Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sheikh Mohamed Said,

Hawa ndugu zetu wanatuambia kuwa AA, TAA, havikuwa vyama vya siasa sababu havikusajiliwa na msajili wa vyama, ha haa haaa!

Wanaukumbi hivi vyama hivi cha Kwame Nkrumah (CPT) chama cha Patrice Lumumba (MNC) chama cha Nelson Mandela (ANC) chama cha Kenneth Kaunda (UNIP) chama cha Hastings Banda (MCP) hivi vyote havikuwa kusajiliwa kama vyama vya kisiasa.

Leo hii tuwaseme vyama vyao viliundwa na Waingereza si itakuwa kituko.

Si tuu hivya vyma havikuwa vya kisiasa pia havikuwa na political awareness.Vilikuwa ni vyama vya kugombea tuu maslahi ya makuli...Ndio maana hapakuwa namajaribio ya dhati ya kutengeneza vyama vya kisiasa...hata kama waingereza walipiga marufuku bado hakuna kati yao aliwahi fany ajaribu la maana ..

Akina ANC walipigwa marufuku na kunyimwa,hilo lilihalalisha uwepo wao kwa vile wameporwa haki.Waingereza wasingeweza nyima watanzania hilo ktk uwazi kwani mojawapo ya kazi walizopewa ni kuandaa taifa kuja jitegemea.Walichoweza ni kuwahonga hao "Bakwata wa zamani", n akuwapa TAA,ili wawatawae wenzao ambao hawakuwa wakijua kitu,na ulichoweka ktk nukuhu zako Nyerere alipowaambia...viinavyowezekana wazee walikuwa wakiona nyota tuu..

Wale wazee wenu wengi walisaidia kwa kuwepo ktk idadi,kwani Nyerere alihitaji statistics ili kujenga uhalali wa TANU...na wale wazee wa gahawa wa kuuza kashata na uvuvi wa usiku,hawakuwa na cha kuafanya mchana.Abdulwahidi hakuwa na jipya,kwani TAA ilikuwa ni ajira yake na kibali cha kufanya biashara Kariakoo na kwingine.
 
Sidhani hawa jamaa km watakujibu haya..watahamia ktk hisia na kuomba huruma yako na wana jukwaa,kwa kuanza jenga hisia za victimization.Ili pawe na guiltiness

Hawa jamaa wanataka ongelea siasa ambazo hata ktk nyumba zipo, hata makanisani,na misikitini ipo...ila hawakuwa tofauti na Bakwata..ktk kutumika.Hao akina Abdulwahid hawakutofautiana sana Bakwata ya leo.Kwani waliwekwa na mkoloni na walikuwa na kufanikiwa vyema sana.

TAA ilianza siasa zenya kichwa na Miguu alipowasili Nyerere ambaye tayari alishawaaminisha wazungu kuwa wangekuwa salama akiwa kiongozi wa movement.Nyerere alijua asingekuwa na muda mrefu wa siasa ktk TAA kwa vile ilikuwa ni kinyume na sheria,ndipo akaifanya kuwa chama cha siasa TANU .Siasa zikawekwa rasmi nchini.Hapa ndipo nami naona Nyerere hakuona mbali,kwani udini wa wazee ambao walikuwa wakipata vitoa njaa uliendelea kupitia CCM,na timu za Simba na Yanga.Hadi leo.Na ndicho hawa jamaa wanahubiri hapa.Ni kule kuona kuwa ulaji wa bwerere umewatoka na sasa watanzania wote wanafaidi uhuru.Wanaona kam vile uhuru wanapewa watu wengi mno.

Ilikuwa ni wazo la Nyerere kujua kuwa asingepata audience bila gharama wala kumchokonoa mzungu kabla ya muda.Bila kuchukua watu ktk kundi lililopo.Nyerere alijua hakuna haja ya kugundua tairi tena,ila kulitumia tuu.Ndio maana akasort makundi yake ya watanganyika...akajua vijana ni risk kw avile bado wanahitaji kuajiriwa na mzungu na hawana namna ya kuishi, wazee wa TAA wakiwekwa sawa mbali na kuwa na biashara pia,hawakuwa na malengo mengi ,zaidi ya karaha za mzungu ktk biashara na chuki iliyojificha ya utawala usio wa kiislam.Pia nyerere alijua kabisa kuwa UN wanahitaji ushahidi wa nia ya watanganyika kutaka uhuru,na uwezo wao ...Nyerere akafanyia kazi.

Tunashukuru kwa hoja zako murua hapa unatufahamisha kuwa kumbe Nyerere alikuwa kibaraka wa Waingereza kwa mujibu wa maandiko yako.
 
Yericko,
Hapana haja ya kuhangaika sana.

Historia ya TANU ya wanajopo wa CCM ipo.
Historia iloandikwa na MS ipo.

Kila upande umeeleza historia yake.

Kwa nini wewe leo jasho likutoke kuikataa
historia yangu?

Tuuachie umma uamue nani mkweli na nani
muongo.
Mkuu hapa ni hoja tu, ndizo zitakazo amua sio huruma ya kiraia!

Hoja kwa hoja ndizo zitakazowafanya Watanzania waamue ipi pumba na ipi mchele!

Tukisema tumwachie msomaji tu aamue, mwisho taifa litakuwa na vizazi vyenye mitazamo na fikra za akina Ritz, Zomba, GombeSugu, Barubaru, The Big Show, na wengine wakufanana nao!

Taifa la wajinga wachache umeliharibu na kuzeesha fikra zao, tumesimama imara kuokoa kizazi hiki kwakupambana kwa hoja sio vingine!

Tunataka ujibu haya:

Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au ni Haramu?

Nani alidhamini mapinduzi ya Zanziba, na nini sababu za udhamini huo?

Kwanini Wazanzibar wanasherekea/wanaadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar?
 
Mkuu Nicholas

Umeleta mapinduzi mapya ya mnakasha huu, hakika ubarikiwe sana!

Nashukuru..Na wewe ubarikiwe..hawa jamaa walisha ..collapse..pale maswali yako na wengine... yalipoanza kukwepwa.

NI aibu kwa taifa kuwa na waandishi ambao wanaandika uongo wa wazi kwa illusion walizojipatia kwa kuwaahadithia wenzao,na wenzao kushangilia kwa kiasi cha kuwafanya nao waamini kuwa kuna ukweli..Sasa wamefikia mahalai pa kutafuta internationla Audiences.
 
Si tuu hivya vyma havikuwa vya kisiasa pia havikuwa na political awareness.Vilikuwa ni vyama vya kugombea tuu maslahi ya makuli...Ndio maana hapakuwa namajaribio ya dhati ya kutengeneza vyama vya kisiasa...hata kama waingereza walipiga marufuku bado hakuna kati yao aliwahi fany ajaribu la maana ..

Akina ANC walipigwa marufuku na kunyimwa,hilo lilihalalisha uwepo wao kwa vile wameporwa haki.Waingereza wasingeweza nyima watanzania hilo ktk uwazi kwani mojawapo ya kazi walizopewa ni kuandaa taifa kuja jitegemea.Walichoweza ni kuwahonga hao "Bakwata wa zamani", n akuwapa TAA,ili wawatawae wenzao ambao hawakuwa wakijua kitu,na ulichoweka ktk nukuhu zako Nyerere alipowaambia...viinavyowezekana wazee walikuwa wakiona nyota tuu..

Wale wazee wenu wengi walisaidia kwa kuwepo ktk idadi,kwani Nyerere alihitaji statistics ili kujenga uhalali wa TANU...na wale wazee wa gahawa wa kuuza kashata na uvuvi wa usiku,hawakuwa na cha kuafanya mchana.Abdulwahidi hakuwa na jipya,kwani TAA ilikuwa ni ajira yake na kibali cha kufanya biashara Kariakoo na kwingine.

Tatizo lako hauna matusi mapya unawaangusha wenzako! Ha haa haaa.
 
Tunashukuru kwa hoja zako murua hapa unatufahamisha kuwa kumbe Nyerere alikuwa kibaraka wa Waingereza kwa mujibu wa maandiko yako.

Hiyo ndio Last hold yako kabla hatujakupa RIP...?

Wapi nimesema hilo?bado hujaelemika ktk usemalo...Nyerere alichukia tabia na si watu, alimini ktk human rights na declation ya "kutobagua watu kwa rangi,dini,kabila au tabaka lingine" na misimamo yake isiyoyumba wala kuwa na kauli mbili wazungu walijua zaidi ya kupoteza kisiasa na kiutawala bado wangekuwa salama chini ya Nyerere.Hicho ndicho kilichowafanya waone ulinzi chini yake,wawe na hakika na mipango ya TANU na wakose sababu ya kufany aukatili ili kuzima majaribio ya uhuru.Kuna mengi hatuyapendi ,ila tuna maingiliano nayo bila uadui kwa vile hayana madhara kwetu tusipoyachokoza.Usidhani kuwaaaminisha ni kwa kuwaambia na kuwaapia..hakuna mtu anayemwamini mtu kwa kumuuliza.Huwa wanamwamini kwa kuangalia principal zake na jinsi anazisimamia...Jamaa alikufa mjaa peke yake.wengine waliona ujamaa unawayeyusha.

Unaweza usiupende Ukristu ila usijali sana walokole kukimbizana na dini yao,kwani mwisho wa siku utawaona wajinga au upendalo ila hutosikia mabomu ktk nyumba yako,wala sehemu zako za ibada,wala ktk kazi.Wala mauaji ya kuchinjana kinyama.Lakini kuna wengine kadiri wanazidisha dozi ndivyo wanavyozidi kuwa waovu na wenye kufanya mabaya dhidi ya wengine as if ndio wamewatuma kupata hiyo dose.
 
Kitabu cha Mohamed Said, kinafanya watu wachanganyikiwe ovyo wengi wameshtushwa kuona wazee wa mzizima wametajwa kwenye hicho kitabu.

Watu wengi wamekuja na kejeli na dhihaka dhidi ya wazee wa mzizima lakini bahati mbaya wamezidi kukipa umaarufu mkubwa pamoja na kuwa na rundo la hoja na utaratibu wa lugha nzuri iliyotumika ndani ya kitabu hicho.

Kitabu kinavutia sana ni chepesi kukielewa kutokana na mpangilio wake, kimeweza kubadili fikra za wengi ambao wamekisoma kimeelezea mengi ambayo watu walikuwa hawajapata kuyasikia kitabu kimeshehena tafiti nyingi za ukweli kutoka vyanzo ambavyo vinavyoaminika.

Mohamed Said, hakika tumefaidi mengi kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako hauna matusi mapya unawaangusha wenzako! Ha haa haaa.

Niwe na mapya ya nini?Kwani mimi nahitaji kuwa na ugunduzi wa matusi?Hiyo ni fani yenu.Ila ujue tukimsoma vizuri Abdulwahid na wenzie hatukosi elements za usaliti km za waislam wengine..wanaowahitaji waislam ktk vurugu ili himaya zao zilindwe,ila likija suala la hao waislam,wanaishia wapa tende,futari kazi za dili...na kuwafanya wapambe..hakuna kitu endelevu..Yaani wanawapa Samaki na Si kuwafundisha Uvuvi..tukitazama Kikristu....
 
Usiwaangushe wenzako wewe ndiyo unaotegemewa kuja na matusi mapya wanakumbi wanasubiri.
 
Kasema kuna a "Larger picture". Hoja za hayo masali you can be sure hazitajibiwa. Not by anybody in that camp. ONLY one was brave enough to say tukuchulie kwamba ASP waliomba (May God reward his courage). As far as i see that agenda has officially been closed. It is now back to AA-------->TAA which wont take time. Nicholas started this swaga, lets enjoy the show.

Wickama,

Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.

Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!

Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!

Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?

Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?

Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta.
 
Mkuu hapa ni hoja tu, ndizo zitakazo amua sio huruma ya kiraia!

Hoja kwa hoja ndizo zitakazowafanya Watanzania waamue ipi pumba na ipi mchele!

Tukisema tumwachie msomaji tu aamue, mwisho taifa litakuwa na vizazi vyenye mitazamo na fikra za akina Ritz, Zomba, GombeSugu, Barubaru, The Big Show, na wengine wakufanana nao!

Taifa la wajinga wachache umeliharibu na kuzeesha fikra zao, tumesimama imara kuokoa kizazi hiki kwakupambana kwa hoja sio vingine!

Tunataka ujibu haya:

Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au ni Haramu?

Nani alidhamini mapinduzi ya Zanziba, na nini sababu za udhamini huo?

Kwanini Wazanzibar wanasherekea/wanaadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar?

Yericko,

Naona bila ya kumtaja Gombesugu huna raha moyoni kijana!?

Mimi si niliaga yakuwa nitakua safari kwa wiki nzima!?...nimerejea nyumbani asubuhi hii lakini mafuriko ni mengi maeneo ya jirani zetu...na pia inalazim nipitie yalonipita hapa jamvini kiduchu.

Naona unapenda pale Nicholas anapotoa hisia zake,nakhis lazim atakua mtu wa Chadema mwenzio!?ahaha!!

Tutaongea na tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
The Big Show,
Ni wajibu wetu kusomesha.

Sheikh Mohammed,

Salaam Al Akhiy.

Tafadhali wewe kama dasturi yako endelea kushusha mipini ya nguvu hapa jamvini, na watu wengi kutoka kila pembe ya dunia hii wanakusoma na kufuatilia bayana zako adimu.

Kila jamaa zetu/wanajamvi wanavyochangia na kutoa/kupunguza hasira zao,au kutoa maoni na hisia zao...pia ni vyema zaidi. Sababu tunapata democracy njema hapa jamvini.

Shukran nyingi mno,kwa Ilm hii adimu ambayo kama usemavyo kwa bakhti mbaya imewaumiza mno hawa ndugu zetu wengine. La muhimu ni tuwape pole nyingi mno,na kujaribu kushikamana nao.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Wickama,

Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.

Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!

Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!

Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?

Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?

Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta.

Ndugu gombesugu, nimecheka sana, ha haa ha, jamaa anasema Kikwete akiondoka madarakani tutauza nyumba, hawa Chadema ni vituko.
 
Last edited by a moderator:
Si tuu hivya vyma havikuwa vya kisiasa pia havikuwa na political awareness.Vilikuwa ni vyama vya kugombea tuu maslahi ya makuli...Ndio maana hapakuwa namajaribio ya dhati ya kutengeneza vyama vya kisiasa...hata kama waingereza walipiga marufuku bado hakuna kati yao aliwahi fany ajaribu la maana ..

Akina ANC walipigwa marufuku na kunyimwa,hilo lilihalalisha uwepo wao kwa vile wameporwa haki.Waingereza wasingeweza nyima watanzania hilo ktk uwazi kwani mojawapo ya kazi walizopewa ni kuandaa taifa kuja jitegemea.Walichoweza ni kuwahonga hao "Bakwata wa zamani", n akuwapa TAA,ili wawatawae wenzao ambao hawakuwa wakijua kitu,na ulichoweka ktk nukuhu zako Nyerere alipowaambia...viinavyowezekana wazee walikuwa wakiona nyota tuu..

Wale wazee wenu wengi walisaidia kwa kuwepo ktk idadi,kwani Nyerere alihitaji statistics ili kujenga uhalali wa TANU...na wale wazee wa gahawa wa kuuza kashata na uvuvi wa usiku,hawakuwa na cha kuafanya mchana.Abdulwahidi hakuwa na jipya,kwani TAA ilikuwa ni ajira yake na kibali cha kufanya biashara Kariakoo na kwingine.
Mzee Mohamed Said anaamini AA ndio TAA, TAA ndio TANU. Hajiulizi kwa nini ilibidi kuandika KATIBA MPYA kabla TANU haijazinduliwa.

Mzee wetu huyu haamini kuwa TANU haikupata kuongozwa na mtu mwingine yeyote zaidi ya Mwalimu tangu tarehe 07.07.1954 ilipozaliwa hadi tarehe 05.02.1977 ilipozikwa kwa heshima zote.

Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!

Historia ya TANU ilianza na kumalizikia kwa Mwalimu. Wakati mwingine historia inakuwa chungu hivo. Mabadiliko ya sasa ya KATIBA ya TANZANIA yameanza na Mungu akibariki yatamalizika chini ya UONGOZI wa Jakaya ingawa wazo la kuwa na serikali TATU lilikuwepo tangu zamani.
 
Last edited by a moderator:
Tusemezane,
Katika majuma kama matatu yalopita nimekwenda Zanxibar
mara tatu na mara zote hizo nimepewa mialiko ya kuxungumza
mubashara kwenye radio.

Hii si dalili ya mtu anetafutwa kupopolewa.
Ukawaambia kuwa Mapinduzi ni haram, na kwamba akina Mwinyi, Nasor Moyo, Jumbe, Kombo, Natepe, Karume, Salimn, Wakili wao ni makafir kwa kushirikiana na Nyerere?
Uliwaambia kuwa aliyemuondoa sultan ni wakipumbwi baada ya kulewa ndaza wakachukua jahazi na kwenda kwa sultan

Uliwaambia kuwa mauaji yaliyofanywa yalikuwa chini ya Kassim Hanga. Uliwaambia kuwa Okello ndio baba wa taifa lao.

Juzi tu Pemba sheikh kabondwa kwa kujiunga na CCM, wewe kaseme hayo mbele yao kama hujapopolewa.
Hata huko znz unakokwenda unaongea katika misikiti ya pembezoni.
Si umewahi kusema unafundisha, tulipofuatilia ni Thaqafa! wewe Mohamed kuna kidogo usichokimwagia hamira.

Lakini tulia kadri siku zinavyokwenda wale ambao baba na mama zao wametoa roho kuikomboa nchi yao ya znz na unawaita majina ya kashfa na dherue watakujibu, sijui ni kwa karatasi, spika au mawe.
 
Yericko,
Hapana haja ya kuhangaika sana.

Historia ya TANU ya wanajopo wa CCM ipo.
Historia iloandikwa na MS ipo.

Kila upande umeeleza historia yake.

Kwa nini wewe leo jasho likutoke kuikataa
historia yangu?

Tuuachie umma uamue nani mkweli na nani
muongo.
Mohamed, hujaandika historia! usipotoshe maana ya neno historia.
Utunzi wa Mohamed Said upo! Hapa JF wanaita Ngano, nadhani inakaribia kuwa mahoka!
Twenzetu kwa Babangida! teh teh

Masalaam mzee Saidi, wajulie hali hapo nyumbani inshallah
 
Mzee Mohamed Said anaamini AA ndio TAA, TAA ndio TANU. Hajiulizi kwa nini ilibidi kuandika KATIBA MPYA kabla TANU haijazinduliwa.

Mzee wetu huyu haamini kuwa TANU haikupata kuongozwa na mtu mwingine yeyote zaidi ya Mwalimu tangu tarehe 07.07.1954 ilipozaliwa hadi tarehe 05.02.1977 ilipozikwa kwa heshima zote.

Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!

Historia ya TANU ilianza na kumalizikia kwa Mwalimu. Wakati mwingine historia inakuwa chungu hivo. Mabadiliko ya sasa ya KATIBA ya TANZANIA yameanza na Mungu akibariki yatamalizika chini ya UONGOZI wa Jakaya ingawa wazo la kuwa na serikali TATU lilikuwepo tangu zamani.
Amekiri kuwa hakuna faili au kabrasha ambalo AA na TAA viliandikishwa. Huko nyuma alikuwa anasema 'hana taarifa''. Kwa maneno mengine transformation kutoka shughuli za mitaani na kuwa official political party zilisubiri watu wenye weledi. Yeye anasema kiharakati mkoloni alijua, kimaandishi na nyaraka mkoloni hakujua.

Sasa kwanini asikubali kuwa wazee wetu walikuwa na majukumu tofauti katika nyakati tofauti kwa elimu tofauti?
Halafu anasema, hotuba ya Nyerere iliandikwa na Nyerere kaibeba katika bahasha na kufiungua New York! real, huyu mtu aliyebadili mwenendo wa harakati kutoka mitaani na kuingia katika dunia leo anaambiwa alibeba bahasha la ''khaki 8 by 4'' akiwa hajui kuna nini.
Akalifungua New york kutahamaki, lahaula hotuba ya UN.
Please acha dharau Mohamed, mpe mtu heshima anayostahili.
 
Yericko,

Naona bila ya kumtaja Gombesugu huna raha moyoni kijana!?

Mimi si niliaga yakuwa nitakua safari kwa wiki nzima!?...nimerejea nyumbani asubuhi hii lakini mafuriko ni mengi maeneo ya jirani zetu...na pia inalazim nipitie yalonipita hapa jamvini kiduchu.

Naona unapenda pale Nicholas anapotoa hisia zake,nakhis lazim atakua mtu wa Chadema mwenzio!?ahaha!!

Tutaongea na tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.

Ooooho pole sana ndugu kwa mafuriko ya jirani zako,

Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwao!

Karibu sana ndugu!
 
Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.

Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.

Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.
 
Back
Top Bottom