Wanaukumbi huyu ndugu yetu naona bado anaendelea na porojo zake kuhusu historia ya Tanganyika na harakati za kutafuta uhuru.
Naona jinsi unathibitisha Nisemalo...waislam unaweza wapa barua ya wazi na ukaandika "pokea hii barua na mpe chakula chenye sumu
aliyekupa".Wataifikisha na watabisha sana nani anatakiwa kuwa victim.Maandiko yote waliyobeba waislam yanawadhalilisha,na kuwapinga ila mnatembea nayo kwa fahari.
Ni wazi hamjui mtendalo ktk minajili ya Dini..Porojo ipi sasa ipo hapa?
Wanaukumbi hapa juu tunamsoma ndugu yetu anatuambia TAA Haikuanzishwa na waafrika lakini hasemi ilianzishwa na na nani tusiandikie mate na wino upo hapa chini tumsome Nyerere mwenyewe.
Hujaona wapi nimesema imeanzishwa na nani?hembu rudia wewe kimeo....watu wenye pepo(majinn)nao huzubaa,wakikurupuka ni vita na damu ...na mara nyingi huchelewa..sikia na kutambua mambo.Narudia kukusaidia ....
Ilianzishwa na Waingereza,kwa ajili ya waafrica kupitishia mijadala yao(Discussion forum).Na kwa taarifa yako Nyerere asinge qualify kujiunga na TAA km ingekuwa ya kisiasa.Ndio Maana alipoibadili kuwa TANU ikabidi achague bwana mmoja.Na hii ilikuwa nchi nzima.Mikoani vyama vya ushirika vilifanya kazi ya siasa kimaficho.
Wanaukumbi nadhani ingekuwa vyema huyo jamaa yetu angetuambia TAA imeundwa na kina nani atutajie na majina yao, hebu tumsome tena huyu jamaa yetu hapa chini.
....
Julius Kambarage Nyerere"Niliporejea nchini hapo Oktoba, nikaenda Butiama. Januari nikarudi Dar es Salaam. Nikaanza kazi. Nikataka kujua habari za African Association. Mzee Mwangosi anakumbuka. Yeye ndiye aliniambia habari za African Association. Aliisha niambia habari hizo tangu nikiwa Makerere Chuo Kikuu nikiwa mwanafunzi.
Pale, mimi na wanafunzi wenzangu tulikuwa tumeanzisha chama kinachoitwa Tanganyika African Welfare Association (TAWA) cha wanafunzi wa Tanganyika; mimi nikiwa katibu wao. Hapa tukaona mambo yanakwenda vizuri kidogo.
Tukaona kwanini TAWA iwe ya wanafunzi peke yao na siyo Tanganyika nzima. Kwa hiyo nikawaandikia baadhi ya watu Tanganyika. Nikasema, jamani ee, tumeanzisha chama, kwanini msianzishe huko matawi ya chama hicho?
Ndugu Mwangosi akapata barua hiyo. Alikuwa miongoni mwa waliopata barua hiyo. Akaniandikia nikiwa Makerere akasema: wewe kwanini unataka kuanzisha chama kipya? Kipo chama. Kipo chama cha TAA (Tanganyika African Association).
Kwa hiyo la maana siyo kuanzisha matawi, maana chama kipo na matawi yameenea; la maana ni kwamba hicho chama chenu mfute, na muanzishe tawi la Tanganyika African Association".
Kweli wewe unatembea na ushahidi against you.Kweli mnaabudu msichokijua.....ktk Red nadhani ndipo kungekutetea,ila sijui umerudia mara mbili?Hakuna mwanzilishi wa kiafrica anatajwa.N aukifuta sana utakuta kuna waafrica walioshika wadhifa wa kwanza.Its like mtu anaweza mtaja mkuu wa chuo cha UDOM wa kwanza km mwanzilishi..lakini ni kweli?Kile kimeanzishwa na serikali.
Kweli unathibitisha kwanini waislam hawatakaa waelewe maandiko yao na wakabaki waislam.Kafiri huwa wanasoma within few mins wanaona mapungufu..nyie ndio huwa mnabaki kusema hamuelewi.
Wanaukumbi hapa juu ndugu yetu anajaribu kumuwekea Nyerere maneno mdomoni kuhusu Waingereza hebu hapa chini tumsome Nyerere mwenyewe anavyowaelezea Waingereza amabao tunaambiwa walikuwa upande wake.
Julius Kambarage Nyerere
"Tulielezana. Nikawaambia ninyi wazee, Waingereza wanawadanganya, Waingereza wametumwa na ule Umoja wa Mataifa uliokufa (League of Nations), waje kuishika Tanganyika kwa muda tu; watusaidie, na wakati tutakapokuwa tayari, watuachie tukajitawale.
Waingereza wanafanya ujanja; hawasemi. Vita vimekwisha (vya Pili) na Umoja wa Mataifa mwingine mpya (United Nations Organisation UNO) umewakabidhi Tanganyika kwa shabaha ileile. Sisi siyo koloni lao. Wamepewa dhamana tu.
Kwa hiyo nikawaambia wazee, hakuna haja ya kumwaga damu. Tuwaseme tu! Tuwashitaki kwa waliowaleta hapa kwamba hawafanyi kazi yao; wamesahau kabisa!
Wazee wakauliza: Eh, inawezekana? Nikasema inawezekana. Kazi yetu ya kwanza ilikuwa kuwaambia watu kwamba uwezekano wa kujitawala upo. Hilo lilikuwa la kwanza. Wazee walijua maana ya kujitawala. Walitamani kujitawala, lakini hawakujua waanzie wapi.
Vijana hawakuwa na habari kwamba kujitawala kunawezekana. Kwa hiyo kwa wazee sikuwa na matatizo. Wao hawakuwa na kazi; hawakumwogopa Mwingereza. Hawakuogopa kufukuzwa kazi. Baadhi walikuwa wafanyabiashara."
Wewe kiumbe wa hovyo kabisa.....ni laana ya Mungu nini?Mbona mnajisifu sana ktk hali ya kujidhalilisha...?
Ktk red, unathibitisha nilichokuwa nakuambia muda wote kuwa, Nyerere alikuwa smart sana ukilinganisha na wana Mzizima,na wazee walikuwa hawajui lolote.Walimhitaji Nyerere ktk mambo mengi sana,zaidi ya siasa.Nyerere anasema hali halisi ya watu wake...kwa reference zako mwenyewe.
Pia inaelekea hawa wazee walishiriki ktk harakati si kwamba walitaha uhuru km tuelewavyo tusio waislam,ila kubadili Master,km wafanyavyo CUFna wazenj wote leo hii.
Nyerere alihitajai kuhamasisha watu,alihitaji kuonyesha watu nyuma yake ili kupata Mandate.Na alikuwa na plan yote..na alichokifanya kilikuwa ni product ya kichwa chake na washauri wake waliokuwa nje ya wale wazee wa dar.Alijua segment gani ya kuanza nayo.
Haikuwa tofuati sana na kuchukua picture,profile na sahihi za mateja na kuweza shawishi wafadhili au serikali ili kupatikana na suluhu.
Wanaukumbi nadhani tumeona tofauti ya maneno ya ndugu yetu na maneno ya Nyerere.
gombesugu,
THE BIG SHOW,
Nimeona pia uwezo wako wa kuchambua mambo ulivyo chini ya kiwango..hata.Literal meaning kwako ni shida kubwa sana.