jamaa muda mwingine anatuletea stori za kahawa anataka tukubali tu...
Mkuu wa Chuo,
Nimeandika kitabu cha Abdu Sykes na pitia faharasha yake utawakuta
hao wazee wamo.
Hakiwekwi ''kila walichokifanya'' bali kinawekwa kile ambacho kina maana
katika historia ya kudai uhuru.
Shariff Abdallah Attas umuhimu wake unakuja kwa kuwa baada ya Abdu
kufariki mwaka 1968 mtu ambae alikuwa anaujua kwa undani uhusiano
kati ya Abdu Sykes na Nyerere katika kuunda TANU alikuwa yeye.
Pamoja na hayo alijua mengi sana katika siasa za 1950.
Sijui kama umeshajibiwa kwani huu mnakasha nimedandia tena katikati. Roman Catholic hapo ni wawili. Mwalimu na Kahama.
Zomba ni ghali kukusaidia kuwa specific na maswali yako. kwa mfano kuna Tosiri wengi pia (zabibu, vitabu, aborigines australia nk) utakuwa UNA ASSUME KUPITA KIASI KAMA UNADHANI TUNAANDIKIANA TEXT ZA SIMU HAPA. Kuwa specific na shida yako. Kama unataka kumtukana mtu (mimi yaani) unatakiwa ushushe vitu vya uhakika sio kuwatafuta wakina tosiri. mimi siwajui mods waliko. Kwa sababu hakuna matusi mapya duniani wala hainisumbui. sana sana nitaangalia kama unajua kutukana. Shusha vitu mwanangu.
you are very predictable...mwl..aliwatoa tongotongo ktk hotuba zake.So karudie hotuba zake.Mzee alikuwa kichwa,mlipokuwa mnakanyaga yeye alitoka.....sasa km leo mnadai elimu mlinyimwa...sasa km shule hazikutifishwa ingekuweje?wengi mngekuwa Wakristu sasa hivi.
sidhani kam nahitaji jibu huu uchafu...nitakupa nafasi ya kukimbia ulichoanza.Maswali umepewa mengi tuu,na watu hujajibu hadi ukajisahau na kudhani wewe ndio ulianza.
Una akili ya laini sana...upe easily influenced sana.Na hii inaonyesha jinsi mlivyo dhaifu na sana kifikra,na imechangia sana hata waandishi na wasomi wenu kuwa hovyo sana ktk fani husika.
Hiyo ni kauli ya mtemi mmoja wa zamani Kariakoo akijulikana kwa jina la kijiweni kama "Costa MM-bademm-bade"
Haya wanajamvi, baada ya kusikia habari za akina Chamwenyewe na chaka la simba, Kinyozi mwingereza, akina Attas,warioba alivyonyakuliwa machungani, wamakonde walipoondoka bila kuaga tena usiku wa mbaramwezi n.k sasa turejee katika mnakasha.
Nimuhimu kupooza pooza mnakasha ''relax'.
Hapa ndipo tulipo, tukwamue gari ilitusonge mbele.
Sishauri tuvunje chaka tu kwa kwenda mbele katika mwendo wa kufyonza tu. Of course wanaofyonza hiari yao !
Tuwape akina Pain killer na wanambagala na 209K nafasi ya kukata kiu zao za fikra na maarifa. Tuendelee
Mohamed Said
1. Nani aliandaa mapinduzi na nani alimuomba mwenzake msaada ni TANU au ASP
2. Je, mapinduzi ni halali au ni haram?
3. Viongozi waliofanya kazi na Nyerere kutoka zanzibar ni wasalaiti wa Uislam na vibaraka au ni wana mapinduzi?
4. Je, wznz wanasherehekea mapinduzi kwa akili au ni uzumbukuku hasa tukijua yalilenga kuua Uislam kwa kupitia Nyerere
Wickama naona una phase II ya akina Hanga na Okello, ngoja tupate majibu ya hapo juu halafu tuingie phase hiyo.
Wanakumbi wanataka majibu kutoka kwa Yericko Nyerere, wanaitaji kufahamu kina nani walisamehewa na Nyerere kwa uasi na wakapewa vyeo na wengine wengi wakapelekwa kuwa mabalozi ulaya leo mwezi wa sita hakuna majibu.
Mag3,
Wanaukumbi pamoja na wanafamilia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanaomba majibu lini mzee alikuwa Muislam.
Nguruvi3,
Wanaukumbi zaidi ya 200,000 wanaomba ushahidi ulisema matatizo ya elimu ya Kilwa kwa Waislam yanafanana na ya Mombasa Kenya, au nimefanya Spinning.
Wanakumbi wanataka majibu kutoka kwa Yericko Nyerere, wanaitaji kufahamu kina nani walisamehewa na Nyerere kwa uasi na wakapewa vyeo na wengine wengi wakapelekwa kuwa mabalozi ulaya leo mwezi wa sita hakuna majibu.
Mag3,
Wanaukumbi pamoja na wanafamilia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanaomba majibu lini mzee alikuwa Muislam.
Nguruvi3,
Wanaukumbi zaidi ya 200,000 wanaomba ushahidi ulisema matatizo ya elimu ya Kilwa kwa Waislam yanafanana na ya Mombasa Kenya, au nimefanya Spinning.
Sasa subiri uone "spinning" zitazofatia.
Facts zako zina walakin, rudia tena labda utakuja na jibu jipya.
The Big Show,
Salaam Al Akhiy.
Yaani hawa jamaa ni vichwa ngumu kupita kiasi,hawajui chochote/lolote...halafu wabishi kiama!ahaha!!
Wao kwao la muhimu ni ile prejudices na stereoypes zao walizofundishwa Sunday Schools;yakuwa Watu wa Madrassa,ni hovyo na hawajenda Shule. Sasa wakikutana na vichwa kama wewe,Shariff Ritz na wenzenu wengine wengi hapa jamvini...basi hapo wanaanza hamaki,matusi na kashfa.
Huyo Mag3,nishamuuliza maswali na mambo mengi tu na kuhitaji maelekezo ya kina toka kwenye yale majwedali/statistics zake anazoleta hapa jamvini,lakini hunyamaza kimya!? Yeye anafikiri kila mtu hapa ni mfuasi wa Nguruvi3!ahaha!!
Mimi huwa ninamwekea mitego kusudi,lakini anajua kukwepa. Kwa mfano juzi kaleta ile khutba anayodai ni ya Karume kwa English...nimemuuliza maswali kadhaa!?
Nilikua najaribu kumwonyesha uongo wake...Karume na yule Mwanaharamu wa Kiganda woote walikua "watupu" wa English na sio kwa level ya grammar ile... Nilijaribu kumtajia mpaka Maalim wa Tution wa English wa Karume tena wakti huo akiwa ni Rais!....tunauliza je imetafsiriwa na nani, na kwa madhumuni yepi!?...na haya masuali kwa sababu kuna vitu nilitaka kumuuliza zaidi/follow ups...ili kumfichua zaidi.
Unajua Nyerere alikua anawabeba saana hawa jamaa,yaani kupita kiasi...takriban katika kila nyanja!
Sasa wanakutana na reality ya maisha,ghafula wanachanganyikiwa!ahaha!!...
Poleni saana Al Akhiy,kwa kukaa na "kupasuana vichwa" humu Jf na hawa jamaa wasojua lolote/chochote lakini wana asili ya kubishana tu kila jambo,kila kukicha tena kwa miaka kadhaa!? Yaani nakusifuni mno...
Lakini taratibuni tu, lakini muhimu na huku mnashughulika na maisha yenu. Maana nahisi wengi ya hao jamaa hapa,haya ndo maisha yao na pia Jf ndo sehemu zao za kupatia umaarufu wa kipuuzi!ahaha!!
Ahsanta.
Cc;Ritz
Ritz
Habari zako kubwa sana al akhiy,
Niandalie vipopopoo maana mwez huu unakaribia karibia sasa... Mag3 hawez tena kurudi hapa na mauza mauza yake,lawi sijaona anaamua kumtamkisha shahada kwa lazima hali ya kuwa yeye kaupenda ubatizo wa Jesus wa Nazareti hadi anaingia kaburini??kisha anatamba kukunja ngumi na masumbwi na Moh Said atawezea wapi??
Jamaa yake alikuja hapa na mauza uza ya ugaidi,sijui kayatupia jalala gani??
Sijui pale dampo la tabata??
Hatari sana,twawapa pole sana...
na mimi kati ya vitu hivyo viwili ninavyovijua kama unavyosema sintokubali kukaa kimya nikiona unapotosha watu kwa sababu navijua...Mimi kujibishana na wewe najidhalilisha wewe humu huna unalolijua zaidi ya vitu viwili Chadema na Kanisa.
Wewe umeletwa JF kama mateka wa Dr Slaa pamoja na Kanisa basi, masikini ya Mungu nyie vijana mnatumika vibaya sana Chadema wakishawapa viroba vya Valeur mnapoteza kabisa uwezo wenu mpaka mnatia huruma.
Tatizo lako huelewi, kuwa kupiga porojo na kutenda ni vitu viwili tofauti. Kwa mimi Nyerere alikuwa mpiga porojo mzuri sana, mwenye maneno matamu sana lakini ni matendo alikuwa zero, ndio maana akaiacha nchi taabani, hohe hahe na badala yake akaliacha kanisa katoliki lina nguvu kuliko nchi. Au hilo hulijui?
haya bwana emirates gold member wasafiri wote wakikujua uliyekuwa rafiki wa Masubo...Nimeishakuambia kijana wewe kazi yako ni mbili tu humu JF kumtetea Dr Slaa mpaka unakufa na kutetea Kanisa. Kuna hoja gani umeisheleta humu wanaukumbi wakafyonza Ilm ha haa haaa! Nimeishakuweka kwenye list yangu ya baikoko.
na mimi kati ya vitu hivyo viwili ninavyovijua kama unavyosema sintokubali kukaa kimya nikiona unapotosha watu kwa sababu navijua...
chukua hii al akhiy "kuzaliwa zezeta haina shida ila kuwa ccm ni uzezeta wako mwenyewe"