Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Umeishawahi kuwasikia kina Idd Tosiri na Mshume Kiyate?
ID yangu ni moja tu na ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF. Kwani kosa langu ni nini?
Kuna mtu kakuuliza au ndiyo wasiwasi ha haah haaa wenyewe.
Kwani mnaposema huu mjadala unafatiliwa na watu 200,000 unamaanisha nini? Mbuzi au binadamu?
Unaseeemaaaaaa?
Kama unakubali hao wafatiliaji ni binadamu basi mimi ni mmoja wapo na nipo hapa kujifunza bila kuege
mea upande wowote.
Ueleweki unasema kisha unajijibu mwenyewe, tulizana chini kunywa glasi moja ya juice Sharbati kisha rudi kwenye ID yako ya zamani tuendelee na mnakasha.
 
gombesugu,

..hayo ya wa-Znz labda ilikuwa ni jazba tu kutokana na mnakasha ulivyokwenda.

..mimi msimamo wangu ni muungano uvunjwe na tushirikiane kupitia EAC.

..wa-Znz walioko Tanganyika wapewe permanent resident status kwa kipindi maalum na baada ya hapo waamue kuwa raia wa Tanganyika au warudi kwao Zanzibar.

..actually, wa-Znz wanaweza kupata fursa zilizoko Tanganyika kupitia mwamvuli wa East African Community.

..huo ndiyo msimamo wangu, na nimeuelezea sehemu mbalimbali.

..kuhusu Uganda, mimi nadhani Pro.Lule, Godfrey Binaisa, Milton Obote, na Yoweri Museveni, wana afadhali kuliko masultani wa Kiarabu waliouza babu zetu Utumwani.
 
Last edited by a moderator:
GombeSugu,

Sio kweli kama unavyohalalisha kuwa 100% ya Wazanzibar ni Waislamu!

Makanisa yaliyopo Zanzibar unayaweka kundi gani la Wazanzibar?

Yericko,

Kama kawaida yako,umekurupuka tena!ahaha!!

Awali ya yoote ni kuwa; sijasema Waislamu ni 100%...nilisema Waislamu ni almost 100%...nafikiri bado una uwezo wa kuona tafauti hapo!?

Pili kumbuka nilikua nikizungumzia hiyo "khabari ya Muungano Cabinet"...kwa hiyo hizo estimation figures zangu ni halali kabisa...yakusema kuwa Zanzibar wakti huo Waislamu walikua ni almost 100%

Kama nilivyokwishakufahamisha ndugu yangu Yericko,mimi Zanzibar na History yake ni mali yangu kiundani mno.

Pia najua yakuwa Zanzibar hata wakti ilipokua kitovu kikuu cha biashara na maendeleo,bado Waislamu walikua sio 100%; sababu palikua pia na Animists,Hindus,Banyanians,Baluchis,Persians/Zooras and few Jews.

Mwambie huyo Shemegi yangu wa Kizanaki,akupakulie huo utumbo wa mbuzi ule na kupumzika. Achana japo kiduchu na haya mambo ya hapa jamvini/Jf yatakuharibia ndoa..nahisi unapotezea muda wako mwingi hapa jamvini na Shemegi analalamika kwa majirani!

Ahsanta.
 
Hapo kwenye "red" inaonesha wazi kwamba kufikiri kwako kumejeruhiwa mno na udini wako! mie nilidhani kwamba taifa la ki-secular viongozi wake wanapatikana kwa uwezo wao, taaluma zao na uadilifu wao na sio dini zao na kwahiyo basi watu wangejikita kuwaangalia hao waliochaguliwa/teuliwa kuwa viongozi kama wanakidhi haja za kiutendaji badala ya kuangalia imani zao wala uwiano wa waislam v/s wakristo!
 
gombesugu,

..siku moja Barubaru "alichoropokwa" na kauli, akakiri kwamba alipokuwa mtumishi wa serikali ya muungano alishuhudia Waislamu wa-Tanganyika wenye qualifications nzuri tu, wakinyimwa nafasi serikalini, kwasababu nafasi hizo walikuwa wakipewa wa-Zanzibari tena wenye qualifications ndogo.

..majuzi Raisi Kikwete ameteua Mzanzibari asiyekuwa na shahada ya chuo kikuu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa!! Binafsi naamini kuna Waislamu wengi tu huku Tanganyika ambao wako well qualified kushika nafasi hiyo.

cc: Nguruvi3, Jasusi, Ritz, Wickama, Kadogoo
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo mgeni yeyote atakaejiunga na mjadala huu na kumuuliza maswali ya muhimu Sheikh Said inakuwa ni kosa?

Sisi wengine tumesoma mjadala huu sasa ni mwezi wa 4. Hao wakina Tosiri unaoniambia nimewasoma wote kupitia Sheikh Mohamed Saidi. Pia nakuomba unianikie hapa jamvini hiyo ID yangu ya zamani. Shukran
 

Inabidi nikuongezee hint, "Kit Cunningham, Soni Tanzania."

Sasa pia unawapata wengi?

"Unguja ni njema atakae na aje!" umeshawahi yasikia hayo?

Jee, umeshawahi msikia Tosiri?
 

Huo ndio ushahidi wako wa jikichwa la habari?
 
Sio kuwauza tu pia waliwatumikisha kwenye mashamba yao ya karafuu na minazi hapo hapo visiwani!
 


JokaKuu,

Kumbuka huyohuyo Nguruvi3,alokutilia "LIKE"...yeye ndo mara nyingi husisitiza yakuwa "Muhuni aitwe Muhuni tu",akiwa na maana hakuna muhuni mzuri au muhuni mwenye afadhali!

Kumbuka wakti nafanya majadilano fulani hapa jamvini na Nguruvi3;yeye alileta story za Alhaj Rukara,lakini wakti na mimi nilipojaribu "kushusha matambara" ya Prof. Lwakabamba...Nguruvi3,aliwaka mno,na kunisema huku akistaajabu yakuwa kwanini ndugu yangu Gombesugu una-justify "uhuni"/unyama wa mtu fulani kwa kuonyesha "uhuni" wa mtu mwingine!?

Ama kwa hakika kama dasturi yangu nilimstahi mno na tukamalizana nae kiustaarabu kama dasturi yangu. Kwa kifupi hii yaonyesha hizo hypocrisy zenu nyingi mno hapa jamvini!?

Sasa wewe vipi ule ushenzi,unyama,mauwaji,ubakaji,vitisho,utumwa, dhuluma,mateso na mengineyo mengi mno yalofanzwa na Kabaka kwa Waganda wenzie,pia na kina Shaka Zulu,Monomutapa na Wale Freed Slaves/Afrikan Amerikans kwa wale Natives/Afrikans ndugu zao wa damu pale Liberia!?

Kwa hiyo wewe yale mauaji/atrocities za kina Yoweri Kaguta na Obote kwa wale wa-Uganda wenzao/ndugu zao unaona ni sawa kwasababu walifanyiana wenyewe kwa wenyewe/watu weusi!?ahaha!!

Kumbuka hizo atrocities kuna very reputable International Organisations walisema zilikua ni Genocides!?


Lakini hivi sasa naelewa wafuasi woote wa Muheshimiwa Nguruvi3,mtahalalisha au kupenda kisichopendeka ili tu ati kumshinda Sheikh Mohammed Said!?ahaha!!

Kumbukeni hapa jamvini pia reputations na dignity zenu zipo matatani na kuna watu/wenzenu wengi wanakuchungulieni kwa utuvu.

Ahsanta.
 
Mbona hujibu hoja?Unaongea vitu havihusiki.Ndio uelewa wa kinyumenyume hivyo?

Naona hujayaona maswali ukayajibu kwanza halafu ndio uulize.

Jee, umewahi msikia Mshume Kiyate?
 


JokaKuu,

Niwie radhi hapo mie nitashindwa kutia neno...kama nilivyowahi kunena awali hapa jamvini; yakuwa yatendekayo sasa hapo nyumbani/Local politics mie sizijui au kuzifahamu kwa mapana.

Najua utanisamehe kwa kukosa jawaba kwalo.

Ahsanta sana ndugu yangu JokaKuu.
 
gombesugu,

..sijakanusha kwamba Obote na Museveni committed atrocities against their own ppl.

..swali langu ni dogo tu: Je, atrocities hizo unaweza kuziweka daraja moja na biashara ya utumwa, na kuwatumikisha watumwa, kulikofanywa na masultani wa Znz na watawala wao??

..je, katika mkutano wako na Sultani Jamshid, mmeshapata kulizungumza suala la historia ya UTUMWA na UBAGUZI WA RANGI??



.
 
Last edited by a moderator:


Haya maradhwi makubwa sana mnayougua wewe na jamaa zako,

Kwa lugh ya kitalaam tunayaita (D.I i.e DEDICATED IGNORANCE), MEANS COMMITTED TO BEING UNAWARE OR UNINFORMED ABOUT SOMETHING...

Sababu tuh ya kuamua kujitiisha kiburi nafsin kwa kukusudia,polen sana...
 

Roman Catholics wangapi na wengineo wangapi kati ya wakiristo?
 

Attention seeker at work, kasome tena taratibu za JF na si kutishia watu kitototo, yaani wewe hamu yako ni kujibizana na mkjj wakati uwezo na intellect hiyo huna. Naona burudani na vijana wenzio wa mzee Said imeshakuboa sasa ili eti na wewe uonekane mjenga hoja basi inabidi ulazimishe kubishana na mkjj kwa vitisho, that is just too low and cheap kajipange upya!
 


JokaKuu,

Mbona wale kina Shakazulu,Monomotapa,Freed slaves in Liberia na nduguyo Kabaka,hutaki/hupendi kuwazungumzia!?ahaha!!

Point/hoja yangu ni kuwa Uhuni/unyama ni unyama tu...hakuna cha upi mtamu/mdogo na upi ni mkubwa!?

Wakti Sultan Jamshid anatawala Zanzibar,kulikua hakuna Utumwa,wacheni/punguzeni propaganda hizo..someni History ya Zanzibar kwa makini!

Hivi hujui yakuwa Zanzibar hiyo 1961-1964...mbona kuna "Watu weusi" wengi tu walikua matajiri/wanajimudu hata kuliko hao "Waarabu"!? Tena walikua wakisafiri nje za nchi na kufanza mambo mengine mengi kama raia yeyote yule wa kawaida wa Zanzibar wakti ule!?

Nafikiri na kuna ushahidi wa kutosha kuonyesha yakuwa ilokuwepo pale ni ile Class Struggle and/or Political Struggle,kama ambayo ipo pahala pengi mno duniani.

Kumbuka kuna Waarabu wengi tu ambao nao pia walikua ni maskini wa kutupwa,na walikuwa wakifanza kazi kwa hao "Watu weusi".

Ahsanta.
 

Wala hakuna makosa yeyote wewe kuuliza swali nadhani ujumbe wangu umeupata nakuacha na maneno machache yenye hikma ndani yake.


"Gharama ya uhuru ni kifo"
 

Cool,

Kwani Mwanakijiji ni nani na ana nini cha ajambo ambacho watu wasiweze kujadiliana naye, watu wengine bana.

Nyie wafuasi wa Chadema ndiyo mnambabaikia Mwanakijiji kawashikia akili zenu mpaka mnatia huruma mtu yupo Marekani lakini anawandesha nyie ambao mpo Tanzanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…