Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
leo ndio nimefungua hii thread!nahisi wachangiaji wanaojibizana hapa siwazima upstairs!ukishajua historia itakupeleka wapi?nahisi wengi wenu mmekuwa watumwa wa wanasiasa bila kujijua!fanyeni mambo yenu ya msingi na maendeleo sio porojo ambazo hazitatufikisha popote!
nawasilisha
c.c zomba Mohamedsaid Ritz Nguruvi3 @yerickonyerere
ok nimekuelewa sasa mkuu!Obama,
Kila mtu ana fikra zake.
Kwangu mimi historia ya wazee wangu katika
kupigania uhuru wa Tanganyika ni kitu cha
msingi.
leo ndio nimefungua hii thread!nahisi wachangiaji wanaojibizana hapa siwazima upstairs!ukishajua historia itakupeleka wapi?nahisi wengi wenu mmekuwa watumwa wa wanasiasa bila kujijua!fanyeni mambo yenu ya msingi na maendeleo sio porojo ambazo hazitatufikisha popote!
nawasilisha
c.c zomba Mohamedsaid Ritz Nguruvi3 @yerickonyerere
sawa bwana mkuu!nashukuru kwa maelezo yakoWewe kauzu kweli ungekuwa na akili wala usingetumia jina la Obama, unataka tufanya maendeleo gani? Wewe umefanya nini cha maana, hauwezi kuwapangia watu wazima vitu vya kuandika, unadhani mzazi wako akijua unajiita Obama wa bongo atajisikiaje? Si utamdhalilisha.
sawa bwana mkuu!nashukuru kwa maelezo yako
Nicholas,
Wewe ni mchanga wa Chadema tupe habari za mgogoro wa ardhi ya Wameru, kina Japhet Kirilo, Earle Seaton, punga nalo limejitokeza ha haa ha.
CC: gombesugu,
Hizi ni kauri za wazee wachawi!
Sijui ni kwanini watu hawasomi na kuelewa point ya mtu.
Nadhani ni kwasababu wanaongozwa na hasira na jazba.
Niliposema Mohamed Said amejinukuu nina maana kuwa yeye anasema kuna source.
Mimi nasema hakuna source ya info zake isipokuwa source ni yeye kujinukuu na anadanganya kuwa kuna anonymous source. Angesena source ni yeye kusingekuwa na tatizo, tatizo ni kujikweza na kukweza jambo kama kawaida yake
Sasa hapa simwombi alete source ninachotaka ni kumdhihirishia kuwa yeye anadanganya jamvi kwa kusema zile taarifa za Zanzibar kuna mahali amezitoa na hapo ndipo hoja ilipo. Aliogopa kujinukuu akasingizia kuna source.
Ukinisoma nimesema hatuhitaji ataje jina, paper, kitabu, source au chochote bali atupe muda kazi hiyo ilipofanyika kwa range (1950-1970) basi
Hoja hapa si yeye aweke nukuu, hoja ni kuwa amejinukuu! hilo pia si tatizo, tatizo ni pale anapotaka kulifanya jamvi liamini kuwa hizo ni habari nyeti sana kutoka karika source maalumu huku tukijua kuwa ni yeye binafsi.
Muongo mkubwa huyu mzee na sijui urongo unamsadiia nini.
Naomba mnielewe hoja si yeye kuleta source, hoja ni kuwa anajifanya ana vyanzo muhimu sana ili kufunga akili zatu waamini kile anachokisema wakati tunafahamu kuwa ni maneno yake ametunga halafu anasema yametoka katika source.
Lengo ni kuonyesha kuwa haaminiki, hana credibility na hiyo ni tip of ice...
Narudia tena habari ya znz aliyonukuu ni yake personal hana source, I can prove it kwa maandishi na hoja zake.
Hahahaa unakikimbia kivuli chako mwenyewe?
Ngoja nilale bwana Mohamed Said,
Mida hii ni yakuihudumia ndoa yangu kwa bidii zote,
Shemeji yako anaanza kuninunia hapa, anataki haki yake, nami sina hiyana, nampa kile akitakacho na ambacho ni haki yetu ya ndoa!
Naamu nitarudi mita ya baadae sana mkuu!
Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3,
Salaam sana ndugu zangu. Tafadhalini pokeani hii bayana yangu kiduchu yenye hishma na taadhima ilo kuu kwenu.
Kwanini au kitu kipi kinachokufanzeni nyinyi muone yakuwa mtu yeyote kuomba source/s ya informations zenu binafsi au kutoka kwa Yericko,ni kutokana na mtu huyo kuwa na jazba au hamaki fulani!?
Inakuwaje leo hamjiulizi yakuwa Yericko,yuko hapa takriban nusu mwaka tena huku akijinasibu yakuwa ana "khabar nyingi na ndefu mno" za Historia ya Tanzania lakini bila ya kuthubutu hata siku moja kutaja "source/s zake"!?ahaha!!
Lakini cha kustaajabisha zaidi ni yakuwa, katakata hatoi/hataki na "source/s zake" wala hapendi kuulizwa hilo suali...na cha kuhuzunisha zaidi ni ile support mnayompa and all of you just keep follow him blindly and religiously!?ahaha!!
Hivi ndugu zangu,kutokana na usomi wenu wa hali ya juu mlionao na exeperience na exposure zoote za kitaaluma mlizonazo,hamuoni yakuwa mtu kuomba source/s ya information au datas ni legitimate question kwenye field yoyote ile muhimu duniani!?
Mimi binafsi,nimeanza kuomba sources za khabar mletazo hapa jamvini nyinyi wawili kitambo, tena kwa ustaarabu bila ya hamaki au jazba yeyote,na mpaka leo bado nasubiria Insha Allah maana najua kwa ustaarabu wenu kamwe hamjanisahau ndugu yenu!?
Kwa hiyo si kweli ya kwamba ati tunafanza/ninafanza hivyo ili kulipiza kisasi kisa yakuwa nanyi mnaulizia baadhi ya sources toka kwa Sheikh Mohammed.
Jingine Muheshimiwa Ngururvi3;usitumie nguvu zako nyingi mno kila wakti kuonyesha ati sisi hatukufahamu point/s zako au ni wazembe wa kufahamu jambo na mengineyo mengi, hasha ndugu yangu.
Mimi binafsi nilishakuambia mara kadhaa hapa jamvini yakuwa nakusikiza na kukufuatilia bayana zako tena kiuadilifu,bila ya kujali yakuwa mara nyingi tunajikuta/tunakuwa kwenye mitazamo tafauti!?
Yawezekana ni kweli hatujawahi kwenda Shule,hatujui kusoma wala kuandika,lakini pia tuna "Tartib Al Adab" zetu zinazotuwezesha na kutusaidia kufahamu majambo mengi mno kwa kina kuliko vile wengi wenu mnavyokhis.
Yeyote kati yenu au atokaye kwenye wafuasi wenu,ni wajibu wake kitaaluma na pia ni haki kama Mwanajamvi kuomba source/s ya aina yeyote toka kwa Sheikh Mohammed...
lakini pia ikumbukwe yakuwa uamuzi wa mwisho ni wa huyo aombwae-Sheikh Mohammed na maelekezo atoayo!?
Tukumbuke huyu mtu ni Scholar/Historian mkubwa mno na pia ni maarufu kwa kiasi chake...kwa hiyo pia ni wajibu wake kufuata kanuni na ethics za field yake,mojawapo ni kuhifadhi source/s of information zake when deemed necessary!?
Nimefurahi kuzungumza nanyi kwa pamoja ndugu zangu. Niwieni radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsantani sana.
Cc;Ritz
Childish,ulimbuken n stupidity...!
Mambo yako ya haki za ndoa na mkeo nani anataka kufaham??
Tunataka utuoneshe ulipo uchochez tena kwa vyanzo mbali mbali vya taarifa zako,mkeo mkeo na haki zake za ndoa,??
Nani hana mke na familia hapa??
You must be so so Stupidy,Dumb & Dull Boy...
The Big Show,
Salaam Al Akhiy.
Yaani hawa jamaa ni watu ajab pita kiasi...na Allahmdulillahi nashukuru mno hapa jamvini nimejifunza mengi mno toka kwao.
Hivi jaribu ku-imagine huo utumbo na upuuzi wa huyo Yericko hapo juu angelisema yeyote kati yetu sisi ingelikua vipi zile kashfa,kebehi,tashtit na yale matusi yao!?...lakini jambo limefanzika na Kasisi wao woote wamenyamaa kama kondoo walopigwa radi!ahaha!!
Kumbuka kiwavi huyohuyo,khalaf ati huwa anarejea tena hapa jamvini kuwakanya watu wenye shughuli zao yakuwa wawe wastaarabu na pia wajihadhari wasende nje ya mada!?ahaha!!...afana'alek!!
Haina neno tuendelee na mnakasha.
Ahsanta.
Cc;Ritz
gombesugu,
Shariff Ritz,
Hapo umempa mpini mzito mno...akijibu italazim pia atunyambulie ule u-selfish wa wale ndugu zetu wa kaskazini na ule "mgogoro wao" wa ardhi kule Meru,nafikiri walishindwa siku zile kufahamu yakuwa Tanganyika ni zaidi ya kanda ya kaskazini?
Pia italazim atunyambulie au sisi tumnyambulie kwa kina ule ukibaraka mchwara wa yule Chief wao Marealle na kule kujipendekeza kwake kwa Waingereza kwa maslahi yake binafsi huku akisahau maslahi ya Taifa au Tanganyika yoote kwa ujumla!?
Halafu nimesoma post fulani humu yakuwa Yericko anadai na kuona fahari yakuwa huyu Mzee Marealle ndie aliekua pia akimnunulia suits na "mavazi mengine" Nyerere!?
Hapa ndipo u-selfish wa kina Nguruvi3&Co unapoonekana dhwahir...yaani Sheikh Mohammed anapotaja madikodiko ya Mshume Kiyate kwa Nyerere inakua ni "criminal offence",lakini Yericko akitaja Marealle alikua akimvalisha Nyerere wao woote wanashangilia!?
Sasa hivi nipo hapa kiduchu, nasubiria wana kanda ya kaskazini huku wakishirikiana na wafuasi wa Chadema waanze viburudisho vyao jukwaani kwa kunishambulia kwa matusi!?ahahaah!!
Haina neno tuendelee na mnakasha.
Ahsanta.
Ni wafia dini tuh,wasikupe shida yyte,
Mimi nataka kumuuliza Nguruvi3,
Yeye anataka source zipi??kwani ni vibaya Moh Said akijinukuu yeye mwenyewe??
Vipi NGURUVI3 haoni literature survey/reviews kila kwenye maandiko ya Moh Said??
Je,amejaribu kupitia pitia hizo surveys akajiridhisha??
Source anazozitaka yeye ni zipi??
Jasho linamtoka hali halali,kutwa anashinda hapa kudai source source,tumuulize amezipitia hizo reviews??
Nguruvi3 usilete upumbavu wako hapa,kama unadhani yupo anaekuhofia na kukutilia maanani basi ni kwa hao hao jamaa zako wasiojua mishen yenu hapa jukwaani,
Haitoshi Mag3 kwa ule ule ulimbuken wenu,kaja hapa na takwimu zake za ajabu hadi kufikia kuweka majina ya viongoz na kuwapachika dini ambazo si zao kwa makusudi kabisa ili kupigana crusade war yake kisawasawa,kaweka data za uongo,hajamuuliza source wala hamjamtaka aombe radhi kwa ule uongo wake,kama sio double standard ni nin??
Wanadhani wanaweza kuja hapa kupata umaarufu wa bure bure bila kuwa na maarifa kichwani??
Makanjanja wakubwa hao...