Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,

Anajiliwaza wakati wewe hii nafasi ya kufundisha JF miaka mingi umeitafuta, hajui kwa tutakaa na kulala JF hata miaka mitano. Nani angewafahamu kina Mshume Kiyate. Ha ha ha.

Shariff Ritz,
Nani angelikujamjua ''The Sweet Abdulwahid.''

Stanley alikuwa Mzungu akifanya kazi Dar es Salaam Municipal Council.
Alifahamiana na Abdu Cosy Cafe ambako Abdu alipenda kwenda kwenda.

Alipokufa Abdu alimwandikia Ally Sykes barua kumweleza jinsi alivyojuana
na Abdu.

Barua hii imo kwenye file maalum la taazia alizopokea Ally Sykes baada ya kifo
cha kaka yake 1968.

Hili file lilipotea lakini likaja kuonekana.
Siku Ally Sykes alipoliona akanambia nende nikalichukue nisome.

Niliyokuta mle ni mazito.
Allah ameumba watu na akawajaalia ukarimu.

Ndipo nilipoelewa kwa nini alipewa jina ''The Sweet Abdulwahid.''

Akiingiza mkono mfukoni kinachotoka ndicho hicho hicho harejeshi
kupunguza.

Mungu mlipe kheri huyu mja wako na mjaalie Firdaus.
Amin.
 
Labda hujanielewa KISWAHILI,

Nimesema ALIFISADI sio alitaka kudhurumu tu, bali alidhurumu kabisa!

Kama ni kumuombea dua uanze sasa!


Yericko,
Nimezaliwa Kipata.

Kiswahili ndiyo lugha yangu sina lugha nyingine.
Nimekuonya kuhusu heshima za watu.

Nduguzo wanatusoma kama Mshikachuma alivyotueleza.
Kuwa na adabu japo kiduchu.

Najua bi mkubwa ameulizwa maswali mengi kuhusu wakati ule.

Yericko,
Tahadhar sana.
Usicheze na heshma za wazee wetu.

Nimekuonya kama una ushahidi wa huo ufisadi ulete hapa jamvini
huna kaa kimya.

Nyerere angemwahi Mzee Kleist angelimwita baba na kumuheshimu
kama alivyomuheshimu mama yake Abdu Bi. Mluguru.

Bi. Mluguru akimfulia baba yako nguo zake kwenye ndoo moja na nguo
za mwanae Abdu pale Kirk Street.
 

Kwanza nishukuru kwakuwa umeguza jina langu katika makaribisho haya,

Bahati iliyoje, leo nimeongea kwa simu na Dada Sophia Nyerere,

Pamoja na mambo mengine yote lakini nimefurahia kuongelea huu mjadala hapa twita, na nimewasihi dada zangu Rose na Sophia wajiunge JF na kuji Verify kabisa ili aweze kuchangia mjadala huu,

Mantiki ya ulichoongea hapo juu ndicho tunachokipinga hapa kwa zaidi ya nusu mwaka sasa ambacho wewe umekifanya na umekuwa ukikihubiri kila pembe ya dunia, nacho ni KUWADHIHAKI wapigania Uhuru wetu!
 

Nakusihi usiwe Muongo kiasi hicho ndugu yangu,

Abdul Sykes na Mzee Nyerere wamekutana mwaka 1952,

Mwalimu akiwa na mika 30+ na Abdul akiwa na miaka 30-

Hivyo tayari walishakuwa ni wanaharakati tena wenye mlengo utofatianao!

Abdul Sykes aliacha kuwa chini ya uangalizi wa mama yake tangu alipoenda jeshini/vitani yani miaka zaidi ya 7 nyuma!

Sasa kuleta ngano za sijui alimfulia nguo mama yake mzazi bi Mluguru ni uongo na kuwa dharirisha zaidi wazee wetu!

Unaleta uongo ambao hauna tija kabisa, kiasi kwamba mtu akikusoma anaweza kudhani labda Mwalimu Nyerere alikuja Dar akiwa katoka kunyonya, kumbe si kweli!

Acha uongo wewe mzee unakwenda kubaya huko!

Labda nikuulize swali dogo tu la kipuuzi,

Wewe Mohamed Said umeacha kufuliwa nguo zako na mama yako mzazi ukiwa na umri gani?
 

Yericko,
Ngoja nimsaidie Mohamed. Nadhani wewe ndiye hukuelewa alichoandika. Amesema Bi Mluguru akimfulia baba yako (yaani Nyerere) nguo ndoo moja na nguo za mwanae Abdu pale Kirk Street. Hata kama Abdul alikwenda jeshini akiwa mdogo, sioni tatizo kuwa alipokuwa akiishi Kirk Street Bi Mluguru alimfulia nguo kwenye ndoo.
 
JASUSI haya yote yanaweza kuwa kweli lakini MS anatumia kuki bend Kiswahili na kuleta dharau fulani
 

Jasusi,
Nami nakuongezea jambo.

Hizi zilikuwa zile siku za ''retreat.''
Brainstorming...

Mpishi na dobi wao Bi Mluguru biti Mussa.

Supplies analeta Mzee Abdallah aliyekuwa messenger
Kariakoo Market.

Tumetoka mbali.
Leo retreat ni Ngordoto Mountain Lodge.

Wazee wetu walikuwa wakijifungia Kirk Street.

Vinywaji vinaagizwa duka moja la Goa Mtaa wa
Livingstone na Kitchwele huku Kipata au kwa Omi nae
Goa pale Princess Hotel.

Kila nikipita mitaa ile husimama sehemu hizi nikatoa
heshima kimya kimya.

Mtu akiiogopa historia hii atapitwa na mengi sana.
 

Yericko,
Hiyo ilikuwa wakati wa ''retreat.''

Iko post huko mbele utaiona.
 

Ritz,

Nashukuru sana kwa nondo hii ndugu yangu,
Kuna mpuuzi mmoja hapa anaitwa Ufunguo,kana na kukashifu na kusema waislam dunian ni watu wasiopenda shule na watu wa kulalamika lalamika,
Anadhani zile propaganda zao bado zina mashiko kwenye karne hii,
Cha ajabu yule mtoto anaekimbilia nasaba ya kambarage kampa heko kama kawaida yake,
Habari ziwafikie...
 
Last edited by a moderator:

Yericko,
Dhihaka?!

Soma mada zangu uone kama mimi ni mtu wa dhihaka.

Kitabu cha dhihaka kitatiwa kwenye Cambridge Journal
of African History tena reviwe iandikwe na John Illife?
 

Ritz,

Nashukuru sana kwa nondo hii ndugu yangu,
Kuna mpuuzi mmoja hapa anaitwa Ufunguo,kana na kukashifu na kusema waislam dunian ni watu wasiopenda shule na watu wa kulalamika lalamika,
Anadhani zile propaganda zao bado zina mashiko kwenye karne hii,
Cha ajabu yule mtoto anaekimbilia nasaba ya kambarage kampa heko kama kawaida yake,
Habari ziwafikie...
 
Last edited by a moderator:

Ritz,

Nashukuru sana kwa nondo hii ndugu yangu,
Kuna mpuuzi mmoja hapa anaitwa Ufunguo,kana na kukashifu na kusema waislam dunian ni watu wasiopenda shule na watu wa kulalamika lalamika,
Anadhani zile propaganda zao bado zina mashiko kwenye karne hii,
Cha ajabu yule mtoto anaekimbilia nasaba ya kambarage kampa heko kama kawaida yake,
Habari ziwafikie...
 
Last edited by a moderator:


Ha ha ha ha....!!

Wewe acha ulimbuken Yericko,hivi kwanin unapenda kujikweza na hiyo familia hali ya kuwa unajua fika ya kwamba si familia yako??

Unawaomba kina sophia na rose waje wajiverify kivipi??


Huyu Andrew Nyerere aliejiverify hapa jukwaani mbon ameshakukana kwamba wewe si mwanafamilia??
Hujatosheka tuh??


KWANI UNAPATA NIN KWA KUJINASIBISHA NA FAMILIA ISIYO YAKO??HUONI KICHEFU CHEFU??


WANAUKUMBI KWANIN MSIKEMEE KINYAA KAMA HIKI???

NI UNYONGE WA HALI YA JUU KUIKANA FAMILIA YAKO NA KUIKIMBILIA FAMILIA ISIYO KUHUSU..

CC Ritz zomba Jasusi gombesugu na wanajamvi wote,,,
 
Last edited by a moderator:


Jasusi,

Heshima yako,

Yericko upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana,

Mwache kama alivyo,na ukiona mtu wa sampuli hii basi dawa yake ni kumpuuuza tuh,
 
Boko haram,

Unajua msimu wa maembe machizi wengi wanakuwa wanashinda sokoni kuokota embe, huyu jamaa ni chizi wala usingaike naye anatakiwa kujibiwa kichizi kama alivyo.
Ritz,

Sawa nimekuelewa sasa,
Kumbe ni majinun??

Hamna shida,nimekuelewa vema sana
 
Last edited by a moderator:

Zama hizo Mzizima ikiitwa Durussalam, ha haa haaa!
 

Bro, Jasusi,

Hivi ni kweli Chifu Mariale ndiyo alikuwa mfadhili wa Nyerere wakati wa kupigania uhuru, alikuwa anamnunulia nguo, viatu, gari na alikuwa anampa pesa?
 
Last edited by a moderator:

Al Habiby THE BIG SHOW,

Hawa wote wanaongozwa na chuki dhidi ya Waislam kazi yetu sisi ni kushusha nondo kama hizi.

Kuna mmoja anasema eti maswali yake walishindwa kujibu huko Indonesia kuwa Waislam wakienda kwenye space wataswali vipi na qibra wataipataje, ha haa ha, nikampa twende jukwaa la dini akaleta dharau basi mie nakushusha mipini.

Nimempa ofa tena aulize maswali mengine nimjibu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa! Yamekuwa hayo tena, wewe si umeniuliza kuhusu kuswali kuelekea qibra wakati wapo kwenye space? Umeuliza wataswali vipi nakupa mipini unaanza kulilia hapa mie natoa darsa kupitia kwako, haya lete swali lingine twende sawa.
Issue ni kwamba sitaki, kuingia ktk dini..Nina reference nyingi sana ambazo zitakuuma na wengine wenu huwa hasiara zipo karibu sana.


Hayo majibu yangu ungeyajibu kwa maneno yako mwenyewe halafu km yatahitaji uthibitishoa ndio upeleke hadi reference.Il kutupa junks hapa ni fujo na uchafu tuu.Haiwezekani useme hayo ndio majibu mimi nitafute majibu humo ndani pekee yangu.NI kama unataka nikujibie.

Sasa ni majibu gani ambayo hata wewe haupo conversant enough kuweza to amajibu kwa lugha yako.Acheni ubabaishaji.So rudi na majibu km summary otherwise turudi ktk mada.Hiyo ibaki kuwa homework.Kaulize wanazuoni wenu..ila make sure wasikuone umeshakuwa apostate.
 
Mkuu Jasusi

Mohamed Said ni very intelligent man, inahitaji superior brain kumtawala ufahamu wake!

Nime comment hivyo nikitambua wazi dhamira ya Mohamed Said katika maelezo ya awali!

Msome kwenye mstari kwa jicho la tatu utaona nadharia yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…