Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Hapa Yericko akifuatilia hotuba za Nyerere TBC ha ha haa... watu wanahojiwa VOA wewe TBC inakushindaHapo chini ulikuwa unafanya uchochezi Marekani ha haa haaa.
View attachment 97012
Kukiri siyo tusi, kwa wenzetu wanasema 'admit' au confess wakimaanisha kukukubali ukweli au au iwavyo bila upinzania.Wanajamvi,
Siku zote hulikumbusha jamvi kuwa mie "sikiri" bali husema.Jingine.Kuna mtu anasema ati sijaandika historia.Akaangalie catalogue ya Library of Congress kitabu changu kiko wapi.Northwestern University wamenialika chuoni kwao kuzungumza mwaka 2011.Ajishauri kwanza hiki chuo nini sifa yao kuu?Iweje wamualike mtu wa madrassa?
Yericko,
Mimi nina shaka kabisa kuwa wewe hijawa kufanya utafiti wowote ule na kuuweka katika maandishi ili wasomi waupitie ndio maana unauliza suala kama hilo nililo Bold.
Kumbuka kuwa Al habbib Mohamed said amefanya utafiti wa kihistoria tena ule wa mapokeo ya moja kwa moja ikiwemo kupata nyaraka na kupewa ufafanuzi wake kwa wahusika wakuu ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki wao binafsi katika mchakato wa kupatikana na uhuru wake.
Kama kweli umekisoma kitabu chake utabaini kuna mengi ameshuhudia mwenyewe na mengine amepata moja kwa moja toka kwa washiriki aliowaeleza kwa mapana na marefu mchango wao katika kupatikana kwa uhuru wenu.
Sasa kama wewe ungekuwa kweli ni mmoja wa familia ya Nyerere ulitakiwa sasa UMUULIZE MAMA MARIA NYERERE atakwambia na hata kutaka ushirikiano na Moh'd Said akupeleke jamii husika alizozitaja na kwenda kuthibitisha ukweli wa maandiko yake.
Na kwa mchakato WAKO KWA KUANDIKA KITU hicho ungejikuta UNAINGIA KATIKA FUNGU LA WASOMI KWA KUJIBU UTAFITI WAKE KWA KUANDIKA KITABU CHAKO KUPINGANA NA KITABU CHAKE.
Mimi naamini kwa dhati kabisa Al Habib Mohamed Said atakupa msaada mkubwa sana katika hilo.
Huo ni ushauri wangu kwa wasomiTUNAAMINI KUWA UTAFITI UNAPINGWA KWA UTAFITI NA WALA SI BLA BLA AU MISTARI MIWILI AU MITATU KATIKA JF.
Wickama,
Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.
Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!
Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!
Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?
Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?
Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.
Hapa tena walahai burudani.Mimi ningeweza(Ningepata mamlaka na kupoteza UTU) ningemfukuzia Maalim, Ritz,Jussa .....na wazenj wote Oman.Wakamwangalie sultani asubuhi,mchana na jioni...wanakula bure na kuachia ushuzi tuu halafu kazi kupiga vita wananchi wazalendo na nchi yao.Teh teh....
Ila wasomali,wasudan,waesthiopia na wengine...kwa tabia zao ni mzigo...na wanahatarisha usalama wa taifa.Hapa tuu akina Kinana,tunaona uhai wa tembo....na polisi wetu(wamewaua maporini wakiwinda tembo) sasa sijui wakizidi itakuweje?taifa litapoteza mabillioni kukimbizana na hao panya,huku wakijificha katk haki za binadamu na ku side na maadui.
Hapa tena ha haa haaahaha...hata mwenyewe hakuthubutu jifagilia kwa hilo hadi akina Ritz, majina yao ya kitumwa na kunyenyekea ujinga km wala mirungi walipomtazama kwa jicho la dini.Walipomtazama kwa jicho linalotafuta chochote popote ili wapate jipa matumaini ktk dini kwa kusema unaona....hiki na hiki,kimetaja hiki ktk dini yetu...
Ila ni ngumu sana kupata Tanganyika na Zanzibar ktk "Tanzania". Hata ukiruhusu maneno abnormal km "Mbwa" "badala MMBWA" Ila hapa unaweza pata Tan +Zania.Na pengine ikamaanisha Tanganyika +Azania.
Sipani clue ni wapi wazo la lilipelekea kuwa namna hii....kufupisha jina si kigezo kwani kuna miji na nchi zenye majina marefu kuliko yetu na yanatamkika.Huyu jamaa hakuwa na chochote chenye kubeba umaana wa taifa...alikusanya maneno bila kujali muungano ila jina la kutamkika tuu.Na hii inaweza pia ibua maswali km ni yeye kweli.
Hapa tena, ahahh hahaa.Hivi rais ana hakika kuwa akirudi atakuta moto bado upo ukichoma mawe anayochemsha ?Atakuta wanae magamba wameamua ipua na kupakuwa km moto umezimika.Hii bugdet bila hela ya makusanyo tayari ni hatari sana kwa nchi.Sasa what if nchi inapata Janga,kodi hakuna CCM serikali itakwama?
Sasa anakwenda ombaomba ili nini?atapata quick fix,ila si lasting.
Hapa tena ha ah haa haa.Ananikumbusha enzi za shule...watoto kula kulala(O-bay,na masaki enzi hizo) walikuwa wambea sana wanapofika mbela ya mabinti, au hata wakiwa nyumbani kwao..walipenda sana tupa majina mabaya na utani mbaya wakidhani utawasaidia kupata mabinti,au hata okoa dada zao..Ila mwisho wa siku walikuwa wakituongezea traffics tuu..Dada zao na hata mambinti wanowashindania wakawa wao ndio watafutaji.Wengine kwa huruma wengine just for curiousity kuhakikisha wanchosema hawa watoto kula kulala.Nape anawaintroducce wana CCM kwa CDM na wananchi wasiopenda siasa nao watakuja sikiliza wazee wa majukwa km akina Lema,sugu,msigwa etc.
Nape ajiuize ni kwa kiasi gani Lema kaongeza washabiki nje ya Jimbo la Arusha tangu CCM waanze mwita,hajasoma,mwizi wa magari,na mengine...?Sasa hivi Lema anaweza sema kitu kikaaminika na watu wengi Tanzania kuliko JK.
Matoto ya mama hovyo sana..anadhani anakimbiza watu kumbe anafanya promo.
Hapa tena, ha haa haa haa.Ni wepesi sana kudanganywa hawa,tena kwa uongo walioutunga wao..hajajifunza mpaka leo kuwa misikitini husema uongo kuhusu ufaulu wao,husema uongo kuhusu hali z akiuchumi ktk misikiti na vurugu za kugombea ulaji..?kwanini asijuilize itakuweje leo iwe kweli...?Jamaa wa CUF walitegemea mpemba aje muona na kumpromote kwa kuitangaza CUF.Leo wataaambiana kuwa kwa vile Bayo sis muilam ndio maana watu hakuna.
Aisee hata warangi wa mbauda,majengo na sehemu za jirani hawakusogea?
Hapa tena ha haa haa haaa.Halafu Komba ni kanyama fulani ka hovyo sana kule Kaskazini...huwa kinapita usiku n akuiba pombe,halafu kinalewa sana.Matokeo yake kikikwea nguzo za umeme na kupita ktk wire kinapigwa short na kufa,Au kunaguka ktk miti.
Huyu jamaa nae kalewa na msosi isiyofaaa...
Hapa tena ha haah haaa.Wassira ni mweupe na mfuata upepo,yupo tayari kufuata lolote kwa vile ataonea aibu mfumo islam wa JK(Anayeabudiwa na kila gamba-wanamtaja kuliko Mwenyezi Mungu).
Mkoloni hakuw ana issue na mahakama hiyo kwa vile haikumhusu yeye na watu wake...sisi watanzania wa leo inatuhusu sana ktk mahusiano yetu.Ingekuwa waislama wamewekwa ktk mkoa wao na kuishi km wao pengine ingeweza fanyika.Ila hili la kukopeshana,kuoana nusunusu, na wasio waislam,kuchinja, mirathi ya ndoa mchanganyiko, watu kukacha dini na kuingia ingine...haitokuwa issue rahisi au ya waislam pekee.
Hizo nchi zilikuw ana shida sana,ni nchi za ukabila na udini....kwa hiyo kaburu hakuona shida wapa waislam hilo.kwani hata hivyo ni jamii za kihidni na kiarabu ambazo zilikuwa juu ya waafrica ila chini ya za mzungu kwa hiyo sharia haikuwahusu sana.Waganda tayai idd amini alijenga msingi wa migawanyo na haikuwa rahisi kwa rais mwingine kuitoa, kenya nao walikuwa na majimbo km Lamu, mombasa,malindi etc yalikuwa tayari si Kenya, na Kenya haijawahi fanya zoezi la kuunganisha nchi km TZ.
ha haaa haaa haa. JF kuna vituko.Najaribu fikiri ni vipi Katiba inaweza kuweka Mahakama ya kadhi bila ,kuicha ktk lawama ambazo serikali na Bakwata wanazipata Leo?
Pamoja na ukweli kuwa hata wakristu nao wanaweza weka Amri 10 ktk mahakama yao,na wakatoliki nao watapitisha sheria zao za kanisa.Pia kutaka serikali igharamie na kuiweka mahakama ya kadhin ni unyonyaji na contradcition ktk Katiba ya nchi.Kuwa na sheria mbili ambazo mara nyingi zitagongana.
Tunajua ni mpango wa wachumia tumbo ambao wanadhani watapata kitengo cha kutuliza njaa,na baadaye watakaokosa wataanza tangaza kutoitambua km leo tuanvyo Bakwata.
Wenye mawazo mbadala watusaidie.Ni vipi serikali itaweka mahakama ya kadhi bila kuingilia uislam?Ni vipi nchi ikaendeshwa kwa sheria tofauti ktk jambo moja na zote zikawa na mamlaka sawa?Km si mamlaka sawa basi sheria za nchi zitatawala ili taifa lisiwe la Kiislam.Sasa itakuwa vipi tofauti na waislam kujianzishia mahakama yao?kama hawajaikubali bakwata ni vipi wataikubalia mahakama ya kadhi?
Hasanalis; Baada ya salaam. Hakuna shaka kuwa TANU walishiriki heavily kusaidia haya mapinduzi. HAKUNA shaka. Tunachouliza na hakijibiwi, ni kwamba, jee ASP walilazimishwa kupokea misaada ya silaha na askari kufundishwa kwa ajili ya mapinduzi haya au ndio waliotangulia kuomba msaada? Swali ni jepesi, wala sio la kipuuzi kwa sababu ndilo linabeba dhamana ya matukio yaliyofuata.
kaka sijui umekisoma kitabu mwandishi ameelezea maudhui nzima ya mapinduzi yale na kama umekisoma kitabu huwezi kuja na masuali ka haya
ahsanta
cc john okkelo
Hapo chini ulikuwa unafanya uchochezi Marekani ha haa haaa.
View attachment 97012
Unatuthibitishiaje kuwa hiyo ndio historia ya kweli?
Lete uthibitisho nje ya maandiko yako wewe mwenyewe!
Laiti kama Mungu wetu sote asiye na DINI angekuongoza ukaiandika bila kuwahusisha wazee wako hawa na DINI yao katika harakati za kudai uhuru.
Mbaya zaidi ukamhusisha Mwalimu na UDINI huku akiingia TAA ya Kariakoo akijua fika kuwa wazee wale walikuwa WAISLAM safi.
TANU ilianza na kumalizikia mikononi kwa Mwalimu. Hayo mengine ulooandika ndio baadhi yetu humu wanayaita "ngano". Hakuna aliyeshtuliwa na "historia" yako hii ila tu kwa kuwa imecheza na IMANI za watu ndio wenye akili na mtazamo kama wako wameishabikia na kuishobokea kweli!
kaka sijui umekisoma kitabu mwandishi ameelezea maudhui nzima ya mapinduzi yale na kama umekisoma kitabu huwezi kuja na masuali ka haya
ahsanta
cc john okkelo
Usiwaangushe wenzako wewe ndiyo unaotegemewa kuja na matusi mapya wanakumbi wanasubiri.
Wamo humu kwenye nyuzi inaonesha umekurupuka hujaisoma, Jee, unamjuwa Tewa?
Unatuthibitishiaje kuwa hiyo ndio historia ya kweli?
Lete uthibitisho nje ya maandiko yako wewe mwenyewe!
Hutaweza kunipuuza kwakuwa mimi ndimi njia sahihi ya kuulinda uongo wako!Yericko,
Kuna watu wameniomba nikupuuze.
Kukiri siyo tusi, kwa wenzetu wanasema 'admit' au confess wakimaanisha kukukubali ukweli au au iwavyo bila upinzania.
Unaposema hakukuwa na katiba ya TAA au AA hapo unakubaliana na ukweli kama ilivyo bila upinzani ambako ndiko kukiri.
Kualikwa na chuo kikuu hakuna maana unayoyasema ni kweli. Leo miaka takriban 40 baada ya moon landing watu wanachunguza maneno ya Armstrong kama ndivyo yalivyokuwa au la.
Ahmadinajad, rais wa Iran aliwahi kupewa fursa ya kuzungumza katika chuo kikuu kimoja Marekani. Ahmadinajeda na hoja yake ya holocuts bado watu wanamsikiliza.Hiyo haimaanishi anaongea ukweli au uongo ni mtizamo tofauti
Kualikwa maana yake ni wasomi wanaofikiri wakitaka kusikia mitazamo tofauti ili waje na conclusion kutokana na mitazamo hiyo. Hiyo haimaanishi kuwa mitazamo hiyo lazima iwe sahihi.
Huko unakosema lazima uelewe hawaielewi Tanzania kuliko sisi wenyewe. Wao hawana habari kuwa sheikh Amir alipewa fursa ya kuwa katika uongozi akakataa. Pengine wakimwalika Ziddy na kuoanisha na maneno yako ndipo huja na mambo kamili.
Northwestern hawaelewi mazingira yetu na ni rahisi kwao kukubali kuwa kuna mtu alitoka Dar hadi Rufiji miaka ya 1950+ kwa baiskeli akigawa kadi za TANU. Sisi tutahoji mwaka jana kaliwa mtu Mkuranga ilikuwaje miaka hiyo.
Hatukatai kama haikuwezekana tunachotaka ni ushahidi usio na mashaka juu ya hilo.
Mashaka yanatokana na hypebole zilizokithiri katika ngano. Mathalan, Ibadan wanajua Mtu anaweza kuja Tanzania na kuhutubia bunge tu, sisi ndio tunaojua kuwa la hasha ile ilikuwa hyperbole ya kimataifa, ndio asili ya neno mkoba.
Lakini basi kama huwezi kueleza kuhusu mapinduzi na Wanakipumbwi kwa sisi wenyeji vipi mtu wa nje atajua pakuanzia.
Sisi unakimbia na ukirudi unakuja mtupu, nani huko Marekani anajua Kipumbwi na safari yao ya ghafla kuelekea visiwa vya karafuu.
Hapa ni hoja, hatuangalii wala kutishiwa na volume au safari.
Ahsante mzee Said,
Salimia jamaa hapo nyumbani
Wild Card,
Nasema mmeshtushwa kwa sababu mnavyohangaika humu kujaribu
kuibomoa historia hiyo.
Hivi nyie hamjiulizi kwa nini mimi sijapinga historia yenu wala sikuulizeni
mswali, wala situkani au kutumia lugha chafu na kali.
Hivi kweli hamjajiuliza kwa nini iwe hivyo?
Mimi sina neno ikiwa mtapenda kuamini kuwa TANU imeanzishwa na Nyerere
kutokea Musoma.
Kwa kweli sina neno asilani wala sitakubughudhi kwa hilo.
Nachokuomba ni kuwa na wewe usinibughudhi mimi nikikuambia kuwa TANU
ni ''brain child'' ya Abdu Sykes.
Tatizo liko wapi ndugu yangu?
Kizazi cha leo kimebadilika ndugu yangu, vitabu havisomwi kama unavyofikiria!
Mitandao ya kijamii ndio uwanja sawia kwa kizazi cha leo kusoma na kupata habari mpya!
Huoni mfano hapahapa jf kuwa Watanzania wengi kwa zaidi ya miaka 15 sasa walikuwa hawakijui kitabu cha Mohamed Said wala kitabu cha TANU, lakini kupitia ulimwengu wa dotikomu leo wanasomeshwa watu zaidi ya 200000 ndani ya miezi sita tu!
Hivyo sioni umuhimu wa kitabu kwa leo hii, lakini nimechukua fursa ya kulala jf, kukesha jf, kushinda jf ili kuwazidua walipotea kama wewe!
Juu ya kumuona Mama yetu mpendwa Mama Maria Nyerere kwalengo lakupata "ushahidi" wa ayasemayo Mohamed Said, sioni sababu,
Kwakuwa haya niliyonayo yanatosha kumbomoa kabisa kama ilivyo sasa uchochezi wake upo wazi kwa Watanzania zaidi ya 200000
Nakueleza tena wewe na Mohamed Said, kuwa mimi naijua vema historia ya Uhuru wa nchi hii na nina HAZINA kubwa ya vielelezo vya uhuru wa Tanzania huenda kuliko kijana yeyote wa kizazi hiki cha dotikomu!
Ndiomana nazungumza kwa starehe kabisa kuwa Mohamed Said ni MUONGO tu, MZUSHI na laghai wa kijahidina anataka kulifarakanisha taifa kwa maslahi yake!
Tumeamua sasa kumdhibiti, tumeanza kwa maandishi ya hoja kisha tutaingia kwa vitendo hatua kwa hatua mpaka uzandiki wake ukome kabisa na awe mtu mwema kabisa kwa taifa hili takatifu!
Wickama,
Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.
Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!
Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!
Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?
Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?
Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.
-Watu wanaongelea vitu wajuavyo....huwa wanaweza switch millions of time ktk nyanja nyingine na kurudi ili kuweza weka mifano hai, kukumbushana na mengine.....ni wewe tuu ukiwa na shida na uelewa mdogo ndio utapata shida na kuleta shida.Wickama,
Kwanza utambue hayo masuali kutojibiwa hilo tatizo/utata uko pande zoote.
Naona mjadala unatoka kwenye uchochezi,ugaidi na uhaini...mnauhamishia kwenye kusikiliza hotuba na hisia za mtu mmoja,malalamiko yake na chuki kwa Waislamu, huku akitetea Vatican kwa nguvu nyingi mno bila ya hiyo hoja /point kuwepo mpaka mwishowe kumshambulia Bakhressa!?ahaha!!
Huwezi amini...ila kasome historia uone mjini kati dara kabla ya uhuru palikuwa na nani?Hadi wamissionary walikosa pa kuishi zaidi ya kukimbilia Pugu.Sasa kaangalie dilute.Na hii ni phenomenon ya miji yote nchini.Baada ya kesi zenu za mirathi...kati ya wajukuu kwa wajukuu,wajukuu na watoto,watoto wa kiume na mabinti, wajomba na mashangazi, msikiti na CCM ..mwishowe...huishia kuwa mali ya Kafir.Nicholas kwa kifupi namfananisha na wale Gypsy mind readers...si unaona alivyoleta ile wishful thinking yake/"analysis";ati Waislamu baada ya Kikwete kumaliza muda wake watapata taabu saana na wataishia kuuza majumba hovyo na utumbo mwingineo mwingi mno....halafu Wickama ndugu yangu wewe ndo unaita hiyo ni "Swaga"!?ahaha!!
Tukirudi kwenye mada/"shutuma";sasa kwa mfano hayo masuali ya Zanzibar hata kama yakijibiwa na yeyote italeta maana/uzito upi,nakhis saana itazidisha haya malumbano na topics zitakua zinajirudia tu vilevile/vicious circle ileile!?...na hali hiyo tumeishuhudia ikitokea mara kadhaa hapa jamvini!?
Sababu nyinyi mnataka na kulazimisha lazim ajibu mwenyewe Scholar/Historian Sheikh Mohammed ili ile agenda yenu ya "uchochezi,uhaini na ugaidi" itimie!?
Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.