list vyote ili iwe rahisi kukujibu kirahisi...kwa Ndio au Hapana.Pia usijaze junks ktk thread..wengine wanatumia mobile.
Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.
Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.
Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.
Laiti kama Mungu wetu sote asiye na DINI angekuongoza ukaiandika bila kuwahusisha wazee wako hawa na DINI yao katika harakati za kudai uhuru.Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.
Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.
Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.
Wild Card,
Hayo yote ulosema ni kweli kabisa.
Ila tatizo lipo kuwa hiyo siyo kweli yote.
Ipo historia nzuri kabisa kabla na baada.
Historia hiyo ndiyo niloandika ikakushtueni.
Waulize hata CHADEMA walivyoanza kuendesha chama kile kwa fedha zao wenyewe. Itakapoandikwa historia ya CHADEMA sio wote waliokifadhili chama hiki watakumbukwa. Wangapi, mbali ya Mzee Mtei, mnaosikia wanatajwa?Ritz,
Huyu jamaa haijui historia ya TANU.
Angekuwa anaijua asingekuwa na mdomo wa kumkashifu Abdu Sykes.
Hata wale wasiompenda katika TANU hawakuthubutu kusema kuwa
TAA iilikuwa ajira yake kwani chama kikenda kwa fedha zake.
Shariff naishia hapa.
Mkuu ili hoja zako zijibiwe na wewe jibu hizi hoja hapa.Mkuu hapa ni hoja tu, ndizo zitakazo amua sio huruma ya kiraia!
Hoja kwa hoja ndizo zitakazowafanya Watanzania waamue ipi pumba na ipi mchele!
Tukisema tumwachie msomaji tu aamue, mwisho taifa litakuwa na vizazi vyenye mitazamo na fikra za akina Ritz, Zomba, GombeSugu, Barubaru, The Big Show, na wengine wakufanana nao!
Taifa la wajinga wachache umeliharibu na kuzeesha fikra zao, tumesimama imara kuokoa kizazi hiki kwakupambana kwa hoja sio vingine!
Tunataka ujibu haya:
Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au ni Haramu?
Nani alidhamini mapinduzi ya Zanziba, na nini sababu za udhamini huo?
Kwanini Wazanzibar wanasherekea/wanaadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar?
Mkuu ili hoja zako zijibiwe na wewe jibu hizi hoja hapa.
1)Tuambie Nyerere ni baba yako mzazi kweli?
2)Ile hotuba uliyoifuata Tbc vipi mbona mpaka leo hujaileta?
3)Mbona huo uchochezi wa mzee Mohamed Said mpaka leo hatujauona?
Ukiyajibu haya maswali bila ushabiki kwa hoja na dalili na bila kuleta mambo yaki kanjanja kuanzia leo nahamia jukwaa la mapenzi kazi kwako bwana mkubwa.
Nikweli kabisa wala hujakosea sina qualification ya kuchangia humu jamvini lakini sheria za jf ndivyo zinavyosema?Nakushauri hamia MMU tu,
Wala huna qualification yakuchangia hapa labda uwe msomaji tu!
WildCard,Mzee Mohamed Said anaamini AA ndio TAA, TAA ndio TANU. Hajiulizi kwa nini ilibidi kuandika KATIBA MPYA kabla TANU haijazinduliwa.
Mzee wetu huyu haamini kuwa TANU haikupata kuongozwa na mtu mwingine yeyote zaidi ya Mwalimu tangu tarehe 07.07.1954 ilipozaliwa hadi tarehe 05.02.1977 ilipozikwa kwa heshima zote.
Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!
Historia ya TANU ilianza na kumalizikia kwa Mwalimu. Wakati mwingine historia inakuwa chungu hivo. Mabadiliko ya sasa ya KATIBA ya TANZANIA yameanza na Mungu akibariki yatamalizika chini ya UONGOZI wa Jakaya ingawa wazo la kuwa na serikali TATU lilikuwepo tangu zamani.
WildCard, hebu chini msome Nyerere mwenyewe nasema nini kuhusu TANU.Huyu Mzee anaamini kwa kuwa jina la TANU lilikuwepo kabla ya tarehe 07.07.1954, basi historia yake ianzie hukohuko!
Sasa jiulize watu wanaweza kupendekeza jina la TANU bila kujua kazi za TANU zitakuwa zipi.Julius Nyerere"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)".
Hata Mohamed Said, anatumia hayo maneno yako kwako kutokukujibu wewe...ha haa haaa.Nakushauri hamia MMU tu,
Wala huna qualification yakuchangia hapa labda uwe msomaji tu!
Waulize hata CHADEMA walivyoanza kuendesha chama kile kwa fedha zao wenyewe. Itakapoandikwa historia ya CHADEMA sio wote waliokifadhili chama hiki watakumbukwa. Wangapi, mbali ya Mzee Mtei, mnaosikia wanatajwa?
Historia haimkumbuki kila mtu na kila kitu. Hii inatokana na wanaoiandika kutokuwa wahusika wa mwanzo.
Unatuthibitishiaje kuwa hiyo ndio historia ya kweli?
Lete uthibitisho nje ya maandiko yako wewe mwenyewe!
Hapo chini ulikuwa unafanya uchochezi Marekani ha haa haaa.Ritz,
Huyu jamaa haijui historia ya TANU.
Angekuwa anaijua asingekuwa na mdomo wa kumkashifu Abdu Sykes.
Hata wale wasiompenda katika TANU hawakuthubutu kusema kuwa
TAA iilikuwa ajira yake kwani chama kikenda kwa fedha zake.
Shariff naishia hapa.
Ha ha haa hata mimi amenishangaza huyu jamaa ni sawasawa na kumfananisha Mzee Mohamed Said na Yericho tofauti kabisa umbali wa mashariki na magharibi!Ndugu yangu unafananisha Chadema na TANU?
Hata Mohamed Said, anatumia hayo maneno yako kwako kutokukujibu wewe...ha haa haaa.
Wickama,
Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.
Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!
Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!
Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?
Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?
Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.
Ha ha haa hata mimi amenishangaza huyu jamaa ni sawasawa na kumfananisha Mzee Mohamed Said na Yericho tofauti kabisa umbali wa mashariki na magharibi!