Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

list vyote ili iwe rahisi kukujibu kirahisi...kwa Ndio au Hapana.Pia usijaze junks ktk thread..wengine wanatumia mobile.

Wamo humu kwenye nyuzi inaonesha umekurupuka hujaisoma, Jee, unamjuwa Tewa?
 
Ritz,
Huyu jamaa haijui historia ya TANU.

Angekuwa anaijua asingekuwa na mdomo wa kumkashifu Abdu Sykes.

Hata wale wasiompenda katika TANU hawakuthubutu kusema kuwa
TAA iilikuwa ajira yake kwani chama kikenda kwa fedha zake.

Shariff naishia hapa.
 
Wanajamvi,
Siku zote hulikumbusha jamvi kuwa mie "sikiri" bali husema.

Jingine.
Kuna mtu anasema ati sijaandika historia.

Akaangalie catalogue ya Library of Congress kitabu changu kiko
wapi.

Northwestern University wamenialika chuoni kwao kuzungumza
mwaka 2011.

Ajishauri kwanza hiki chuo nini sifa yao kuu?
Iweje wamualike mtu wa madrassa?
 
Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.

Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.

Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.

Unatuthibitishiaje kuwa hiyo ndio historia ya kweli?

Lete uthibitisho nje ya maandiko yako wewe mwenyewe!
 
Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.

Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.

Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.
Laiti kama Mungu wetu sote asiye na DINI angekuongoza ukaiandika bila kuwahusisha wazee wako hawa na DINI yao katika harakati za kudai uhuru.

Mbaya zaidi ukamhusisha Mwalimu na UDINI huku akiingia TAA ya Kariakoo akijua fika kuwa wazee wale walikuwa WAISLAM safi.

TANU ilianza na kumalizikia mikononi kwa Mwalimu. Hayo mengine ulooandika ndio baadhi yetu humu wanayaita "ngano". Hakuna aliyeshtuliwa na "historia" yako hii ila tu kwa kuwa imecheza na IMANI za watu ndio wenye akili na mtazamo kama wako wameishabikia na kuishobokea kweli!
 
Ritz,
Huyu jamaa haijui historia ya TANU.

Angekuwa anaijua asingekuwa na mdomo wa kumkashifu Abdu Sykes.

Hata wale wasiompenda katika TANU hawakuthubutu kusema kuwa
TAA iilikuwa ajira yake kwani chama kikenda kwa fedha zake.

Shariff naishia hapa.
Waulize hata CHADEMA walivyoanza kuendesha chama kile kwa fedha zao wenyewe. Itakapoandikwa historia ya CHADEMA sio wote waliokifadhili chama hiki watakumbukwa. Wangapi, mbali ya Mzee Mtei, mnaosikia wanatajwa?

Historia haimkumbuki kila mtu na kila kitu. Hii inatokana na wanaoiandika kutokuwa wahusika wa mwanzo.
 
Mkuu hapa ni hoja tu, ndizo zitakazo amua sio huruma ya kiraia!

Hoja kwa hoja ndizo zitakazowafanya Watanzania waamue ipi pumba na ipi mchele!

Tukisema tumwachie msomaji tu aamue, mwisho taifa litakuwa na vizazi vyenye mitazamo na fikra za akina Ritz, Zomba, GombeSugu, Barubaru, The Big Show, na wengine wakufanana nao!

Taifa la wajinga wachache umeliharibu na kuzeesha fikra zao, tumesimama imara kuokoa kizazi hiki kwakupambana kwa hoja sio vingine!

Tunataka ujibu haya:

Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au ni Haramu?

Nani alidhamini mapinduzi ya Zanziba, na nini sababu za udhamini huo?

Kwanini Wazanzibar wanasherekea/wanaadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar?
Mkuu ili hoja zako zijibiwe na wewe jibu hizi hoja hapa.

1)Tuambie Nyerere ni baba yako mzazi kweli?

2)Ile hotuba uliyoifuata Tbc vipi mbona mpaka leo hujaileta?

3)Mbona huo uchochezi wa mzee Mohamed Said mpaka leo hatujauona?

Ukiyajibu haya maswali bila ushabiki kwa hoja na dalili na bila kuleta mambo yaki kanjanja kuanzia leo nahamia jukwaa la mapenzi kazi kwako bwana mkubwa.
 
Mkuu ili hoja zako zijibiwe na wewe jibu hizi hoja hapa.

1)Tuambie Nyerere ni baba yako mzazi kweli?

2)Ile hotuba uliyoifuata Tbc vipi mbona mpaka leo hujaileta?

3)Mbona huo uchochezi wa mzee Mohamed Said mpaka leo hatujauona?

Ukiyajibu haya maswali bila ushabiki kwa hoja na dalili na bila kuleta mambo yaki kanjanja kuanzia leo nahamia jukwaa la mapenzi kazi kwako bwana mkubwa.

Nakushauri hamia MMU tu,

Wala huna qualification yakuchangia hapa labda uwe msomaji tu!
 
Nakushauri hamia MMU tu,

Wala huna qualification yakuchangia hapa labda uwe msomaji tu!
Nikweli kabisa wala hujakosea sina qualification ya kuchangia humu jamvini lakini sheria za jf ndivyo zinavyosema?
Labda nisome tena sheria za jf labda kunakipengele kina sema msomaji hawezi kuchangia!
Ushauri wangu kwako mimi kama msomaji ngoja nikimbilie kumnukuu yuleeeeeeee jamaa ambae unapenda kumkimbilia kila unapoona mambo ni magumu na kutaka watu wapigwe ban anausemi mzuri unaosema
Ficha
Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
:coffee:
24/7
 
Mzee Mohamed Said anaamini AA ndio TAA, TAA ndio TANU. Hajiulizi kwa nini ilibidi kuandika KATIBA MPYA kabla TANU haijazinduliwa.


Mzee wetu huyu haamini kuwa TANU haikupata kuongozwa na mtu mwingine yeyote zaidi ya Mwalimu tangu tarehe 07.07.1954 ilipozaliwa hadi tarehe 05.02.1977 ilipozikwa kwa heshima zote.

Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!

Historia ya TANU ilianza na kumalizikia kwa Mwalimu. Wakati mwingine historia inakuwa chungu hivo. Mabadiliko ya sasa ya KATIBA ya TANZANIA yameanza na Mungu akibariki yatamalizika chini ya UONGOZI wa Jakaya ingawa wazo la kuwa na serikali TATU lilikuwepo tangu zamani.
WildCard,

Habari za masiku ndugu yangu nasoma bayana zako kwa ushui lakini kuna sehemu naona unatofautiana na Nyerere, unamshamblia bure mwalimu wetu Mohamed Said,
Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!
WildCard, hebu chini msome Nyerere mwenyewe nasema nini kuhusu TANU.
Julius Nyerere"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)".
Sasa jiulize watu wanaweza kupendekeza jina la TANU bila kujua kazi za TANU zitakuwa zipi.
 
Last edited by a moderator:
Waulize hata CHADEMA walivyoanza kuendesha chama kile kwa fedha zao wenyewe. Itakapoandikwa historia ya CHADEMA sio wote waliokifadhili chama hiki watakumbukwa. Wangapi, mbali ya Mzee Mtei, mnaosikia wanatajwa?

Historia haimkumbuki kila mtu na kila kitu. Hii inatokana na wanaoiandika kutokuwa wahusika wa mwanzo.

Ndugu yangu unafananisha Chadema na TANU?
 
Unatuthibitishiaje kuwa hiyo ndio historia ya kweli?

Lete uthibitisho nje ya maandiko yako wewe mwenyewe!

Yericko,

Mimi nina shaka kabisa kuwa wewe hijawa kufanya utafiti wowote ule na kuuweka katika maandishi ili wasomi waupitie ndio maana unauliza suala kama hilo nililo Bold.

Kumbuka kuwa Al habbib Mohamed said amefanya utafiti wa kihistoria tena ule wa mapokeo ya moja kwa moja ikiwemo kupata nyaraka na kupewa ufafanuzi wake kwa wahusika wakuu ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki wao binafsi katika mchakato wa kupatikana na uhuru wake.

Kama kweli umekisoma kitabu chake utabaini kuna mengi ameshuhudia mwenyewe na mengine amepata moja kwa moja toka kwa washiriki aliowaeleza kwa mapana na marefu mchango wao katika kupatikana kwa uhuru wenu.

Sasa kama wewe ungekuwa kweli ni mmoja wa familia ya Nyerere ulitakiwa sasa UMUULIZE MAMA MARIA NYERERE atakwambia na hata kutaka ushirikiano na Moh'd Said akupeleke jamii husika alizozitaja na kwenda kuthibitisha ukweli wa maandiko yake.

Na kwa mchakato WAKO KWA KUANDIKA KITU hicho ungejikuta UNAINGIA KATIKA FUNGU LA WASOMI KWA KUJIBU UTAFITI WAKE KWA KUANDIKA KITABU CHAKO KUPINGANA NA KITABU CHAKE.

Mimi naamini kwa dhati kabisa Al Habib Mohamed Said atakupa msaada mkubwa sana katika hilo.

Huo ni ushauri wangu kwa wasomiTUNAAMINI KUWA UTAFITI UNAPINGWA KWA UTAFITI NA WALA SI BLA BLA AU MISTARI MIWILI AU MITATU KATIKA JF.

 
Ritz,
Huyu jamaa haijui historia ya TANU.

Angekuwa anaijua asingekuwa na mdomo wa kumkashifu Abdu Sykes.

Hata wale wasiompenda katika TANU hawakuthubutu kusema kuwa
TAA iilikuwa ajira yake kwani chama kikenda kwa fedha zake.

Shariff naishia hapa.
Hapo chini ulikuwa unafanya uchochezi Marekani ha haa haaa.
ppppp.JPG
 
Hata Mohamed Said, anatumia hayo maneno yako kwako kutokukujibu wewe...ha haa haaa.

Ikiwa ndivyo hivyo basi ndivyo anavyofeli kuulinda uongo wake!

Kimsingi hana mtetezi juu ya maandishi yake, aliodhani mtakuwa msaada kwake kumbe mmekuwa wapambe/vipemba

Mmemsaliti Mohamed Said, mmemdharirisha sana, haamini kama ndivyo mnavyofanya, aliwaamini sana, akawapa elimu ya umangani, sasa mmemsaliti,

Mmekuwa washangiliaji badala ya wajibu hoja kama alivyotarajia!

Haya ni majuto ya Mohamed Said, amebaki mkiwa, ni mtu wa kuhamahama hoja tu,

Rudini kundini kama alivyowatarajia Mohamed Said!

Tusonge mbeleeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Wickama,

Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.

Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!

Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!

Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?

Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?

Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta.

Hapana Sheikh; wanijua kuwa issues za dini huwa wala sina haja nazo. nachoomba ni articles za AA na TAA tujadili issues za siasa
 
Ha ha haa hata mimi amenishangaza huyu jamaa ni sawasawa na kumfananisha Mzee Mohamed Said na Yericho tofauti kabisa umbali wa mashariki na magharibi!

Boko haramu.

Umbali ulosema ni karibu sana sana kabisa. Mimi naona umbali baina ya upeo na uwezo wao ni sawa na kutoka Arshi kwenda Qudus.

mash'kuura

 
Back
Top Bottom