Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

ha haa haaa!! Walahi huwa nasikia burudani kusoma pumba zako, sasa Manji kaingiaje kwenye huu mnakasha.
Manji si mwenzenu ndio kanunua kiwanja kihalali- Ponda anapiga kelele eti mfumo kristo umefanya njama kiwanja auziwe muislam Manji
 
Baby son napenda nywele zako Mashalaalah, katukana wapi? Hiyo tafsida katika lugha baraga, kama wewe unaona tusi basi ripoti kwa Mods sawa baby.
YULE SHEIKH aliyekutwa na kijana mdogo guest house Arusha,alikuwa anapenda lugha kama hiyo uliyotumia NA Ali mwinyi tambwe ndio zake vilevile
 
YULE SHEIKH aliyekutwa na kijana mdogo guest house Arusha,alikuwa anapenda lugha kama hiyo uliyotumia NA Ali mwinyi tambwe ndio zake vilevile

Mtoto mzuri Alaska,

Who praises rain has been rained on...ha haa ha vipi mziki wake.
 
Spike Lee,
Dome Okochi Budohi kadi yake ya TANU na. 5.

Huyu alikuwa Mluya kutoka Kenya.
Sasa jiulize vipi Ally Sykes amuandikie kadi ile?

Huyu alikuwa kiungo kati ya akina Kenyatta na
Abdu Sykes 1950.

Budohi alikamatwa 1955 na kurudishwa Kenya kama
Mau Mau na akafungwa Lamu.

History hii unamuuliza huyo ataijuaje?

Spike nitayarishie juice atalipa Shariff Ritz In Sha Allah
nitakuwekea mziki mzima wa Budohi.

Nimepiganae picha ipo kwenye kitabu nyumbani kwake
Ruiru Nairobi na hilo tweed coat nilovaa kaninunulia yeye.

Ilikuwa 1972.
Nilifyonza mengi kutoka kwake.
 
wickama,
mie kizungu changu cha kubabia niandikie kiswahili.

saudia wangekunyonga kwa kuwatukana hata kwa lugha ya kishairi.

hilo unalijua. Hapa tz papende na ishi kwa usalama sidhani simango na dharau unayowapiga nayo asp inalingana na uungwana wanaokuwachia ukaenda kule ukarudi bila kubughudhiwa. Wao wametulia wewe bize na kwenye mitandao ukiweka kuwaonyesha kama vile ni wasaliti au wahaini (kijanja).

Awali ulishashindwa kujibu kama asp walilazizimishwa msaada wa kipumbwi na ushauri wangu ni kuwa hakuna priviledged information ya kuweka kwenye internet juu ya mada hiyo kijanja. Wewe unadhani unam-target nyerere.

Mwenzio ni marehemu, hata uandike encylopaedia haitamrudisha kukujibu wala kukusuuza roho yako. Strangely umesha sahau kuwa unatukana afro-shiraz party waliomwomba nyerere msaada.

Hii mada wewe ndio uliikimbia sasa unataka eti urudi nayo kijanja nikubali uishushe kwa kinywa bila reference? Mi ni scholar mzee ms, you are too assuming. Kama huweki reference achana nayo au ukiisimulia usini ccsina muda na shop talks.

Heed my advice, let asp and zenj alone, hawakukukomboa nchi unayoishi wewe. Kama unamachungu sana na uhai wa binadamu you can also write another story ya askari walivyowauwa tamil tigers in cold blood.
 
Halfu wakampa kadi ya TANU?
 

Hivi wewe una hata ka paper kamoja huko?

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Vipi, ule mkanda uliotuahidi, bado tu haujaupata?
 
mh h..wonderful .....Sykes' Papers......,unpublished.. Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.....etc..............sound like the most bogus reference on the earths Surface. Sasa kuna eveidence gani hapa hadi ushangilie na kusisimka namna hiyo..?ndio naanza pata picture kwanini unaamini na kuandika itu vya hovyo namna hii.Hii ni aibu sana kwa Tanzania..wakati wengine wanapata nobels na awards nyingine.Wataweka huu uchafu km the best out of Africa ili kuhalalisha ushindi wao. Ni waandishi km nyie mmepeosha sana Africa kiasi cha wengine kusema wazi kabisa kuwa Africa haina culture...mmejaza vitu vya watu mkiamini watu kuvinunua na kuhifadhi wamewakubali.Kumbe wanaangalia nini tunaamini,na nini tunaandika tukiwa wenyewe.Mauzngumzo haya yamenionyesha nini mnaongea kiwa ktk faragha na akina Ponda, nini mnaongea mkiwa na wazee ambao walipaswa tukukuta kwa jinsi walivyo na staha kuliko historia wanazolilia.Wewe na hao akina Sykes(km walikuwa na sura mbili,za public na za faragha km Lipumba) ni anguka la waislam wa Tanzania.
 
Kaka mbona kina Mag3 wanaleta humu hotuba za Okello, haujasema kazichomua wapi teh teh teh, kaleta orodha ya mawaziri kawawekea dini tofauti haujasema kaichomoa wapi teh teh teh.

Spike Mag3 huwa akiombwa source HAJIBU KAMA MZEE ALIVYOJIBU, UNAWEZA KUTOA MIFANO ALIYOGOMA KUTOA SOURCE KAMA UNAYO
 
Naona unakimbia kujibu swali kwani unajua ungewatukana na kuwaharamisha,huku ukijua kuwa unapenda hifadhi mapenzi yao....unafiki mbaya kweli,hadi unakubalia kuwa walimwomba....
 

1968 serikali inashutumiwa kushiriki katika uanzishwaji wa BAKWATA na hivyo chombo hicho pamoja na kuongozwa na Waislaam, wachochezi wanadai si cha Waislaam lakini 2013 serikali ikiwateua Makadhi wa mahakama ya Kadhi Visiwani, wachochezi wale wale kimyaa!

I am just thinking out loud...hivi ingekuwaje kama Raisi wa Tanzania wakati huo angekuwa Muislaam, je wachochezi wangelalamika! Mwaka 1961 namuona shujaa wa harakati za uhuru Abdulwahid Sykes anaapishwa kuwa Raisi wa kwanza wa Tanganyika huru, wazee wa Gerezani mpo?

Oops! nilikuwa naota tu...kumbe huu ni mwaka wa hamsini toka tupate uhuru! Mbona uchochezi uko pale pale hali watoto waliorithi chuki na fitina za wazee wao sasa wamekua. Kwamba sasa uongozi wameukamata si hoja, malamishi bado yako pale pale, ni bahati ilioje Mwalimu hayupo!

Kwa kweli tatizo nadhani si dini, dini inatumiwa tu kama kibwagizo...tatizo ni watu wenye donge rohoni wakiteka hisia za wale wenye uelewa finyu. Yaani mwananchi na matatizo yote, unakubali kutumiwa na mtu anayefisadi matunda ya ngano zake, wewe huyoo ukikesha kwa mihogo ya kuchemsha!

Kweli duniani ujanja kupata...hujafa hujaumbika! Naambiwa hata hilo Baraza la Mapinduzi si halali kwani lilitokana na mapinduzi haramu. Kwamba Mohamed Said anapofika Unguja asiye na mwana hueleka jiwe! Watu hujazana na kupigana vikumbo kuwahi maudhui ya kuwalaani walompindua Sultani tarehe 12 Januari 1964.
 
Last edited by a moderator:
Yericko, Bora nikakuoga. Si unajua sisi huwa tuna kazi nyingine na maji achilia mbali kuoga. Sidhani kama utafurahi kama wewe ukiwa maji nitakufanya hivyo.
Historia ya matusi haijaanza kwako..hata wazee wako wameayatumia sana..ndio maana hata wazenj kila kitu wanakiona kinafanana na matusi,nyeti...wamefikia hadi kuona nyuso za dada,mama na wake zao ni uchi/nyeti..islamic books zimeonyesha matusi kutumika sana hata na watu wasliopaswa kuyaogopa hata kuyasikia.Ni sehemu ya burudani ktk maisha ya waarabu na vibaraka wao . Jamii zilizofilisika hivi kifikra haziwezi kuwa na watu waliokua kiakili.wote ni watoto tofauti ikiwa number ktk age..na yupi anaweza act mbele ya wastaarabu. At least now your ares howing your true ..person you are. Mbona uisuliza maji pia utawadhia......?
 
Son of Alaska, Ulinidhania ninapomchekea Yericko sijiwezi? Si kataka mwenyewe akogwe? Sasa unategemea nini kama nitamkoga? Nanawa uso basi?!
oh....kweli JF kuna raha.....kuna logic za duniani nyingine..Logic hizi ukimpa hata fisi anaweza kufa njaa.Masikini wewe...kumbe wanafany ahaya kwa kutojua wafanyalo... Akikuambia mwenyewe akogwe unamkogwa?Akikuambia umtue kuchamba?Akikuambia umuue?.....akikuambia umloge...?
 
Hawajajaliwa kujua kuwa consistency,reliable na responsiple people..ndio maana watafight for peace huku wanaua kuliko wanaozuia, watapigania kitu kwa nguvu nyingine halafu baadaye wanakuja gundua kuwa wanatakiwa wageuke tena na kuendelea kupigana tena kurudi. NILIWAHI KUULIZA HUMU ITAWEZEKANAJE MAHAKAMA YA KADHI KUWEKWA KIKATIBA BILA KUINGIA KTK SHUTUMA KM ZILIZOIKUTA BAKWATA..kama kawaid ayao wakakurupuka watu walele na matusi kibao.Sasa tazama rais ndie anateua makadhi...na itafikia mahalia makafir watawachagualia kadhi wao. Cheza na majinn...hawawapi amani wala uelewa kwani damu lazima iwe inamwagika vya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Son of Alaska, Ulinidhania ninapomchekea Yericko sijiwezi? Si kataka mwenyewe akogwe? Sasa unategemea nini kama nitamkoga? Nanawa uso basi?!
oh....kweli JF kuna raha.....kuna logic za duniani nyingine..Logic hizi ukimpa hata fisi anaweza kufa njaa.Masikini wewe...kumbe wanafany ahaya kwa kutojua wafanyalo... Akikuambia mwenyewe akogwe unamkogwa?Akikuambia umtue kuchamba?Akikuambia umuue?.....akikuambia umloge...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…