Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #16,801
Hassanalis,
Ndugu zetu wana maradhi ya kuamini tafiti za Wazungu.
Hata ukiwaambia nini wametia nta hawasikii la mwadhini
wala la mnadi sala.
Ha ha haaa wewe mgalatia povu linakutoka mara chadema mara Zitto tulia kwenye issue moja usiwe kasuku :kev:Pole kwa mafuriko na kupitwa na mambo..nadhani ndiyo yatakuwa yamekuponza urukie kila mtu kwa kutojua.Au pengine ndio kule kutoitendea dini yenu haki,kila kitu hamchukui muda fikir huwa maniingiza halafu ikipata majibu yanayoumiza mnaanza jificha kuwa dini imetukanwa na excuse nyingine ya vilema.
WELL HATA MIMI SINA RAHA KWA VILE SIWEZI TAJA ID YAKO,INGAWA UNANITAFUTA SANA.
Mpeni Mungu yaliyo ya mungu na kaisari yaliyo ya kaisari.Mtaenda hadi ktk uchawi na dini zenu.
Haha..chadema km una akili timamu utaipenda bure...
shukran kaka japo ushahidi wa kimazingira umeonekana kwenye kitabu ni nani mastermind wa mapinduzi ya znz
cc.Chamwenyewe
Hiyo logic yako imezidiwa na ya Fisi....Fisi angefuata logic yako angekufa njaa.Sishangai kwanini jamii yenu ni ya mwisho kabisa.
Siku zote nimekuwa nikikuambia una fujo bila chembe ya akili km wanyama waharibifu.Na wewe ukiingia misikitini wanakupa ulezi?kweli uwaleao na kuwafundisha unawapa ticket ya jehanam bila break.
Tatizo sio kuwa ifutwe,Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.
JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.
HII SI HAKI WALA UADILIFU.
Km wewe hutoweza switch millions time bila kutoka kwenye mstari..ndio maana hamjaweza mtazama huyu mzee vyema na ngano zake...Ha ha haaa wewe mgalatia povu linakutoka mara chadema mara Zitto tulia kwenye issue moja usiwe kasuku :kev:
Kwenye huu mnakasha panahitaji utulivu usidandie gari ya mashindano kwa mbele halafu nakushauri punguza hii kitu
Jee, unamjuwa Dossa Aziz?
Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.
JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.
HII SI HAKI WALA UADILIFU.
Ikiwa mzungu kaandika facts na mwadhini kaandika hisia, unadhani tutaamini ya mwadhini huyo?
A.K.A MTOTO WA JULIUS KAMBARAGE NYERERE...!
WHAT A SHAME...!
:laugh:
Hauna jipya???
Ami, ni lini utaachana na hizi fikra zako zilizochakaa kama mzee wako muongo Mohamed Said? ungekuwa na akili timamu ungezungumzia vijana wakitanzania walioungana pamoja bila kujali imani zao za dini kujiletea maendeleo ya kielimu na kiuchumi kwa kuukabili ujinga, maradhi na umasikini.Upande wa vijana wa kikristo sijui watakuwa wanakataa kulishwa nini,lakini kwa upande wa wale wa kiislamu tutakaowazaa ni wazi kuwa watakuwa hawataki kusikia uzushi kuwa Nyerere alikuwa akipigania umoja wa taifa la Tanzania na kwamba alikuwa akipinga udini.Vile vile baada ya kusoma historia halisi kutoka kwa akina Mohammed Saidi hawatakuwa na sababu ya kuamini eti mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni kwa ajili ya ukombozi wa Zanzibar.
Haya sio maneno ya kuandikwa na mtu anayejinadi kama ni 'scholar' kama wewe.Wanajamvi,
Kinachonishangaza ni kuwa hata pale ninapowaambia kuwa
hiyo historia yenu nayo ni historia na mna haki ya kuiamini
bado hawaridhiki wanataka hii yetu ifutwe na ndiyo hivi sasa
bado tunavutana.
JAMANI NI HIYO YENU NI HISTORIA MNA HAKI YA KUIAMINI.
MSISHIKILIE KUWA SIE TUFUTE YETU ILI YENU IPATE NGUVU
YA KUSIMAMA.
HII SI HAKI WALA UADILIFU.
Mkuu gombesugu, sijui utapata lini muda ili uthibitishe tuhuma nzito ambazo umekuwa ukinimwagia mimi binafsi kwamba nimekuwa na ukashifu uislam hapa jamvini!
Shukrani.
Ndugu yangu gombesugu,
Huyo jamaa wa Chadema sidhani kama kichwa chake kizima, ha haa haaa, hebu pita bayana zake walaahi utakufa kwa kuchaka, haya twende sasa hapa chini.
Hapa tena walahai burudani.
Hapa tena ha haa haaa
Hapa tena, ahahh hahaa.
Hapa tena ha ah haa haa.
Hapa tena, ha haa haa haa.
Hapa tena ha haa haa haaa.
Hapa tena ha haah haaa.
ha haaa haaa haa. JF kuna vituko.
Gombesugu; Nilipoonya mapema kuwa tuji-confine kwenye masuala ya hii thread ni kwa sababu kulikuwa na alama za watu kuwa-harass wengine kama mifugo kuwaingiza kwenye makundi ya kulinda au kutii dini badala ya kuchangia mada za siasa. Nilijua itafika wakati atakuja mtu au watu watarudisha matusi waliyopewa kwa muda mrefu na watukanaji.
Kwa sasa, hii ni mpaka hii ghadhabu ipowe. Hasira zipowe na watu wachangie. Maana naona hata watoa "AYA" wanagwaya. Hiki ndicho nilchokuwa najitahidi kiepukwe.
Tulio wengi tunasahau hakuna mahali M\Mungu kaahidi kuwafanya watu WOTE kuwa na dini moja. Kwa hiyo ukilianzisha kutukana/kubeza imani ya wenzako you are just wasting time. Sana sana unachochea ya kwako kutukanwa pia.
I hope umenielewa, siwezi eleza zaidi ya hapa.