Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


If I was a bird,I know who I'd shit on!
 



Aibu kubwa hii,kujaribu kutumia hata takwimu za uongo ili kufanikisha mission yenu..!!

Aibu tena ya hali ya juu,hadi kufikia kuongeza idadi ya watu waonekane kuwa ni muslims ili muweze kushinda mapambano haya,laiti kama angaliandika Moh Said hapa bango lingeshikwa usiku kucha,

Nani kakuambia LAWI SIJAONA ALIKUWA MUSLIM???


Ukweli wa mambo kila mwenye akili zake timamu anajionea humu ndani,na wenye mission zao pia wanakamatika waz waz...
 

Shariff Ritz,

Achana nae huyo jamaa Al Akhiy...itakua ana stress za maisha tu na hasira zake atatumalizia sisi.

Publicity alokua ana hamu nayo tushampa...mpuuze la sivyo italazim tumjibu/tumnyoshee maneno, halafu kama kawaida yao wataita wale jamaa zao kina Mods na Invisble!ahaha!!

Tuendelee na mnakasha Shariff.

Ahsanta.
 

Humu JF unapimwa kwa hoja na si una nini? Kwa mfano mpaka hapa mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika moja kwa moja atagundua wewe ni zezeta na retard. Mambo ya Chadema yameingiaje? wewe unafahamu mim niko wapi? zezeta2. Kwa udhaifu wa hoja zenu mnafikiri eti mkijadiliana na mkjiji basi mtaoyesa jinsi gani mnaelewa mambo ndio maana hamuishi ulimbukeni. Jf ni hoja kwa hoja na si viroja. Mtu kaamua zake kupumzika na wewe kama umechoka pumzika. Hili si jukwaa la kutafuta mabwana.
 
"Mtu kaamua zake kupumzika na wewe kama umechoa pumzika. Hili si jukwaa la kutafuta mabwana. ------- SPOT ON
 
Hapana ustaadh, kama ningekuwa nataka kujiunga na dini basi leo hii ningekuwa muislam kwani mama yangu ni muislam!


Gwalihenzi,

Hiyo ni very cheap excuse unatumia hapo...

Kama kweli Mama yako ni "Muislamu" kama unavyodai,sasa kwanini unaitukana na kuidhalilisha "Dini ya Mzazi" wako kila kukicha,hata kama huiamini!?

Huoni yakuwa unamsononesha Mzazi/Mama yako kupita kiasi,unajuaje labda nayeye pia ni Member hapa jamvini na anaona na kushuhudia zile kashfa na matusi yako kwa Uislamu!?

Jaribu kupitia Posts zako zoote za awali hapa Jamvini,halafu kaa chini utulie na utumie busara zako kwa makini huku ukimhurumia Mama yako alokuzaa kama ulivyotujuza.

Najua utarejea na matusi mengi mno,kwa hiyo inanilazim nikusamehe in advance.

Ahsanta.

Cc;Boko Haram
 
Wala hakuna makosa yeyote wewe kuuliza swali nadhani ujumbe wangu umeupata nakuacha na maneno machache yenye hikma ndani yake.


"Gharama ya uhuru ni kifo"
Sijapata ujumbe wowote kutoka kwako zaidi ya vijembe tu. bado namsubiria Sheikh Said aje kujibu hoja za mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Bwana Nguruvi3.

Na mimi nakuacha na swali moja tu: Mara nyingi nikusomapo hapa jamvini unalalamika kuwa Waislaam tumeonewa sana toka uhuru na aliyesababisha haya yote ni hayati Mwalimu Nyerere na maranyingi unasema kuwa hii inchi inaendeshwa na mfumo kristo ambao viongozi wake wote ni CCM au wametokana au kupitia CCM. Alafu wewe huyohuyo ndiye mtetezi na mshabiki mkubwa sana wa CCM ambao wamesababisha sisi waislaam tunaishi maisha ya daraja la nne(refer to Lipumba)ndani ya nchi yetu. Hivi huoni kuwa wewe kaka sijui Baba ni mnafiki sana?
 
kiingereza ya std 6 bongo inatuambia if I were not If I was? Ni vema ukatumia lugha uliyoizoea, aywayz I have alwayz bn a bear go figure!

You are just another Idiot and You know that...You need to grow up!

Wanajamvi,forgive the rumblings but this piece of shit makes me sick!
 
Haitoshi Akaamua hadi kumchukua na LAWI SIJAONA Na kumtamkisha shahada hali ya kuwa anajua fika huyo ni Mgalatia mwenzake...!!
Kaazi kweli,kweli...
gombesugu likes this.
Swali moja tu kwako gombesugu, kwa nini umempa like THE BIG SHOW? Kwa hiyo unakubaliana naye! I thought for one moment that you were better than this; If you preachee preachee, if you prayee prayee but not preachee prayee! Ha, ha, ha, haaa...mbavu zangu!
 
You are just another Idiot and You know that...You need to grow up!

Wanajamvi,forgive the rumblings but this piece of shit makes me sick!

u r the one who need to grow up. With ya cheap attention seeking attitude. You need to man up bro! Hoja si viroja hahahahaha ahahaha! Naona kama kawaida jasiri haachi asili inaonekana wewe matusi matusi jadi yako ahahah! hiyo utawapata wenzio huko.
 

Muheshimiwa Mag3,

Mbona tena unaanza kufuatilia mpaka "LIKE" zangu...au ndo mnakasha na hoja zimeanza kuisha hapa jamvini ndugu yangu!?ahah!!

Kumbuka wewe kuna wengine wengi tu unawapa LIKE hata kwa kutukana au kutoa kebehi!?

Tafadhali nakusihi tuendelee na mnakasha ndugu yangu.

Ahsanta.
 

It is just simple bcoz this guy doesn't have the manners, intellect , class and wisdom as he always pretended to be. He's just another hack and in here huwa haichukui muda unajulikana tu hahahahahaha!
 

Najaribu tafuta kwa darubini wapi umejibu hoja...sipata.
 


Sheikh Mohammed,

Salaam Al Akhiy. Tunashukuru mno kwa bayana nyingine ilo adimu kama hii.

Wallahi,sisi hatuna cha kukulipa. Insha Allah fadhila zako tapewa na Allah,maana ni yeye pekee mwenye uwezo wa kutimiza Ahdi zake zoote!

I always admire your brutal analytical skills and adept ability to analyse the Political situation in Tanganyika/Tanzania within the intellectual context and the ability to convey your analysis to the World.

I always pray for you.

Ahsanta.
 
Naona hujayaona maswali ukayajibu kwanza halafu ndio uulize.

Jee, umewahi msikia Mshume Kiyate?

sidhani kam nahitaji jibu huu uchafu...nitakupa nafasi ya kukimbia ulichoanza.Maswali umepewa mengi tuu,na watu hujajibu hadi ukajisahau na kudhani wewe ndio ulianza.

Una akili ya laini sana...upe easily influenced sana.Na hii inaonyesha jinsi mlivyo dhaifu na sana kifikra,na imechangia sana hata waandishi na wasomi wenu kuwa hovyo sana ktk fani husika.
 


lawi sijaona ni mmakonde mwenzangu,
hadi kanisa alilokuwa anafanyia ibada zake newala na mnyambe nalifaham vema sana,na watoto wake wote pamoja na wajukuu zake tunafahamiana,

unakuja kuongopea jamvi kwa takwimu zako bubu kuwa lawi sijaona was a muslim??

Ili tuh ushinde mission yako??

Haya tumeona,umeshinda,
nimekubesha medali mzee wa takwimu na majedwali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…