THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Wala hakuna aliyepoteza muda kubishana nae kihivyo,kwani kwa yote aliyoandika bado yanaweza tafsiriwa kwa mitazamo mbalimbalia.
Shida ipo kwenu kukimbilia kila kitu mkidhani kinawapa advantage..huo unguli lazima mumpe...Ila hamjaangalia kuwa alikuwa na hasira na taifa hili kwa kutaifisha kila kitu..Na pia dhidi ya ujamaa.In one hand mnamnashangilia kitu mnachokipiga vita.
By the way waislam huingia ktk mkumbo kwa vitu vya kupita sana:Mojawapo ya vitu vilivyowaponza ni hivi:
-Debate ya Wakristu na Atheist magahribi iliahamia ktk sayansi km source ya ushahidi...King wa Saudia akawahi mlipa Prof mmoja hela nyingi sana..ili akae chini atafutue kitu chochote ktk Quran kinachoweza thibitisha kuwa uislam unaendana na Sayansi.Jamaa akatafuta jukns kibao akaziweka ktk book na kuenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Bible ndio ipo kinyume na sayansi.Waislam wakadanganyika, wakaanza kusema magharibi waliiba ilm ya waislam....ila hawakua na majibu .Kama waliibiwa elimu ktk Quran ,Quran nayo iliibwa?Km iliibwa iliyopo itaaminika vipi kuwa si feki?Au km hawakuichukua na waislam wanaamini kuwa wao ndio waijuayo kuliko makafiri,kwanini tena wameshindwa isoma na kutengeza rocket?
-Injil ya Barnaba iliteka sana dunia ya kiislam..injil ya baranaba iliandikwa na scandalous writer karne kadhaa baada ya Yesu.Ila hadi leo wanamihadhara wa kiislam ambao hawaja update vichwa vyao wanaitumia majukwaani.
-Suala la atheist na ushoga kuulazimisha kwa nguvu hadi kuweka mapandikizi ktk makanisa.Waislam wametumia km kitu cha kutetea dini yao.Kitu ambacho dunia ya kiislam imekithiri kwa hilo na mafundisho yao yana mengi ya kuthibitisha kinyume.
-Conspiracy theories zimekuwa zikitikisa sana dunia ya kiislam..wamekuwa wakiamini kila kitu ni hila, fitna,na kina mkono wa wayahudi,marekani na mataifa ya magharibi.Mengine yalitokea kabla hata taifa la marekani halikuwepo.
-Sasa hivi issue ya Freemasons itawatafuna wakijaamka karibu wote ni wachawi,watoa makafara,huku wakiacha nyanja za elimu zikiwa zimekufa kabisa.Habri ya Freemason na masomo yake sasa hivi imeshakuwa ni multi-million project kwa Tanzania pekee.Huku karibu kila misikiti kuwa CD/DVD na vijarida vinauzwa kwa waislam masikini ili wajawe na hofu, wawe matomaso wasioamini kila kitu bila idhini ya Maalim.
Naweza waelewa nanyi ktk jitihada zenu za kutaka lazima huyu jamaa akubalike ili mumtumie km daraja.Amini nawaaambia hata sasa hivi tukichukua isatri ktk hicho kitabu ,bado hakuna kitu ch akuwasaidia sana waislama wa tanzania ktk tope walilonasa.Sanasana itazidi thibitisha jinsi gani waislam walivyoachwa solemba baada ya mabadiliko ya enzi kuja...wakristu walikuwa katika posistion nzuri(walijiweka) ya kupata faida na kuwa na minimum damage...
Wallahi mimi sina cha kusema,
Kama upeo wako wa kufikiri umeishia hapa nakuonea huruma sana,
Umeloose composure na umekuwa brainwashed kwa kias kikubwa sana,
Ndug zangu hivi huyu jamaa yuko vizur upstairs??
cc@gombesugu Ritz..
Nikolasi Pole sana ndugu yangu,kwa ufupi wewe ni kichwa box sana,yani kanjanja...
Last edited by a moderator: