Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #161
Nafarajika sana kusikia kuna watu wanafaidika na yale niliyoandika.
Wengi wamefaidika na maandishi yangu ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni historia ambayo ilikuwa ikikandamizwa kwa miaka mingi.
Juzi nimepokea email kutoka kwa mwanafunzi mmoja kutoka Marekani.
Anasena hakujuwa kama kulikuwa na ''Muslim movement against British
colonialism in Tanganyika...''
Amesoma kitabu changu kwa ''recommendation'' ya supervisor wake wa
Ph D.
Anasema alihudhuria lecture yangu Northwestern University, Chicago na tulizungumza.
Mimi simkumbuki.
Anasubiri kibali cha utafiti aje Tanzania kwa utafiti zaidi.
Mambo ndiyo haya.
Mkuu umepotosha historia ya Uhuru kwa njia ya kitabu, lakini hata mawazo ya ndugu Shardcole nayo unayapotosha????? Haahaahaa daaah!
Ndugu Shardcole amesema anafurahia kufuatilia mjadala huu hapa, lakini wewe unapotoosha kwa maksudi tu kuwa Shardcole amesema amesoma kitabu na anafurahia kujifunza mengi?????????
Nahofia sana weledi wako ni wakipimo cha richa ngapi???
