Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #16,521
Nimetumia neno "alimuogopa" kutokana na MANTIKI ya hoja yako ya leo na ile ya siku zote juu ya kile unachodai "nyaraka za Mwalimu Nyerere" kuwepo katika hifadhi ya Abdul SykesYericko,
Kipi kinakufanya wewe utumie neno ''alimuogopa'' huo uoga utokane na nini?
Unadhani kwa heshima ya Nyerere unaweza kuandika kitabu au umtukane
majukwaani na wewe ubaki na heshima yako?
Unanitia hata uvivu kukusomesha.
Yericko,
Husomesheki.
Hebu jifunze kwanza adabu ya mjadala.
Unabishana na maandiko yako wewe mwenyewe mzee,
Huko nyuma ulisema wazi kuwa TANU walipozitaka NYARAKA hizo, Abdul Sykes aliwanyima,
Hapo tafsri ya kisomi nikuwa aliyenyimwa ni "Nyerere" na sio TANU!
Hata hivyo unazidi kujichanganya zaidi, kama nyaraka za Mwalimu Nyerere zipo mpaka leo kwenye hifadhi ya Abdul Sykes inamaana kuwa watu hawa walikuwa marafiki mpaka mauti yao tofaiti na wewe unavyoudanganya umma leo hii,
Twende taratibu mkuu, usikimbilie kudai heshima ambayo ipo na itaendelea kuwepo daima!