Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe utakua ni wale Wachaga wapiga rangi viatu mchana halafu usiku unageuka jambazi!?ahaha!!

Kiongozi wa Chadema utumbo mtupu...kichwa chako kimejaa chuki,ukabila na udini...pitia posts zako zoote humu Jf halafu uone uozo wako!ahaha!!

Cc;Ritz

Sijui unajichekesha nini sasa?Hujajiuliza chenge na kusoma kote, kasaidia watu kuiba huku akifanya kazi zote ila kwenye mgao akapewa kiasi anachoweza kiita "Vijisent" nini kilimkuta?

Nadhani unazidi thibitisha kuwa kila kitu mchaga akikichagua anafanya vyema..sijui km si kabila tuu,wala ukoo ila familia yetu km hakuna jambazi.Ila hembu watazame km wana fikra kuwa ipo siku wataacha ujambazi na kuishi decent life?Bado kuna tofauti za msingi.
 
sweet Ritz unajua wakati TANU inaanzishwa kulikuwa na masharti ya Quota-ikabidi Nyerere kukamilisha idadi awasajili as many people as possible ambao wengi wavuvi,wauza soko,wakaa vilingeni,na watu ambao had nothing to lose-wenye nafasi zao ,na akili zao na shule zao walikaa pembeni wakisubiri mambo yaive ndio wajitose. Sasa leo hii tunaambiwa hawa coolies nk- wawekwe mbele ya Nyerere kihistoria-wakati any knowledgeable person atakwambia Nyerere kawatumia kama stepping stone-habari ndio hiyo
 
Last edited by a moderator:

Jasusi,
Kuna kitu utapata hapa chini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The first serious attempt to record the history of TANU was done by none other than Abdulwahid himself.

When TANU captured state power from the British in 1961 and was in the first phase of consolidating itself as a mass party, it is said that Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British. This, in essence, was to be the history of TANU.

To assist him in the research was the late Dr Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President. Abdulwahid's personal files, dairies and his late father's papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.

Abdulwahid's version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership.

We shall see in the following pages reasons why Abdulwahid's version of history could not be allowed to flourish.

Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for President Nyerere. Dr Kleruu went ahead with the research and completed the work.

This manuscript remains unpublished, at least in its original form. The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the ‘author' on the original manuscript to prevent detection by the Party.

After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.

The work has now been published several times. The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] However there is an anomaly in the book which the ‘author' overlooked.

The ‘author', so to speak, writing in the first person, states that he wrote the book in 1964.

In that particular passage the ‘author' provides information from which by reading between the lines the reader gets an impression that the author is familiar and intimate with the Party members mentioned.

But the ‘author', in providing the date of his work, forgot that in 1964 he was a young boy in his teens and could not have known those people in 1950s nor have the intellect to undertake such an academic pursuit.

The question is now, who is the real author of that passage?

With the information now known, this could not even be the pen of Dr Kleruu writing that passage because he, like the ‘author', was never part of that period.

Only one person could have such information and mastery of issues of those times.

This could only be Abdulwahid writing in 1964. The ‘author' had carelessly copied a passage from Abdulwahid's notes preserved in the TANU archives. And this was not done in 1964 either, but much later after his death.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Jasusi,
Haya ndiyo mauzauza ya historia ya TANU ukipenda unaweza kuita kizungumkuti.

Unalo?
 
Wewe utakua ni wale Wachaga wapiga rangi viatu mchana halafu usiku unageuka jambazi!?ahaha!!

Kiongozi wa Chadema utumbo mtupu...kichwa chako kimejaa chuki,ukabila na udini...pitia posts zako zoote humu Jf halafu uone uozo wako!ahaha!!

Cc;Ritz

Huyu anaangaika tu kuna watu wamepita toka karne ya 7 walikuwa wanawatukana na kudhihaki Waislam wapo wapi sasa hivi saizi Waislam wapo zaidi ya bilioni mbili duniani kauzu mmoja akiwatuka anajisumbua bure.
 
Mzee wangu alikuwa mnywa kahawa tu na mkaa vibarazani.

Lakini nashukuru katuacha vizuri mijengo ya kumwaga ha haa ha, na shule katupeleka.

SHule yeko ni ya grade gani?Mbona uelewa wako ni km hakuna..pia muwe makini, ukileta watoto make sure umetafuatia pa kukaka otherwise mnaishia kujaa ktk nyumba huku wengine wakichukua share ya baba zao,wengine share eya mama, Hapo lazima mnchapane hadi mkubali yaishe muuze kila kt acha
 

Lady Alaska,

Hakuna anayepinga ulichoandika wala hakuna kulazimisha kwenye kuamini kaani na historia yenu na sisi tuna historia yetu kutoka kwa GOAT Mohamed Said,

Umenifahamu uzuri Lady Alaska?
 
Last edited by a moderator:

Son of Alaska,
Zuia ghadhabu zako ndugu yangu.
 

Madrassa...wewe nasikia una PhD Holder ya matusi umechukulia Rombo.

Ukitaka kujua tofauti yangu na wewe angalia ID yangu Ritz, Gold Member, ha haa ha. Halafu angalia na wewe ID yako.
 
Last edited by a moderator:

Nilishwahi waambia haya muda mrefu sana..na hata vitabu vyao vya propaganda wanawasifia makuli kwa jinsi walivyofanya migomo ambayo kwa kweli haikuwa na mchango ktk kuleta uhuru,kuwa Nyerere alitakiwa kuwa na idadi ya watu ambayo ingefanya TANU kuonekana kuwa ni chama cha kitaifa....Na si vinginevyo....Nyerere hakuhitaji kingine kwani alikuw akiajua anachohitaji na power aliyotakiwa kuwa nayo ni ktk "Hotuba na barua zake"..
 

Jasusi,
Dk. Mayanja Kiwanuka huyu hapa chini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge to record a correct history which he had for the first advanced in 1974 and again in 1985 the present author published an article in African Events [1] in which Abdulwahid and other forgotten TANU pioneers received prominence.

In that article the author did what no other scholar had done before.

He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the struggle for independence.

It was at that time taboo to associate Islam or Muslims with the independence movement.

The author received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka, a leading member of the panel which wrote the Party book Historia ya Chama Cha TANU 1954-1977, the official history of the Party.

The Party historian had this to say:

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ''(the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader, Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception, it managed to weave together into a formidable, relatively homogenous nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously diverse... Said's major goal is to sow seeds of discord, and at any price, truth to him is a matter to be ignored.'' [2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] This was the reaction from Kiwanuka, who supervised the research on the official history of the party, reducing a research article to what he called a ‘fairy tale'.

The author was also accused of lying. Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised ‘the greatness of the party and its founder-leader'.

Kiwanuka was at that time the Assistant Secretary in the Department of Political Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi.

Kiwanuka had as an undergraduate student at University of Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian relations. [3]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]See M. Said, ‘In Praise of Ancestors' Africa Events, London, March/April 1988, pp. 37-41.
[2]
See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.
[3]K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University
of Dar es Salaam.
 

Maana ya "Name Calling" ipo katika waraka wa JF unaokutaka kila mwanachama kuzingatia masharti ya JF!

Nikusaidie ndugu yangu, kuwa shabiki wa chama sio kuwa kiongozi!

Wewe hapa ni mfia ccm lakini hata ubalozi wa nyumba kumi wa ccm tu hujawahi kushi na huta shika, hii ni kwamjibu wa uchunguzi wa akili yako!


Kamasi ni mbaya kutumika kufikiri, hata kama akili zako ni za kisoda endelea kutumia hivyohivyo usiruhusu kamasi zichukue mkondo wa akili!
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanajamvi wasiojua historia ya siasa za kale za Zanzibar nivema tukajikumbusha jambo hili muhimu,

Mnamo karne ya 19 wakati visiwa hivyo vikiwa chini ya utawala dharimu wa kikoloni, Kanisa Katoliki usharika wa Zanzibar liliamua kuanzisha mradi wa ununuzi wa ardhi ya Zanzibar toka kwa wakoloni na kuwagawia Wazanzibar wote bila kujali imani zao!

"The Secrete Roman Cathedral files"
 

Source?
 
Wanaukumbi, ngoja tudadavue kiduchu bayana za huyu jamaa wa Chadema kwanza anaanza kulialia kuwa Wachaga wanabaguliwa, ha haa haaah.
ha haa haa bado anaendelea kulilia hapa chini huku akiwasifia wachaga.
Hapa chini kama kawaida yake anaanza kamba zake "UONGO"
ha haa ha hapa chini kama kawaida anaendeleza kamba zake.
Hapa chini alibanwa kuhusu wachaga kuwa wengi TRA soma jibu lake, ha haa haa haa.
Kama kwaida yake hapa chini anawashambulia waswahili, ha haa haaa.
Hapa chini umeokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF ha ha haa.
Hapa chini chukuwa hii mipini ya maana kutoka kwa wasomi wa kiislam miaka hiyo hawa wamepata ilm hii kwenye Quran.
Chukuwa na hii.
Chukuwa na hii.
Chukuwa hii.
Hawa wasomi wa Kiislam wakati huo Ulaya na Marekani bado giza tupu, chukuwa na hii chini.
 
Wanaukumbi, ngoja tudadavue kiduchu bayana za huyu jamaa wa Chadema kwanza anaanza kulialia kuwa Wachaga wanabaguliwa, ha haa haaah.
ha haa haa bado anaendelea kulilia hapa chini huku akiwasifia wachaga.
Hapa chini kama kawaida yake anaanza kamba zake "UONGO"
ha haa ha hapa chini kama kawaida anaendeleza kamba zake.
Hapa chini alibanwa kuhusu wachaga kuwa wengi TRA soma jibu lake, ha haa haa haa.
Kama kwaida yake hapa chini anawashambulia waswahili, ha haa haaa.
Hapa chini umaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF ha ha haa.
Hapa chini chikuwa hii mpini ya maana.
Chukuwa na hii.
Chukwa na hii.
Chukuwa hii.
Hawa wasomi wa Kiislam wakati huo Ulaya na Marekani bado giza tupu chukuwa na hii chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…