kujua kuwa Historia yako si halisi ila ni zao la fikra na unazi wako.

Ni human pscyhology kuandika ujinga au upotoshaji,halafu baadaye waliowapotosha wakiwa na imani kubwa basi nao huanza polepole kushindwa tofautisha huo uongo na ukweli.Baaday huamua kuamini na yeye.
 
Zomba; Jirani yangu karibu sana. Ongeza nguvu. Kuna maswali yameshindikana kujibiwa japo majibu yanajulikana. Uzoefu wako muhimu. Karibu.

Ile special yetu niliisahau;

The Daring Dobermans - Part 4 - YouTube

karibu wangu.

Kweli kabisa naona Yericko anavyoshindwa kujibu kuhusu u-Nyerere wake, kuhusu hotuba aliyoahidi, kuhusu kuonana na chifu. Jee, umeyaona hayo?
 

Binaadam wazima na faham zao huishi kama wanyama mwituni ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea urefu wa makucha yake na ukali wa meno yake.

Meno yako bado hayajawa makali. Jee, huo ndio ushahidi wa ji kichwa la habari hapo juu? naona mpaka sasa huna.

Unashindwa kuleta hoja unanivaa mimi na nnao ishia nao, amma kweli.
 

Wewe ni mgala?

Hiyo ndio hoja uliokuja nayo kuhusu jikichwa la habari hapo juu?

Hivi nyinyi huwa mnasoma mkaelewa haswa? hivi unakijuwa ulichokiandika au unabwabwaja tu?
 
Ulishanitia wasiwasi juu ya afya yako maana sikuwa naona ile kawaida yetu uani kwangu. Niliandaa something tofauti kidogo. Enjoy. Iam sure ulikuwa unatoa signal niku-postie some movie;

Dog Soldiers - Full Movie - YouTube

Enjoy

Hiyo ndio hoja uliyoleta kuhusu jikichwa la habari hapo juu? naona huna la maana mpaka sasa la kumtetea mleta mada maana mpaka sasa kila anapotiaa mguu anapewa kipande kingine na katika vyote hivyo hakuna kimoja alichokuja, amma yeye amma nyinyi mkasema hii hapa "dhihaka" au huu hapa "uchochezi" naona mnahaha na kuhangaika na kuzunguka zunguka na kupaka matope pasipo pakika.

Jee, umeshawahi kumsikia Tosiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…