Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wala hakuna aliyepoteza muda kubishana nae kihivyo,kwani kwa yote aliyoandika bado yanaweza tafsiriwa kwa mitazamo mbalimbalia.

Shida ipo kwenu kukimbilia kila kitu mkidhani kinawapa advantage..huo unguli lazima mumpe...Ila hamjaangalia kuwa alikuwa na hasira na taifa hili kwa kutaifisha kila kitu..Na pia dhidi ya ujamaa.In one hand mnamnashangilia kitu mnachokipiga vita.

By the way waislam huingia ktk mkumbo kwa vitu vya kupita sana:Mojawapo ya vitu vilivyowaponza ni hivi:

-Debate ya Wakristu na Atheist magahribi iliahamia ktk sayansi km source ya ushahidi...King wa Saudia akawahi mlipa Prof mmoja hela nyingi sana..ili akae chini atafutue kitu chochote ktk Quran kinachoweza thibitisha kuwa uislam unaendana na Sayansi.Jamaa akatafuta jukns kibao akaziweka ktk book na kuenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Bible ndio ipo kinyume na sayansi.Waislam wakadanganyika, wakaanza kusema magharibi waliiba ilm ya waislam....ila hawakua na majibu .Kama waliibiwa elimu ktk Quran ,Quran nayo iliibwa?Km iliibwa iliyopo itaaminika vipi kuwa si feki?Au km hawakuichukua na waislam wanaamini kuwa wao ndio waijuayo kuliko makafiri,kwanini tena wameshindwa isoma na kutengeza rocket?

-Injil ya Barnaba iliteka sana dunia ya kiislam..injil ya baranaba iliandikwa na scandalous writer karne kadhaa baada ya Yesu.Ila hadi leo wanamihadhara wa kiislam ambao hawaja update vichwa vyao wanaitumia majukwaani.

-Suala la atheist na ushoga kuulazimisha kwa nguvu hadi kuweka mapandikizi ktk makanisa.Waislam wametumia km kitu cha kutetea dini yao.Kitu ambacho dunia ya kiislam imekithiri kwa hilo na mafundisho yao yana mengi ya kuthibitisha kinyume.

-Conspiracy theories zimekuwa zikitikisa sana dunia ya kiislam..wamekuwa wakiamini kila kitu ni hila, fitna,na kina mkono wa wayahudi,marekani na mataifa ya magharibi.Mengine yalitokea kabla hata taifa la marekani halikuwepo.

-Sasa hivi issue ya Freemasons itawatafuna wakijaamka karibu wote ni wachawi,watoa makafara,huku wakiacha nyanja za elimu zikiwa zimekufa kabisa.Habri ya Freemason na masomo yake sasa hivi imeshakuwa ni multi-million project kwa Tanzania pekee.Huku karibu kila misikiti kuwa CD/DVD na vijarida vinauzwa kwa waislam masikini ili wajawe na hofu, wawe matomaso wasioamini kila kitu bila idhini ya Maalim.

Naweza waelewa nanyi ktk jitihada zenu za kutaka lazima huyu jamaa akubalike ili mumtumie km daraja.Amini nawaaambia hata sasa hivi tukichukua isatri ktk hicho kitabu ,bado hakuna kitu ch akuwasaidia sana waislama wa tanzania ktk tope walilonasa.Sanasana itazidi thibitisha jinsi gani waislam walivyoachwa solemba baada ya mabadiliko ya enzi kuja...wakristu walikuwa katika posistion nzuri(walijiweka) ya kupata faida na kuwa na minimum damage...

Wallahi mimi sina cha kusema,
Kama upeo wako wa kufikiri umeishia hapa nakuonea huruma sana,
Umeloose composure na umekuwa brainwashed kwa kias kikubwa sana,
Ndug zangu hivi huyu jamaa yuko vizur upstairs??
cc@gombesugu Ritz..
Nikolasi Pole sana ndugu yangu,kwa ufupi wewe ni kichwa box sana,yani kanjanja...
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Hizo bayana zako zinatishia aman vibaya mno,
Naona sio kimo chake huyo kanjanja niko,ngoja nikapate Qabliya kwanza nipate na insha'a kisha narud hapa kumsoma mwalimu wangu,
Naona nondo zake leo zipo hot sana,kiwanuka ananukia kweli kweli leo humu ndani,
Pata ladhwa hiyo ndug yangu Jasusi...
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanajamvi wasiojua historia ya siasa za kale za Zanzibar nivema tukajikumbusha jambo hili muhimu,

Mnamo karne ya 19 wakati visiwa hivyo vikiwa chini ya utawala dharimu wa kikoloni, Kanisa Katoliki usharika wa Zanzibar liliamua kuanzisha mradi wa ununuzi wa ardhi ya Zanzibar toka kwa wakoloni na kuwagawia Wazanzibar wote bila kujali imani zao!

"The Secrete Roman Cathedral files"

Hawawezi jua hawa wanaoishi kwa fikra za wacheza bao.
 
Ritz

Hizo bayana zako zinatishia aman vibaya mno,
Naona sio kimo chake huyo kanjanja niko,ngoja nikapate Qabliya kwanza nipate na insha'a kisha narud hapa kumsoma mwalimu wangu,
Naona nondo zake leo zipo hot sana,kiwanuka ananukia kweli kweli leo humu ndani,
Pata ladhwa hiyo ndug yangu Jasusi...

Mimi si kanjanja....huyo Ritz kachanganya mboga sana kakusanya mambo yasiyo ya hii thread.Kuyajibia hapa kutchanganya wengine.Hajasema km wapi ni uongo. kasema tuu ni uongo kamaliza..Hizo reference za mitandao ya propaganda si worth hata mimi kujibizana nazo.

Pengine nimuulize Ritz na wewe:Km mnataka sayansi iwatete basi Naomba mnijibu haya km uislam unaweza kuwa portable kwenda mwezini bila kutegemea sayansi ya makarifi.

1.Ni vipi waislam wataelekea Qibla wakiwa anywhere kuanzia ktk orbit kwenda nje ya nchi.?
2.Ni vipi waislam wanaweza angalia mwezi wakiwa mwezini ili kuweza fanya ibada zao mfungo wa Ramadhani.(Wataangalia vipi mwezi wakiwa mwezini)?

3.Ni vipi mtapiga swala 5 mwezini ambapo kuna masaa 8 tuu ktk siku?
4.Je mwanzilishi wa uislam hakuwa akiajua ulimwengu livyo na kuwa karne hii watu watahamia nje ya dunia au shemu nyingine za dunia?

Naomba majibu sahihi kwa kiasi cha kutosha saidia rudisha huu mjadala pale tulipotakiwa.Mkishindwa basi biashara ya sayansi ktk dini muachane nayo.
 
Mohamed Said,

Matunda ya ngano zako yanazidi kushamiri nchini,

Huko Arusha watu wako washajibu wito wa jihadi na kuua watu wasio na hatia!
 
Teh teh teh, kwa hiyo haya maswali yako ndiyo yanauhusiana na huu uzi? Nakupa ofa anzisha uzi jukwaa la dini twende huko tukapambane.
 
Imekutosha eh?Sasa turudi ktk thread.

Vipi ulishawahi fika Pakistani?
 
Mimi si kanjanja....huyo Ritz kachanganya mboga sana kakusanya mambo yasiyo ya hii thread.Kuyajibia hapa kutchanganya wengine.Hajasema km wapi ni uongo. kasema tuu ni uongo kamaliza..Hizo reference za mitandao ya propaganda si worth hata mimi kujibizana nazo.

Pengine nimuulize Ritz na wewe:Km mnataka sayansi iwatete basi Naomba mnijibu haya km uislam unaweza kuwa portable kwenda mwezini bila kutegemea sayansi ya makarifi.

1.Ni vipi waislam wataelekea Qibla wakiwa anywhere kuanzia ktk orbit kwenda nje ya nchi.?
2.Ni vipi waislam wanaweza angalia mwezi wakiwa mwezini ili kuweza fanya ibada zao mfungo wa Ramadhani.(Wataangalia vipi mwezi wakiwa mwezini)?

3.Ni vipi mtapiga swala 5 mwezini ambapo kuna masaa 8 tuu ktk siku?
4.Je mwanzilishi wa uislam hakuwa akiajua ulimwengu livyo na kuwa karne hii watu watahamia nje ya dunia au shemu nyingine za dunia?
36_38.png
Sahih International
And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing.

36:39to top

36_39.png
Sahih International
And the moon - We have determined for it phases, until it returns [appearing] like the old date stalk.

36:40to top

36_40.png
Sahih International
It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming

Naomba majibu sahihi kwa kiasi cha kutosha saidia rudisha huu mjadala pale tulipotakiwa.Mkishindwa basi biashara ya sayansi ktk dini muachane nayo.
Majibu ya maswali yako haya hapa chezea Quran wewe hiki kitabu hakijaacha kitu

Mohamed Said,

Matunda ya ngano zako yanazidi kushamiri nchini,

Huko Arusha watu wako washajibu wito wa jihadi na kuua watu wasio na hatia!
Jasusi hivi huyu kwa uelewa wako kweli anaweza kuwa ni mtoto wa kambarage??
Julius anaweza kuacha offspring ya kipumbavu kias hiki??

Haya sasa atueleze mauaji yalitokea kwenye kampen za chadema huko arusha yana uhusiano gani na maandish ya moh said??

Kila mtu mwenye akili zake timamu auangalie upumbavu wake huyu jamaa,

Yericko wewe ni chakubimbi na njaa kali tena usiejitambua kwa lolote lile,

Ulidhani kwamba kwa kupiga piga domo chadema basi wangekupa fadhila zozote mbaya zaid umeishia kupuuzawa na kudharauliwa,ulidhan kwa kukimbilia nasaba ya nyerere chadema wanaweza kukuzingattia na kukupa kipaombele chochote umeishia kupuuzwa na kudharaulika,

Mpumbavu sana wewe,
 
Last edited by a moderator:
Imekutosha eh?Sasa turudi ktk thread.

Vipi ulishawahi fika Pakistani?
Usikimbie unataka kujua mambo jitulize tukufunze ile niliyokupa ilikuwa geography sasa nakupa Biology tuangalie mwenyezi mungu amekuumbaje kazi kwako baba
86_5.png
Sahih International
So let man observe from what he was created.

86:6to top

86_6.png
Sahih International
He was created from a fluid, ejected,

86:7to top

86_7.png
Sahih International
Emerging from between the backbone and the ribs
 
Majibu ya maswali yako haya hapa chezea Quran wewe hiki kitabu hakijaacha kitu

Hembu yaweke hapa na wengine wahushuhudie.,,jinsi hani imani yenu haipo portable.Yesu alisema...siku zaja waabudio wa kweli hawatanagalia milima ya Sinai(Alipopewa Moses Amri 10),wala Yerusalem(lilip Hekalu la Solomon)..ila ktk Roho na kweli.......weka na Qibla.Kwani waaminio ktk roho Mungu wao ndie Muumbaji ,ajua alichokiumba.NDIO MAANA AKAWAAMBI SIKU ZAJA.....
 
Usikimbie unataka kujua mambo jitulize tukufunze ile niliyokupa ilikuwa geography sasa nakupa Biology tuangalie mwenyezi mungu amekuumbaje kazi kwako baba
86_5.png
Sahih International
So let man observe from what he was created.

86:6to top

86_6.png
Sahih International
He was created from a fluid, ejected,

86:7to top

86_7.png
Sahih International
Emerging from between the backbone and the ribs

Boko haram,

Unajua msimu wa maembe machizi wengi wanakuwa wanashinda sokoni kuokota embe, huyu jamaa ni chizi wala usingaike naye anatakiwa kujibiwa kichizi kama alivyo.
 
Last edited by a moderator:
Madrassa...wewe nasikia una PhD Holder ya matusi umechukulia Rombo.

Ukitaka kujua tofauti yangu na wewe angalia ID yangu Ritz, Gold Member, ha haa ha. Halafu angalia na wewe ID yako.
I hate to say this,lakini sweet Ritz unaonekana upbringing yako imekupa irreversible inferiority complex,mara umepewa visa mwingine kanyimwa,mara umesomeshwa sana,mara manyumba,mara gold card etc etc-kumbuka hii ni JF,most of the stuff u talk about-watu wamepita ages ago-try at least kuwa age yako
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Matunda ya ngano zako yanazidi kushamiri nchini,

Huko Arusha watu wako washajibu wito wa jihadi na kuua watu wasio na hatia!
Yericko wacha uchochezi nimeamini wewe ni mchochezi halafu unamsingizia mzee Mohamed said haya ni maneno yako uliyo yaandika kwenye uzi wa bomu lililotokea Arusha.

By Yericko Nyerere.

Ndugu yangu

Nchi hii sio ya juzi, watanzania waleo wanajua na kuelewa ukweli!

Ninakuambia kuwa ccm na serikali yake wanahusika 100%

sasa nani mchochezi hapa?
 
I hate to say this,lakini sweet Ritz unaonekana upbringing yako imekupa irreversible inferiority complex,mara umepewa visa mwingine kanyimwa,mara umesomeshwa sana,mara manyumba,mara gold card etc etc-kumbuka hii ni JF,most of the stuff u talk about-watu wamepita ages ago-try at least kuwa age yako

Lady Alaska...

Crackpot.
 
Last edited by a moderator:
Jasusi hivi huyu kwa uelewa wako kweli anaweza kuwa ni mtoto wa kambarage??
Julius anaweza kuacha offspring ya kipumbavu kias hiki??

Haya sasa atueleze mauaji yalitokea kwenye kampen za chadema huko arusha yana uhusiano gani na maandish ya moh said??

Kila mtu mwenye akili zake timamu auangalie upumbavu wake huyu jamaa,

Yericko wewe ni chakubimbi na njaa kali tena usiejitambua kwa lolote lile,

Ulidhani kwamba kwa kupiga piga domo chadema basi wangekupa fadhila zozote mbaya zaid umeishia kupuuzawa na kudharauliwa,ulidhan kwa kukimbilia nasaba ya nyerere chadema wanaweza kukuzingattia na kukupa kipaombele chochote umeishia kupuuzwa na kudharaulika,

Mpumbavu sana wewe,

Tangu tuanze mjadala huu naina umekuwa mc zaidi,

Hauna hoja zaidi maana unayarudia yale yale ya januari?

Hutaki kujua ununuzi wa ardhi wa kanisa huko Zanzibar?

Hutaki kumjua zaidi Kasisi Zelger na mapito yake?

Hutaki kujua nguvu ya Paul Rupia ndani ya TANU?

Hutaki kujua filosofia ya Sir Cameron katika kusimika AA?

Hutaki kujua hulka za Mwalimu Cesil Matola?

Hutaki kujua jopo la waandishi wa Katiba ya TANU?

Hutaki kujua kwanini Klest Sykes mkristu mtiifu wa kikatoliki watoto wake Abdul, Ally na Abass Sykes waliihama dini ya baba yao na kuwa Waislamu wenye msimamo mkali?

Yani wewe hutaki kujua lolote zaidi ya udini tu????

Pole sana, sio kosa lako ni kosa la wazazi wako ambalo nao hawajui kuwa walikosea nawe hujui kuwa umekosewa,

Omba sana Mungu akupe ufahamu,
 
Last edited by a moderator:
Jasusi hivi huyu kwa uelewa wako kweli anaweza kuwa ni mtoto wa kambarage??
Julius anaweza kuacha offspring ya kipumbavu kias hiki??

Haya sasa atueleze mauaji yalitokea kwenye kampen za chadema huko arusha yana uhusiano gani na maandish ya moh said??

Kila mtu mwenye akili zake timamu auangalie upumbavu wake huyu jamaa,

Yericko wewe ni chakubimbi na njaa kali tena usiejitambua kwa lolote lile,

Ulidhani kwamba kwa kupiga piga domo chadema basi wangekupa fadhila zozote mbaya zaid umeishia kupuuzawa na kudharauliwa,ulidhan kwa kukimbilia nasaba ya nyerere chadema wanaweza kukuzingattia na kukupa kipaombele chochote umeishia kupuuzwa na kudharaulika,

Mpumbavu sana wewe,

THE BIG SHOW unayo shida kubwa sana...huo udini ndio unakuponza kuwa sehemu ya waovu ktk masuala unayodhani yanahusu wengine na kuwa upande wa wengine kwa yale yakuhusuyo..CDM inakomboa nchi bila kupepesa macho..CCM wanalijua hilo(CCM km nchawi mwenye jicho la 3 anaona mafanikio ya mtoto tangu akiwa mdogo na kuanza mloga).

Sijui ni vipi unadhani unayotafuta mtwara utaachive this way?Ni ngumu kumeza ila usitegemee watu wa pwani au waislam watakusaidia ktk issue km za mtwara...km vile waafrica wengine waliamua kuwatumia wazungu ktk kampuni zao ili ufanisi uwe juu ndivyo utajikuta kuwa Waislam wenzio wameshiba makombo ya JK,na hivyo kelele zako wanaziona km unafiki na usaliti.Utajionea mwenyewe..hujaona wengine wanajiapiza kuwa utarudi CCM siku moja?
 
Back
Top Bottom