Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hassanalis,
Ndugu zetu wana maradhi ya kuamini tafiti za Wazungu.

Hata ukiwaambia nini wametia nta hawasikii la mwadhini
wala la mnadi sala.

Ikiwa mzungu kaandika facts na mwadhini kaandika hisia, unadhani tutaamini ya mwadhini huyo?
 
Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.

JAMANI NA HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.

HII SI HAKI WALA UADILIFU.
 
Pole kwa mafuriko na kupitwa na mambo..nadhani ndiyo yatakuwa yamekuponza urukie kila mtu kwa kutojua.Au pengine ndio kule kutoitendea dini yenu haki,kila kitu hamchukui muda fikir huwa maniingiza halafu ikipata majibu yanayoumiza mnaanza jificha kuwa dini imetukanwa na excuse nyingine ya vilema.

WELL HATA MIMI SINA RAHA KWA VILE SIWEZI TAJA ID YAKO,INGAWA UNANITAFUTA SANA.

Mpeni Mungu yaliyo ya mungu na kaisari yaliyo ya kaisari.Mtaenda hadi ktk uchawi na dini zenu.


Haha..chadema km una akili timamu utaipenda bure...
Ha ha haaa wewe mgalatia povu linakutoka mara chadema mara Zitto tulia kwenye issue moja usiwe kasuku :kev:
Kwenye huu mnakasha panahitaji utulivu usidandie gari ya mashindano kwa mbele halafu nakushauri punguza hii kitu
A%20S-smoking.gif
 
shukran kaka japo ushahidi wa kimazingira umeonekana kwenye kitabu ni nani mastermind wa mapinduzi ya znz
cc.Chamwenyewe

Kitabu kina hadithi za kufikirika, halafu mazingira ya kufikirika ktk kitabu yawe ndio ushahidi tena?

Mtakuwa mnapandishana mzuka ktk ulevi wa kudanganyana....duh collection ya watu km nyinyi inaweza tengeneza kataifa ka washirikina, kanachohusisha kila event na mkono wa mtu,kanachohusisha kila kitu na dini.
 
Hiyo logic yako imezidiwa na ya Fisi....Fisi angefuata logic yako angekufa njaa.Sishangai kwanini jamii yenu ni ya mwisho kabisa.

Siku zote nimekuwa nikikuambia una fujo bila chembe ya akili km wanyama waharibifu.Na wewe ukiingia misikitini wanakupa ulezi?kweli uwaleao na kuwafundisha unawapa ticket ya jehanam bila break.

Jee, unamjuwa Dossa Aziz?
 
Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.

JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.

HII SI HAKI WALA UADILIFU.
Tatizo sio kuwa ifutwe,

Sikubaliani kuwa utunzi wako ufutwe, ninachotaka ni mahuisho ya facts tu!

Tunashughulika hapa kwaajili ya kizazi kijacho sio kwaajili ya mimi na wewe!
 
Ha ha haaa wewe mgalatia povu linakutoka mara chadema mara Zitto tulia kwenye issue moja usiwe kasuku :kev:
Kwenye huu mnakasha panahitaji utulivu usidandie gari ya mashindano kwa mbele halafu nakushauri punguza hii kitu
A%20S-smoking.gif
Km wewe hutoweza switch millions time bila kutoka kwenye mstari..ndio maana hamjaweza mtazama huyu mzee vyema na ngano zake...

Kuna Hadithi za kutunga zinaweza husisha characters wa kweli,scene za kweli, ha hata matukio fulani ya kweli na bado zikabaki hadithi za kubuni...ndio maana huwa wanaweka anaglizo..kuwa inagwa wahusika wanaweza kuwa ni "Historical People..." na "Mazingira ni ya kweli" kazii inabaki kuwa hadithi ya kutunga.

Siku hizi hata ktk computer games, kuna characters wa kweli....na mechi za kweli ila matokeo na matukio si ya kweli...Mfano..NI FIFA SOCCER.
 
Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.

JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.

HII SI HAKI WALA UADILIFU.


Wana ule ugonjwa sugu unaoitwa D.I Yaani kwa kimombo "DEDICATED IGNORANCE" i.e COMMITTED TO BEING UNAWARE OR UNINFORMED ABOUT SOMETHING...

SIO VIBAYA WAO WAKAAMIN KILE WANACHOKIAMINI,NA NI VEMA SASA KAMA WAO WAMEONA KUNA UPOTOSHWAJI MWINGI KWENYE HISTORIA HII WANAYOISEMA NI UCHOCHEZ,BASI WAKA KAA KITAKO WAKAFANYA UTAFIT WAO KAMA WALIVYOFANYA WATU MITHILI YAKO NA DR HARITH GHASSAMY NA KUWAELEZA WATU UKWELI WANAOUFAHAM WAO KWA MASLAHI HATA YA VIZAZ VIJAVYO,KUKESHA TUH HAPA JF HAITAWASAIDIA,HATA KIDOGO...
NI KAMA VILE WANAPIGA KICHWA UKUTA TUH,WATAUMIA WENYEWE BURE,KITABU KINA MIAKA KADHAA KINASOMWA SASA DUNIAN,WAO WANAZID KUCHELEWA KUKAA HAPA JF NA KUKIPINGA NA KUKIKEJELI,SHIME WAANZE KUANDIKA NA KUITANGAZIA DUNIA KILE WANACHOKIFAHAM,IKIWA WAO NI MIONGONI MWA WALE WASEMAO UKWELI NA WANAOJIAMIN KWELI...
 
Iliyobaki sasa hivi ni...ni fujo na kuliwazana kwa watetezi wa "huu ushirikina".Wanahusisha vitu vy akubuni na Historia ya Kweli,wanahsirikisha vitu vingine kabisa na vitu visivyohusiana.

Ila kazi ilishakwisha.
 
Upande wa vijana wa kikristo sijui watakuwa wanakataa kulishwa nini,lakini kwa upande wa wale wa kiislamu tutakaowazaa ni wazi kuwa watakuwa hawataki kusikia uzushi kuwa Nyerere alikuwa akipigania umoja wa taifa la Tanzania na kwamba alikuwa akipinga udini.Vile vile baada ya kusoma historia halisi kutoka kwa akina Mohammed Saidi hawatakuwa na sababu ya kuamini eti mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni kwa ajili ya ukombozi wa Zanzibar.
Ami, ni lini utaachana na hizi fikra zako zilizochakaa kama mzee wako muongo Mohamed Said? ungekuwa na akili timamu ungezungumzia vijana wakitanzania walioungana pamoja bila kujali imani zao za dini kujiletea maendeleo ya kielimu na kiuchumi kwa kuukabili ujinga, maradhi na umasikini.
 
Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.

JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.

HII SI HAKI WALA UADILIFU.
Haya sio maneno ya kuandikwa na mtu anayejinadi kama ni 'scholar' kama wewe.
 
Mkuu gombesugu, sijui utapata lini muda ili uthibitishe tuhuma nzito ambazo umekuwa ukinimwagia mimi binafsi kwamba nimekuwa na ukashifu uislam hapa jamvini!
Shukrani.

Gwalihenzi,

Nashukuru na nakufahamu,nifanzie stahamala kiduchu. Si unajua hata mimi pia nafanza sabra ya kupata majibu yangu toka kwa Wanajamvi wengine!?

Takurejea hivi karibuni.

Ahsanta.
 
Ndugu yangu gombesugu,

Huyo jamaa wa Chadema sidhani kama kichwa chake kizima, ha haa haaa, hebu pita bayana zake walaahi utakufa kwa kuchaka, haya twende sasa hapa chini.

Hapa tena walahai burudani.

Hapa tena ha haa haaa

Hapa tena, ahahh hahaa.

Hapa tena ha ah haa haa.

Hapa tena, ha haa haa haa.

Hapa tena ha haa haa haaa.

Hapa tena ha haah haaa.

ha haaa haaa haa. JF kuna vituko.


Shariff Ritz,

Wallahi,nimecheka kuona bayana za huyu jamaa yako wa Ngaramtoni!ahaha!!

Unajua kwasasa nimepata picha khalis.

Nimecheka hiyo story yake ya huyo Komba!ahah!!

Lakini in a serious note,huyu jamaa ni disaffected/disgruntled majority ambayo ni reflection of cross section in our society.

Si unaona khadith zake anasema alipokua Shule,yakuwa alikua akibaguliwa kutokana na social status yake mbovu maskini,na ilikua taabu kwake hata kupata Gfs wa maana... Poor Nicholas!

Sasa kuna khatar ya watu wa aina hii ku-commit suicide maskini pale Chadema watakaposhindwa kuingia madarakani hiyo 2015 kama wanavyotaraji!?ahaha!!

Tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Gombesugu; Nilipoonya mapema kuwa tuji-confine kwenye masuala ya hii thread ni kwa sababu kulikuwa na alama za watu kuwa-harass wengine kama mifugo kuwaingiza kwenye makundi ya kulinda au kutii dini badala ya kuchangia mada za siasa. Nilijua itafika wakati atakuja mtu au watu watarudisha matusi waliyopewa kwa muda mrefu na watukanaji.

Kwa sasa, hii ni mpaka hii ghadhabu ipowe. Hasira zipowe na watu wachangie. Maana naona hata watoa "AYA" wanagwaya. Hiki ndicho nilchokuwa najitahidi kiepukwe.

Tulio wengi tunasahau hakuna mahali M\Mungu kaahidi kuwafanya watu WOTE kuwa na dini moja. Kwa hiyo ukilianzisha kutukana/kubeza imani ya wenzako you are just wasting time. Sana sana unachochea ya kwako kutukanwa pia.

I hope umenielewa, siwezi eleza zaidi ya hapa.


Wickama,

Mbona hujiamini ndugu yangu,huna haja ya kujibu post mara mbili. Lile jibu lako la awali japo ni duchu lakini nilikufahamu uzuri tu.

Hizo stories zoote unazoniambia,mimi tayari nilishazungumzia kwenye wiki yangu ya mwanzo tu tangia najiunga hapa Jf...nilikhis vingi mapema mno!

Hizo khabar za Wanajamvi waliokua wana-quote Ayat...kumbuka wewe binafsi na Mwanakijiji ni wamojawapo. Sasa unaposema "wanagwaya" nashindwa kukufahamu,nawe pia yatakiwa uwemo kwenye mkumbo huo!?

Nafikiri tuachie kwa hapa.

Ahsanta sana.
 
Back
Top Bottom