Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Wanajamvi,
Uongozi wa TAA toka 1950 hadi 1954 TANU inaundwa unafahamika:
1950/51 Rais Dk Kyaruzi
1952/53 Rais Abdulwahid Sykes
1953/54 Rais Julius Nyerere
Isemwe ni kipindi cha uongozi wa kiongozi gani hapo juu TAA ilikuwa na fedha za
kuweza kufujwa.
Historia ya TAA iko peupe na wafadhili wake wanajulikana na fedha haikuwa inatoka
katika hazina ya chama kwa kuwa chama hakikuwa na fedha.
La kama haja ni kuwatukana wazee wetu na kuwapa sifa ya wizi hilo sawa kwani
akutukanae hakuchagulii tusi.
Mfano wa Karamagi kwa viongozi hao hapo juu wa TAA ni mbingu na ardhi.
Mbona hatuelewani mwanazuoni wewe?Nimekuambia ushahidi wa watuhumiwa hauwezi kuwa reference.Sasa unaniambia kuwa Historia ya TAA ipo kweupe ndio nini sasa.Nikusaidie kukutetea mwanazuoni...
Huyo Sykes alikuwa na bank?Hela haiwezi toka nje ya hazina hta siku moja...mchango wowote ukitolewa unaingia ktk hazina ndio unatoka.Unless uniambie hujui account kabisa.Mkipeana hela njiani ni offa za kishikaji tuu.Sioni usemacho.
Pengine angekuwa na hoteli au mabasi ndio ungesema anaweza sema tuu watu watumie huduma bila malipo.