Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nicholas said:
....."waislam unataka dunia nzima iwe ya kiislam na huyo khalifah atawale ummah ambao ni dunia nzima" then malizia conclusion
Hivyo ndivyo mnavyowadanganya wale wanyonge kati yenu!

...ninaweza kunukuu Hadith baada ya Hadith kukuonyesha kuwa Makafir watakuwepo mpaka siku ya mwisho sasa nitajie ni Muislamu gani anayetaka kuwasilimisha makafir wote katika uso wa Dunia? Karibu kila mtu anafahamu kuwa alikuwa akimaanisha Mayahudi (kidini) kama unavyojua kuwa kuna Mayahudi wa kidini na Wayahudi wa kabila, mitume katika Uislamu karibu wote walikuwa ni Wayahudi wa kabila.
Hawa Mayahudi wa dini ndio wanaomtukana Jesus na mama yake Maria nikinukuu:
Sanhedrin 106a . Says Jesus' mother was a -----: "She who was the descendant of princes and governors played the harlot with carpenters."
Also in footnote #2 to Shabbath 104b of the Soncino edition, it is stated that in the "uncensored" text of the Talmud it is written that Jesus mother, "Miriam the hairdresser," had sex with many men.
Nicholas said:
Sidhani km hapa ni mahali pake..ila kwa ile quote ya evolution pia inaweza kuwasaidia kuona uongo wake...
Je, utaacha kumuita Dr.Zakir kuwa ni muongo?
 

An information Source?
 
Hapa ndugu yangu. sideeq na wengine hapa mtachoka tu.

Kujaribu kuwaelekeza wagalatia ambao wanaolipwa kwa kuanzisha ligi! Na kutoa kashfa! Ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi
Ukitegemea huenda siku moja ataanza kucheza!.

Baba utakesha tu! Mbuzi hachezi hata upige vipi!

We waambie wakasome.

Wagalatia 3:1.
 

Duuh hehee kweli kuna vituko katika uzi huu!
 
An information Source?

Unapewa chakula eti unauliza jiko lililokiivisha lii wapi?

Chukua chakula cha uzima na haki hicho hapo chini!

Baada ya kifo cha Sayyid Sultan mwaka 1856 usultani wa Oman uligawiwa kati ya wanawe. Sayyid Majid bin Said Al-Busaid (1834/5–1870) akawa Sultani wa kwanza wa Zanzibar na kakaye Sayyid Thuwaini bin Said al-Said akawa Sultani wa Oman akitawala nchi bila maeneo ya Afrika ya Mashariki.

Usultani mpya ulikuwa nchi yenye nguvu kati ya Rasi Delgado (mpakanani na koloni ya Kireno ya Msumbiji) hadi Mogadishu. Athira yake ilienea kupitia njia za misafara ya wabeba pembe za ndovu (a.k.a Kinana wa ccm) na watumwa hadi mto Kongo.

Wafanyabiashara kama Tippu Tip waliokuwa raia wa Usultani wakapita Tabora na Ujiji kwenda ziwa Tanganyika na kuingia ndani ya Kongo.

Wapagazi wao walibeba bidhaa kutoka Zanzibar zilizobadilishwa kwa pembe za ndovu hasa. Watumwa walikamatwa au kununuliwa wakabeba pembe hadi pwani.
 

Wafahamishe wanaukumbi hizo habari zako vyanzo vyake ni wapi? Ni hayo tu hayo mengi hayatuhusu, watu hawataki tena kumeza ngano kavu.
 


Hata Andrew anaitwa Andrew NYERERE,tena yuko verified,
na hajaja hapa kujiverify kwa jina lake lote la Andrew kambarage Nyerere japo nyerere ni baba yake mzazi,

Sasa nawewe ulipokuja hapakujiverify kwa jina la yericko nyerere kama alivyofanya yeye kuja kujiverify na jina la Andrew nyerere ni kuchanganya watu.tena mbaya zaid unaonekana kuwa kinara na kuwa mchungu na Mwalimu Nyerere zaid ya wana halisi wa mwalimu,hiyo haikubaliki...

KAMA ULIDHANI UTAJIPATIA UMAARUFU KWA SUALA HILO HAPA UMEGONGA MWAMBA,
USITARAJIE MAAJABU KUTOKA KWA BUTIKU,WEWE CHA KUFANYA NI KULIFUTA HILO JINA HAPA ILI KUONDOA MKANGANYIKO,

HILO NDILO LA MSINGI...
 
An information Source?


Shariff Ritz,

Acha kujisumbua na huyu kinyonga yakhe...tangia jana nalikwambia yakuwa Yericko hapana tena kumuuliza khabar ya Source hana na wala hapendi/hataki asilan!?ahaha!!

Si umeona jana nilianza kumdodosa taratibu ili nimmalize,matokeo yake akakimbia mpaka usiku alipokuja yule slave wake Nicholas a.k.a "maluuni wa Rombo" ndo wakaleta ile source yao ya yule Racist Evangelical Theologian!

Unajua hawa jamaa wanafikiri wanazungumza na watu wapuuzi hapa!? Au labda wanakhis sisi hizi khabar/History ndo tumeanza kuzifuatilia/kuzisoma leo hapa jamvini!?ahaha!!

Yale masuali yangu kwa Yericko kuhusu ule "ununuzi wa ardhi wa Kanisa Zanzibar" kama alivyodai...yalikua ni legitimate specific questions ambayo yalihitaji convincing answers/valid argument.

Mimi zile khabar nilifuatilia/kuuliza tangia late 1980's...tena kupitia Manguli wa Ukristo,ambao ni Wasomi,Makasisi wenye hishma zao pale Zanzibar.

Mimi nilifika na kuchunguza khabar hizo takriban Unguja yoote,nilifika kwenye kiwanja wakti huo hata lile Kanisa la Mwakaje/Dole hapajajengwa chochote cha maana,na nilizungumza na Padri Mabula. Mkristo Mzanzibara/Mnyamwezi safi.

Kuna mengi saana ya kumwaga hapa jamvini,lakini tuyaache. Hawa jamaa zetu ni pasua kichwa tu...

Mimi siwawezi, unawezana nao wewe mwenyewe. Inachosikitisha siku zoote hapa jamvini ni yakuwa hawa jamaa wengi wao wanadhani sisi Ukristo/Wakristo labda ndio tunakuja kuwajulia hapa jamvini au tuna chuki nao!?ahaha!!


Kwahiyo badala ya Source wewe muulize Sauce tena sio garlic sauce bali bbq sauce!ahaha!!

Ahsanta.
 
Wafahamishe wanaukumbi hizo habari zako vyanzo vyake ni wapi? Ni hayo tu hayo mengi hayatuhusu, watu hawataki tena kumeza ngano kavu.

Wala sina hiyana wala wivu, nakupene elimu hiyo bila malipo wala fidia!

Sitoi ilm bali natoa ELIMU kwa wenye nyoyo safi

Twende ndugu yangu!
 


Hii ni History ya Std IV...seriously, I'm not kiddin Yericko!

Labda kama siku hizi Ilm "imepanda" mno hapo Tanganyika na haya mambo ndo yamekua ya maana zaidi na kufundishwa Univ!?
 
Yericko Tusipomkemea leo kesha atakuja hapa na jina la Yericko Kikwete kujiverify nalo,

Kisha Miraji Kikwete akija hapa kumkana kwamba hamfaham aanze kuonekana hana maaana??

Hii tabia hata kama nitaonekana sina hoja potelea mbali,lakin lazima tuukomeshe ulimbukeni kama huu
 
Hii ni History ya Std IV...seriously, I'm not kiddin Yericko!

Labda kama siku hizi Ilm "imepanda" mno hapo Tanganyika na haya mambo ndo yamekua ya maana zaidi na kufundishwa Univ!?

Pole sana mkuu!

Najua nakukwaza lakini kuwa mvumilivu, hii ndio tofauti ya ilm na elimu ndugu!

Chukua hiyo kidogo ndugu mie sina wivu juu ya elimu!


1886 mkataba kati ya Uingereza na Ujerumani ulibana eneo la sultani barani katika kanda yenye upana wa maili kumi kati ya Rasi Delgado na Mogadishu. Bargash na mfuasi wake Khalifa bin Said waliamua kuuza maeneo haya au kuyakodisha.

1887/8 pwani la Kenya ikakodishwa kwa Waingereza. Wakati wa uhuru wa Kenya sehemu hii ikaingizwa katika Jamhuri ya Kenya.

Pwani la Tanganyika ikakodishwa kwa Wajerumani mwaka 1888 na kuuzwa mwaka 1890.

Miji kwenye pwani la Somalia ikakodishwa kwa Italia mwaka 1892 ikauzwa 1906, Mogadishu 1924.

Hali halisi usultani ukabaki na visiwa viwili vya Unguja na Pemba tu.

Waingereza walikuwa walisita kuhusu Zanzibar lakini baada ya jaribio la Karl Peters la kufanya mkataba wa Sultani na kuingiza visiwa katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani Uingereza uliamua kutafuta utawala wa visiwa
 
Wala sina hiyana wala wivu, nakupene elimu hiyo bila malipo wala fidia!

Sitoi ilm bali natoa ELIMU kwa wenye nyoyo safi

Twende ndugu yangu!


Mtu chakubimbi kama wewe na mwenye hulka ya kupenda umaarufu wa bure na kujikweza kweza,

Kesho unaweza kuja na jina la YERICKO LOWASA,KISA TUH LOWASA KAWA WAZIR MKUU WA NCHI HII,

HUNA MAANA KABISA,TABIA KAMA HII TUTAIKEMEA HADI TONE LA MWISHO LA JASHO ILI UKOME NA KESHO USIJE KURUDIA TUPA USUMBUFU NA BUGHDHA HAPA JAMVINI...

SHUKRANI ZA DHATI KWA BROTHER ANDREW NYERERE...
 

Ndugu yangu,

Nakupa ushauri wa bure,

Bakisha maneno mengine kwaajili ya kukuzikia ukifa, kumbuka kuna maisha mengine nje ya jf, mimi na wewe tunafahamia kwa majina kamili na kwa sauti nje ya maandishi haya!

Ni hayo tu ndugu yangu
 


The Big Show,

Yaani tangia nimezaliwa sijawahi kukutana na mtu wa ajabu kama huyu kijana.

Hana tahayuri hata kiduchu wala kujua zilzala ilomkumba toka kwa Andrew Nyerere,yakuwa sasa yamlazim kuchutuma na kujistiri!

Yeye ndo kwanza kauchuna uso wake kama mbuzi,na kuendeleza makhanatha hapa!ahaha!!

Unajua tatizo nafikiri pia ni nchi/Taifa kukosa ajira,kwa hiyo vijana wengi kama Yericko maskini wakishapata laptop inakua kama ndo trendy fulani hivi...wanaanza kuleta makhanatha na kutuvunjia shughuli zetu mitandaoni.

Haina neno lakini,khatma yake inakurubia. Hivi karibuni itamlazim kufundisha huo utumbo wake hao wenzie!

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Ndugu yangu,

Nakupa ushauri wa bure,

Bakisha maneno mengine kwaajili ya kukuzikia ukifa, kumbuka kuna maisha mengine nje ya jf, mimi na wewe tunafahamia kwa majina kamili na kwa sauti nje ya maandishi haya!

Ni hayo tu ndugu yangu


Usiniogope Yericko,na wala usiwe na was was nami.,

Mbona mimi na wewe ni brothers?hilo halina kipingamizi na mimi hapa sina chuki na yericko as mwanadamu mwenzangu or as mwanajamii forum mwenzangu,

Mimi hapa nimeingia kwenye mgogoro na vitendo vya yericko na hulka za yericko,na ndio kwa maana nimekwambia nitapita hapo CORONATION HOUSE kukuletea zawadi yako,yote hiyo ni kwa ihsani ya kufahamiana hapa,

Unadhani bila wewe kuanzisha mjadala huu MWALIMU WANGU MOH SAID NINGEMUONA WAPI??

Kwa sasa unaniambia mimi nichague maneno,mbona nikolasi haumpi ushauri huo,au labda yeye hufahamian naye japo kwa kaul na mazungumzo nje ya jukwaa hili??

KUNA SIKU NILIONA WATU WANAMCHOMA MOTO MWIZI,NIKASEMA KWA SHERIA YA DINI YANGU YULE ANGEKATWA TUH MKONO NA SIO KUCHOMWA MOTO,NILIPATWA NA SIMANZI SANA,

AKATOKEA DADA MMOJA KWA UPOLE SANA AKASEMA KAKA PALE HACHOMWI MWANADAMU MOTO,
BALI INACHOMWA MOTO ILE TABIA YA WIZI,

KWAHIYO HAPA MIMI SIMALIZI MANENO KWA YERICKO LA HASHA,NAMALIZA MANENO KWENYE TABIA YA YERICKO,

BILA SHAKA USHAN'FAHAM NDUGU YANGU...
 


Naam gombesugu Al habiby,

Unajua hata namimi namuona kwamba jamaa ana ujasiri wa hali ya juu Ritz huwaitaga makauzu,

Lait ningalikuwa mimi ningeifunga akaunt yangu moja kwa moja,ila kwa kuwa jamaa kaendelea kukomaa basi tuh tuendelee nae,

KUNA SIKU PALE HOSPITALI YA TEMEKE KULITOKEA DHAHAMA KUBWA SANA,NA MAUZA UZA MAKUBWA YA WANADAMU KUGANDANA WAKIWA WANAFANYA ZINAA,

SASA CHA AJABU ILE HOSPITALI YA TEMEKE ILIFURIKA WATU WENGI SANA KWENDA KUSHUHUDIA HALI ILE,

MIMI NILIKUWA NAPITA ZANGU NA SHUGHULI ZANGU ILA KWAKWELI NILISHUHUDIA NYOMI ILE,HATA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MAGAZETI WALIITOA HABARI ILE,

PROFESA LIPUMBA ALIPOKUJA KUTOA TAMKO LAKE ALISEMA KWAMBA HII NI ISHARA YA KWAMBA WATU MJIN HAPA HAWANA KAZI,KWA MAANA KAMA WATU WANGEKUWA WANA SHUGULI ZAO ZA KUFANYA WASINGEJAZANA PALE KUSHANGAA JAMBO LILE LA AIBU,

KWAIYO NAKUBALIANA NAWE SHEKHE,INAWEZEKANA IKAWA SOMETIMES NI UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA HAWA...
 
Last edited by a moderator:


Andrew Nyerere,

Salaam. Tunashukuru mno kwa ustaarabu na hikma ulotumia,kwa kuja hapa Jamvini na kutujuza yayo.

Tafadhali usisumbuke tena,sisi soote hapa jamvini tumeshapata ukweli woote. Pia hapa jamvini pana vijana wasiokua na hishma kwa wakubwa zao,kwahiyo nakunasih hivi ili usije ukawapa nafasi/fursa ya kukutusi na kukukebehi nawewe.

Poleni saana kwa yoote yaliyokukuteni na kusababishwa na huyu kijana Yericko kutumia jina la Marehemu Mzazi wenu bila ya idhini/ridhaa yenu Wanafamilia.

Pia natanguliza pole zetu nyingi mno kwa Mama Maria,khasa katika kipindi hiki choote alichosababishiwia huzuni nyingi kwa kufikiri yakuwa Marehemu Mzee Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa" alikua na mtoto mwingine wa nje ya ndoa,pale alipojitokeza huyu Yericko.

Poleni saana nyoote.

Ahsanta.

Cc;Ritz,The Big Show
 

Tomato sauce ricipe mario batali, teh teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…