Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Acha wehu wewe...Usijifany hunielewi?uliandaka hiki

Nikakuuliza hiki


Sasa unaleta mambo ya kihuni hapa.Acha utoto mzee mzima..sasa unachojibu ni kwamba laihudhuria mkutano?



Acha upumbavu wako wewe,
Huna credibility ya kumuita Moh Said mwehu au muhuni,upumbavu upumbavu wako peleka kwa wapumbavu wenzako...
Ujifunze adabu na heshima,hili sio jukwaa la kutafuta mabwana,
Kama una nia hiyo nenda MMU kule,must be so so craizy...
 


Hata kwa zile pumba zako za ugaidi pia nako ni kujifunza pia,

Kujifunza kupo kwa namna nyingi tuh,unaweza hata kujifunza kuusoma ujinga na upumbavu ambao watu wanao katika makutano ya watu kama humu,

Hivi unadhan watu wana nini la kujifunza kutoka kwako??

Kuikimbilia nasaba isiyo kuhusu au tambo zako za kutekeleza haki za ndoa kwa mkeo kama unavyojinadi??

Unatia huruma sana
 

Naomba unitahadharishe km una ulemavu wa akili ili nisikudharau wakati ndipo jitihada zako zilipofikia.Wazungu long time walitenganisha mambo yao.....Wajerumani walikuwepo wamissionary na mapepari....ila wamissionary walidai haki ya ulinzi kwa serikali yao kwa vile walipa kodi na wanastahili.Tanzania ikiwa chini ya ujerumani serikali ya ujerumani iliwajibika kuwalinda kw avile walikuwepo ktk german terrirotory.


Waarabu hawakuteganisha na hivyo walipigana kama waislam na makoloni wauzajina wamikili wa utumwa.Kwa hiyo waarabu walikuwa na shida na makundi yote ya wajerumani..

Nadhani nimekufungua macho.....
 

Nicholas,
Hii mada nilisahau kuiorodhesha:

1. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
 
pamoja na suala uliloulizwa na Ritz,

lakin mimi napenda kukuuliza kuwa JE KITABU CHA HISTORIA YA TZ KINATUMIWA NA UNIVERSITY GANI KAMA REJEA? AU KIMEWAHI KUFANYIWA REVIEW KATIKA UNIVERSITY GANU DUNIYANI?


Katika tafakuri yangu kuu nimesema wazi kuwa ni kweli "Historia ya Uhuru wa Tanganyika inamapungu" na inahitaji Mahuisho, lakini hiki alichofanya Mohamed Said sio Mahuisho bali ni Uchochezi, Ufitini, Uzandiki na Uhaini kwa Taifa letu"

Hapa ninamaana kuwa hata kitabu cha TANU cha Kivukoni kinamapungu, lakini cha Mohamed kimeongeza mapungufu zaidi, badala ya kurekebisha historia sasa Mohamed Said amebomoa zaidi, na kibaya zaidi amepandikiza chuki ya kidini ambayo ndiyo turufu ya kitabu chake!

Katika nchi zetu za kiafrika ukitaka kumuondolea binadamu ufahamu wake basi katika chochote umpacho tia neno la kiroho tu utampata kama ngamia wa kisomo!


Huenda lengo la Mohamed Said halikuwa kuudhi jamii, lakini hulka yake ya kiimani imemtia matatani, na mpaka dakika hii haoni kama ni mkosaji!

Mimi rastafarian nisiyeamini ukristu wala uislamu ninaona kosa lililo kwenye maandiko yake, na bahati nzuri hata Wakristu na Waislamu werevu wameona kosa hilo kwenye maandiko ya Mohamed Said, na wanapaza sauti zao kukemea uchochezi huo!
 
Je kila aliyehudhuria mkutano/mikutano ya TANU ni muhimu awepo kwenye historia ya TANU?

Yericko,
Kile kipindi kilikuwa kigumu sana.

Special Branch wakitisha watu kuhusu kujikomboa kutoka ukoloni.

Watu walioingia TANU kati ya 1954 - 1958 wanastahili heshima ya
pekee.

Ali Meli si kama alikuwa katika wanachama wa mwanzo bali alitoa hadi
fedha za ofisi yake Dar es Salaam Municipal Council kutunisha mfuko wa
safari ya Nyerere UNO 1954.

Siku ya pili yake wakaguzi wakavamia ofisi kufanya ukaguzi.
Mole wa wakoloni ndani ya TANU alikwenda kumchomea nguru.
 
Nicholas,

The choice is entirely yours.....................take it or leave it..............but, thts the truth hidden by reliogists powerful leaders in government of tanganyika thnx
 
Hili neno "mabwana" unalipenda sana-ndio maana nilikwambia "get out of the closet" kama bado hujaelewa li google
 
kweli siku babako anakuzaa bora angepata "wet dreamza".NIkiongelea wewe unahaimia kwa mohamed said,nikimwongelea yeye unajiongelea wewe.Always off-track.

Ha haa haa hoja zimeisha sasa nikuporomosha matusi tu lakini tatizo hauna matusi mapya wewe kiongozi wa Chadema, JF kuna vituko sana.
 
Unataja taja non entities katika huu msafara wa UNO,mbona husemi kwamba bila RUPIA,hii safari isingefanyika na laiti RUPIA angekuwa mmoja wa wazee wako hili jukwaa sijui tungejificha wapi
 

Haha...public speeking ktk universities ni utamaduni ambao tunaukosa sana.Ni heshima ingawa pia inaweza kuw aloopholes ya kusoma perceptions na views za tamaduni nyingine namataifa mengine.Ahmadinejan nae aliwahi karibishwa na vyuo kadhaa..ila wanafunzi walikuwa wakimfanyia experiment..na maswali yalikuwa very specific na provoking.Huyu jamaa kaenda wakilisha islamic issue km African Culture.Ndio maana wenzetu wanasema Africa has no culture...nahdni utakuwa umeona,,,jamaa alivyo too naive au ill-intentionally.

Na hii inaweza kuwa na makundi wau watu tofauti ila waliofanikisha kitu fulani....kuna intellectual km akina Pope staafu Benecti, kuna wajarisiriamali waliofanikiwa na kuwa wawekezaji wakubwa km akina Bill gate, Zuckeman, ..na kuna wanasiasa.Hapa Kwetu akina Mfuruki ,Mengi ,hata mawalla .....wanashiriki sehemu nyingi kuwapa vijana skills zao na mengine ambayo wanadhani yaliwafanikisha....ila siasa za bongo, haziwakaribishi sana hawa jamaa ktk vyuo.....huyu jama yetu aiitwa kw amitizamo ya dini na vitengo vyeny watu wenye mitizamo ya kijamaa na kiislam..km akina mazrui na wengine waliotangulia na wapo funded na tawala za mashariki ya kati.Wengine watamwita kwa vile wanataka pata watu wa ukanda huu wa Africa ,mbaya waandishi wengi wa kibongo hawakua real serious au hawajatumia publishers wakubwa wanaoweza vitangaza.Hakuna kitu km kuwa na cutting edge writing skills na historical facts.Jamaa kw aalivyojieleza ni wazi kuwa hiyo vitabu vyake zaidi ni personal opinions,bila historical facts.Mengi ni analysis binafsi.
 

Hivi wewe kweli kuna mtu utamfungua macho wakati akili yako ina matege.
 
mfano ni huyu "Published: November 07, 1995







DIEGO MARADONA used an unusual appearance last night at Oxford University to continue his crusade for a soccer players' union. In a smooth, prepared 20-minute speech in Spanish, Maradona recounted his boyhood growing up poor in Argentina and criticized club owners and FIFA for getting rich at the players' expense. Pressed by reporters later, the 35-year-old player declined to say much about his private life or his two 15-month drug-related bans from soc
 

Ndugu zangu Wanajamvi,

Uongo ukirudiwarudiwa huanza kugeuka kuwa ukweli,

Kusema safari ya UNO ilikuwa 1954 ni UONGO uliopindukia,

Sasa jioneeni, TANU imezaliwa 7/7/1954,

Haya muulizeni Mohamed Said, safari hiyo ya 1954 ya ujumbe wa TANU kwenda UNO ilikuwa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi??


Ukweli nikuwa Safari ya Mwalimu Nyerere kwenda UNO ilikuwa ni 05/03/1955. Yaani miezi 8 baada ya kuundwa kwa TANU!

Na safari hii iligharimiwa/ilidhaminiwa na Kanisa Katoliki kupitia shirika lake la Maryknoll Sister la USA, na michango ya baadhi ya wanachama wa TANU akiwemo mzee Paul Rupia na wengineo!

Chama cha TANU kilikuwa hata hakina akaunti ya benki, kwanza kilikuwa kimetoka kwenye vuguvugu la mageuzi kutoka chama cha wacheza bao na mamwinyi (TAA) kwenye
Chama cha siasa za kudai uhuru (TANU)

Sasa ndugu yetu hataki kuweka ukweli na badala yake anapanda hadithi za uongo hapa!
 
SWEET@Ritz tupa taulo ulingoni mpiganaji kalewa masumbwi
 
Masikini wee...unaquote kitu kinachohitaji jibiwa kwa hoja..unaandika ulichosahau ili kupotezea?Kweli huna hata heshima kwa watu serious ktk issue.NImekuambia acha uhuni mzee mzima.Ach ukanjanja...sasa hapa tuu unatukanjanja..hao waioijua nchi unadanganya kiasi gani?
 


Yericko,
Soma hii hapa:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] TANU needed about twelve thousand shillings to enable Nyerere to travel to the United Nations, New York. The committee of Abdu Kandoro, Japhet Kirilo and Abbas Sykes had collected some funds from the provinces which were used on Ally and Phombeah's abortive trip to the Pan African Congress in Lusaka. What was left was not enough. Funds had to be sought from the people to enable Nyerere make the trip. John Rupia contributed more than one third of the amount. Other staunch members contributed generously, but in that formative stage TANU was poor and the amount was still beyond its ability to raise. Realising the deficit in the funds for Nyerere's trip, Idd Faiz was requested to travel to Tanga and get more funds from there. Mwalimu Kihere had already collected the money and was only waiting for it to be collected and to be delivered to the headquarters. At the same time TANU received information that whoever travelled to Tanga to get the money for Nyerere's trip would be arrested on his way back. Before departure Oscar Kambona TANU General Secretary and John Rupia TANU Vice-President went to see Idd Faiz at his house in Ilala for a briefing and to wish him luck. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The journey to Tanga was uneventful but on the return leg the bus on which Idd Faiz was travelling was waylaid by the Special Branch at Turiani. Idd Faiz was arrested, stripped naked and searched, but no money was found on him. This baffled the Special Branch arresting officer because they had information that Idd Faiz [1] had actually picked up the money from Mwalimu Kihere in Tanga. Idd Faiz was therefore taken to Dar es Salaam under armed escort for interrogation and was later released. The money for Nyerere's trip to New York reached Dar es SalaamTANU headquarters safely. The money was carried by a young girl who was a passenger on the bus. On 17 th February, 1955 Nyerere left for New York to address the Trusteeship Council of the United Nations. He had been sent by TANU with the following message: [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ...to see the elective principle established and Africans securing a majority on all representative bodies of a public nature... This we believe, is in accordance with the terms of the Trusteeship Agreement and Article 76 of the United Nations Charter. [2] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] At the United Nations, TANU was not articulating anything new; these were the very recommendations of the memorandum which the TAA Political Subcommittee had prepared and submitted to the Constitutional Development Committee of Governor Edward Twining in 1950. Governor Twining ignored TAA recommendations and instead pursued a multiracial representation in the Legislative Council. To keep up with its stand, the government sent a multiracial delegation composed of I.C. Chopra an Asian, Sir Charles Phillips a European, and Liwali Yustino Mponda, an African member of the Legislative Council for Newala to oppose TANU at the United Nations. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere came back from New York on Saturday, 19 th March, 1955 and was met at the airport by a huge crowd. Dossa Aziz remembers that at the airport he was allowed to drive his car on to the tarmac to make it easy for Nyerere to get into the vehicle without much hustle. Dossa Aziz says that if it was not for this courtesy by the airport authorities Nyerere would have been mobbed by the crowd. People were everywhere shoving and pushing trying to get a glimpse of Nyerere. In unison they were singing and dancing to mganda, a Zaramo ngoma, singing: 'Baba kabwela yuno' meaning, ‘Father of the poor has come back from UNO'. No one had ever heard that song before and no one knew when it was composed. Dossa Aziz's car carrying Nyerere was pushed from the airport to Nyerere's house in Magomeni Majumba Sita. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The following day, which was a Sunday, TANU held a public rally at Mnazi Mmoja which was attended by the biggest crowd that was ever seen assembled in one place. It was estimated that more than 40,000 people out of a population of no more than 250,000 came from every corner of Dar es Salaam to listen to Nyerere. And no one enjoyed reporting about the meeting and Nyerere's historic trip to the United Nations than Mashado Plantan in his paper Zuhra. Mashado's press at Ndanda Street, Mission Quarters churned out extra copies of the paper and the whole edition was sold out.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[2] J.K. Nyerere, Freedom and Unity, Dar es Salaam, 1966, p.36
 

Nicholas,
Labda wewe ni mgeni hunifahamu.
Napenda majadiliano ya kistaarabu.

Nikihisi mtu ana lugha kama hizo zako
mie humkwepa.

Huu ni mjadala tu hapana haja ya kutukanana
na kurushiana maneno ya kifedhuli.

Unatoa hoja kistaarabu na mimi nakujibu na
mwingine anachangia mjadala unastawi.

Tuko hapa sasa tunakwenda mwezi wa sita
na watu wengi wananiletea msg kuwa wanaelimka
na huu mjadala.

Sasa tusiwavunje nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…