Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nicholas, The choice is entirely yours.....................take it or leave it..............but, thts the truth hidden by reliogists powerful leaders in government of tanganyika thnx
RIP...sasas umeamua lilia fikra zako zikubalike tuu...Pole sana.Byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unataja taja non entities katika huu msafara wa UNO,mbona husemi kwamba bila RUPIA,hii safari isingefanyika na laiti RUPIA angekuwa mmoja wa wazee wako hili jukwaa sijui tungejificha wapi

Son of Alaska,

Ikiwa una kitabu changu hebu pitia faharasha (index)
na anagalia jina la John Rupia limetajwa mara ngapi
katika kitabu.
 
Mohamed Said unatakiwa uwaambie wana ukumbi kwamba baada ya akina sykes etc etc kuchanga hiyo hela ya kumpeleka Nyerere UNO,hela haikutosha-ikabidi wakuja RUPIA aongezee 33% yes 33% ili safari iwepo- bila Rupia pengine mkondo wa historia ungeelekea vingine
 
Last edited by a moderator:

Yericko,

Haya nikuwekeayo hapa chini ni maneno ya baba yako akieleza mambo yalivyokuwa kati ya 1954
na 1958.

Je na baba yako yeye unamkamata uongo?
Hebu soma:

In 1988, while commemorating thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and 1958.

Nyerere said: "That was the most trying period in the history of our Party and few people were courageous enough to join and work for the Party." [1]

Hao waliokuwa katika TANU kipindi hicho 1954 - 1958 mmojawapo alikuwa Rashid Ali Meli.

[1]Daily News, 6 th October, 1988.
 
Kitu cha mwisho kutegemea kwangu ni kunitaka nikubembeleze au kudhani utaweza niblackmail kwa lolote.Naomba ujikaze utoe majibu yenye maana.HUwezi danganya taifa na ulimwengu kirahisi rahisi tuu ukadhani itapita kirahisi.... Kwanza maandiko yako kw akiasi fulani yamechangia wakatoliki kufanyiwa vurugu na mauaji.Halfu unataka ubembelezwe?unadhani nani mwingine anfanana na JK hapa?
 
Mkuu unakwenda fanya yale mambo ya Nguvuvi..unawapatia kitu inauma....nadhani atakauwa hajui Historia ya Ukwritu ktk hii nchi.Its a matter of time tuu watapata aibu hadi wachague vurugu...Kule Zenj makanisa yalinunu ardhi na watu toka kwa waarabu ili wawe huru..Hao ndio wakristu wa Kwanza.Leo wanakufuru kila kitu. Jaama hawajui AA, na TAA zilinuka ufujaji wa hel akidogo walizokuwa wakipata.....anadhani tabia za kuteka misikiti,timu za simba na Yanga ,FAT y akina ndolanga na Rage zimeanza leo?Wazee wa gahawa..wamaechapana fimbo sana kwenye migao. Hao ndio mashujaa wao..kwanini wasifulie.
 
Mohamed Said.,
I think huyo mpuuzi Nikolasi asikupotezee muda wako,ni wa kumpuuza kama wapuuzi wengine wasiojielewa
 
Mohamed Said., I think huyo mpuuzi Nikolasi asikupotezee muda wako,ni wa kumpuuza kama wapuuzi wengine wasiojielewa
THE BIG SHOW kumbe kelele yako mtwara ni kwa vile huogopi mabomu km unavyoogopa maswali.Sasa unadhania haya yatamchomoa jamaa yako.Kaanza omba kubembelewa anajaribu play tena victim.
 
Last edited by a moderator:
Kitu ya mwisho kutegemea kwangu ni kudhani nitawahi kukubembeleza au kukubali uni blackmail kuwa wewe ni victim ktk huu mjadala.....Hapa uanjibu tuhuma nzito sana..ungejua kitabu chako kime inspire waislam kuwatarget katoliki usingeleta mizaha hapa.
 
Wao wacha walete uongo sisi tunawapa ukweli,
 
Shariff Kadogoo,

Habari masiku Ahly mbona umeadimika ukumbini kiasi hicho, nimesoma huu mpini wako walaahi nimetosheka.

RITZ,
Sahib, nipo ukumbini kila siku ila joto la Cairo linanilazimisha kutumia muda mwingi ufukweni mwa Mto Nile ili kupata hewa na upepo mwanana! vipi huko nasikia Tanganyika yanukia sasa sijui yule Padre atagombea urais wa Tanganyika au wa TZ? hehe, hehe! Kumbuka leo ni Ijumaa bila shaka Sheikh MS kakuandalia MENU nzito!
 
Sheikh MS,
Hakika Jiji la Cairo limechafuka kwa majumba ya ghorofa kila kona hata hiyo Cleopatra yenyewe bado sijaiona! watu bado wako nje saa 7 za usiku joto limeanza!

Najua umemuandalia mlo Ritz ila tafadhali ukimkaribisha Yericko chunga viungo vyenu vya pwani huko kwetu uchagani tunaviita fipande fya mbau! yaani abdalasini, hiliki, karafuu na tangawizi!
Ijumaa Karim!
 
Son of Alaska,
Hata wewe ukieleza mambo jinsi yalivyokuwa magumu wakati ule inatosha.
Mzee Rupia alijitolea sana katika TANU.

Huu ni ukweli ambao hakuna awezae kuukataa.
 
Kitu ya mwisho kutegemea kwangu ni kudhani nitawahi kukubembeleza au kukubali uni blackmail kuwa wewe ni victim ktk huu mjadala.....Hapa uanjibu tuhuma nzito sana..ungejua kitabu chako kime inspire waislam kuwatarget katoliki usingeleta mizaha hapa.

Nicholas,

Nadhani umesoma kuna mtu amenishauri nikupuuze.

Lakini kabla sijafanya hilo ningependa kwanza usome kipande hiki.
Huenda kikakusaidia kunielewa:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

Nicholas,
Who is targeting who?

Na nani afanyae mzaha hapa JF?

Pitia posts zangu.

Hizo zitakufungulia mlango wa kupita unijue kama mimi
ni mtu makini ama mtu wa mizaha.

Jiulize kwa nini vyuo vikuu, taasisi za utafiti wananialika?

Wananialika kwa kuwa wanaamini nina ujuzi na elimu ya
kuwaeleza matatizo ambayo wao wameyaona na wanatafuta
kuyajua kwa undani.

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[2]Ibid. p 37.
 
Ndugu

Habari za sijui kumpuuza au kumuweka mtu kwenye list hilo huliwezi kabisa ndugu yangu!

Wewe vumilia hoja na upambane nazo tu mpaka kieleweke!
 
Ndugu

Habari za sijui kumpuuza au kumuweka mtu kwenye list hilo huliwezi kabisa ndugu yangu!

Wewe vumilia hoja na upambane nazo tu mpaka kieleweke!

Yericko,
Kupambana kwa hoja hakunitishi napenda majadiliano na ndiyo kisa
sipungui JF.

Katika yote nilobandika kumjibu Nicholas mchango wako ndiyo huo?

Jasusi alipatapo kuniuliza kama kweli Kanisa Katoliki walitakidi Uislam
kama adui na akataka nimpe na kurasa ya kitabu cha Sivalon.

Nilimpatia.
Amebaki kimya sasa yawezekana mwezi wa tatu.

Wewe huna la kusema ila hayo yako?
 
Mohamed Said.,
I think huyo mpuuzi Nikolasi asikupotezee muda wako,ni wa kumpuuza kama wapuuzi wengine wasiojielewa

The Big Show,
Sheikh Mohamed Ayuob ameacha kitabu cha kuwafundishs wanafunzi wazito
wa fahamu.

Yeye aliandika kitabu hicho baada ya kumsomesha mwanafunzi ambae walimu
wote walikata tamaa kuwa hafundishiki.

Nachelea kumpuuza Nicholas.
Ndiyo najaribu kumchukua taratibu anijue aniamini kwa uungwana.

Akiweza hilo tutafanya mnakasha wa maana.
Hata hivyo mimi si Sheikh Ayoub.

Nikishindwa ntaacha In Sha Allah.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…