zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Ndio,wewe si unajifanya unazijua sana sheria za JF zaid ya watu wote humu?wewe si ndie kinara wa kukimbilia kwa mods na kuwareport watu wapigwe ban??
Haya sasa Kimbilia kwa Invisible kamwambie THE BIG SHOW kakutukana kakuita mpumbavu,na uombe nipwewe BAN then jibu atalpkupatia uje hapa utujulishe,,
Yericko,let me give you a piece of an advice,Dont Try to be A Hero...!!,we ni mweupe sana,na wala huna unalolijua na usipatwe na kiburi ukadhani watu wapo hapa kukusoma wewe,
Labda kuhusu hilo la kuacha hoja na kukujadili ni wewe mwenyewe umekaribisha kujadiliwa,
1.Uchochez wa Moh Said haujauonesha,zaid ya upumbavu tu ulioweka pale,,
2.Kuikimbila nasaba isiyo yako na kuja nayo hapa jukwaani bila haya,bila aibu,tukakuhoji uhalali huo umeutoa wapi??
Ukaja na majibu yako ya kichefu chefu eti ya kwamba hawa wote ni wazee wako,ya kwamba Nyerere,kingunge,warioba,butiku.Ally sykes n,k n,k,hawa wote ni wazee wako,,,
Tukakuuliza tena,sasa kama hao wote ni wazee wako ikawaje sasa ukachukua jina la mzee mmoja tuh Nyerere kuja nae jukwani kujiverify nae kwamba ni nasaba yako??
Kwa maana hata wanafamilia wa nyerere wanakanusha kukufaham,tukakuhoji sasa wewe ni yericko bin nani??
Yericko bin BUTIKU??,,kimyaaa,,
Yericko bin Ally sykes??,Kimyaaa,,
Yericko bin Kingunge ngombale mwiru??,,kimyaa,,
Umeng'ang'na yericko nyerere,yericko nyerere na haitoshi upo hapa 24/7 kumtetea kwa hoja zisizo na mashiko,,,
Yericko status haiwez patikana kwa style hiyo hata siku moja,
Kaa ukijua ya kwamba umejidhalilisha sana,na umeushusha sana utu wako,
Sisi tunakupa pole sana....
Huyo alivyoanzisha uzi uzi huu alidhani anauwasha moto kumbe katengeza njia swaafi ya watu kutoa ilmu na kuuonyesha ukweli.
Nakumbuka huko nyuma Mohamed Said alishawahi kaunzisha nyuzi za mambo hayahaya ikafungiwa, akaweka tena ikafungiwa, akaweka tena ikafungiwa, lakini Mwenyeezi Mungu ana shani zake, kamleta mbumbumbu mmoja ambae kwa hata nasaba hana lakini akajipachika na ndio hiyo hiyo leo hii inatufungulia milango.
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.
Yericko Nyerere ni kipenzi cha Maalim wetu Mohamed Said, na sababu ni njema tu.
Last edited by a moderator: