Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Madai yako ni ya fikra tena fikra potofu zaidi!

Hayo unayoyasema ndivyo Mwalimu Nyerere alivyowahi kusema?
 
Unachekesha kweli ndugu yangu....unaleta nukuu za watuhumiwa?Km vile ulete nukuu za chenge au karamagi km ushahidi wa kuthibitisha hao jamaa si mafisadi.
 
Huu ujinga utawa cost sana....
-


Na vipi chaguzi za baada ya uhuru akipata 99.9 asilimia pia hakuwa na makosa? yaani msoto wote huo wa kula yanga na foleni za mikate bila kusahau watu kuliwa na Simba vijijini bado akipendwa na watu?
 


Na vipi chaguzi za baada ya uhuru akipata 99.9 asilimia pia hakuwa na makosa? yaani msoto wote huo wa kula yanga na foleni za mikate bila kusahau watu kuliwa na Simba vijijini bado akipendwa na watu?
You cant believe watanzania wengi walimpenda sana, na maadui hawakuwa na uwezo wa kumtoa kwa hoja.Mengi sana yaliwaweka pamoja watanzania kupitia ujamaa....na vita za kusini.Ile sense ya common goals iliwashikilia watanzania...n aimani yao kwa Nyerere kuwa nae alikuwa akipata shida kama watanzania wengine kuliwafanya nao wasio kumtumikia mtu.
 


Na vipi chaguzi za baada ya uhuru akipata 99.9 asilimia pia hakuwa na makosa? yaani msoto wote huo wa kula yanga na foleni za mikate bila kusahau watu kuliwa na Simba vijijini bado akipendwa na watu?
Kadogoo,
Dhana kwamba kuna watu waliliwa na simba kwenye vijiji vya ujamaa ni uwongo mtupu. Na kama watu walikula yanga si ni heri kuliko kufa njaa kama ilivyotokea Ethiopia?
 
Mi huwa sijui wailamu kwa nini kila siku hujiona kuwa wadhaifu, wanaonewa na au wamekandamizwa. Kweli nyani haoni kundule (ashakumu si matusi). Historia ya dini ya kiislamu inaonesha kuwa watu hawa wamejengwa katika chuki na fitina. Matokeo yake waislamu wamekuwa na historia ya machafuko na kumwaga damu tangu zamani (mwaka 630 na kuendelea). Tangu zamani wakati nchi zingine duniani zikiruhusu mawazo tofauti na mafundisho ya vitabu vya dini na sayansi kushika kasi, nchi nyingi za kiislamu hazikupenda mfumo huo na kuendelea kuwafundisha watoto wao elimu ya madrasah na hivyo kujitenga na mfumo mpya wa elimu ulioleta mabadilko makubwa katika maisha ya mwanandamu.
Mini nadhani mwandishi hapa amekuwa biased kwa kuwa yeye mwenyewe ana maslahi binafsi. Nadhani ingekuwa vema kwa yeye kuchambua mchango wa mfumo wa dini ya kiislamu katika maendelo ya elimu ya waislamu. Hapo angepata majibu sahihi na kuwashauri waislamu wapi wanatakiwa kubadilika. Mimi nadhani waache kuwajaza chuki watoto wao katika shule zao za madrasah na badala yake wawafundishe maadili mema na elimu itakayowasaidia katika maisha yao. Wasiwapeleke watoto wao katika shule eti kwa kuwa ni za kiislamu hata kama kazina elimu bora(mtu mbaya hapati thawabu hata kama ni ndugu yako). Wawapeleke watoto wao wote (wasichana kwa waume) shule na wala sio kuwaweka watoto wa kike ndani na kusubiri kuolewa. Wafanye kazi kwa bidii na waache kupiga soga na kucheza bao. Mafanikio hayaji yenyewe, lazima yatafutwe tena kwa jasho, bidii na subira.
 

Wao wanaamini kuwa elimu yote ya dunia na ahera imo ndani ya kitabu kitukufu cha kuruwani
 
Mimi naona kuna umuhimu wa watu kujua historia za dini zao. Wengi wamekaririshwa na ama kuaminishwa mambo kwa maslahi ya kundi na ama jamii fulani. Watu hawatafuti kujua ukweli, wanasikiliza mawazo ya viongozi wao wa dini ambao hawawezi kusema ukweli kutokana na mapokeo waliyoyarithi tangu zamani na pia kuhofia kukosa maslahi. Hizi dini zimeleta machafuko sana duniani kuliko majanga mengine yoyote.
 

Nyerere analaumiwa kwa siasa yake ya kiujamaa kuwa ilichelewesha maendeleo ya kiuchumi wa Tanzania. Siasa yake ya ujamaa ilishindikana kwa kiasi kikubwa baada ya mwaka 1976 kwa sababu mbalimbali za nje na za ndani ya nchi.
Baada ya kuona kuwa uchumi wa Tanzania hautaweza kusimama kwa siasa ya kijamaa na kuwa hataweza kuvumilia kuendesha nchi kwa siasa nyingine ambazo yeye hakuwa na imani nazo, Nyerere kwa hiari yake mwenyewe aliamua kustaafu nafasi ya urais kuanzia uchaguzi wa mwaka 1985 na kumwachia usukani Ali Hassan Mwinyi, aliyetawala kwa siasa ya uchumi wa soko huria.
Katika hali ya kukubali ukweli, Nyerere katika tafrija ya kumwaga alitamka juu ya siasa yake upande wa uchumi: "Nimefeli. Tukubali hivyo."
Kosa lingine ambalo wengine wanaona Nyerere alilifanya ni kumhadaa aliyekuwa Rais wa Zanzibar Mzee Abeid Amaan Karume kwa kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar, na kuanza kupora mamlaka ya Zanzibar kidogokidogo. Kwa hivi sasa Wanzanzibari wengi wamechoka na Muungano huo, na wanataka uhuru wa nchi yao ili wapumue. Hata upande wa bara wananchi wengi wanalalamikia kutoweka kwa Tanganyika na serikali yake.
Pia kuna makundi ya Waislamu wanaomtuhumu kwa kuendesha kwa siri vita dhidi ya dini yao na kupendelea Wakristo katika utoaji wa elimu na madaraka,japo wasomi wengi kwa kipindi cha utawala wake walikuwa Wakristo.
 
Ha ha ha! wanasema "ukiwa muongo usiwe msahaulifu"

Kwenda mwezini kunaangukia katika safari:

Hukmu ya msafiri katika Uislamu ni kuwa anaruhusiwa kuacha kufunga Ramadhani mpaka akirudi kutoka safarini.

Quran 2:183-184. Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
(Mfunge) siku maalumu za kuhisabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimize hisabu katika siku nyingine."

Vilevile msafiri anaruhusiwa kuchanganya na kupunguza swala katika mwanzo wa nyakati zake au mwisho wa nyakati zake hivyo ninakuomba urekebishe maswali yako namba 2 mpaka 4 kwanza ili tuendelee.
 

Chukuwa darsa hapa chini.

Kama haitoshi chukuwa na hii hapa chini.

Chukuwa na hii hapa.

Namalizia na huu mpini
CREATION OF THE UNIVERSE
Hii chini ni zawadi ya Mkuu wa chuo,

 
Last edited by a moderator:
Unachekesha kweli ndugu yangu....unaleta nukuu za watuhumiwa?Km vile ulete nukuu za chenge au karamagi km ushahidi wa kuthibitisha hao jamaa si mafisadi.

Wanajamvi,

Uongozi wa TAA toka 1950 hadi 1954 TANU inaundwa unafahamika:

1950/51 Rais Dk Kyaruzi
1952/53 Rais Abdulwahid Sykes
1953/54 Rais Julius Nyerere

Isemwe ni kipindi cha uongozi wa kiongozi gani hapo juu TAA ilikuwa na fedha za
kuweza kufujwa.

Historia ya TAA iko peupe na wafadhili wake wanajulikana na fedha haikuwa inatoka
katika hazina ya chama kwa kuwa chama hakikuwa na fedha.

La kama haja ni kuwatukana wazee wetu na kuwapa sifa ya wizi hilo sawa kwani
akutukanae hakuchagulii tusi.

Mfano wa Karamagi kwa viongozi hao hapo juu wa TAA ni mbingu na ardhi.
 

Ufisadi wa familia ya Klest Sykes katika Tanganyika uliibuka mwaka 1933 baada ya Rais wa Kwanza wa AA kufariki ndugu Cesil Matola,

Kushika hatamu za urais kwa Klest Sykes kulipelekea KUJIMILIKISHA kiwanja na jengo ambalo chama hicho kilikuwa kimepewa na Gavana wa Tanganyika Sir David Cameron,

Huo ndio ufisadi halisi unaoiandama familia ya Klest Sykes na haiwezi kuukwepa kwakuwa BABA yao ndie aliyeufanya!

Kuwasafisha leo hutaweza, historia ni katili mno, hupita popote hata panapouma!

Vumilia ndugu yangu!
 
Hilo kosa lingine ni umbea ndio maana Nyerere aliyeweza kukiri makosa yake bila kupepesa hakukiri.
 

Na ukiwa mjinga jifunze kuacha vitu usivyovijua......Nimesema kuhamia (permanent staying).
Pia hata usemalo si sahihi sana ,Hembu imagine hata miaka miwili tuu ukiwa space, utalipiza vipi swala 5 achilia mbali ramandhani.
 
Na ukiwa mjinga jifunze kuacha vitu usivyovijua......Nimesema kuhamia (permanent staying).
Pia hata usemalo si sahihi sana ,Hembu imagine hata miaka miwili tuu ukiwa space, utalipiza vipi swala 5 achilia mbali ramandhani.

Dr. Sheikh Muszaphar Shukor Praying in outer space (from "Muslim in Space" DVD) - YouTube
Muslim Malaysian astronaut Dr Sheikh Muszaphar Shukor praying in space


Source: Muslim Malaysian astronaut Dr Sheikh Muszaphar Shukor praying in space

Muslim astronaut's miracle: call to prayer in space



Malaysian astronaut Dr. Sheikh Muszaphar Shukor travelled to space as the ninth Muslim astronaut to show how a prayer could be made in space.
"Everyone who goes to space feels a miracle. During my trip in space that took place in the holy month of Ramadan, I heard a ‘call to prayer' in the Space Station," Shukor said in an interview with Anatolia news agency.
"Time for fasting and prayer depends on where you are situated in space. As the space shuttle was launched from Kazakhstan, we took into consideration the local time in Kazakhstan. I prayed five times a day by taking into consideration the time in Kazakhstan. You had to turn your face toward the earth in order to pray in the direction of Mecca. The Space Station was in a position from where you could see the earth directly," said Shukor who has visited Turkey as the guest of Turksat Corporation.
"Malaysia aims to send humans to space in order to encourage the youth to work on space issues. Malaysia wishes to train more doctors and scientists in the next 5 to 10 years. This was the main goal of the program."
Out of 11,435 individuals, only three men and one woman were selected for the space trip.
Shukor said they had worked in space on cancerous cells. About 80 percent of their experiment has been completed, he said. "Once the results have been reached, we will inform the public about our study that will be published," he added.




CC, gombesugu, Kadogoo, THE BIG SHOW, Barubaru, Boko haram, Sideeq



 

Hawa jamaa ukiwauliza familia hiyo ilifikiaje huo utajiri wanaweza kuwambia alijaaliwa na mnyazi mngu.....pia hajui mikoani palikuwa na watu wenye pesa wengi tuu ambao walishawishika kuwa wana TANU na walijitolea sana.Kaka wa Mengi mzee Elitira, Aikaeli, Nsilo Swali, na wengine wengi tuu..na hii ilikuwa nchi nzima.
 
Chukuwa darsa hapa chini.

Kama haitoshi chukuwa na hii hapa chini.


Chukuwa na hii hapa.

Namalizia na huu mpini

Hii chini ni zawadi ya Mkuu wa chuo,

Haya ni matakataka tupu..sasa haya yanajibu nini hoja yangu?Nimekupa maswali machache sana ukiyajibu basi itasaidia sana kupunguza pelekea watu wasome junks tupu bure.Kama dini yako inajua habari ya sayansi.
 
Yericko,
Ikiwa una ushahidi kama Kleist alitaka kudhulumu
mali ya AA baada ya kifo cha Matola hiyo ni dhulma
na haiwezi kustahamiliwa.

Sana sana ni kumuombea dua Allah amsamehe.

Lakini ikiwa unamsingizia marehemu jua dhima kubwa
iko juu yako.

Uislam umekataza kuchezea heshima za watu.
Kleist katika historia ya Tanganyika anajulikana sana kufadhili
harakati kama walivyokujajulikana wanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…