Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

The Big Show

Najua unatatizwa sana unapoona sikujibu kila pumba unazozileta,

Zingatia kuwa nilikuuliza kuwa hutaki kujifunza yale?
 
Nicholas,
Ndugu yangu panatosha.

Endelea na wengine.
Ungenitendea haki km ungejibu haya maswali, na si kususa....haupo ktk position ya kususa kwani itamaanisha umekimbia.najua umeskip maswali mengi sana ila angalau jibu haya mwisho.

Nadhani unajua ktk mtihani ukiskip maswali yote matokeo ni nini?Au tutasikia pia jf kuna mfumo Kristu km NECTA?Nao pia huwa wanaskip maswali na kuandika mashairi ya bongo fleva.Ila matokeo yakitoka hata kuwasaidia wazazi kujua kweli kuwa hawakuandika kitu hawafanyi.
 
Bro, Jasusi,

Hivi ni kweli Chifu Mariale ndiyo alikuwa mfadhili wa Nyerere wakati wa kupigania uhuru, alikuwa anamnunulia nguo, viatu, gari na alikuwa anampa pesa?
Ritz,
Chief Marealle hakuwahi kuwa mfadhili wa Nyerere. Actually he was not very enthusiastic about TANU. Ni Wachaga wa kawaida tu kama Aikaeli Mbowe, Nsilo Swai, Eliufoo na Lucy Lameck waliochangamkia harakati za TANU.
 
Ndio maana nilikuambia andika kwa maneno yako halafu uweke source....kukusaidia ni hii.


1.Jamaa katumia time ya duniani na hivyo alihitaji sayansi imsaidie na si uislam uwe na jibu.

2.Halafu Pia space vehicle inazunguka dunia kwa speed kubwa sana,na dunia inazunguka na haikuwa ikifanya kazi ya dini na hivyo haikuwa stationary over or in a direction to Qibla.So at time kabla hajamaliza swala atakuwa anaipiga mgongo.

3.Ukiwa ktk space orbit kuna mahali pengi tuu kuuona mwezi kila siku
na kila saa.Na hivyo huwezi itumia dhana ya Kuonekana mwezi,bila kuikaribisha sayansi.

4.Ukiwa mwezini huweziuona mwezi bila kuhitaji msaada wa sayansi kuport mazingira kama ya dunia na reference za dunia.

KWA HARAKA UTAONA KUWA SAYANSI NDIO INAMSAIDIA MUNGU WA QURAN KUFUATA SHERIA ZA NATURE NA SI KUFUATA FORMULA YA MUNGU WA WAISLAM.Yote haya yanaufanya uisalma uonekane kam dini iliyotengezwa na inayoishi ktk kazi za mwanadamu.Hakuna mawasiliano yanayoweza fanyika ili kufanikiwa kufanikisha hizo reference ambayo hayategemei kazi za mwanadamu.

Kukurahisishia ni kwamba huwezi kuwa upande wa pili wa dunia directly opposite to the location of Kibla halafu bado ukaweza angalia Kibla Labda uelekee ardhini.
 

Hivi chizi akikutana utachukia kweli? Msimu wa maembe unategemea nini.
 

Kaka yangu Jasusi,

Hebu msome hapa Yericko Nyerere, anavyoelezea wakati mwingine mnapokaa kimya upotoshaji kama huu mnakaa kimya unasomwa na watu wengi unajua tena athari za maandishi.

Mnakaa kimya mzee wenu anaandikwa kuwa anafadhiliwa na Chifu Marialie mara nyingi huwa napenda sana unapojitokeza kupinga kitu ambacho unakiona si kweli Nyerere alikifanya wala kufanyiwa.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Nature ndio nini hebu tufafanulie kwasababu umetutajia vitu vitatu hapo nilipo bold red sayansi,mungu wa waislamu na nature!
 
Kaka yangu Jasusi,

Hebu msome hapa Yericko Nyerere, anavyoelezea wakati mwingine mnapokaa kimya upotoshaji kama huu mnakaa kimya unasomwa na watu wengi unajua tena athari za maandishi.

CC: gombesugu,

Ritz,
Hapo siwezi kubisha. Ninachojua ni kwamba Marealle alikuwa more loyal to Edward Twining than to TANU. Kwa hiyo inakuwa vigumu kwangu kuamini kuwa mtu aliyekuwa loyal kwa gavana wa ukoloni atatoa msaada wake kwa Nyerere na TANU. I need more research on this.
 

Hivi Yericko Nyerere unapajuwa hapo?
 
Last edited by a moderator:

Jasusi,
Katika maziko ya Ally Sykes kabla hatujafanya salat janaiz yaani kumswalia maiti niliombwa
na familia niseme kitu kuhusu Ally Sykes.

Niliomba nyaraka zake familia wazihifadhi kwa kuwa mimi nimezisoma na ni hazina katika
historia ya uhuru wa Tanganyika.

Jasusi
Nataka nikudokeze kitu.

Kuna barua ya mkono kutoka kwa Chief Marealle kwenda kwa Ally Sykes Marealle akimzungumza
Nyerere kwa Ally Sykes...

Very interesting reading...

Marealle anamtikadi Nyerere kuwa ni rafiki ya Ally Sykes...kisha akamwambia Ally asubiri uhuru
upatikane...

Wakati ule Nyerere, Ally Sykes na wazalendo wengine hawawivi na wakoloni.

Watafiti wakatapokuja kumuandika Chief Thomas Marealle watakuja labda na mambo tusiyoyajua.
 

si indonesia tuu niliweka hadi Irani na response ilionekana...sasa hivi wanajaribu jipambanua kwa dini...na na unchoona majirani zao malaysia walifanya ulichonukuu..nadhani umeona majibu yangu.

"......ufalme wao ni dunia hii.....".."Jesus knows the way kwa ,kwa vile alitoka kwa baba"
 
Unachekesha kweli ndugu yangu....unaleta nukuu za watuhumiwa?Km vile ulete nukuu za chenge au karamagi km ushahidi wa kuthibitisha hao jamaa si mafisadi.

Hint; Umeshawahi kumsikia mtu anaitwa Rolihlahla?

PN 46664
 
By Nicholas


Nyerere aligombea chaguzi kadhaa kabla ya uhuru na mkampa kura kibao.kama alikuw ana makosa basi msingempa kura.

NDIO = Yeye tu
HAPANA = Isipokuwa yeye tu.

Umeshawahi kusikia kura za maruhani? Sasa jiulize za Nyerere zilikuwaje?
 

ha haa haaa acha uongo wewe majibu yako wapi Iran au Indonesia wataangaika na mpuuzi kama wewe, umeshindwa kuwasaidia Chadema umeamua kuleta kamba, nakuwekea mipini unalialia nimekuwekea Science and Qur'an unatukana.
 

Hapo mkuu umejibu kisomi na kwa hekima ya juu sana!

Nilikuwa nalitazamia sana jibu lako kwenye swali hili!

Hahaa thank you Sir!

I respect you!

Salute sana!

Nadhani hili tuliache kama lilivyo na mimi sitafuta nilichoandika kule nyuma,

Ila wenye vichwa maji wanaendelea kuweweseka!

Nashauri kama siku mtu atatokea kuandika historia ya Chifu Marealle bila shaka akiacha kisa cha makutano ya 1958 ya pale Mzumbe na Gavana Twiing atakuwa hajaitendea haki historia hiyo,

Lakini kisa hicho hakiishii hapa tu bali kiende mpaka viwanja vya UNO nchini Marekani na kutua mikononi mwa Julius Nyerere na Safari ya kurudi huku wakicheka pamoja ni muhimu kuwepo katika historia hiyo!


Watu watashangaa, hata Mohamed Said atashangaa, lakini ndivyo ilivyo!

Hadithi ni ndefu, inatupeleka mpaka mtaji wa ufunguzi wa benki ya makabwela (NBC)

Mungu mrehemu Mwalimu Nyerere huko aliko!
 
Nature ndio nini hebu tufafanulie kwasababu umetutajia vitu vitatu hapo nilipo bold red sayansi,mungu wa waislamu na nature!
Dictionary:Wordweb
Nature:
1.The essential qualities or characteristics by which something is recognized .
"it is the nature of fire to burn"; "the true nature of jealousy"

2.A causal agent creating and controlling things in the universe.
"the laws of nature"; "nature has seen to it that men are stronger than women"
3.The natural physical world including plants and animals and landscapes etc.
"they tried to preserve nature as they found it"

Na kuendelea.

Kwa hayo tukichukulia no. 2 na n.3 ....Ni imani ya dini kuwa kuna Mungu aliyeumba universe(Nature) na kuweka sheria zote...Sayansi mara nyingi imekuwa ikifuatilia sheria za nature ili kupata majibu fulani...ni mara chache sana sayansi inaweza kuja na wazo ambalo hawajaiga ktk nature,kwa hiyo sayansi inagundua natural laws/phenomena/principles/processes.Kwa hiyo mara zote dini au observations huwapelekea wanasayansi kujaribu kwa tafiti.....inapotokea dini kufuata sayansi hiyo dini huwa ni zao la sayansi na si natural thing.

Haiwezekani sayansi igundue anga za juu halafu isaidie waislam kuweza imitate uislam wa duniani..Yaani ku act(ushirikina) ktk kufuata matendo ya dini halafu uislam ukabaki ukijisifu kuwa umesaidia sayansi,instead sayansi ndio imesaidi uislam.
 
Bro, Jasusi,

Hivi ni kweli Chifu Mariale ndiyo alikuwa mfadhili wa Nyerere wakati wa kupigania uhuru, alikuwa anamnunulia nguo, viatu, gari na alikuwa anampa pesa?

Nyerere alisingiziwa mengi km kawaida ya wabongo hata ukila kwake au mkiwa out pamoja na kila mtu akalipa bili yake.....ukija fanikiwa wengi watataka waje kupata fadhila kwa gia ya kuplay victims na kuku-blackmail kuwa huna shukrani and the sort.

Nyerere angepoke vitu km zawadi binafsi angekuwa multi bilionea.
 

ha ha haa, tumia akili msome vizuri kaka Jasusi, kwa ukaribu wake na Nyerere kama mzee wao angelijua hili lazima ametumia hikma asikuvue nguo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…