Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mbona jambo hili linakushughurisha sana kuliko mada inayojadiliwa? wewe binafsi unajuaje kama huyo unayemuita baba yako mzazi ndie hasa "biological father" wako? Mimi naamini msomi wa ngazi yako asingejishughurisha na nasaba ya mtoa hoja bali na hoja inayojadiliwa!
 
naona watu njaa inawasumbua humu ndio maana mipasho ni mingi na mikwara mingi hoja mmeweka pembeni...

Ngojea nimwite Mshume Kiyate aje awapatie hela ya kitoweo kwanza halafu tuendelee...

Hahahaa kwakuwa ni mkongwe wa kulisha watu wasiojiweza
 
Last edited by a moderator:
mkuu umeua.pokea goodmorning yangu.
 

Acha porojo ni rudi wapi? weka vyanzo vya habari zako unazipata wapi? Ni hayo tu.
 
Jiepushe kuweka mahubiri ya kidini hapa!

Tunajadili historia hivyo kuwa mwangalifu tunapolazimika kuhusisha dini tusije vunja kanuni za mjadala huu!

Wewe kauzu kweli mimi ndiyo naleta mijadala ya kidini? ha haa ha, unafiki kitu kibaya sana.
 
Wacha mkwara haya maneno mwambie Nicholas kamanda mwenzako.

Nimetoa rai hiyo nikitambua fika uwepo wako huku nikitambua nguvu ya kiroho iliyo moyoni mwako!

Ninakuomba ustahimili mjadala huu pasina kuruhusu nguvu yako ya kiroho ikutawale
 

................Wasio Waislaam wanaujua Uislaam kuliko Waislaam !

Yaani Wasio madaktari wanajua udaktari kuliko madaktari !...........aiseeh !:heh:
 
 
................Wasio Waislaam wanaujua Uislaam kuliko Waislaam !

Yaani Wasio madaktari wanajua udaktari kuliko madaktari !...........aiseeh !:heh:

Ulamaa Ally Kombo karibu sana,
Jamaa yao Maxishimba yuko wapi!?
Uchochez wameushindwa wanabadilisha kibao,tukibadilika nao wanalia na kusaga meno,
Moh Said hawataki kumpa nafasi ili asomeshe hapa wao wamekua wanamtusi na kumkejeli,
Mufilisi ni mufilisi tuh,
Mission yao imefeli natural death,ukweli umesimama na wenye kuuelewa tumeuelewa..
 
Ndugu yangu katika somo lolote mwanafunzi hufundishwa
muhimu wa mipaka.

Yaani demarcation.

Tukilichukua somo la Tanganyika na tatizo la elimu toka ukoloni
tukalileta katika Somaliland itakuwa vigumu sana kuchambua.

Huenda una nia njema ya kutaka kufahamu na mimi niko tayari
kukueleza kile ninachokijua lakini hebu jaribu kuliweka sawa hilo
swali lako.
 

Karibu sana ndugu yangu baada ya likizo ya siku moja hapa!

Nadhani umejionea watu hawakutegemei wewe uwepo wao hapa bali wanajenga hoja na kuzijibu hoja kadiri zilivyo!

Karibu sana
 



Nakujibu hapo kwenye Suratul An'biyaa Verse no 30,hujaimaliza iyo verse,

Suratul an biyaa verse no 30 inasema,

"DO NOT THE UNBELIEVERS SEE THAT THE HEAVENS AND THE EARTH WERE JOINED TOGETHER(AS ONE UNIT OF CREATION),WE CLOSE THEM ASUNDER??,WE MADE FROM WATER EVERY LIVING THING.WILL THEY NOT THEN BELIEVE??

IKAFUATIA VERSE NO 31,"AND WE SET ON THE EARTH MOUNTAINS STANDIND FIRM"

kitu unachopaswa kutambua katika qur an kila aya ina mafuhum yanayolink na aya inayofuatia katika mtiririko wa kushuka kwake au wa maudhui yake,unapojaribu kutenganisha na kuzikata ili utimize mission fulan unakua umejipotosha wewe mwenyewe,ss tunakuacha kama ulivyo,

verse no 30 ambayo hukutaka kuimalizia na explanations zake kuhusu kuumbwa kwa mwanadam na concentration kubwa ya maji ktk kuumbwa kwa viumbe kwa ujumla,

About 72percent of the earth's surface of our globe is still covered with water,and it has been estimated that if the inequalities of the surface were all levelled,the whole surface would be under the water,as the mean of elevation of landsphere-level would be 7,000 - 10,000 feet below the surface of the ocean.This shows the predominance of water on our globe.That all life began in the water is a conclusion to which our latest knowledge in biological sciences points,Apart from the fact that protoplasm,the original basis of living matter is liquid or semiliquid and in a state of constant flux and instability,there is the fact that land animals like higher vertebrates including man,show in their embryological history,organs like those of fishes,indicating the watery origin of their original habitat.The constitution of protoplasm is about 80-85percent of water,
THATS THE EXPLANATION OF THIS VERSE WHICH SAYS THAT "WE MADE FROM WATER EVERYLIVING THING,WILL THEY NOT THEN BELIEVE??

Usione watu tupo kimya ukahis hatuisomi dini yetu,au hatuifaham dini yetu,
Tunaisoma sana,tunasoma sana facts za kisayansi na jins zinavyoshahabiana na uislam wetu,na tunasoma sana jins gani wagalatia na wayahudi wanavyohangaika kujaribu kuukashifu na kuuchallange kwa namna mbali mbali na jins wanavyofeli mfano wako kama wewe,

Hatupo hapa kwenye mahubiri ya dini,lipo jukwaa lake linalohusu mambo haya,ila sasa kwa kuwa unakuja hapa kutaka kupotosha hatuwez kukaa kimya na kukuacha ukipata kiburi cha ujinga,

Uislam hautauweza,umekuta,utakufa na utaucha watu wakiendelea nao,

Ni mfumo uliokamilika kila sekta,kisheria,kiuchumi,kimahakama,kibenki,kijeshi,kiutawala just to mention few...

Kama uchochez wa moh said mmeshindwa kuuonesha mtauwezea wapi uislam??
 

Tumeueleza kwa mapana na marefu, kama ulikuwepo tangu mwanzo bila shaka utakuwa umeona na kama hujauona hiyo ni bahati mbaya kwako mkuu!
 
Double standards to the best level tunaishuduia humu ndani,

Sisi tukiongea maneno ambayo hayawafurahishi wanatureport na tunafungiwa,

Kuna quote ya yericko humu ndani muda si mrefu akinitukana mimi na kuniita SHOGA/SI RIZIKI kisa nimemuhoji uhalali wa jina lake na jins wanafamilia ya nyerere wanavyomkana,

nimemcopy Mods Invisible na Buchanan,

Maajabu walichokifanya wao ni kuifuta,na ile comment ya matusi ya yericko pia siion,nadhan imefutwa,

Mods kwanin mna double standards??

Haina maana,haina maana hata kidogo,

Ametumia lugha za matusi kama walivyotumia wengine,aadhibiwe,na kumreport nimemreport kwenu,

Achani hizi double standards,Tunataka kuona sheria ikuchukua mkondo wake,hili ni jukwaa huru lakini,
 
Last edited by a moderator:

Hakuna waislam walijielekeza kutoa Fatwa na atangazo la kutomtambua Osama.Osama ana millions of muslim followers wanaoswali misikitini,Tena misikiti hilihile ya orthdox Islam.

Utakaa san aili uweze tushawishi kuwa ni uzushi.
 

pengine unge reverse hilo swali kwenda kwa waislam..uchochezi huu umetokana na dini "hujasikia mfuomo kristu?".Acha uhuni wapi nimekashfu? Hapa mjadala wameu push uwe hivyo..baada wakata ushahidi, sasa hata wewe km ungekuwa na ushahidi wa usemayo ungejika huko..Lakini mnapoona hali si shwari kwenu halafu mnaaza singizia kashfa..nyie ndio mnakuwa kashwa kwa wengine.

Lugha ipi si ni yakigeni na ipi si ya kigeni?Anyway waarabu hawakua wakoloni walikuwa watumikishaji...wao hawakufanya haya ukoloni ila unyama wa "Kitumwa".Unayo haki ya kuchukia ukoloni ukaupenda "Utumwa".
 
Cry baby-fight to the last drop of blood-unawaumiza vichwa mods kwa ku report trivial matters-pole sana(courtesy of Barubaru
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…