Haha...public speeking ktk universities ni utamaduni ambao tunaukosa sana.Ni heshima ingawa pia inaweza kuw aloopholes ya kusoma perceptions na views za tamaduni nyingine namataifa mengine.Ahmadinejan nae aliwahi karibishwa na vyuo kadhaa..ila wanafunzi walikuwa wakimfanyia experiment..na maswali yalikuwa very specific na provoking.Huyu jamaa kaenda wakilisha islamic issue km African Culture.Ndio maana wenzetu wanasema Africa has no culture...nahdni utakuwa umeona,,,jamaa alivyo too naive au ill-intentionally.
Na hii inaweza kuwa na makundi wau watu tofauti ila waliofanikisha kitu fulani....kuna intellectual km akina Pope staafu Benecti, kuna wajarisiriamali waliofanikiwa na kuwa wawekezaji wakubwa km akina Bill gate, Zuckeman, ..na kuna wanasiasa.Hapa Kwetu akina Mfuruki ,Mengi ,hata mawalla .....wanashiriki sehemu nyingi kuwapa vijana skills zao na mengine ambayo wanadhani yaliwafanikisha....ila siasa za bongo, haziwakaribishi sana hawa jamaa ktk vyuo.....huyu jama yetu aiitwa kw amitizamo ya dini na vitengo vyeny watu wenye mitizamo ya kijamaa na kiislam..km akina mazrui na wengine waliotangulia na wapo funded na tawala za mashariki ya kati.Wengine watamwita kwa vile wanataka pata watu wa ukanda huu wa Africa ,mbaya waandishi wengi wa kibongo hawakua real serious au hawajatumia publishers wakubwa wanaoweza vitangaza.Hakuna kitu km kuwa na cutting edge writing skills na historical facts.Jamaa kw aalivyojieleza ni wazi kuwa hiyo vitabu vyake zaidi ni personal opinions,bila historical facts.Mengi ni analysis binafsi.